Taarab Zilipendwa- Kifo cha mama

  Рет қаралды 255,172

Eddie Nassor

Eddie Nassor

8 жыл бұрын

Пікірлер: 254
@noelabel5700
@noelabel5700 Жыл бұрын
Nyimbo hii huwa inaniliza sana juu ya kifo cha Mpendwa Mama yangu, lakini pia hunifariji sana najikuta tu natamani kuisikiliza hasa ninapomkumbuka Mama na alivyokuwa akinifanyia mema ya malezi.. Hakika I miss you MAMA 😭😭🙏 Poleni sana wote tuliopoteza Mama zetu tusiache kuwaombea roho zao zikawe mahali pema peponi.. Amina..🙏
@khadijamohamed2963
@khadijamohamed2963 3 ай бұрын
ameen
@Mohamedsilahaally
@Mohamedsilahaally Ай бұрын
Kweli Kabixa
@jamalimugele569
@jamalimugele569 5 жыл бұрын
Pole yetu tuliofikwa a haya matatizo mungu atupe nguvu
@dullahmmebela3123
@dullahmmebela3123 3 жыл бұрын
Ameen!!!
@joharihessen1143
@joharihessen1143 4 жыл бұрын
Yaan nikisikiliza hii nyimbo nalia sana Allah akurehem mama yangu akupe kauli thabiti mama yangu akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia akusamehe madhambi yako
@dullahmmebela3123
@dullahmmebela3123 3 жыл бұрын
Ameen!!!
@enivachristopher6267
@enivachristopher6267 2 жыл бұрын
Buliani mama yangu sijawai kusahau hapa nalia tu lala pema mamy
@zainabmangala1902
@zainabmangala1902 Жыл бұрын
Tuko pamoja ndugu yangu
@latifakassim491
@latifakassim491 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulaze mahala pema peponi marehemu mpenzi mama yangu
@salha.d5060
@salha.d5060 3 жыл бұрын
Yarab huu wimbo nilikua nausikia tu wallah leo umenihusu rasimi mama pumzika kwa amani ukawe miongoni mwa waja wa peponi alhamdulillah
@hadijadamumbaya5423
@hadijadamumbaya5423 6 жыл бұрын
napenda kuchukua fulsa hii kuwapa pole wale wote waliofiwa namzazi aijalishi mama au baba poleni sana sana mzazi anauma kwakweri mnaishi kihuzuni hususani ukipatwa na mtihani unatamani mzazi angekuwepo poleni sana jamani pia mungu niongoze niweze kuwatunza wazazi wangu mm ninehma kuwakuta hai
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 жыл бұрын
Asante sana mimi wote wametangulia my
@chubeally5293
@chubeally5293 5 жыл бұрын
Hadija Damumbaya ahsante sister huu wimbo umeniliza mnoo. wapende sana wazazi
@wondersmotivation5543
@wondersmotivation5543 5 жыл бұрын
Ahsata,,,ni huzuni,,,Bali ni njia zetu zote,,,Allah awahifadhi,,,tunawaombea Jannatal Firdaus,,,
@pillyzuberi2890
@pillyzuberi2890 4 жыл бұрын
Ahsantee
@pillyzuberi2890
@pillyzuberi2890 4 жыл бұрын
Ahsante
@rehemamkakile5028
@rehemamkakile5028 2 күн бұрын
Huu wimbonnakukumbuka sana mama ulijua kumlilia mama yako leo nausikilizabwewe umendika. Nakupenda mama nakuombea mama yangu. Mwenyezi Mungu akupe kauli Thabi,akusamehe makosa yako akujaalie pepo fildous mama yangu. Mungu naomba uwarehemu mama zetu wote waliotangulia mbele ya haki🙏
@franksaidi3635
@franksaidi3635 4 жыл бұрын
Yaa Allah, Yaa Rahman, Yaa Rahim! Have mercy on our beloved parents! Kwa wale wote tuliopoteza wazazi wetu Allah atupe Imani inshaAllah!
@mwambaohealthconsultant
@mwambaohealthconsultant 4 жыл бұрын
Ameen
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 жыл бұрын
AMINAaaah
@amriomarymtabazi5419
@amriomarymtabazi5419 3 жыл бұрын
Tuwakumbuke wazazi wetu waliotangulia mbele ya haki kwaduwa njema!
