TUNA BAHATI MBAYA SANA TANZANIA KUWA NA MWIGULU WIZARA WA FEDHA. VURUGU ZITAANZIA KARIAKOO.

  Рет қаралды 13,924

huduma ya kristo

huduma ya kristo

4 күн бұрын

Пікірлер: 158
@ramadhaniathumani1025
@ramadhaniathumani1025 Күн бұрын
Asili ya viongozi wetu ni chini huko kuzimu na kuzimu huwa haishibi mapato!kama asili yao ingukua juu mawinguni huko mvua itokapo na mapato yangekua mengi!!! Tumuombe Mungu abadili asili ya viongozi wetu tutapona!!
@rastheunique
@rastheunique 2 күн бұрын
Na utekelezaji wa Mwenye Enzi Mungu juu ya maneno ya mtumishi wake na uwe haraka 😭😭😭
@user-vr8vv5gm4s
@user-vr8vv5gm4s Күн бұрын
Mungu atusaidie
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
mtumidhi sisi tuko pamoja na wewe mungu akutunze na azidi kukuinua 🎉🎉🎉
@migerajacob581
@migerajacob581 2 күн бұрын
Mwigulu bongox2 ndogo,,hakustahi kuwa hata naibu waziri,,
@NdelemaPosta-bi5zc
@NdelemaPosta-bi5zc 2 күн бұрын
Yaan kazi sana kasomea kuiba na uchawi ndio pingo za mawazili wa Tz ila muda ukifika tutaelewana tu maana miladi Yao tunaijua na mabass Yao yanajulikana
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 2 күн бұрын
Mwigulu ni jambazi la Taifa viongozi wetu wanaongozwa na uchawi,uganga na wizi na uchawa wa mama hawana huruma hata siku Moja nawashangaa wanawaombea wabarikiwe waombeeni waache wizi na dhuluma nyinyi mitume na manabii
@salmajafari6838
@salmajafari6838 Күн бұрын
Tunaruhusiwa pia kuwaombe wafe kabisa
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t Күн бұрын
Kwani Jpm kipindi alipokuwwpo alisemaje kuhusu mwingul?
@eliasamsonofficialtz6600
@eliasamsonofficialtz6600 2 күн бұрын
Tatizo la nchi yetu watumishi wa Mungu ni waoga kukemea viongoz wa serikali,maana wao ndio wangekemea uovu unao endelea ktk Taifa letu na wange sikilizwa sana,ila sasa mmmh😭😭
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Күн бұрын
Usiwasingizie viongozi wa dini au watumishi wa Mungu, tatizo ni letu wenyewe tunaoshindwa kutambua haki zetu kwa kupigania Katiba mpya na utawala wa sheria. Hivi waziri mmoja anayelalamikiwa na wananchi walio wengi inashindikana nini kubadilishwa naamlaka ya uteuzi? Sasa kätika Hali hiyo watumishi wa Mungu wafanyeje, wakamng'oe ofisini?
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 13 сағат бұрын
Tatizo sio mawziri tatizo. Wabunge wetu tuombe mungu awajalie hekima busara uchaji kipawa waflme oneni ajira hakuna kopeni. Mkishakopa wekezen kwenye viwanda vingi viwanda vitoe vitu vya kitengeneza hizo reli madawa nguo vfaa vya kuchimba madini :N;K tuliowasomesha wapate ajira hukoooo tunasomesha wengi wametundika. Mavyeti ukutani mainjinia madocta waalimu wapooo tuuuuu tatizo wabunge wetu kuto kujitambua tulizaliwa watupu na tunazikwa watupu mali ni rasimali watu wakitumika kwa haki stapokea na wala sitatoa rushwa ni adui wa haki nitajielimisha kwa uwezo wangu kwa manufa ya uma taifa. Langu binadamu wote ni sawa na Afrika wote ni ndugu asanteee mkuuuu tupo safarini tuu Duniani tunapita tuu safarini
@user-ig6pg6oz9i
@user-ig6pg6oz9i Күн бұрын
Mungu ibariki tanzania kwa kutupa upofu kenya madume
@MeridaChawe-kd9is
@MeridaChawe-kd9is Күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi, unafungua wengi kifkira.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 күн бұрын
Huyu mama amesemwa sana, kujitathini kunamhusu!
