No video

KIJANA ADAIWA KUUAWA NA MGANGA PUGU, WANANCHI WAMUUA BABA WA MGANGA, POLISI WATULIZA WANANCHI

  Рет қаралды 64,804

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 189
@user-tb5bt8lq8j
@user-tb5bt8lq8j 4 ай бұрын
Huu mwezi mbona umekuwa Wamoto sana matukio ya vifo yamekuwa mengi
@HussainMaula-wr5co
@HussainMaula-wr5co 4 ай бұрын
Hao mwisho wao sio mzuri wanajifanya waganga kumbe matapeli dua za wanaowatapeli zinaanza kufanya kazi😅😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@zaitunisagwa2082
@zaitunisagwa2082 4 ай бұрын
Hakika tena. Itakuwa Dua la kuku limempata mwewe😅😅.
@saadomar2480
@saadomar2480 4 ай бұрын
UGANGA upo Tena nikazi yaheshima, lkn Sasa UGANGA umevamiwa na matapeli, Hasan humo DAR nimtihani.
@user-rf9vn7lz1n
@user-rf9vn7lz1n 4 ай бұрын
Hiv mpk sasa bado watu mnaamin ugang jaman daah mpo dunia ipi
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 4 ай бұрын
Hakuna wa kuaminika kwenye hii dunia ya leo😢😢😢😢
@Ma-star....Wakali
@Ma-star....Wakali 2 ай бұрын
Ukweli utajulikana subirin washenz nyie michongo yote mnaijua na manyau wenu
@user-wu1bb4ky9s
@user-wu1bb4ky9s 4 ай бұрын
Tatizo sisi wantanzania unapenda sana mambo ya ushirikina
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 ай бұрын
Hilo john ni mwixi mla rushwa likamatwe.
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 4 ай бұрын
Jamaa hafungwi ana vibuyu vingi Sanaa na akarudi mtakoma apo mtaani jamaa ameshindikana Kwa uchawi😅😮😢
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 4 ай бұрын
Mungu pekee ndiye mshindi hakuna
@valentinamjindo5374
@valentinamjindo5374 4 ай бұрын
,😂😂😂😂
@user-ji7ju8lp4p
@user-ji7ju8lp4p 4 ай бұрын
Taz mshenzi sana na ni tapeli uganga wenyewe jau tu
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Ndo mwisho wake sasa
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 4 ай бұрын
Hapo huyo mlinzi kwa haraka haraka ndo kaiba hilo dude kwa kuwa anadai pesa yake! Na hapo kutakuwa na uvamizi umetokea kwa huyo mganga ila kwenye kupambana huyo mlinzi kauawa na baba mtu kauawa! Ukiskliza vizuri kwa hao majirani zake wana chuki binafsi na wivu mkubwa sana! Huyo dogo ndo kavamiwa! Ila kwa kuwa polisi wanaweza kwenye kupeleleza tutajua tu!
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 ай бұрын
Chefuu
@user-mu7yn9gr1w
@user-mu7yn9gr1w 4 ай бұрын
​@@salmamlokela1987😂😂😂 eti chefuu
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 4 ай бұрын
We nawe ninawasiwasi nawe itakuwa umeshiliki kununua hiyo mlinzi maana hapo Bila kuwaza sana moja kwa moja huyo huyo mganga wenyu ndo kamuuwa mlinzi wake
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 4 ай бұрын
Kumbe huyu mganga ni mshenzi sana kuanzia leo hapati like zangu
@user-ii1ro2vf9x
@user-ii1ro2vf9x 4 ай бұрын
Ila nilikua naona kweny tv yake akipost mna comment nakumshukuru mmefanikiwa leo mmemgeuka n tapeli😂😂😂😂
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 ай бұрын
Na mm ndo nimebak mdomo wazi hapa 😮
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
Binaadam kugeuka dakikatu
@MarryLeizer-di3ly
@MarryLeizer-di3ly 4 ай бұрын
Kawapanga watu wakutoa shuuda tapel mkubwa siku yake imefika
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aishahussein9348
@aishahussein9348 4 ай бұрын
Iyo ni biashara,mimi unipage nitoe shuhuda,napewa hel naanzaje kukataa
@Official83640
@Official83640 4 ай бұрын
Jaman huyu c ndy yule mganga alitangaza apelekewe Hawa akamtibie bure kabisa kumbe ana roho mbaya hivyo hd kuua watu Subhannallah 😢 Na tunguli zimechomwa moto Laahaula Wala Quwata😢😢😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Ndio huyo huyo jaman daah 😢
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 4 ай бұрын
Nitapeliiii piaa
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 4 ай бұрын
Katapeli wengi
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 4 ай бұрын
Ni huyu mbwa sana na lisura lake kama KENGE MAJI
@hassansaid3833
@hassansaid3833 4 ай бұрын
Ila kweli mapaka paka ni noma yani umempiga shakizi la nguvu ukoo wa huyo Taz tapeli bado yeye lazima nae amalizwe 😂😂
@dvjkelly8449
@dvjkelly8449 4 ай бұрын
shakizi ni nini?
@user-wu1bb4ky9s
@user-wu1bb4ky9s 4 ай бұрын
Ni kitu cha kutupiwa mfano limbwata au kurushiwa jini la kujinyonga
@kardiborajabu6044
@kardiborajabu6044 4 ай бұрын
nakingine ukiwa sikiliza wananchi wengi hapo pia wana onekana wana chukibinafsi na wivu na huyoo jamaa kwajinsi anavo ishi namajirani zake inaonekana hana ushirikiano mzuri ndio maana wana nchi wameongeza chuki pia
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 ай бұрын
Ni mjeuri kuua watu ndo kawaida yake
@GodloveMushi
@GodloveMushi 4 ай бұрын
Kweli
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 4 ай бұрын
uyu taz mpumbavu sana yuajifanya anahasira ata maongezi yake simpenfi uyu mganga tapeli mungu ajalie spatikane auliwe pia
@user-tb5bt8lq8j
@user-tb5bt8lq8j 4 ай бұрын
Hapa ssa ndio amempa manyaunyau chakuongea😂😂😂😂
@smktv9659
@smktv9659 4 ай бұрын
Kabisa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Yn nakwambia huko tiktok mbona tutakoma 🤣🤣
@naomisintoyia-wo4ki
@naomisintoyia-wo4ki Ай бұрын
Kwani waganga wanauwa😮😮
@ZainabuBita
@ZainabuBita 3 ай бұрын
Niwaogo bwana wanatak kuletea ujaja tu
@PombeKali-cj1ex
@PombeKali-cj1ex 4 ай бұрын
Yani huyojiniazi anasitahikiazabu kali mm namjuwavizuli jiniazi nimoja katiya waliofanya kazina yeye mm nifundi Magali nilio wahi kufanyanae kazi namjuwa kuwa nimtu mmoja muoga sanatuu IRA kwahiro anajutiaa sana maana bb ake yeye ndioo kirakitu kwake poresana jiniazi umenizulumu mpaka mm pombekali kunifayakuni 😮😮😮😮😮😮
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 4 ай бұрын
Chomeni na hilo Jengo
@bensonwissa5777
@bensonwissa5777 4 ай бұрын
Mwezi mmoja mbele Taz anarud hapo kaeni mbali nae hawezi kufungwa ni mchawi hafai
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 4 ай бұрын
Hahaha
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 4 ай бұрын
Mungu atusaidie jamani,damu ya huyu askari itanena juu yao
@gefreymtalo5613
@gefreymtalo5613 4 ай бұрын
Huyo jamaa bado yupo uraiyani ? Mkuu wa police wa mkoa wa dar leta jibu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Huyo n shetani lake limeelekeza achinjemtu ili uchawi ukoleee na mdogo wako nae kajiponza kafungiwa,badi ajirudisha ndoo kauliwa,hakili zero, alonae,
@salimtz6
@salimtz6 4 ай бұрын
Mbona huyu nyau kam ndo main 🎯 target inawezakanaje mtu mnalumbana kila siku half siku ya tukio unafika mwanzo 😅 Kwa waandishi? ila Tanzania bahna
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 4 ай бұрын
Ss kwnn mmemuuwa baba ake wkat yy ausiki wnanchi na jyie mkatwe mana mmeuwa vile vile na kwnn muibe fenucha za ndani nyie ni wezi
@shaibusalim5751
@shaibusalim5751 4 ай бұрын
Sikilza vizur kakamtu anavyoongea huyo baba nae kausika
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 4 ай бұрын
Afe huko pia nae damu Moja ya uuwaji
@Ashrey82
@Ashrey82 4 ай бұрын
Huyo baba mliomuua mtakamatwa nyie mkome! Tena hao vimbelembele wa kumjibu muhandishi wa habari!
