Kwa kweli nilimiss hekaheka kweli jaman 😂😂😂😂😂 Asante da geah piga kazi mama tupo pamoja ndugu
@hildadaniel48924 жыл бұрын
Afu huyu kijana mstarabu sana
@chayogasperi97834 жыл бұрын
Geah kuvaa barakoa ni muhimu kipindi hiki , kwa kujikinga wewe mtangazaji na wazungumzaji pia ( maoni tu )
@mgesibabere47434 жыл бұрын
Yani uyo mdogo wangu mbona ntamnyonyoa maskio, kaka mpoleee hv
@gullaalex65904 жыл бұрын
😂😂Nachek km Mazur yaan mpk covid iishe tumeon mengi, pole kk
@menahmbaira81344 жыл бұрын
Asaivi mtihani kila siku ndoa za watt 😢tutaona mengi kwakweli 😷
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Kuna mambo yanashangaza uku duniani 😮 njaa mbaya 🙌🏽
@kingcobra92384 жыл бұрын
Ndoa imeshapita hiyo hata ikivunjwa hao watatafutana tu nibora wayamalize na huyo binti aendelee na masomo ili atimize umri wa 18 miaka na huyo mume atimize pie 18 wakaishi tu
@aay29254 жыл бұрын
LOOOOLOOOO MAMA WAPEANA MTOTO KWA AJILI YA NJAA YAFAA UFUNGWE NA YKO
@zenamshana68524 жыл бұрын
Jaman Bora korona imeisha maana njaa haivumiliki
@racheljoshua32664 жыл бұрын
Tutasikia mengi
@adamumjomba824 жыл бұрын
Mama wa binte amefanya binti kama kitega uchumi ,mambo hayo ni yazamani Sana siku hizi watoto wakimaliza masomo hutafuta wachumba wao wanao wataka ktk mitandao Nasio kumtafutia mtoto mchumba ,au mume sasa jambo hilo limekua zito tayari ,hapo mama hachomoki Na huyo kijana vile vile hachomoki ,hapo tayari nijanga hapo wameinunua kesi
@carolmuchiri99214 жыл бұрын
Heehee Wa Tz'd kwa Mahaba Niuwe 🤣🤣😆😆
@lululivingstone82984 жыл бұрын
😂😅😂uyo kaka mtu mpaka apo mke kapata si kwa upole huo
@loner_wolf4 жыл бұрын
Huyo hajaiba ..... ametumia TU
@hildadaniel48924 жыл бұрын
Huyo mama nae ni mwizi unaletewa vpi mahari na mtoto ambae hata miaka 18 hajafikisha hata angekua yatima bado wapo waliomlea hapo ameibaa na amemshawishi kijana kuiba
@zennakailo81064 жыл бұрын
Khaaaaaa jaman hili janga la corona Mungu wangu wanaanza kuowana wadogo ivyo Ila nmesikia good news kutoka kwa magufuri kuwa watarudi wanafunzi school soon
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Wazazi ivi mtoto mdog mnamuozesha mtoto kwajili ya ngombe tu kwaiyo ww mama mwanao unamuuza kwa mtu kwa ajili ya njiaa hujui mwanao atapitia mateso mangapi kweli mama umenihuzunisha sana.
@veronicatweve47864 жыл бұрын
Huyo mama wa binti hana akili hata moja
@NIANJEMAETV4 жыл бұрын
Wafie jela kwanini wanakubali ngono
@justinagabriel54674 жыл бұрын
Et ana njaa
@jenniferjohn10344 жыл бұрын
Justina Gabriel dunia simama mm Ni shuke, tamaa mbaya, huyo mama Ni shida
@halimasulaimani90854 жыл бұрын
Mahari ya wizi ndoa itadumu kweli😃😃😃nacheka km mazuri😂😂hii ndio TANZANIA bwana😄
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
🤣🤣🤣na ndoa itakuwa ya wizi
@halimasulaimani90854 жыл бұрын
@@juliethhouseofdesigns147 🤣🤣🤣
@upendoanancisye41174 жыл бұрын
Micheke miee
@yumna1284 жыл бұрын
Hiv wazazi wa siku hizi wakoje unamuozesha mwanao wa kidato cha 2 eti sababu ya njaa duh
@rahmasuweyd8274 жыл бұрын
Hahhahahaha 14 yrs jamani 😥😥😥😥Hapo mm Niko form 1, jamani hatari covid 19 iishe watoto warudi shule hatari hii
@rukiamohammed50314 жыл бұрын
😂😂Hatar kwa kweli ht km ndio hiyo njaa subirin mtt amalize shule kwanza
@wardaheluwa7344 жыл бұрын
Duh Tanzania kuna hekaheka kweli
@nyamogafamily42624 жыл бұрын
Watalala tu wakiamka wanaangaliana hamna hata wa kumshauri mwezake,,Mmmh corona ww ulaaniwe
@yeyothegreat82774 жыл бұрын
Kweli HekaHeka
@jerryson89734 жыл бұрын
Duuhhh
@asiakibonge46994 жыл бұрын
Kwanza mtu mwanafunzi inakuaje kuolewa jamani mungu tuepushie hili janga
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Maisha yashakuw Less🤣🤣mama bora kasema la moyon mwake ana njaa yy
@memisaphusseni71904 жыл бұрын
Makubwaa nayo aya mungu atuondolee tamaa kama izi yarrabiy
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Duuh Corona hii Jamani imezua Mengi,Mama aoza Bintiye Kisa njaa.Utaoza Wa ngapi Sijùi.
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
Hao wazazi mazuzu kweli mnamuozesha mtoto wa miaka 14 tena yuko shule ,kha alafu na anayeoa mtoto tena anakuletea ng'ombe watatu hata hamuwazi ng'ombe kawapata wapi?
@ashurar27214 жыл бұрын
Wakulia haoooo😂😂😂😂😂
@Pedeshee014 жыл бұрын
Ashura R na mimi naenda kuiba mbuzi nije kulipa
@shakilamasoud29834 жыл бұрын
Dunia ina mambo hii mhh....tunawaza hatupati majibu. Hebu Corona ipite tuu.
@Da-cr6ow4 жыл бұрын
Dah huyo mama nizaidi ya corona sasa hao ngombe watatu ndio atondoa njaa yake ya maisha yani hii corona ikiisha nawatoto wacorona watazaliwa wengi mana hizo mimba za stay home acha tu 🤔🤔🤔🤔
@nyamkamawanjara294 жыл бұрын
Eti mama ananjaa ndo kaamua kumuoza binti
@oscaroscaroscar79744 жыл бұрын
14 to 17 Mbona Wadogo Sana😅 Dunia hii jamani
@chayogasperi97834 жыл бұрын
Hao wazazi wa binti ni wapumbavu , unamwagiza kijana wa miaka 17 alete ng'ombe , akalete ng'ombe wa3 na analeta , unadhani kawapata wapi ?? Bora hata angesindikizwa na wazazi .
@safiyatheonlything78484 жыл бұрын
Makubwa haya mtt bado anasoma unaenda kumuogesha kisa tu njaa tu jamani wazazi pambaneni sababu ya watt zetu siyo kuozesha bado wadogo
@judithmelvinealuchio89684 жыл бұрын
kaka samehea mdogo wako naye binti arudi kwao akasome akimaliza shule aende Kwa mumewe shida iko wapi mwanzo mukayatengeze tu ki family
@lykamlaki71204 жыл бұрын
Shida binti ni mdogo ana miaka 14 mpaka amalize shule pia bado ni mdogo atakuwa 17, hatakiwi kuolewa kisheria.
@saumusudi97204 жыл бұрын
Mhhh hatari na nusu
@queenbaddestcuteemmy54304 жыл бұрын
Da geah hii cha mutoto kuna huku mtaani kwetu kijana wa mikaa 19 kaqapa mimba dada zake wa2 mumjaa Yuko na miakaa 17 mwingine 15 mambo ya lowdown 😢
@hadijalukas59594 жыл бұрын
umeandika mbona hueleweki ulichomanisha futa hiyo message rudia maerezo
@chayogasperi97834 жыл бұрын
@@hadijalukas5959 Vijana wengi hawajui kuandika siku hizi . Eti queen cute Emmy .
@hadijalukas59594 жыл бұрын
@@chayogasperi9783 yani we acha tu wanatuandikia herufi zisizoeleweka tunazisomaje, kama huyo alichokiandika hata hakielewiki
@chayogasperi97834 жыл бұрын
@@hadijalukas5959 Wako wengi siku hizi humu mitandaoni , walikimbia school wanatuumiza vichwa kusoma msg zisizoelezeka .
@hadijalukas59594 жыл бұрын
@@chayogasperi9783 kama hawezi kuandika si apite tu kwani razima mtu acomment usichokijuwa
@zulfamohamed45494 жыл бұрын
Uyo bint anarusiwa kuolewa umri alio kuwa nao naata uyo kijan anarusiwa kuowa maan wamesha baree ila kidin ndiy wanarusiwa ila kiserikali awarusiwi ad wafikishe miaka 18 piy adi wamarize school
@irenekilale66924 жыл бұрын
Huyo mama anaroho mbaya hv hekaheka za ndoa hiz akamuoze mtoto wa miaka14?
@faustinemalilo15134 жыл бұрын
Huyo kijana hajaiba Bali alichukua ng'ombe wafamilia
@niaanthony95884 жыл бұрын
Kaiba maana siyo ake anazijua brother wake kazipataje? Ndan kwenu lazima kituchochote uombe
@loner_wolf4 жыл бұрын
Hamna wizi hapo ...... Ng'ombe wa bro Sasa kaiba kachukuwa ?
@المهلهلالحراصي4 жыл бұрын
Hahahahaha nacheka kama mazuri wazazi acheni uvivu wa kulea watoto wenu jama binti wa miaka 14 anaolewa kweli uwiii ngoja na mimi nipigi simu nyumbani niulize mdogo wangu yupo salama kweli huko maana kwa hizi ndoa siku hizi imekuwa kama kero sasa
@fridakaria90124 жыл бұрын
Kachukua zake , kaiba
@husnahassan62894 жыл бұрын
Yajayo yananipa raha khaa life goe’s on hahahah
@fahzulyeid19144 жыл бұрын
Duuh balaa ilo
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 njaa inamambo
@waukweelinikkon65554 жыл бұрын
Dunia Na maajabu yake,Hii CORONA tutaona mengi sana😁😁
@dullahjuma61374 жыл бұрын
Mrs dulah au zena kihondo. Yan nishda😆😆😆😷😷
@msms88124 жыл бұрын
Maajabu yanaendelea Tanzania
@loner_wolf4 жыл бұрын
Mijitu mizima haiolewi watoto wa shule ndio wanaolewa..... Hii mijitu mizima siku hiz inawakosea nn waoaji ? 🤣🤣🤣🤣🤣
@zenamshana68524 жыл бұрын
Hahahahaha
@asiajuma83304 жыл бұрын
Haki ukistaajabu ya covid 19 utayaona ya wanafunzi 😔
@danielanyigulile40804 жыл бұрын
Ajaiba kachukua
@edinahmaganga27224 жыл бұрын
Jamani si kwanjaa hii huyo mama wa binti hajitambui arudishe ng'ombe wa watu ndoa haiendi hivyo
@fatmaabasi83122 жыл бұрын
Hajaiba kachukua Kwa kakayake
@kibongobongo46084 жыл бұрын
Hii ndio heka heka na shule zifunguliwe
@greesgrees8564 жыл бұрын
Shule zikifunguliwa wengine watakua karibu kuzaa
@hakikahoman6154 жыл бұрын
sana
@المهلهلالحراصي4 жыл бұрын
Wazazi ndo wazembe kwenye kulea watoto wao umekubali vipi mtoto wa miaka 14 aolewe na huku ni mwanafunzi hizo zote ni tamaa kamata wazazi sukuma ndani
@rasykizanjbari49964 жыл бұрын
@@المهلهلالحراصي sio wote wengine ni majaribu tu
@المهلهلالحراصي4 жыл бұрын
@@rasykizanjbari4996 majaribu ya nini sasa
@salhaamiri63894 жыл бұрын
Du njaa hizi mh
@judithmelvinealuchio89684 жыл бұрын
mdogo wako ana kasoro gani ndio akakubali kupewa mke?mwanaume alazimishiwi mke kubali tu kakako kakosea muketi chini umusamehee atafanya bidii atakulipa tu chenyu ni chenyu
@neemamayco32384 жыл бұрын
Sasa huku upande wa binti hawajitambui issue ni kwamba km mzazi unaejitambua kwann asimuulize mtt wa kiume kua upande wa familia yako iko wap wamevuna walichokipanda sasa jela wote wa3 mpk 4
@lightnessmungaya32804 жыл бұрын
Yote nyege duuuuuh yaaaaani watoto mnaenda kasiii yaaani Sina chakusema mimi
@jonasynyasika63914 жыл бұрын
wee light
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Uyo mama manjununi ajielewi amuuza mtoto kwa ngombe za uwizi
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Nahisi uyo mama yy piya kaolewa na posa za uwizi naaende akafanye kazi uko
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Safi sana wafungeni mpaka korona iishe ndiyo watoke mwambiyeni magufuli uyo mama atakoma
@tatotato5064 жыл бұрын
Dagea tunasubili muendelezo
@beatricesheme94274 жыл бұрын
mmh
@abassmchonjo66354 жыл бұрын
😂😁😀
@niaanthony95884 жыл бұрын
Bora shule zifunguliwe jamani maana mengi yanazuka
@khdijaahmed84584 жыл бұрын
Tatizo Korona my dear
@cheiknamouna20584 жыл бұрын
Baada ya miaka 5 ijayo utaskia story nliolewa kipindi Cha Corona naitwa mama Covid
@oscaroscaroscar79744 жыл бұрын
STAY AT HOME IMELETA BARAAH 😃
@monicapatrick38164 жыл бұрын
Yani kunamambo
@sarahsarah49194 жыл бұрын
Jamani inabindi wafuzi walundi shule
@المهلهلالحراصي4 жыл бұрын
Kwani mlizalia shule hao watoto mtoto wako mlee vizuri na cyo kusema eti shule anaweza anaenda shule na mimba akapata vile vile huko shule unaambiwa ibada njema huanzia nyumbani na cyo msikitini wala kanisani kwa hiyo shule inaanza nyumbani kwa hiyo leleni watoto wenu vizuri
@faridaadamu27764 жыл бұрын
Kama ananjaa akale ugali magereza
@fediliaulomi49694 жыл бұрын
Covid inaleta shida
@keifatuke994 жыл бұрын
Mkurya
@sabahumedia70534 жыл бұрын
Innalilah wa Innailah rajoon kama unapenda kuwa na ngozi laini kama ya mtoto mchanga subscribe kwenye channel yangu kzbin.info/www/bejne/aoqsXoyXlK6Ne6M
@bintiiddy70434 жыл бұрын
😬😬😬😬😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@zuwenahumud3054 жыл бұрын
Mtihnii
@7thestate7774 жыл бұрын
This man is very naive.... you find your cows and you leave them...very very naive