@corrolesscps
@corrolesscps Күн бұрын
Magufuri alimtoa Huyu Mama kamrudisha tena
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 2 күн бұрын
MWIGULU NI MLEMAVU WA AKILI JAMANI. HUYU HANA MBINU ZA UCHUMI KAZI YAKE NI TOZO TU
@DaurdCharles
@DaurdCharles Күн бұрын
Inauma sana kama kiongozi anashindwa kuwa nahuruma nawatu wake sasaivi mitaani wamachinga wote mitaji imeisha kwaajiri ya vitu kupanda bei tutaishije Bora watuuwe2 viongozi wote wametutenga hawana huruma hata tone mafuta yakula yamepanda bei sabuni zimepanda bei Kila k2 ovyo kabisa watu tunateseka madeni yamejaa mitaani Iko siku mungu atawaacha pia napenyewe
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Күн бұрын
Yaani mwigulu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi hiyo secter haimfai kabisa kana hekima busara Hana kabisa alafu ni jambazi no Moja sijui kwanini anapigiwa kelele alafu rais Samia amemwacha kuwa waziri wa fedha
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Күн бұрын
Ndege wafananao huruka pamoja.
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f Күн бұрын
Walizi wa fedha hi nchi ni ya watanzaia wote.wote tunaitaji maisha mazuri.kwaiyo kuwa makini na unacho kiongoza
@user-iy8mq9ii8t
@user-iy8mq9ii8t Күн бұрын
Usipoipenda haki utakuwa chukizo mbele za Mungu na utadidimiza taifa.Mungu habadilishi misimamo yake hata usipoikubali.viongozi iweni na hofu ya Mungu mtatenda vyema na kuwahurmia wengine na kodi iwe ndogo iwe rafiki na mlipaji isimuumize.
@musajoseph7896
@musajoseph7896 2 күн бұрын
Dawa ni kuyatiya moto majumba Yao, biashara zao na magali yao
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Күн бұрын
Kama Kenya
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 2 күн бұрын
Mwigulu ni tatizo kubwa sana kwa Taifa lletu.Wizi wake umevuka mpaka.
@leokamil6284
@leokamil6284 2 күн бұрын
Hongera Mchungaji Mungu akulinde na mabaya nchi hii haitaki watu kama wewe
@karimmveyange280
@karimmveyange280 2 күн бұрын
SAWA MWALIMU,MUNGU YUPO,WATU WAKICHAGUA SHETANI AWE NDIYE KIONGOZI,MACHUNGU WATAKULA
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 2 күн бұрын
Kazi ipo maisha ya viongozi si sawa na raia wao maisha mazuri mishahara mizuri nyumba nzur magari mazur posho nzur
@SANGOSAIDY
@SANGOSAIDY 2 күн бұрын
Upo sahihi sana mwiguru hafai hatakidogo ila sikumoja watatambua
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Күн бұрын
Sawa sawa kaka maneno yako ni ya kweli
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 2 күн бұрын
Ukweli mwigulu hafai Hata Kwa kuumangia nikatiri sana, nahiyo nafasi aliyonayo nihuruma ya mama tu.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Күн бұрын
Hongera yako chura kumbe tuna kiongozi chura
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 2 күн бұрын
Kwahiyo huyomwigulutangu lini awena akili au elimu kuliko watanzania wanaomuona ni boyalinaloelea bilamerikubu...
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 күн бұрын
Mwigulu anajitosa mwenyewe anataka kutufanya sisi ni familia yake
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 2 күн бұрын
Mwigulu hafai
@user-jx5ze9wz8e
@user-jx5ze9wz8e Күн бұрын
Mungu akubariki san baba
@MauBonde
@MauBonde Күн бұрын
Huyu jamaa kaniudhi kuhusu kauli ya mikopo ,huwezi kuwa tajiri wakati matajiri duniani wanakopesha watu,pumba ndani ya bunge tukufu.......