@KarimuYusuph
@KarimuYusuph 4 ай бұрын
eti mfarume wa dawa manina zake uyo dogo anasema eti kun faya kun mungu leo kakuonesha kwamba yey ndomfalme wawa falume namungu endelea kuwanyosha
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 ай бұрын
Allah tupe Stara, Angalia kifo aluchokufa huyo mzee,Wewe Mganga kesho utajibu Mbele ya Allah,umesababisha kifo cha Baba yako pasipo hatia,
@mwanatumukombo4497
@mwanatumukombo4497 4 ай бұрын
Ss niulize kwa nn mukamuua babake na aliye sababisha kifo cha mlinzi ni taz hamja fanya poa ata mbele ya Allah nyinyi munge dili na TAZ
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s 4 ай бұрын
Hawajafanya vizuri kabisa. Nashanfaa wengine wansona sawa tu. Na je sliyemuua huyo mlinzi ni nani?
@user-ls1ot6fs4v
@user-ls1ot6fs4v 4 ай бұрын
Eti kwa nini wasimpeleke polisi
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 4 ай бұрын
Huyu mganga aliye uwa kwakweli inasikitisha huyo mganga kwa maelezo hayo polisi walikuwa wanamlinda 😢 mimi nasema polisi igeni tabia ya polisi wa mkoa wa mbeya nasema haya kwakuwasifu wanafanya kazi kwa weredi ingekuwa ni mbeya yasinge fikia hapo mwalifu mbeya anazibitiwa mapemaa ili mwalifu asijeleta mazara hebu sikiliza maelezo hayo je polisi walipewa tarifa na wakaja awakuchukuwa tarifa yoyote mpaka imefikiwa hapo nani mzembe kama sio polisi Ingekuwa mbeya duu polisi mbeya na mkuu wa mkoa wake wako makini tunaa anani kwakweli uhalifu umepunguwa mbeya kwa msada wa polisi mbeya huyo mkamateni na anyongwee
@omarcpt1178
@omarcpt1178 3 ай бұрын
Chomeni na nyumba, choma kilakitu nayeye mkimkamata tia moto tu
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 4 ай бұрын
Wivu tu tafuteni PESA acheni ubabaifu
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Mtu kauwawa na ni nyumbani kwa huyo Taz. Wewe unasema wanawivu!!!! We mpumbavu kabisa
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
Angekuwa ameuwawa mwanao au ndugu yako ungesema wivu?Temea mate chini yasikufike
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 4 ай бұрын
Pole sana kaka
@ashaomary5558
@ashaomary5558 4 ай бұрын
Chomeni nyumba hiyo asirud
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 4 ай бұрын
Huyo angechomewa nyumba mshenz huyo😢😢😢😢
@kardiborajabu6044
@kardiborajabu6044 4 ай бұрын
kwamatukio mawili yote yaliotokea ni ya kusikitisha sana ila kiukweli tuvi achie vyombo vya dolla vifanye uchunguzi wa vifo vyote viwili kifo cha mlinzi nakifo cha baba wa anaye hisiwa ndio kamuua mlinzi endapo uchunguzi utakamilika kwa wote walio husika kuji chukulia sheria mkononi nakuhusika na mauaji hayoo wachukuliwe hatua kari za kisheria
@roqayaro9439
@roqayaro9439 4 ай бұрын
WANANCHI MMEFANYA VZR KUMUUUA HUYO BABA
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 4 ай бұрын
Chezanavyote siokaziyauganga wakujitangaza lzma upingwe tukio
@mamaboizpure842
@mamaboizpure842 3 ай бұрын
Si huyu jamaa anakua tiktok wah
@credosowo2822