@jumaaahmedy6174
@jumaaahmedy6174 3 жыл бұрын
Ami yarab amin
@shitilimgengeli9845
@shitilimgengeli9845 3 жыл бұрын
@@jumaaahmedy6174 AminaAmina
@rashidamour4359
@rashidamour4359 2 жыл бұрын
YAA ALLAH QARIIM MSAMEH MAMAAMGU NA UMREHEM NA MJAALIE KUWA NI MJA WA PEPONI...AAMYN, NA WAMAMA WA NDUGU ZANGU NA WAMAMA WA WAISLAM WENZANGU WOOOTE...AAMYN YAA RABBIL AALAMYN. POLENI SANA NA TUPOENI WOTE AMBAO MAMA ZETU WAMETANGULIA MBELE YA HAKI' HAKIKA INAUMIZA SANA UKISIKIA HUU WIMBO LKN NI KAZI YAKE JALLAH JALAAL ! ASANTENI SANA KWA UKUMBUSHO HUU. WASSALAM.
@damtumct6720
@damtumct6720 6 жыл бұрын
Ni machozi tuu!!! Yaani dahh!! Ni inauma sana ila kazi ya Mungu haina makosa. ALHAMDULILLAH
@piligeorge8278
@piligeorge8278 3 жыл бұрын
Kuondokewa na mama ni msiba usiofutika moyoni
@janethkiswaga5847
@janethkiswaga5847 6 жыл бұрын
😂😂😂kwa kweli nitakukumbuka daima mamangu na nitakulilia milele luv my mum.😍😍
@mikidadimhagama5200
@mikidadimhagama5200 Жыл бұрын
Nyimbo inanikumbusha kifo cha mke wangu nikiwaangalia wanangu wameondokewa na mama yao allah amlaze mahala pema.
@mwantummakoa4253
@mwantummakoa4253 5 жыл бұрын
Poleni sana mliofiwa na mama zenu,nakupenda mamangu uishi miaka mingi
@upendomtambo5103
@upendomtambo5103 3 жыл бұрын
Amen🙏
@halmakinty962
@halmakinty962 6 жыл бұрын
Kweli Mie Yakima wa wote kifo hakika hazoeleki RABI gufrili walwaldeiya Allah KARIM mola wahifadhi mayatima duniani shukran kwa hio upload kakangu mwenye kuitunga pia mola mjalie hat a njema
@rajabujr5827
@rajabujr5827 5 жыл бұрын
hii nyimbo naipenda kusikiliza maudhui yake napia inanitia uchungu kwa kifo cha mama yangu mzazi inaniuma ila sina jinsi yoote kazi ya Mungu haina makosa
@7tho745
@7tho745 7 жыл бұрын
Mama ooooh kilio umenachia... WALE WOTE TULIOKWISHAONDOKEWA NA MAMA ZETU TUNAELEWA KWA DHATI MAUDHUI YA WIMBO HUU. " ....Mama tulimuzoea.. nyumbani tukiingia......."
@mariammwalongo9590
@mariammwalongo9590 6 жыл бұрын
mama jamani
@khalasaid6340
@khalasaid6340 6 жыл бұрын
namkumbuka mamangu kipenzi na kipumbazi cha moyo wangu, mungu akurehemu mamangu, nakuombe na machozi yanitiririka
@ayshaaysha9676
@ayshaaysha9676 6 жыл бұрын
Kwel kabisa
@hassanibakari8530
@hassanibakari8530 5 жыл бұрын
Asiye na imani na mm ni nani jamani hyo
@fatmaomary83
@fatmaomary83 3 ай бұрын
Mama yangu alinambia huu wimbo alikuwa akiusikiliza analia sana na leo imekuwa inanigusa mie nkikumbuka maneno yake na leo yamenifika mie Allah tujaalie subra ktk hili ya rabbi😭😭😭😭😭
@tatumakadara5793
@tatumakadara5793 4 ай бұрын
Allah maghafir laha warhamha wajaal kaburaha waraudhata al jinnah mama yangu. Hii nyimbo nimeshindwa kuimaliza kuisikiliza. Nasi MUNGU atusamehe atupe khatima khatima njema khatima njema
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
Allah akulaze pema peponi my mom,my mind is talks to you mom,Dua zangu ziko pamoja nawe 😭😭😭
@allymbaya6411
@allymbaya6411 9 ай бұрын
Dah! Nashindwa kuvumilia ninaposikiliza wimbo huu najisikia huzuni sana. Sina la kufanya zaidi ya kumuombe dua mama yangu kipenzi mungu ampe kauli thabit
@tatumpita6284
@tatumpita6284 3 ай бұрын
😊dah kweli mama kaniachia kilio nimebaki Sina hata mtu wa kukwambia mambo yangu nimebaki peke yangu inaniuma nakukumbuka mama yangu mwenyezi mungu akupe janat firdaus
@salha.d5060
@salha.d5060 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mama yangu kipenzi I can't stop crying Mom 😭😭😭
@HajiMwita-x4t
@HajiMwita-x4t Күн бұрын
Poleni sana wote mlofiwa na mama mungu akupeni nguvu na subira
@latifasalum1166
@latifasalum1166 4 жыл бұрын
Buriani mama yangu mpenzi 😭😭😭😭
@shununamtoni9145
@shununamtoni9145 3 жыл бұрын
RIP mamangu ASHA ABDALLAH mola akuepushe na adhabu ya kaburi nakupenda daima..
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr 8 ай бұрын
Kwakweli mie mama esha mnyoroka yuhai ilahunikumbusha wazazi wamarafiki zangu navurugwa sana tena sana ilakizazi chaarabu Hakina ujumbe wowote
@saadamohamed8104
@saadamohamed8104 5 жыл бұрын
mama yangu bint said nakumiss sana wimbo huu unaniliza mwwnzenu mama mtamu jamani
@mwantummakoa4253
@mwantummakoa4253 5 жыл бұрын
Saada Mohamed poleee mpnz kaz yamung
@husseinjuma6295
@husseinjuma6295 6 жыл бұрын
Hatuwezi kukusahau mama shakila hamis mimbo yako unikumbusha mengi Sana ahsante mungu akurehemu akuondolee adhabu za kaburi name akhera
@joelkimbanga6071
@joelkimbanga6071 2 жыл бұрын
Shekh si Bi Shakira ni bi Daima Abdallah
@phineruge3480
@phineruge3480 4 жыл бұрын
Ooooh Mamangu 🙆🙆🙆Kilio umenachia😱😱😱 , Huuu Wimbo napenda kuusikiza ila kila nikiusikiza ni Machozi mwanzo mwisho, Shukrani kwake Mtunzi na Muimbaji wa Huu Wimbo, Ambao bd Mna Mama hamuwezi kumuelewa ila Wenzangu na Mimi tumeshaondokewa na Mama utajua Anamaanisha nini
@muingiawaziri8552
@muingiawaziri8552 2 жыл бұрын
Wallah
@julianayesayamwailolo8240
@julianayesayamwailolo8240 Жыл бұрын
Mama angu kipenzi changu rafiki yngu Mungu akuweke mahala pema peponi mwanga na nuru vikumulikie mama angu Sarah
@rahhmahassan6777
@rahhmahassan6777 6 ай бұрын
Mungu akulaze sehem salama mama angu akupe kauli njema ad tutapo kutana tena😢
@leylatotty3181
@leylatotty3181 Жыл бұрын
Allah Amraham mama yangu hua nilikua nikisikiza nalia aana tokea mama haja fariki nakambuka zamani sana 95 ikiimba nalia Sanaa na mpk mama anafariki imeIdi kunilza😭😭😭😭😭😭mungu amlaze pema mama yangu
@jangamagili2601
@jangamagili2601 6 жыл бұрын
bi daima Abdallah huyo, kifo cha mama maliza unanijaa uchungu...... wallahi tulowatanguliza mama zetu mbele ya haki kwa wimbo huu ni lazima tulie. yote haya nikiwaza leo yameshanikuta.......... Allah awape qauli thaabit mama zetu.
@hadijadamumbaya5423
@hadijadamumbaya5423 6 жыл бұрын
Janga Magili pole sana mungu akupe nguvu pia awape imani nyie wote mlioondokewa nawazazi
@abuubakarkhair684
@abuubakarkhair684 4 жыл бұрын
جنة الدنيا أمي
@ayubikunga5597
@ayubikunga5597 4 жыл бұрын
Naam huyu ni bi Daima Abdullah Naye ametangulia mbele ya haki. Allah amsamehe makosa yake.
@ayubsalum5594
@ayubsalum5594 3 жыл бұрын
Nikweli huyu ni Daima Abdallah naye ameshatangulia mbele ya haki kati ya mwaka 2018 au 2019. ALLAH AMSAMEHE.
@masturasaid6830
@masturasaid6830 6 жыл бұрын
Wimbo huu nikiusikiliza nalia tuu. Duuh wee acha tu
@mfaumerashid8045
@mfaumerashid8045 4 жыл бұрын
Pole sana
@abrahamankanji5050
@abrahamankanji5050 6 жыл бұрын
R.I.P. Mama Yangu. Mwenyezi Mungu Aiweke Roho Yako Mahala Pema Peponi - Amina.
@hadijadamumbaya5423
@hadijadamumbaya5423 6 жыл бұрын
Abrahaman Kanji naumia kilanionapo comment zawaliofiwa poleni jamani
@salha.d5060
@salha.d5060 Жыл бұрын
LEO NIMEWAKUMBUKA SANA WAZAZI WANGU ALLAAH AWAREHEMU😭😭😭😭
@hidayakidumuni2396
@hidayakidumuni2396 7 жыл бұрын
Mungu akupunguzie adhabu ya kabuli mama yangu kipenzi
@hadijadamumbaya5423
@hadijadamumbaya5423 6 жыл бұрын
Hidaya Kidumuni pole mpz mungu hana makusudio yk
@allykindamba9800
@allykindamba9800 4 жыл бұрын
Amiin Yaa Rabbi
@maryamkisaka8437
@maryamkisaka8437 4 жыл бұрын
Mama aliniimiza niolewe kumbe alijua kam anataka kuniachia watoto ,huko wap ammy angu pumzika kwa aman pengo lako alizibiki
@thuwebaahmed833
@thuwebaahmed833 6 жыл бұрын
A.alkm. Hamujambo nyote. Hakuna kama MAMA duniani. Mungu akurahamu mamangu akueke pema penye wema. Ameen
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr Ай бұрын
Poleni sana wafiwa nawahusika wahaya tupo nanyie ktk hayo majonzi yawazazi
@jk_swabzuu7688
@jk_swabzuu7688 6 жыл бұрын
very nice song i really like it cant get bored listening to it. reminds me of my late mum.
@janealoyce3866
@janealoyce3866 3 жыл бұрын
Mama yangu ni vigumu kusahau japokuwa yapata miaka kumi na tatu toka utwaliwe katika makazi ya milele,wote waliotangulia wapumzike kwa Amani ,si rahisi ila mapenzi yake yatimizwe.
@neemajuma8303
@neemajuma8303 3 жыл бұрын
Yaraab mrehem mamayangu yaarab Mpe pepo yenye daraja mamaangu Yaarab mpe mwangaza mamaangu Yaarab mpe mdomo wakujibu majibu kwako😭😭😭😭😭
@heriissagombera5168
@heriissagombera5168 8 жыл бұрын
Asante kaka Eddie nyimbo zinaburudisha na kuhuzunisha pia
@ishengomakabaka9199
@ishengomakabaka9199 4 жыл бұрын
Amakweli mzazi anauma
@kayshanil9195
@kayshanil9195 2 жыл бұрын
@@ishengomakabaka9199 Sana...Sana...saaaana.....anauma saaaaana....
@kuluthumkimoti2183
@kuluthumkimoti2183 6 жыл бұрын
namkumbuka sana mama yangu nyimbo za zamani zinaliza
@boazimongi9602
@boazimongi9602 6 жыл бұрын
mungu ailaze roho ya mama yangu annastazia mahali pema peponi amen
@hidayamaro8759
@hidayamaro8759 Жыл бұрын
Mungu awaweke mahali peponi inshalla
@hidayamaro8759
@hidayamaro8759 Жыл бұрын
Wazazi wetu inshalla tunawakumbuka kill siku.
@nasrasaid9940
@nasrasaid9940 5 жыл бұрын
Allah akupunguzie adhabu za qaburi mama angu
@kilosa2000
@kilosa2000 4 жыл бұрын
Tafadhali tuwekee ile ya KILIO CHA BABA nimekuwa nikiitafuta sana
@zabibuhassan1869
@zabibuhassan1869 7 жыл бұрын
pumzika kwa amani mamayangu.