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Күн бұрын
Ukitaka kujua kama watanzania ni vigeugeu wao na dini zao chunguza miamala yao ya kibenki na kwenye simu na kila mmoja atoe maelezo ya fedha alizonazo na Dini nazo zitoe maelezo ya kipato, utagundua kuwa wezi wanalalamika kuwa mlinzi hafanyi kazi vizuri
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Күн бұрын
WELL SAID MCHUNGAJI
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Күн бұрын
Hiyo kampuni ya Easter Ina Tirion 4 serikali inashindwa kumake kupitia mirad mbalimbali
@user-qm2ve7tx3s
@user-qm2ve7tx3s 2 күн бұрын
Nchi hii inahitaji lakupata viongozi wanao simamia lasilimali kwa kujitowa sio hawa wanao ogopa kuwa na maadui wakati maadui haohao ndio wanao pokonya lasilimali za nchi
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 2 күн бұрын
Madini yanatusaidiaje jamani. Si tuuze tanzanite tujenge miradi!
@SANGOSAIDY
@SANGOSAIDY 2 күн бұрын
Hiyo PhD ya mwiguru ni PhD uchura sio PhD yafaida kwataifa bali kwa familia yake tu
@kwasmokweka9598
@kwasmokweka9598 Күн бұрын
Eee MUNGU wetu, toa watumishi wako wanaokuogopa, wanaotaka haki, uwasimamishe wakutetee, na watee watu wako.Ukiwaruhusu 100 tuu wanatosha kudhiirisha ukuu wako.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 күн бұрын
Pointing kubwa ni kweli ....kama watu wanataka ubaya wao wapatie...kwa sababu ndiyo wanaoutaka wao.....wape watu kile wanataka..
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Күн бұрын
Mtumishi cha kufanya ni Toba ili matengenezo yatokee lakini ukiwa mlalamikaji hamna namna Mungu atakusaidia MUNGU anaweza lakini tumwendee yeye sio kulalamika wakati tepewa mamlaka nanYesu ya kufunga na kufungua😊
@janengaga2928
@janengaga2928 2 күн бұрын
Tuombee sana nchi yetu Tanzania.Mungu ibariki Tanzania.
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 2 күн бұрын
Ni bahati mbaya Sana kuwa na waziri wa fedha mfanya biashara
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 2 күн бұрын
Tena biashara zake zinazotokana na nafasi yake ya Uwaziri. Ni UFISADI MTUPU.
@Nedjadist
@Nedjadist Күн бұрын
Si mfanyi biashara. Kapandia tu kwa vile alijikuta ana mihela mingi ya wizi na hana pa kuzipeleka. Leo akiachishwa kazi vyote vitaporomoka. Mfanyibiashara ni yule anayetafuta mtaji kwa njia ngumu lakini halali.
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Күн бұрын
Mwalimu mzuri sana ...KIkubwa Mungu atusaidie
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Күн бұрын
Kama mzuri mpe mkeo amshugulikie
@NicksonAlphacapitalGroup
@NicksonAlphacapitalGroup Күн бұрын
Ni kweli ni hatariiiiiii sana kuwa mpiga deal wizara ya fedha
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Күн бұрын
Mwigulu siyo muzalendo anahalibu uchumi wetu
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Күн бұрын
mtumishi piga kelele tutakuunga mkono
@PcgtMsalato
@PcgtMsalato 16 сағат бұрын
Kuna haja ya kubadili Kiongozi 2025
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 Күн бұрын
Ndio maana uncle magu alimpiga chini Kila sehemu
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Күн бұрын
Huyu ni mpga dili tu chumia tumbo lake,.Mwigulu-Chemba cha Choo,..mchumia tumbo,..hufai kuwa wazri wa fedha
@AbrahamMjema-di1li
@AbrahamMjema-di1li 2 күн бұрын
Ni kweli hii hali inayoendelea kati ya wafanyabiashara na serikali itaumiza wananchi
@NicksonAlphacapitalGroup
@NicksonAlphacapitalGroup Күн бұрын
Huyu mama nae alitakuwa kuwa msimamiaji wa mamlaka zinazohusika na uaandaji wa walimbwende ndo KAZI angeiweza. .
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 Күн бұрын
We unajua sana
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 13 сағат бұрын
Huyu chura kiziwi hatafika juu aache kujifariji hatafika juu kwa jinsi hii atadondoka tuu . Asikilize wananchi
@RICHARDMADEBE
@RICHARDMADEBE 11 сағат бұрын
Watzania tuache kulalamika tuchukuwe hatua kama Kenya hapo watatuelewa watatoa kikokotoo watatoa tozo nk vinginevyo tumeumia
@victorrobert7797
@victorrobert7797 20 сағат бұрын
Akili zao ni tozo tu
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 2 күн бұрын
Nakuelewa sana mtumishi ila Mungu atatenda tu
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 2 күн бұрын
Mwizi huyo
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 2 күн бұрын
Mwigulu ni muongo
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j Күн бұрын
Mzee wa mabasi ya Ester hana huruma
@NanaMaembe
@NanaMaembe Күн бұрын
MAMA NDO ANAMPA KIBURI..... KWA SABABU KUNA KITU AMBACHO WANAFURAISHANA WAO WAWILI KWA FAIDA ZAO WAWILI....... WANAWASAAU WANAINCH WALIYOWAWEKA PALE JUU.
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 Күн бұрын
Kama hivyo ndivyo tozo zinatekeleza miradi, je mwigulu mikopo mnayokopa ni za nini?? MNATUTESA SANA RAIA, hadi kujifananisha na CHURA!! kweli inatisha!!
@coolsinare8824
@coolsinare8824 2 күн бұрын
tatizo la Tanzania ni giza nene..viongozi hawajui hatari yakuongoza watu..dhamana utayoipasa uilipe wewe na jamaa yako..ni hatari sana kuwa kiongozi kwa sababu unamulikwa kwa karibu sana na utalipwa
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 Күн бұрын
Yeye kasema ni chura asikii ya mtu hawa ndio wafalme atuna cha kuwafanya tupige magoti tuombe
@kwasmokweka9598
@kwasmokweka9598 Күн бұрын
Msomee na Isaya 10:1-5.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Күн бұрын
Mwigulu hakustahili kuwa waziri wa fedha,
@saadune
@saadune Күн бұрын
Point❤
@user-oh8vr7uu9k
@user-oh8vr7uu9k Күн бұрын
Mshahara ulioutaja ni wamwalimu anayekaribia kustafu hii ni shida
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 Күн бұрын
Uko sahihi kiongozi
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz Күн бұрын
Kwani huyu anampa nini mama kwanin hamtumbui maana jamaa hata maneno yake hayana maana yoyote hafai kuwa waziri
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 4 сағат бұрын
Huyu ndo anataka twende Gurundi ? Aangalie kauli zake,asije kuwa anajitabiria yeye ndo akaenda Burundi
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 Күн бұрын
NANI ANAMKINGIA KIFUA, MAANA MENGI YALITAJWA,FISADI KTK STGR
@jumanyassy8062
@jumanyassy8062 Күн бұрын
Je wazokopa zinaenda wapi Kama Kodi zinaenda kwenye miradi Mkubwa!!?
@StevenMtambo
@StevenMtambo Күн бұрын
Tz tupate watumishi kama huyu mtumishi tutafika kaanani
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 Күн бұрын
Atapotezwa sasa na machawa hujui
@PcgtMsalato
@PcgtMsalato 16 сағат бұрын
Chura aondoshwe 2025. Tunaongozwaje na Chura ?
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 2 күн бұрын
Wenye akili nchihii hufedheheshwa nakudhalilishwa kinyume chake ni wenye hekima kama mwigulu anayetusi hatawananchi.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Sasa kiongozi akisema ameziba sikio sasa watu wamueleze nani? Kwa nini uendelee kuongoza wakati hutaki kuwasikiliza hao watu kweli ni sawa? Mwalimu huyo akitaka kuwa chura wanafunzi wataenda wapi? Basi raisi tuwekee mtu wa kueleza shida zetu ambaye siyo chura ili watu wamkimbilie kueleza matatizo yao.
