WAKILI AIBUA MAPYA SAKATA LA MPINA KUFUNGIWA, AJA NA UCHAMBUZI HUU WA KUTISHA

  Рет қаралды 27,163

Uhondo TV

Uhondo TV

11 күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 140
@TheodosiaSangka
@TheodosiaSangka 8 күн бұрын
Mpina Luhaga ni shujaa wa Tanganyika iko siku anayoijua Mungu historia itajirudia katika hili.bravo Mh.Mpina aluta continua viva Tanganyika
@melkiorykweka438
@melkiorykweka438 9 күн бұрын
Kaka hapo hakuna kamati hicho nikikundi cha wezi wamekaa kumlinda mwizi mwenzao
@jacobd.kasofu2204
@jacobd.kasofu2204 9 күн бұрын
Wananchi Tunapaswa Kumuunga Mkono Mh.LUHAGA MPINA kwa Kuishinikiza Serikali na BUNGE kuwajibishwa. Ni Aibu kubwa SPIKA Kutetea UFISADI huo....WAJIUZULU tuuuuu.....Wasisubiri ya Kenya yaje hapa, Wawajibike na Kuchukuliwa Hatua Kali...Wizi upo Wazi kabisa
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 8 күн бұрын
Nenda mahakamani huku kwenye mitandao huwezipata ufumbuzi
@asteriashios1852
@asteriashios1852 8 күн бұрын
Kabisa
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 9 күн бұрын
Hatuna bunge
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 9 күн бұрын
Mpina sasa namshauri asimame nje ya mifumo ya ccm ili aweze kufuguka vizuri na wananchi waweze kumwelewa zaidi.
@mosesfrancois752
@mosesfrancois752 9 күн бұрын
Nchi hii watu wamesoma sasa ,hii hoja ya Mpina ngojeni muone kama waziri na spika watabaki salama.
@user-rq4fq4pw4y
@user-rq4fq4pw4y 9 күн бұрын
Kuna wabunge wengine kama msukuma walishajisahau sana na Spika anadhani ana akili kuliko wanawake wote, huyo spika bora Ndugai
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 8 күн бұрын
Kana dharau na kiburi ata mbowe aliwai kusema hivyo
@collincarlos7433
@collincarlos7433 6 күн бұрын
Ktk hilo sakat la mpina msukuma alkuwa analipa kisasi...
@MichaelKilinga
@MichaelKilinga 9 күн бұрын
AMINI MSIAMINI BASHE KATUPIGA
@jacobd.kasofu2204
@jacobd.kasofu2204 9 күн бұрын
Tena Katupiga Sana Bilion 538 Ni Pesa Ndefu Kuliko EPA au Tegeta Escrow Account
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 8 күн бұрын
Mpeleke mahakamani
@user-eh5fw5gj4c
@user-eh5fw5gj4c 9 күн бұрын
Waongo wameungana kumuadhibu mkweli
@user-rq4fq4pw4y
@user-rq4fq4pw4y 9 күн бұрын
Thank you brother, Lunga mpina was correct so to speak.
@asteriashios1852
@asteriashios1852 8 күн бұрын
Bunge limewakosea sana wananchi kwa kumwonea aliesema ikweli mbunge mpina yuko sahihi juu ya alolisema mwenye kosa ni mwigulu na bashe ndo walitakiwa kuadhibiwa spika nae haeleweki ccm kwa ujumla hakuna cha maana mnachokijadili hapo ndani uonevu mtupu mungu awalaani nyinyi wote mliomwonea msema kweli
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 9 күн бұрын
Safi sana wakili wewe na Mpina ni wazalendo wa Tanganyika ongeleni kwa kulipambania Taifa letu
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 9 күн бұрын
Mheshimiwa sugu uchaguzi ujao tuondoleehuyomama hapo mbeya
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 8 күн бұрын
Hana ubavu huo hata kidogo
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 8 күн бұрын
​@@walidmgonja3644vuta subra labda aambe jimbo
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 8 күн бұрын
MwenyeEnziMunguMlezi AtuSimamie katika mambo mbalimbali ikiwemo Bima ya Afya.
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 8 күн бұрын
UBaarikiwe sana Wakili Mzalendo.
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 9 күн бұрын
Mpina aliyajua yatakayotokea ndio maana akaitoa pabric so swali langu kwako mwanasheria kama ivi ndivo unaonaje tufungue kesi ktk maakama ya mafisad
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 9 күн бұрын
Mungu anawaona.