@abbadullagamada4804
@abbadullagamada4804 7 жыл бұрын
zabibu hassan .pole
@hadijadamumbaya5423
@hadijadamumbaya5423 6 жыл бұрын
zabibu hassan pole sana mama anauma jamani
@user-jw6zi8fp8b
@user-jw6zi8fp8b 10 ай бұрын
Nikumbuka mbali sana dada kipenzi pumzika
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Mungu warehem wazazi wangu..wape kauli thabit..nasikikiza sana wimbo huu ninapo wakumbuka wazazi na ndugu zangu waliotangulia mbele yako
@amriomarymtabazi5419
@amriomarymtabazi5419 2 жыл бұрын
Hakika siotu kuwa ni mafundisho balipia ni ibadatosha manenohaya kwakila alokuwa na mama au baba alotangulia mbele ya haki, tuwaombee kilajema mola awapemsamaha,na atujaalie mwishomwema!
@hafsakarume8872
@hafsakarume8872 3 жыл бұрын
YA ALLAH NAOMBA UWASAMEHE WAZAZI WANGU KWA MADHAMBI YA DHAHIRI NA YA SIRINI. UWAJALIE PEPO YA FIRDAUS WAZAZI WANGU WOTE WAWILI WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI. UWAPE VITABU VYAO KWA MKONO WA KULIA NA UFANYE MAKABURI YAO YAWE NI MOJA YA MASHIMO YA PEPONI INSHALLAH
@user-os3ed2nl2k
@user-os3ed2nl2k 3 ай бұрын
Ya karim wasamehe mama zetu ishaallah
@mushken65
@mushken65 4 жыл бұрын
Hata Mimi huwaza na kuliya nikasema heri baba yangu angelikuwa ingawa sasa miaka 40 tangu katuondokea. Mungu amlinde mama yangu Mumbua niendelee kukuonnanga siku nyingi
@saidsaleh4086
@saidsaleh4086 5 жыл бұрын
Ahlu Zzaman maskini.. Radio Tanzania kipindi hiko inapigwa... Naomba pia ututaftie nyimbo ya Mazao bora shambani.. Shukran l Jazeer al alkhy..
@saniaqutereem3801
@saniaqutereem3801 Жыл бұрын
Allah akurehemu my mom love nakupenda daima akujalie janna fridhaus akusamee dhambi zako
@dullahmmebela3123
@dullahmmebela3123 3 жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu muumba wape neema ya milele Mama zetu waliotangulia mbele ya haki ameen!!!
@fatumamakono6827
@fatumamakono6827 6 жыл бұрын
Mmenikumbusha mbali pumzika salama mama yangu kipenzi Mama Mrisha(Sabitina Rashidi)kifaru mwanga
@user-ig3br7jv8t
@user-ig3br7jv8t 9 ай бұрын
Ni kweli tuwaombee mema uko waliko inauma sana
@basilsaprapasen9914
@basilsaprapasen9914 7 жыл бұрын
one of sub sahara's best melidies, a humbling tune and heart bleeding words. unpreceded.
@mariamkanyungu3150
@mariamkanyungu3150 4 жыл бұрын
Mama anauma sana nani? Kama mama
@kayshanil9195
@kayshanil9195 2 жыл бұрын
@@mariamkanyungu3150 hakuna na hatatokea.......
@jumahashimmohammed917
@jumahashimmohammed917 Жыл бұрын
Nani atanikaribishia tena wageni wangu?mama naumia sana mwanao
@jkswabzuu4830
@jkswabzuu4830 5 жыл бұрын
Allah warehemu mama zetu walotangulia!!!
@allykindamba9800
@allykindamba9800 4 жыл бұрын
Amiin Yaa Rabbi
@charlesmpunga1161
@charlesmpunga1161 Жыл бұрын
Bashir yuko sahihi zaidi kwa kali yake.Leo hii maji hayatoki umeme shida vyakula bei iko just halafu wewe unasifiwa unafanya vzr.Hujitambui kuwa wanakubeza
@mwalimumohamed1253
@mwalimumohamed1253 2 ай бұрын
Hakika ni taarab niipendayoo
@ufc-ultimatefightingchampi8456
@ufc-ultimatefightingchampi8456 5 жыл бұрын
R.I.P best mom in the world those are had gone, God bless
@MrMsomali
@MrMsomali 7 жыл бұрын
Dear Eddie,shukran,this is really touching.MaanshAllah. Tafadhal,sasa tuletee `kilio cha baba` by Egyptian Musical club,kama sijakosea by Abas Mzee. Warm greetings toka kwangu hapa England. Thanks for your dedication.