@MichaelKilinga
@MichaelKilinga Күн бұрын
TUKO NA WEWE MPAKA UTAKAPO FUNGIWA KANISA 😂
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g 2 күн бұрын
Haya
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 2 күн бұрын
Wakanda,dola yamangi meza, ndio tatizo
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
nchemba ana scrow tablet ya kodi ya wananchi amna shida kuleni nchi bwana
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 2 күн бұрын
Alitoa ahadi ya kujengwa kwa Barabara ya Tabora hadi Mbeya yaani mpaka Leo hamna utekelezaji
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Күн бұрын
ISIKILIZE SAUTI YA WATU
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf Күн бұрын
Siomda Kenya itahamia apa wanatuona mazuzu
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Күн бұрын
Kusikiliza ni muhimu
@joellongidare8280
@joellongidare8280 Күн бұрын
Uyu ndie anasambambisha vtu kumbanda kila siku
@NanaMaembe
@NanaMaembe Күн бұрын
ATA CIRLY RAMAPHOSA ALIJIFANYA CHURA NA YEYE...... SASA HIVI KIMEMKUTA MPAKA AKAIBA KULA ZA VYAMA VINGINE...... SASA ANATAKA KUUNDA SERIKARI YA MSETO NA MAKABURU....... LAKINI NDANI YA CHAMA CHAKE WANAKATAA WANATAKA HASIUNGANE NA MAKABURU NA AUNGANE NA VYAMA VYA WATU WEUSI NA SIYO CHAMA CHA MAKABURU.
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl Күн бұрын
Wewe ndio unalea majambazi hao
@enockmwantyala281
@enockmwantyala281 Күн бұрын
Kumbe kumbe kumbe
@shaimamabrouk9937
@shaimamabrouk9937 2 күн бұрын
ipo siku amabayo Haina jina Watanzania watachoka na hawata, ogopa Tena ndipo atajua kumbe uziwi wake kuto kuwapa sikio Watanzania Sasa atazibuka hapo watapo amua kufanya watakayo yafanya soon as possible Tumechoka sanaa
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Күн бұрын
Hatuna umoja sisi tukubali ni wapumbavu TU
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Kumbe ndiyo sababu unajiita chura. Basi endelea kuwa chura ili ujaze warabu kila kona lakini ukitoka Uraisi utajichimbia chini kwenye mashimo kama chura? Wewe utakuja kuishi na hawa masikini. Watakuwa wanakugasi kuomba hata chakula utakuwa unawapa makombo yanayo baki unapo maliza wewe kula. Utakuwa unafurahi watu kuingia au kuzunguka mpaka malangoni kuomba je itakufurahisha?
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 күн бұрын
Kenya wameiona wanajisahau viongozi
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x Күн бұрын
Shule gani amesoma, chura chura
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Күн бұрын
Mwigulu atakuwa Mshirikina? Na akili zake za MATOPE, bado Lina survive tu, analaumiwa kila mahali. Mama bado anamtetea Duh?!! Na wewe mama niña mashaka na wewe! Kwa sababu ni Kama hutumii bongo yako. Kwa kuwa sasa wewe ni CHURA DUH?? HUTASIKIA!
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Күн бұрын
Wanaofisadi ni waumini wa dini hizi hizi na viongozi wa dini mpo, huoni mmefeli, serikali haina dini halafu unaisomea Biblia itakuaminije?,
@leokamil6284
@leokamil6284 2 күн бұрын
Wanaona sio viongozi ni watawala wa mazuzu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 күн бұрын
👊👍✌️.
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Күн бұрын
Chura kiziwi
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Күн бұрын
watanzania amkeni mwiguru hafai
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 күн бұрын
Jamani heeee!
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 2 күн бұрын
Maelezo ni matamu, lakini tutofautishe vat na income tax, vat ni kwenye bidhaa siyo kwenye mishahara
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 Күн бұрын
Vyovyote bro, issue ni mambo yamekuwa tete
@knight6757
@knight6757 Күн бұрын
🐸
ALICHOKIONGEA ROLINGA JUU YA MTOTO ALIYEUWAWA.
15:50
Haleluya Tv
Рет қаралды 13 М.
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 9 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
UNABII WA BALAA KENYA NA TANZANIA WAANZA KUTIMIA
38:02
huduma ya kristo
Рет қаралды 16 М.
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 12 М.
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophetedmoundmystic
4:38
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 14 М.
Яйца мою 🥚🤣
0:37
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 1,4 МЛН
😨 24 ЧАСА чтобы найти школьную ПИЦЦУ
0:41
Настя, это где?
Рет қаралды 3,4 МЛН
Бросила дочку и мужа 🤯
0:35
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 1,9 МЛН
Щенок Нашёл Маму 🥹❤️
0:31
ДоброShorts
Рет қаралды 6 МЛН
Can this capsule save my life? 😱
0:50
A4
Рет қаралды 36 МЛН