@credosowo2822 3 ай бұрын
Bomoeni hayo majengo
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 4 ай бұрын
Huyu mwenye kapelo ni manyaunyau yy mwenyewe mganga tapeli
@katotopesaofficial
@katotopesaofficial 4 ай бұрын
8:42 Manyaunyau kapata pakujipigia promo😂😂
@GodloveMushi
@GodloveMushi 4 ай бұрын
Umeonaee
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Yaani mtu ana mahabusu yake anafanya atakavyo. kisa pesa kisa mganga jamani tunaelekea wapi ? Hebu angalia mambo hayo sasa tanzania amani yetu inakuwaje hapo
@Commentsplus
@Commentsplus 4 ай бұрын
Duh inaumaaa
@EREVUKATV
@EREVUKATV 4 ай бұрын
Huyu jamaaa mweny t shirt nyeupe mnafki
@kidykodyyusufukod-ud6vg
@kidykodyyusufukod-ud6vg 4 ай бұрын
hili linaweza kua na taswira tofauti ata na tunavoliona
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 4 ай бұрын
Manyaunyau kwake nifuraha ya kunguru😅😅😅😅😂😂badala ya masikitiko😢😢😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Tena kapata la kusemea tiktok huko 🤣🤣
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
Subhanna Allah huyu mganga nilimuona Tik tok Ana majibu ya jeuri kwel
@jassminemubarak2828
@jassminemubarak2828 4 ай бұрын
kwanz haja wahi kucheka mie namuelewa huyu mganga
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 4 ай бұрын
Tapeli yule na katili sana
@hyy4114
@hyy4114 4 ай бұрын
@@jassminemubarak2828 mm nilimuona tu Tik tok Ana majigambo Subhanna Allah
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 4 ай бұрын
​@@fadhilimsafiri216kuna siku niliiona video kamkamata kijana anasema ni tapel anacopy dawa zake na tishert anapita bara baran akiuza dawa feki alikua anampiga sana nikajisemea huyu kijana sizan kama alitoka salama hapo ndani 😢
@fhugghi4109
@fhugghi4109 4 ай бұрын
Ila huyo tazi aliambiwa Na Shekh suleima Allah atamuumbua 😢subuhhallaah ona leo hii kadhalilika japo kakimbia
@Dareaziz
@Dareaziz 4 ай бұрын
Pole bro
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 4 ай бұрын
Yote mipango ya manyau nyau kamsukumia afanye ayo
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 4 ай бұрын
Roho mbaya zinawasumbua masikini
@kanukanute1514
@kanukanute1514 4 ай бұрын
Ki2 kingn jeshi l police wanpo sikia taalifa km wanatkiw wawe kipaumbele kwend kumchkua mtuumiw il kuepush v2 km hv
@user-ls1ot6fs4v
@user-ls1ot6fs4v 4 ай бұрын
Waende wakati wanataka rushwa
@rehmastyle4446
@rehmastyle4446 4 ай бұрын
Aliye kuuwiya mdogo wako ni Manyaunyau
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 4 ай бұрын
Anamdom Huy Taz khaaa sijawah kuona majivuno sasa
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 4 ай бұрын
Utajiri wenyew wa kutapeli watuuuuu
@credosowo2822
@credosowo2822 3 ай бұрын
Não Police waliofika hapo mala ya kwanza wafungwe kifungo Cha milele
@scolasticastephano4366
@scolasticastephano4366 4 ай бұрын
Tumutegemee Mungu binadamu siyo wema
@barikiwa22
@barikiwa22 4 ай бұрын
Mbona mna focus sana kwenye hayo matunguri 🥱
@ZainabuBita
