ALLAH akuweke pema peponi Bi Shakila Said, nilikuwa nasikiliza taarabu hii at 70s and 80s kweli old its gold, ni sauti isiyo badilika, 22/08/20 nasikiliza nikiwa kazini Adelaide South Australia
@mwanakomborashid70532 жыл бұрын
Allahummah aamin,nahizi ndo nyimbo kwa kweliii
@johnkuma686710 ай бұрын
Sauti hi siya binadamu. Hakika hi sauti ni ya malaika wa mungu,Shakila mungu akurehu. Unanitoa chozi
@sakinaabdallah7713 Жыл бұрын
Mungu amrehem huô ndio wakati wenu lakini hizo karnet zetu kufa kwa mtu ndio ujinga wa mwisho😏😏😏😏😏
@demaiteperron67258 жыл бұрын
Mungu airehemu roho ya bi Shakila Said, huyu ndiye mwimbaji bora wa muziki wa taarab nchini tanzania wa wakati wote katika tasnia ya muziki wa mwambao nchini na Africa nzima kwa ujumla
@alymwala94716 жыл бұрын
Safi sana
@batetaaida44183 жыл бұрын
Nafurahi sana tunamuomba ALLAH awalaze mahala pema YARABBI
@HafidhOmar-rs4ty8 ай бұрын
Shakla nimuimbaji mzuri sna ila hio nitathmn yko2
@kimwerihamza41524 ай бұрын
Umekwenda bibi na sauti yako,m/mungu aendelee kuipunzisha roho yako milele peponi,tumebaki na nyimbo za matusi hadharani bibi yangu
@mathiasmihambo60356 жыл бұрын
Mh!!! Aiseeee saut nzur mpka inagonga moyon.. nakuombea kwa MUNGU bi shakila upumzike kwa aman
@ashamasudi3096 жыл бұрын
Wimbo Mashaallah bi Shakira Said
@fatumahamisi47742 жыл бұрын
Mungu akupe kauli uliko
@mwanakomborashid70532 жыл бұрын
Allah akusamehe ulipokesa
@jamaldinabubakary95076 жыл бұрын
والله حلاوه...صوتها روووع ربنا ارحمها
@allyahmed46579 жыл бұрын
Mashaallah!! shukran sana!natoa machozi tu hapa..
@mudrckrommey69382 жыл бұрын
Daaah huu wimbo
@fuadmohanna108910 жыл бұрын
nyimbo nzur sana,nakumbusha zamani,.mimi naomba, Mke wa awali
@asmasoud64988 жыл бұрын
Fuad Mohanna +
@jonaskwigeza19907 жыл бұрын
Saudi bora ya taarabu kwa wakati wote .mpaka Leo 2017 akipanda jukwaani sauti ni hiyo hiyo. Mama amejaliwa sana wimbo huo niliusikia miaka ya mwanzo ya 1971 pale Kigoma tens nikamsikia 2014 akihojiwa na jenerali on Monday. Hana mfano kwenye melody . binge lingepitisha kwamba Hutu ni mwimbaji bora wa taarabu SikU.MUNGU atampumzisha maana huko hai hadi Leo 2017 .Sasa wanaosema MUNGU amrehemu ,sielewi kwa MTU ukiwa hadi. Tungeiga Marekani waliosema Michael Jackson ni greatest entertainer of all time Sikh ikifika shakia aitwe Msanii bora wa taarabu wakati wote .Ni kumuenzi tu.
@mussashabani33457 жыл бұрын
mashaaallaha tanga laha bwana
@hassanmpwepwe38265 жыл бұрын
mungu akupe kauri thabit twa kukumba Sana mama bi Shakira
@zenarajabu92416 жыл бұрын
Ntajiuwa kweli napenda hii taarabu sanaa
@shakilamtira40356 жыл бұрын
wajina Wang mungu akupe kheri.
@shafiiamani85796 жыл бұрын
Wimbo unatia majonzi mno mpangilio mzima... Oooh nalia mie kifo cha mahabha
@hamisikijangwa72724 жыл бұрын
Wimbo unatia maji
@richardgatungu37592 жыл бұрын
Mungu amsamehe makosa yake yote
@wardasuleiman6825 Жыл бұрын
Oo
@mamumiyaskitchenvlogs58585 жыл бұрын
hatatokea kama mama Shakila.MUNGU Akuwie radhi kwa yote ya kidunia akupokee kwa wema mama
@dadamaisha44704 жыл бұрын
Ameen. ❤️
@user-cm8yz3sb6t6 жыл бұрын
ukweli alitunga wimbo safi huchoshi mtam sana
@richardmaseke68582 жыл бұрын
pumzika kW aman
@richardmaseke68582 жыл бұрын
kiukwe huy mam anaimba
@omarysauti42735 жыл бұрын
Dah bi shakla mungu awe nawe huko uliko
@ahmedkhan1449 жыл бұрын
shukran. nyimbo zatukumbusha mbali.
@ibrahimaboker90863 жыл бұрын
Kazaliwa Pangani tumesoma chuoni pamoja ni nwana wetu wa Pangani bwana wake wa kwanza mzee Hatibu pia ni mwana Pangani.
@kimwerihamza41524 ай бұрын
Tuendelee kumuombea bibi shakila roho yake iendelee kupunzishwa panapostahili
@fuadmohanna108911 жыл бұрын
true old is gold.
@boinaassane64593 жыл бұрын
Mgu namrehemu
@muddyrashidi88082 жыл бұрын
mnyiramba orijinal
@allymusira21533 жыл бұрын
Mashairi yametulia tungo haina matusi
@preetyroshylne14756 жыл бұрын
Mashallah
@eltajir2 жыл бұрын
bin seif nahitaji ile MOVIE ya love story ya pemba na unguja unayo?
@nassiralwardi18646 жыл бұрын
Mashaallah shakila said
@hassanrashid2246 жыл бұрын
Allah akupe kaul thabit
@MrMohamed29 жыл бұрын
mashairi mazuri sana
@marodemadero65909 жыл бұрын
ali salim wimbo nzuri mashallah
@mukrimpanga34326 жыл бұрын
Mungu akulaze mahal pema peponi amin
@nassiralwardi45506 жыл бұрын
Mashaallah
@annasamwel1463 Жыл бұрын
Sasa hii ndio taarab
@mohamedally69922 жыл бұрын
MANSHALAH
@saidmasoud45506 жыл бұрын
Allah amrehem
@saidmasoud45506 жыл бұрын
Maneno kuntu unakuja kujiuliza tayari imeshapita
@mubahamed84443 жыл бұрын
Bi shakira said 😭2021
@johariabdul48637 жыл бұрын
shakira weeeeeee
@abubakaricholo40266 жыл бұрын
good
@salimakuluwa20636 жыл бұрын
Asante bi shakila
@mohamedalaraimi68135 жыл бұрын
Wewe ndo umelitaja Jina vizuri Shakila sio kama wengine wameandika shakira
@talltall567411 жыл бұрын
Shakira
@allychilinga19587 жыл бұрын
😭😭😭
@chikuramadhani7246 жыл бұрын
R.i.p bishakira
@rahmahaji75706 жыл бұрын
hata mimi.alikuwa.ananitowa mawazo
@simenyasikhulu13 жыл бұрын
Ni nani kaimba huno wimbo? Shakila ama Shamila? Wimbo murua mno.
@nassiralwardi18647 жыл бұрын
Good songs
@joycekisaye29636 жыл бұрын
r.i.p
@atrashjr32306 жыл бұрын
Good
@safinabakari91406 жыл бұрын
John Namwamba Ni bi.shakila Allah amsamehe makosa yake