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 9 күн бұрын
Heeee kumbe duuu kazi kweli kweli Tz.
@ChristerKoku
@ChristerKoku 9 күн бұрын
Amina Mdee waliamua kuwaachia wenye ngoma yao waicheze wenyewe
@gasperaroni5751
@gasperaroni5751 9 күн бұрын
Yani hili bunge nimelichukia sana hata kulisikia wala kulitazama wasilirushe laivu iwe kama Magufuli alisema
@edwingideon3606
@edwingideon3606 9 күн бұрын
Bashe angekua muungwana ange jiuzuru tu, asilichafue bunge na Serikali. Sasa hivi tumeona madhaifu ya spika kwa sababu ya Bashe. Bashe ana wasemea wananchi.
@devangandhl2255
@devangandhl2255 9 күн бұрын
Anko sisi tuko nje haya mambo ya ndani vina mbwembwe zake
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 9 күн бұрын
Ajiuzuru sasa na achukuliwe hatua kali na mwisho wa uhujumu uchumi na kulindana. Wananchi si vilaza kama mnavyowadarau. Na mmesahau ndo wao wanaowalipa mishahara yenu. Cheo ni dhamana sitakitumia cheo changu kwa manufaa binafsi. Mmefanya ubinafsi.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 9 күн бұрын
Viva mh.Mpina, wewe ni mzalendo sana.
@robertzingu9889
@robertzingu9889 9 күн бұрын
Sasa hawa wabunge wa CCM wao wamepitia sheria zipi kiasi cha kuwaona Hussein Bashe (waziri wa kilimo), Mwigulu Nchemba (waziri wa fedha), Bodi ya Sukari na kampuni zisizostahili kisheria kuingiza sukari kuwa ni wasafi, si mafisadi na si wahujumu uchumi? Hili Bunge limewapa "go ahead" wahujumu uchumi badala ya kuchukua hatua. Bunge limemwadhibu asiye na hatia (Luhaga Mpina) na kuwaacha wenye hatia (Waziri Bashe, Mwigulu Nchemba, Bodi ya Sukari na zile kampuni hewa zilizopewa deal hili). Bunge limewakosea wananchi na halistahili kuwepo!!
@sebastiancmalisa4016
@sebastiancmalisa4016 9 күн бұрын
wanasheria wachukue hatua kuchambua sakata hil mwenye kuwajibika awajibike kwa haki
@AthumanDauda
@AthumanDauda 4 күн бұрын
Inabidi wananchi tujitambue ktk haya madudu ya baadhi ya viongoz wadhirifu tuwakatae natuwanyanyapae kbsaa tuwatenge kabisaa rip john joseph magufur
@kagombaEnok
@kagombaEnok 9 күн бұрын
Kwa uonevu huu kwa Mpina ipo siku tutaingia barabarani kudai haki zetu kama wakenya
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 9 күн бұрын
Tunataka katiba mpya ili watanzania waweze kusimama bila ya kute gemem chama. CCM kimekuwa ni chama cha kiditeta.
@gililwise
@gililwise 4 күн бұрын
Mungu atawahukumu wanafiki
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 9 күн бұрын
Ee mungu uko wapi juu ya watu hawa bwana shughulika na watbuge hawa wa mchongo wa mwendazake baba mungu muumba wa nchi utawalae dunia na mbinguni tusaidie juu ya watu hawa sisi wananchi hatuna bunduki Wala mabomu ila tunakutegemea wewe ulie tuumba na tuanaee kuabudu tusaidie juu ya watu hawa na chama Cha ccm na serekali yake baba tuokoee na watu hawa hatuna nguvu ya kumbambana na watu hawa imungu wetu tusaidie kama ulivyowakomboa Wana wa isiraeli mungu kama ulivyo mpiga opofu ffarao na watu wake juu ya waisiraeli nakuomba mungu ipige ccm na serekali na mfalme wao yaani raisi na mwenyekiti wao mungu awaondolee utawala wao ktk nchi na arizo ya Tanganyika ee mungu tusaidie mungu umwema na siku zote umwema amina
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 9 күн бұрын
Wabunge wa mchongo wamtimua mnoko wao msema kweli hii ndo bongo ya shamba la bibi
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 8 күн бұрын
ZIMA HIZO KELELE KATIKA BACKGROUND
@user-ec8zv7lq8y
@user-ec8zv7lq8y 9 күн бұрын
Duh! Iko kazi
@janiaoma7093
@janiaoma7093 4 күн бұрын
Mwana sharia nduguyang mtanga mwezagu watu watakucheka mimi pia na mwana sheria umesoma vizuri. Sharia au ni mganga wa kieyeji unataka kutia aibu taluma ya. Wanadheria
@amanijoseph6764
@amanijoseph6764 7 күн бұрын
Kwa maelezo haya..waziri wa Kilimo anapaswa kujiuzulu mara moja kulinda hadhi ya bunge..lakini pia achukuliwe hatua
@severinimkini4116
@severinimkini4116 9 күн бұрын
Ndg Msomi Wakili, hata Mimi binafsi ambaye sijui vizuri Sheri, ninakuomba kwa pamoja na WATAALAMU WA SHERIA kutoka TLS, fikeni mahala mkatetea mali za Umma zisichewe kizembe namna hiyo. Inakuwaje Waziri anakubali kuwapa (vibali/ ruhusa) watu au makampuni YASIYO kidhi vigezo kufanya kazi wasiyo na uwezo/ utaalamu nayo. ( Kwa mfano, kampuni ya kuuza simu, kampuni inayoshughulika na stationery, na bila kuwa nautaalsmu wa bidhaa ya Sukari. Sawa tukubali Mpina amezuiwa bungeni, lakini raia anaowatetea hatujaridhika. WANASHERIA TUSIDIENI UPUUZI HUU UFIKE MWISHO.
@makusaro2289
@makusaro2289 5 күн бұрын
Spika anastahili kujiuzulu na Msukuma pamoja na Kibajaji walitakiwa wasikanyage bungeni vikao 20.
@jacksonjudicate9388
@jacksonjudicate9388 9 күн бұрын
UHONDO TV PAMOJA NA WAKILI MSOMI, MUNGU AWAPE AFYA NJEMA, NA MAISHA MAREFU. MMBARIKIWE SANA KWA KUFUNGUA MACHO.
@MussaBundala-yg8nw
@MussaBundala-yg8nw 9 күн бұрын
Kumbukeni maneno ya kinabii ya mh Lema, lakini pia kikundi Cha bunge na spika wao kujiamlia maamzi yasiyo na macho laana itawafuata
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 8 күн бұрын
Nabii Lema😅😅😅
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 9 күн бұрын
Sheria ya mtu kuwa mbunge iwe hivi, iwe ni lazima kila mbunge awe na diploma au phd
@DicksonNolelwa
@DicksonNolelwa Күн бұрын
hio ndio maana halisi ya kazi iendelee .
@saburikilonzo2593
@saburikilonzo2593 9 күн бұрын
Kama Kwa maelezo hayo ya mwanasheria ni kweli 1. Bashe Hana uhalali wa kuwa waziri, kiti hakimtoshi. 2. Bunge linauonevu mkubwa Sana Kwa wabunge wake 3, Kumbe ukweli ukiwekwa wazi wahusika wanaingia matatani 4. Hakuna haki kwa wangonge. 5. Inaondoa bunge kutoaminiwa na wananchi n Adhabu ya kutooa mbunge bungeni Kwa muda mrefu kinanyima haki ya wananchi Kwa mwakilishi wao
@gabapentin8070
@gabapentin8070 9 күн бұрын
Hili bunge 🙌🏾
@user-tk4es1uw7e
@user-tk4es1uw7e 7 күн бұрын
Sukari kupand bei 5000 mpaka elf 6000 hakuna alitutetea
@ChristerKoku
@ChristerKoku 9 күн бұрын
Lema, futa kauli yako CCM mkitumaliza bungeni mtatafunana wenyewe.bila kufuta kauli yako Lema bunge la CCM linaenda kuzama.
@ahmedmakame1687
@ahmedmakame1687 8 күн бұрын
Watu mishipa inawatoka kwa kutetea wala rushwa
@godfreybigeyo4356
@godfreybigeyo4356 8 күн бұрын
Ccm ni ngenge la vibaka
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 8 күн бұрын
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 5 күн бұрын
Kumbe na wewe uko kutetea ufisadi, RIP JPM
@makusaro2289
@makusaro2289 5 күн бұрын
Badala ya kumfukuza Mpina bungeni wabunge walitakiwa wamshauri Rais awafukuze kazi mawaziri Bashe na Mwigulu na waziri wa viwanda na biashara na yule wa uwekezaji kisha washitakiwe kwa kutumia mamlaka na ofisi vibaya.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 9 күн бұрын
Japo kukawa na kosa la kutokuwachukulia hatua yoyote hata kuandika tu japo maelezo Polisi na kujikomiti kuwa hawataridia kuadimisha Sukari tena
@ligwamikoba6336
@ligwamikoba6336 8 күн бұрын
Mpina yupo sahihi,ila inaonekana hilodili lilikua na viongozi wakubwa hapa nchini ndiomaana alie na khaki kajikuta anatuhuma ya kujibu
@sittatungu5340
@sittatungu5340 9 күн бұрын
Wanasheria wafungue kesi mahakamani dhidi ya Bashe, Mwigulu, na wengineo watakaoona wanastahili kushtakiwa kwenye jambo hili la wizi na uhujumu uchumi ili liwe fundisho watu wasiwe wanatengeneza matatizo na baadae kuyatatua kwa kujilimbikizia mali wao wenyewe na pia ilinde heshima ya MTU anayetetea taifa ambaye kwa suala hili ni Luhaga Mpina.
@cornelnshubile6819
@cornelnshubile6819 9 күн бұрын
Halima Mdee, Ester Matiko na Bulaya, wabobezi mbona hawakuchangia katika sakata hili?
@user-rq4fq4pw4y
@user-rq4fq4pw4y 9 күн бұрын
Kwa lile bunge MPINA ndo mbunge mtetezi wa wanyonge kwa 99%
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 9 күн бұрын
Mimi huwa sielewi wabunge maana mara wanasema nchi kama Malawi,kenya,Rwanda bei Ya sukari ni ndogo hafu hapo hapo wanasifu sukari ya bashe ya sh. Elfu nne yaani hapo ni uzwazwa wa wabunge
@user-ji8bw7jx6h
@user-ji8bw7jx6h 8 күн бұрын
Kina umuhimu wa kulipeleka mbali suala hili . WANASHERIA UNGANENI, Fungua kesi , aibu kubwa kwa bunge hili.
@AmriManengelo-yz5pp
@AmriManengelo-yz5pp 9 күн бұрын
Unajua kwenye riporti zote sijasikia sukari ya export au hakuna
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 күн бұрын
Serikali ya awamu ya 5 ilitunga sheria nzuri ya kuthibiti uagizaji holela wa sukari, Sasa tunaona mawaziri wa awamu hii ya 6 wakikusudia kufuta sheria hiyo ili kurejesha ule uholela wa awali,na bunge kushadadia kwa kumsulubu mbunge mpina kwa kutumia kanuni,na kuwalinda wahusika bila kuwaita bodi ya sukari kujieleza bungeni! Utaona jinsi gani serikali ya ccm inavyotofautiana kila awamu, huku mkuu wa nchi akiwa kimya mbali na wateule wake wanaochukua hatua ya kufuta sheria iliyotungwa bungeni na kuidhinishwa na mtangulizi.
@amossafari4838
@amossafari4838 9 күн бұрын
Nimekusikiliza vizuri wakili, ombi langu ikiwa maamuzi yameonuesha double standard kipi kifanyike kwa nyie wanasheria kumsaidia Mpina na jaamii kwa ujumla?
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 8 күн бұрын
Nawewe imelipwa ngapi?
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 9 күн бұрын
Kwani wanashelia wa ccm na selikali ni wazoefu wa kushinwa kesi za wazungu mbona kila kesi wao ni kushindwa awajawai kupata atadroo au suruu unawasemaje
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 9 күн бұрын
Lkn kubwa zaidi ni kwamba watu wa Sukari walificha bidhaa hiyo na hapo tayari kulikuwa na haja ya kuhangaika kuagiza Sukari. Na hata walipopewa vibali hawakuingiza, hivyo ilikuwa ni halali kuagiza Sukari.
@VcentPaul
@VcentPaul 8 күн бұрын
Ukombozi wetu wananchi ni kugoma kujiandisha kupiga kura , na mda wao wa kututawala ukiisha wananchi wataamua
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 8 күн бұрын
Ukiwa mkweli unatengwa hata nakwenye Vikundi mbalimbali utaitwa Majina ya ajabu
@migerajacob581
@migerajacob581 9 күн бұрын
Bunge / bashe/ mwigulu,, wapelekwe mahakama ya ICC,, Nchi inachezewa kama Haina wenyewe,,
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 9 күн бұрын
Shéría walítúñga wao leó wanamrúkía mpiña ñí wabúmge awawa walítúñga shería ya kíkokótoóoo leo wanaisema serikali iwaonee uruma wafanyakazi ivi nani alipitisha iyo sheria asa awa wabumge wa ccm
@abrahmanabdallah8479
@abrahmanabdallah8479 9 күн бұрын
😂😂😂 sasa sukari kilo elfu 10 kuvunja Sheri ikauzwa eflu 3 acheni kutete majambazi Bashee oyoo
@martinkisha6307
@martinkisha6307 9 күн бұрын
Spika na waziri wa kilimo wajihuzuru wamepeleka kuongoza wizara hizo
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 9 күн бұрын
Endelea kuweka sawa wakili wetu tunakuelewa vema
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 9 күн бұрын
Wanasheria. Wakuu wa dini, teteeni ukweli wa sheria, kabla mambo hayajafika mbali.