@ZainabuBita 3 ай бұрын
Siokweli waugovi namayauyau labud kawatma
@allykassim1120
@allykassim1120 4 ай бұрын
tunaomba mkono wa shelia umfuatilie uyo tuz
@ElizabethRaju-sx2vu
@ElizabethRaju-sx2vu 3 ай бұрын
Chuki tu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 4 ай бұрын
Manyau nyau kaja kuakikisha km. Dawa zake zimefanya kz yn unekuja kbs unaht haibu
@user-nb4vd2wd7w
@user-nb4vd2wd7w 4 ай бұрын
Yan
@Blandinakanini
@Blandinakanini 4 ай бұрын
Sasa ata mukijoma si ataunda zingine Huyu mujawi
@candy9969
@candy9969 4 ай бұрын
Uyu jamaa sio Ndio Anafany uganga wake tiktok
@DorahAlbert-eb9zv
@DorahAlbert-eb9zv 4 ай бұрын
Me pia namuona km ni yule anajitangaza Sana mitandaoni zaidi titok
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 4 ай бұрын
Ni yeye ambae anajufanya mungu mtu pumbavu sana ameniudhi mungu amlani sliko
@GodloveMushi
@GodloveMushi 4 ай бұрын
Ndo yeye
@OmanBuraimi-wl4tm
@OmanBuraimi-wl4tm 4 ай бұрын
Wana vibali vyaoo wagangaa
@EmanuelMnubi
@EmanuelMnubi 4 ай бұрын
Atari sana
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Manyau nyau salute kuanzia leo nakupa salute 🕴
@WaridiTambi
@WaridiTambi 4 ай бұрын
Wote ao wanajuana mm nilimuamin ila sijawai kumtafuta nilikuwa namfatilia kumbe ni zaid ya shetani anamana kabisa
@WaridiTambi
@WaridiTambi 4 ай бұрын
Ukifikia kumuuwa mwezako ww sio mtu wakawaida
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
@@WaridiTambi yn ht mm nilomuamin asilimia zote kumbe hafai kabisa 😥
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
@@WaridiTambi kabisa kwanza huna roho km ya binadamu wenzio ni roho ya ukatili sana
@user-zt1te9ir8t
@user-zt1te9ir8t 4 ай бұрын
vita ni akiri vita ya uchumi ndo hii.
@user-zq6nc2nf1g
@user-zq6nc2nf1g 4 ай бұрын
Imani zakipuzi tuu
@KAHINDITV
@KAHINDITV 4 ай бұрын
Umpige mtu na kitu kizito had anyonyoke nywele😢😢😢😢Mungu tutetee
@rahmamashaallah2355
@rahmamashaallah2355 4 ай бұрын
Mtihani
@HADSONPAUL
@HADSONPAUL 4 ай бұрын
Mmmmmm hiii dunia inamambo mengi
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w 4 ай бұрын
Mnasubiri nini chomeni moto vibanda vyake hivyoo mtu mmoja anasumbua jamii sababu ya tunguli zake huyo ni taperi tu
@merrymichael6126
@merrymichael6126 4 ай бұрын
Manyaunyau noma xn anavutia kwkr
@officialsharifa
@officialsharifa 4 ай бұрын
Aiseee !!!!?¿??
@aishahussein9348
@aishahussein9348 4 ай бұрын
Manyau kama manyau oyeèeeee
@AbdonRenatus
@AbdonRenatus 4 ай бұрын
Huyo mganga aukumiwe mara moja maana anajuwa kile alicho kifanya na uchunguz uwe wa mda mfupi sana ili haki itendeke
@user-zp4gf7te8o
@user-zp4gf7te8o 4 ай бұрын
Maisha aya bwana
@SimbaPuyatz
@SimbaPuyatz 2 ай бұрын
Mmmmh
@rosemneney3244
@rosemneney3244 4 ай бұрын
Hiyo 5 yako sogeza pembeni
@elizajoseph7209
@elizajoseph7209 4 ай бұрын
Macat cat jamaniiii
@legallytallm7702
@legallytallm7702 4 ай бұрын
What country is this?!
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 ай бұрын
Wananchi nawapendaga bure.