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 жыл бұрын
Dhamira Musical club hao
@forlorngreen
@forlorngreen 4 жыл бұрын
this is one of the most beautiful songs. i hope you have more old treasures like this to share
@zahramunir8596
@zahramunir8596 8 жыл бұрын
mashaallah beatiful song na machozi yanatoka..
@jacklinedavid458
@jacklinedavid458 7 жыл бұрын
wimbo huu unanikumbusha mbali sana asante
@naimandibalema3450
@naimandibalema3450 Жыл бұрын
Nakukumbuka kila itwayo leo ,na jana ndo umetimiza mwaka,😭😭😭😭😭😭😭
@mwinyiomary7163
@mwinyiomary7163 5 жыл бұрын
Huu kifo Cha Mama bado kifo Cha baba utuwekee
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
Wote wapendwa tulio fikwa na misiba mama zetu Allah atupe nguvu na tusisahau kuwaombea Dua wapendwa wazazi wetu (amin)
@hassanlibingai8811
@hassanlibingai8811 7 жыл бұрын
Hawa ni Egyptian Musical Club. Actually yule aliyeimba Kilio cha baba ndo huyu huyu anayeimba Kilio cha Mama
@hancemkongo2861
@hancemkongo2861 3 жыл бұрын
Yeah
@mototv1599
@mototv1599 7 жыл бұрын
*machozi yanitoka kila nikisikiliza huu wimbo wallah*
@AhmedAlsaedy-ul4lf
@AhmedAlsaedy-ul4lf 7 жыл бұрын
hakuna kama mama mungu akulaze pema pepeniii mama yanguuu
@andysam6921
@andysam6921 5 жыл бұрын
Ahmed A2065lsaedy pole sana
@andysam6921
@andysam6921 5 жыл бұрын
Pole sana
@leloosebastian1055
@leloosebastian1055 5 жыл бұрын
@@andysam6921 NALUA SANA MUNGU WANAKUA TU JAMANII WANGU
@dullahmmebela5624
@dullahmmebela5624 Жыл бұрын
❤ to Mama 🙏 rip!!!
@rashidmaryamfatma4861
@rashidmaryamfatma4861 7 жыл бұрын
Walah nalia kwa uchungu sina jinsi
@nyagawadommy2535
@nyagawadommy2535 Жыл бұрын
Nakumbuka mbli sana
@kagimbomshenyi149
@kagimbomshenyi149 2 жыл бұрын
Nilikua namkuli sana
@nyagawadommy2535
@nyagawadommy2535 Жыл бұрын
Nakumbuka mbari sana hii nyumba
@Mohamedsilahaally
@Mohamedsilahaally Ай бұрын
Zilipendwa❤❤❤
@nasrasaid9940
@nasrasaid9940 5 жыл бұрын
Allah akujaalie kauri thabiti mama angu
@kilosa2000
@kilosa2000 6 жыл бұрын
Tafadhili Eddie tutafutie ule wimbo NINA KILIO CHA BABA nimeutafuta sana sijaupata
@saidmohamedi3229
@saidmohamedi3229 6 жыл бұрын
Hakika inahuzunisha kwa wote tuliofiwa na mama zetu MUNGU awarehemu Aam
@ahlamsalim4064
@ahlamsalim4064 6 жыл бұрын
Kwel tunaomba ututaftie ule wimbo..kilio cha baba
@shabanikipulu1958
@shabanikipulu1958 2 жыл бұрын
Bi daima abdalah huyo akiwa na kundi la zamira music club.
@auntydotty7821
@auntydotty7821 5 жыл бұрын
mungu akuweke mahala pema mama angu
@bakarikijumu6933
@bakarikijumu6933 5 жыл бұрын
hiinyimbo ziliimbwa mmbili mama nayababapia kama waweza ipata nitumie zote 0658600508
@arafabdul6510
@arafabdul6510 5 жыл бұрын
Nilushie hii video kilio cha mama naipenda namkumbuka mama angu
@rehemamkakile5028
@rehemamkakile5028 2 күн бұрын
❤ i miss my mam❤
@user-zi4et6uz2u
@user-zi4et6uz2u Ай бұрын
❤❤❤ miss uu momy
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 7 жыл бұрын
eddie we tisha mbaya sana, karibu berlin germany tukuone mtu hatari wewe
@salmamussa8213
@salmamussa8213 3 жыл бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa!