@godfreyntambi7763
@godfreyntambi7763 9 күн бұрын
Bunge la chama kimoja CCM hawana shida na wananchi
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 8 күн бұрын
Nyuma yaBashe kuna maafisadi wengiwakieemo wafanyabiashara nahataserikali nawanasiasa wanakisingizio chaetikumudharau spika huku nje wananchi tunaishangaa serikali kushambulianakudhalilisha viongoziwawananchi kwakuwa wabunge niwawakilishi wawananchi.
@obadiajuma436
@obadiajuma436 9 күн бұрын
Kwatanzania kumkosoa mteule Wa raisi atakama amekosea nikosa
@ligwamikoba6336
@ligwamikoba6336 8 күн бұрын
WANASHERIA WA NCHI HII NAWAOMBA MCHUKUE HATUA YA DHARULA KUMLINDA MH;LUHAGA MPINA
@LaureanKajugusi
@LaureanKajugusi 8 күн бұрын
Umeitendea haki taaluma yako lakini pia wananchi kwa ujumla wetu!!
@georgemajalu8823
@georgemajalu8823 9 күн бұрын
Kwel bongo hupaswi kuwa mtetez wa wanyonge 😢
@mpangalalisotha6808
@mpangalalisotha6808 9 күн бұрын
RIP Hon. Samwel Sita (standard and speed)
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 9 күн бұрын
Wanasheria wote njooni na uchambuzi , wa kisheria. Tukuimwacha Mpina agandamizwe sio sawa. Wekeni mambo hadharani. Mwanasheria hapa nchini sio spiker peke yake
@AmriManengelo-yz5pp
@AmriManengelo-yz5pp 9 күн бұрын
Kwanini m mnawatetea haya makapumi ya ndani na Kila mwaka tatizo linajirudia sana hapa mnatetea watanzania au wenyeviwanda 🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi ninamashaka Kuna watu wamekosa percent tu hapa🤣🤣🤣🤣👆
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 9 күн бұрын
Mpina si uanzishe chama.
@pidibegashe768
@pidibegashe768 9 күн бұрын
Mpina ndio mbunge za mzalendo pekee waliyopo bungeni
@ibrahimfassa1075
@ibrahimfassa1075 9 күн бұрын
Jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa jiwe kuu la pembeni
@reonandmpangalushu3434
@reonandmpangalushu3434 9 күн бұрын
Tangu jana nikasema wabunge wengi wapowapotuu bashe amefanya haya kwa ajili ya manufaa ya wachache akiwemo yy mwenyewe bei ya sukari kufika ilipo ni mpango wake bashe, mpina awawashia wabunge wenzake waone mbele lakin hawana macho ya kuona wanabaki kumlaumu
@ibrahimwarsame9309
@ibrahimwarsame9309 8 күн бұрын
Duuu wabonge noma hamna kazi nyie huyu Wakili ni mzigo anatafuta kik hakuna jipya tafuteni kazi
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 9 күн бұрын
Ipo siku tumechoka hilo bunge nilakupiga moto
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 9 күн бұрын
Kweli wabunge wetu hawajielewi haya msukuma mzee tabasamu mliyajua hayo?
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 8 күн бұрын
kuna uozo mkubwa, ilitakiwa hao mawaziri wajiuzuru
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 9 күн бұрын
Ccm chama changu wanajilinda ila ss wtz ndio wajinga wanajifanya chadema wanalindana ila mpina na ndugai ,tumewaelelewa mungu awalinde,
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 9 күн бұрын
Wabunge waliokotezwa unategemea nini. Ambacho wangezungumza.
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 9 күн бұрын
Pamoja na hayo tunajua hao matajiri ndiyo wanafanya makusudi ili wananchi waendelee kununua sukari beimbaya na kujinufaisha wao.Bashe tetea wengi Mpina Yuko na matajiri.