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 ай бұрын
Sasa kwanini wananchi wamuue huyo baba jamani 🥹🥹🥹
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 4 ай бұрын
We unaona alikua anafanya vizuri kutishia watu
@Mrsmussa-wn6kv
@Mrsmussa-wn6kv 4 ай бұрын
Sasa nawaowashajitia hatiani kwakuua huyomzee wangeachanserekali ifanye yake
@shaibusalim5751
@shaibusalim5751 4 ай бұрын
Selikali gani
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 ай бұрын
​@@Mrsmussa-wn6kvserikal ipi unaambiwa kuua ndo zake na akikamatwa lisaa tu kaachiwa na anajitapa kabisaa
@Mrsmussa-wn6kv
@Mrsmussa-wn6kv 4 ай бұрын
@@salmamlokela1987 niyeye sio wao kilamtu na bahatiyake unambiwa usisafirie nyota ya mwezio sio km yy kafanya makosa naww ulipize makosa acha vyombo vinavyohusika vitashulikia
@muhammedomaryshembilu8539
@muhammedomaryshembilu8539 4 ай бұрын
Manyaunyau ukafurahi kweli
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 4 ай бұрын
astakagirullah yani domo akiongea ni kama ansuwezo wa kukufua wafu anajufanya yuajua kila kitu jeur na majigsmbo chomeni kila kitu na mkimpata muweni mana amemdhulumu uyu marehem sans
@damasiibrahimu8892
@damasiibrahimu8892 4 ай бұрын
Kumbe uganga ni tasnia
@user-mu7yn9gr1w
@user-mu7yn9gr1w 4 ай бұрын
😅😅😅😅
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 4 ай бұрын
mbona amekimbia fomo kubwa tu kuuwa mwenzio ajifanya mganga lakini uyu mshenzi sana auliwe pia slafu yuko live tik tok mbona kskimbia nyumbani
@AyubuMsindo
@AyubuMsindo 4 ай бұрын
Manyaunyau anachuki naomba. Jeshilimkamate manyau nyau atowe ushahd
@aishahussein9348
@aishahussein9348 4 ай бұрын
Matapeli dawa yao ndo hiyo,kwa nini umfanyishe kazi mtu alafu usimlipe hela yake,uyo tapeli msimuache ua kabisa na yeye amfate mwenzie
@RehemaSaid-rg5mr
@RehemaSaid-rg5mr 4 ай бұрын
Mbona roo yake ngum
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 ай бұрын
Manyaunyau ataingia live amedhapata content😂😂😂
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 4 ай бұрын
Auliwe na yy kumalamamaake
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 4 ай бұрын
Mnachelwesha chomeni hiyo nyumba na Kila kitu chake serikali haipo kwa masimulizi hayo atuna polisi tuna wafuga maovu rushwa imesababisha kifoo je mtatuambia Nini chomeni Kila kitu iwe fundisho
@user-zu9kw7vv8w
@user-zu9kw7vv8w 4 ай бұрын
Anaesema wivu angechinjwa mwanao
@FatmaZena
@FatmaZena 4 ай бұрын
Innalillah wainnaillah raj'uun
@YassinyNganywama
@YassinyNganywama 4 ай бұрын
DAAAAH
@WaridiTambi
@WaridiTambi 4 ай бұрын
Uku mganga uku kamari alafu kwa nn wamuue uyo baba ake wangemuuwa yy mwenyewe
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 4 ай бұрын
Yeye alikimbia na familia yke baba qke alimuqcha akijua watamuacha raia
@WaridiTambi
@WaridiTambi 4 ай бұрын
@@ElizabethWamcha mtihani kwa kweli inauma kwa wote kuliwa alafu kule TikTok anajitapa sana adi watu kumuamini sana kumbe afai ni muwaji akiongea unasema mungwana kumbe roho ya shetani ukifia kuuwa kweli afai ata kidogo
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 4 ай бұрын
Anatakiwa apate kwanza maumivu ndo afe akija msibani sasa apo achague kuzika baba au kutokomea manispaa ndo izike
@WaridiTambi
@WaridiTambi 4 ай бұрын
@@rashidmsuya5721 mtihan sana mm imeniuma uyo baba kufa japo kijana wake kaua wangemtia ndani uyo baba ila wao walio kuwepo ndio wanajua zaid uyo baba
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 4 ай бұрын
wamesahau kuchoma nyumba moto
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church
8:31
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
DUDU BAYA ASHINDWA KUVUMILIA SAKATA LA MGANGA TAZGINIOUS AZUNGUMZA KWA UCHUNG
32:26