@steppingstone4intern68
@steppingstone4intern68 7 жыл бұрын
lovely and emotional at time. love it, love it, love it.....
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 жыл бұрын
Nilikua nausaka uhu wimbo janani unaniliza kweli nasiuwachi kuusikiliza
@QOOQ8808
@QOOQ8808 8 жыл бұрын
Bw. Nassor you are the MAN !
@kilosa2000
@kilosa2000 3 жыл бұрын
Tunaomba pis ule wimbo wa NINA KILIO CHA BABA
@abdallahhancha5756
@abdallahhancha5756 8 жыл бұрын
bado wa kifo cha baba. na viva msumbiji
@binkeyadachidachi4994
@binkeyadachidachi4994 4 жыл бұрын
hizi ndio taarab kweli kabisa
@obillaezra7617
@obillaezra7617 7 жыл бұрын
Unaweza toka machozi hu wimbo hakika'' Mama huyu aliimba akiwa bado binti kwa sasa ni mtu mzima tayari' nakumbuka nilimuona kweny TV miaka ya nyuma kidogo akiuimba wimbo hu kwa maridadi na kwa simanzi sana'' Mama yake alimuasa aolewe'' ni mausia mazito'' Taarabu hizi kwa sasa ni adimu sana''' MAMA TULIMZOEA''
@najmatwahir9149
@najmatwahir9149 6 жыл бұрын
Buriani mama yangu dah huu wimbo umeniliza
@obillaezra6205
@obillaezra6205 3 жыл бұрын
@@najmatwahir9149 pole sana” inasikitisha sana* na Mama ni mmoja tu*
@hamisking595
@hamisking595 4 жыл бұрын
Nmekukumbuk sana mama yangu na baba yangu
@kumpangabenigno6967
@kumpangabenigno6967 Жыл бұрын
Hizi nyimbo ni dhahabu
@hajiwaziri3293
@hajiwaziri3293 8 жыл бұрын
Sante sana wimbo huu nilikuwa nikiusaka sanaa
@niyihjji2565
@niyihjji2565 7 жыл бұрын
haji waziri haji.mambovp. kmunaohuwimbonaombaunitumie
@hajiwaziri3293
@hajiwaziri3293 7 жыл бұрын
Naomba namba yako ya watsapp ntakutumia.. Au tuwasiliane 0752048369
@niyihjji2565
@niyihjji2565 7 жыл бұрын
haji waziri mambo. ehiyonamba yangu +255778333840
@khamisnawab5738
@khamisnawab5738 Жыл бұрын
Pumzika kwa amaani mama yangu
@nasrashaaban3198
@nasrashaaban3198 7 жыл бұрын
Hakuna kama mama ukimkosa ni huzuni😨😧😰😱inaumaaaaaaaaahhhhhhhhhh
@MrRufigi
@MrRufigi 7 жыл бұрын
asalaaam aleikum Tuwombe Mola atupe al janaa insha'allah tutakutana na wazazi #Much Love From Rwanda Kigali we love Taraab
@tambwewilfred622
@tambwewilfred622 6 жыл бұрын
Mashaallah
Taarab Zilipendwa- Abbas Mzee- Yatima
13:02
Eddie Nassor
Рет қаралды 50 М.
Taarab Zilipendwa- Shakila na Black star -Akukataae hakwambii toka
9:32
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 54 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 2,3 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 75 МЛН
Nasma Hamisi Mwanamke mazingira
18:30
MLIMBA TV
Рет қаралды 71 М.
Mapenzi Yamepungua
6:25
Bi Shakila - Topic
Рет қаралды 2,9 М.
KIFO CHA MAHABA.
3:35
Bin Seif
Рет қаралды 388 М.
Yalaiti
9:45
Malika - Topic
Рет қаралды 104 М.
Umejuaje Kama si Umbea -Mwana Idi Shaban
13:48
Kiboisbreeders
Рет қаралды 3,8 МЛН
Swahili: Kimasomaso
16:58
Swahili Taarab
Рет қаралды 1,6 МЛН
Pendo kitu cha hiyari
9:39
Zanzibara - Topic
Рет қаралды 227 М.
Taarab Zilipendwa- Shakila- Mapenzi ni kama donda
6:17
Eddie Nassor
Рет қаралды 120 М.
Jimama - Babloom Modern Taarab
14:40
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 4,7 М.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 54 МЛН