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 9 күн бұрын
Asa mbona huyo spika ni mwanasheria, mbona asisimamie Sheria inavyotaka, kwa maoni yangu hafai kuwa spika
@leokamil6284
@leokamil6284 9 күн бұрын
Yupo kushiba
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 9 күн бұрын
Haku soma hata ushahidi wa Mpina. Hii imewauma sana watanzania
@josephmchila6467
@josephmchila6467 9 күн бұрын
Aliyosoma​@@Mima-cl2im
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 8 күн бұрын
Unacho takiwa ujue ukiwa ccm ata kama umesoma namnagan unatakiwa ujifanye amnazo penye nyeusi unatakiwa useme nyeupe ili kuwafuraisha wakubwa zako na hapo ndo tatzo letu watanzania katiba mpya ni sasa
@sashawambura
@sashawambura 8 күн бұрын
Wakili kanjanja...kweendraa
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 8 күн бұрын
Ww nawe mgonjwa waakili
@mwingwasolozi8651
@mwingwasolozi8651 9 күн бұрын
Hapa hoja ni Wananchi kupata sukari kwa dharula muondoa adha(shida) ya sukari.
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Күн бұрын
Wewe Misawa na bota hujielewi kama unazama au lá. Kama hujitambui ni Bora kukaa Kim ya suitor komenti minha wewe
@ibrahimfassa1075
@ibrahimfassa1075 9 күн бұрын
Mh rais hawa mawaziri wanakuhujumu , kuna umuhimu apo kuangalia na kuanza kuchukua mamuzi juu ya kauli ya mkuu wa majeshi kuwa kuna watu wapo kwenye mamuzi makubwa na sio wa tanzania chukua hatua haraka mh rais apo watu wameona n upigaji tu hat mpina wamgalagaze wee lakin watanzania tunajua ndo mtetezi wetu , wawajibishe hao wapiga dili hilo halifichiki mna ona sheria hizo kwanini bunge linalotunga sheria tena linasahau sheria zake lenyewe apo dili tu mh timua ote ao wanakuhujum tu
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 9 күн бұрын
wanamkusanyia pesa ndio maana yuko kimya
@devangandhl2255
@devangandhl2255 9 күн бұрын
Hivi unayoeleza spika ambaye ni msomi hajaona na wabunge walking mkono maamuzi ya kamati
@RamadhanKitama
@RamadhanKitama 9 күн бұрын
Huyu spika wa genge baladhuli huyu hamjamjua rangi yake sawasawa, lait kama upinzani ungekuemo bungeni kama mwanzo ndo mngemjua mapemaaa! Yaan Anne Makinda alifaa sana. Huyu mama ana ndimi mbili kama nyoka. "Ndo imenyesha mmejua wapi panavuja, kabla hata ya msimu mwingine wa mvua" mmmmmh
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 9 күн бұрын
Bunge la Kenya limechomwa moto kwa wabunge kupitisha sheria za kuwakandamiza wananchi. Na pia kushindwa kupigana na ufisadi. Viongozi wa Tanzania wana bahati kwa kuongoza watu watulivu na wengi hawajuwi haki zawo. Wabunge wajuwe, siku watanzania wakiamuka hawatakuwa na woga wa kukaa kimya. Wabunge wasiuchukuwe upole wa watanzania ni ujinga.
@jacobd.kasofu2204
@jacobd.kasofu2204 9 күн бұрын
Tunapaswa Kuliwajibisha Bunge, Hakuna Utulivu Wakati Majizi yanajilimbikizia Mali na Kutesa Wananchi.
@NescharlesMalando-xm6lg
@NescharlesMalando-xm6lg 9 күн бұрын
Muda utaongea tu!!sisi so wajinga kwa sasa!!
@user-wi2mv9hz3p
@user-wi2mv9hz3p 9 күн бұрын
Mpina yuko aawa kabsa ni mtetezi wa wanyonge
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 9 күн бұрын
Macho ya wabúmge wetú ayajaona shería yamemwóña mpíña
@leokamil6284
@leokamil6284 9 күн бұрын
Kwani hao wabunge wanajua sheria au wanajua kupiga meza na kujishibisha matumbo yao tu
@neisphormabula7286
@neisphormabula7286 9 күн бұрын
Bunge la ajabu sana hivi mbunge atoe wazo lipi kwenu aonekane ana uzalendo na nchi yake
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 14 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 40 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 113 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 14 МЛН