Kigogo CHADEMA: Rais Samia Alikua na Nia ya Kupata Katiba Mpya

  Рет қаралды 4,111

WAKILI TV

WAKILI TV

Ай бұрын

#ijuesheria #katibampya #constitution

Пікірлер: 20
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Hata uwe na nia vipi, bila kufuata misingi hutuwezi kupata Katiba mpya. Msingi Mkuu na muhimu ni kufahamu kuwa Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivyo turudi kwa wenye nchi Watanganyika na Wazanzibar wapige kura ya maoni kuhusu je Muungano uendelee au la. Kama Muungano UENDELEE ndio hapo turudi tujadiliane Katiba iwe je. Katiba ndio mkataba wa Msingi wa Muungano hivyo kujadili mkataba mpya bila kwanza kufahamu huo mkataba unakubalika au la ni vigumu.
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
Well
@mertus.nestory.bishirangon4624
@mertus.nestory.bishirangon4624 Ай бұрын
Mungu aingiliye kati.ampe.afya.nautashi.mwema.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
NYERERE NA KATIBA MPYA LENGO la Julius Nyerere kuiburura ZANZIBAR na ILANI ya CHAMA CHA MAPINDUZI kulinda MUUNGANO ni tatizo kubwa la KATIBA MPYA.
@saulmwalubunju1076
@saulmwalubunju1076 Ай бұрын
Kama rais hatatoa katiba mpya kipindi chake kikiisha ajue k@bisa zanzibar itaumia sana ni wakati wake kutafakari sasa uamsho unaweza kurudi tena
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
UAMSHO hawakuwa na kosa lolote, kilichotokea tu ni kwamba walitoa maoni yao tena wakati wa maoni lakini Tume ya Warioba ilikuwa na maelekezo kwamba maoni LAZIMA yaukubali Muungano, kitu ambacho kimaoni sio sawa hayakuwa huru. Hivyo hata wanaotaka Serikali 3 ni mlango tu wa kutokea kwa vile direct haukuwepo lakini 95% yao HAWATAKI MUUNGANO, hakukuwa na platform ya kusemea. Hivyo ni vigumu sana na HAIWEZEKANI kupata Katiba Mpya bila kuujadili Muungano na tukaridhiana na uwezekano wa kuridhiana HAUPO.
@martinmlunja
@martinmlunja Ай бұрын
Kama CCM hawataki katiba mpya mnaona tunaelekea wapi?
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Tuondoe.ccm Kabisa Nabi.musa.aliwatoa.wasilaeli.misiri.k.farao.kwa.yamungu.tanzani.a.tutoke.sasa
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Ай бұрын
Tupige kura Sasa yakuwa na katiba mpya au tuendelee na katiba ya Zamani.
@levissamweli9005
@levissamweli9005 Ай бұрын
KATIBA SI MALI YA MTU AU KUNDI FULANI,; ISIPOKUWA INAKUWA MALI YA AKINA FULANI IWAPO WANAWAKATALIA WENGINE WALIO WENGI MAONI YAO. . USHAUR WANGU: : WAKUMBUKE HISTORIA YA VING'ANG'ANIZI, MUNGU ANAVYOWAJIBU,
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Kweli.hali Mbaya.ccm.kibaya.sumu.yake.inapenya.polepole.kuua.nchi
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl Ай бұрын
Ukweli ni kwamba tumewekwa maharishi pagumu kuimba kariba mpya miaka na miaka. Walioko madarakani hawahitaji kariba inayolinda mislaid ya watanzania
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Hawahitaji kwa sababu itawafunga
@andrewmarijani5096
@andrewmarijani5096 Ай бұрын
Kariba ni haki yetu , wataichelewesha kwa sababu ya maslahi yao binafsi ya viongozi wetu, 'shamba la bibi waendelea kufuja utajiri wa nchi hiii, lakini watanzania wameshaerevuka wakumbuke kuwa nguvu za giza zitashindwa na nguvu za wakati ! Nyie viongozi wa vyama vyote siasa msituchanganye akili zetu na mambo ya hovyo hovyo, swala la katiba sio ombi bali ni haki yetu kuidai vyovyote vile tunavyojua
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Kwani CCM ndiyo wenye Inchi ya Tanganyika pekee yao sisi wanainchi hatuna cho chote. Kwahiyo tunaishi kama watumwa wa CCM? Kwa sababu tukiomba cho chote CCM wanakwamisha. Sisi hatuna party yo yote katika hii Inchi? Inatufanya wanainchi kuchukia sana CCM Kabisa hata na watawala wake kwa sababu ya kutumikishwa na CCM kiutumwa.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
TUIN'GOE CCM TUIPATE KATIKA YETU
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Watu wabaya sana CCM. Wameiharibu maisha yetu.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
BAADA YA RAIS KARUME ​@monicamwita7865 Wana CCM wanafuata nyayo za Nyerere baada ya Karume kuondoshwa na ikaundwa Chama Cha Mapinduzi. Rais Karume alikuwa na Uzalendo wa Zanzibar kuliko wa Muungano. KOTI LA MUUNGANO✝️ Alisema Muungano ni Koti linalowabana Wazanzibari. Alikataa hadharani ombi la Nyerere la kuvunja Afro-Shirazi Party (ASP) kuimarisha Muungano. WAZANZIBARI WAMEKOSA JAMADARI MTETEZI
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Nondo za Rais Mstaafu TLS Upatikanaji wa Katiba Mpya
35:04
WAKILI TV
Рет қаралды 6 М.
KIVUMBI! MBOWE AMKATAA RAIS SAMIA AWALIPUA WAZANZIBARI
8:35
Yuhai media
Рет қаралды 30 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН