No video

KIJANA ALIEFARIKI AZINDUKA WAKATI WA MAZISHI, MAAJABU MAZITO.

  Рет қаралды 27,170

Mbengo Tv

Mbengo Tv

6 ай бұрын

Пікірлер: 68
@user-bh9if3bo8r
@user-bh9if3bo8r 6 ай бұрын
Mtu akifa na kuamka tena anakuwa kama akili zimepungua
@user-kg7of9fr5x
@user-kg7of9fr5x 6 ай бұрын
Navyojua Mimi islail akija kutoa roho ya mtu harudi Tena labda ulizimia au ulitaka kugeuzwa msukule
@user-ky1ni2ly9r
@user-ky1ni2ly9r 6 ай бұрын
Walitaka kumueka msukule ndio maana akarudi uhai
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 6 ай бұрын
Hakuwa kafs
@fridahkaari4373
@fridahkaari4373 6 ай бұрын
Tanzania mna mambo😂😂
@lyidiajuakaly3335
@lyidiajuakaly3335 6 ай бұрын
Mtu akifa na kufufuka kwanza anakua na bahati sana pia hawezi kuongea vizuri kwamaana atatoa siri ya kifo na hakiri zinakua pungufu zingine anaziacha kwenye usingizi wa kifo nashangaa huyu anajua kila kitu bro usituigizie 😅😅
@IssackMsimbangombe-jy3nd
@IssackMsimbangombe-jy3nd 6 ай бұрын
Mm naweza amini anacho ongea kunashangazi wa rafiki angu alifariki na wakamuweka mochwali alifariki uck na mda wa saa ahsubuhi wakawa wanamuandaa kumuweka kwenye jokofu na Wales Wamesha mchoma na sindano na wakamuweka ck yapili mm narafiki angu tunafika kwao tukimsindikiza kutoka shule tayari kwa mazishi ya shangazi yake tukiwa tunaaga alifufuka na paka leo yupo sema alishakuwa Bubu na nikiziwi japo awali kabla hajafa alikuwa mzima kwa kilakitu kwahiyo hayo mambo yapo
@hatujuanisalum9354
@hatujuanisalum9354 6 ай бұрын
😮poke
@hatujuanisalum9354
@hatujuanisalum9354 6 ай бұрын
Pole
@lyidiajuakaly3335
@lyidiajuakaly3335 6 ай бұрын
Hapo sawa maana hakili uwa haiwi sawa sasa namshangaa huyu kua anajua kila kitu
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 6 ай бұрын
Kila sk watu wanafufuka aisee tz yangu ni noma😂😂😂😂
@user-ni3xp4kd3c
@user-ni3xp4kd3c 6 ай бұрын
ufufuo ulikua mmoja tu ni yesu kristo lands ulizumia
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Sio kweli
@asteriashios1852
@asteriashios1852 6 ай бұрын
Na mimi ndo maana sitakagi mtu anizike mapema yaani nife mchana jioni kaburini hapana mtakuwa mmezika wengi wakiwa hai
@abedimhjeshi593
@abedimhjeshi593 6 ай бұрын
Hiyo ni kweli boss
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Kweli si uongo nishaona testimony nyingi za watu wanafanya kazi mochwali
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 6 ай бұрын
Sema ulikuwa umezimia acha kutujaza ujinga
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 ай бұрын
Mungu wangu mhhh eee m/mungu naomba unijalie mwisho
@restitutakisamo7607
@restitutakisamo7607 6 ай бұрын
Jamani huyu kaka anaongea hayo yote alielezewa na familia kwa sababu yeye alikuwa mdongo hajui kitu.
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 6 ай бұрын
Walitaka kukufanya msukule tu ila hujafa
@princessmakwega2444
@princessmakwega2444 6 ай бұрын
Uyo baba ako anajua kua wali taka kukufanya msukule na iyo inshu yoote ana ijua
@chebetdebrah
@chebetdebrah 6 ай бұрын
Hayo Ni mapepoo😂😂😂ulijua ajee kinachoendelea Na ulikuwa mkufi surely 😂😂😂😂
@janetchinga695
@janetchinga695 6 ай бұрын
Part 2 please
@Sallah-jv4rq
@Sallah-jv4rq 6 ай бұрын
Anataka kupigwa nao tu uyo
@OmaryChipeta-mh2wi
@OmaryChipeta-mh2wi 6 ай бұрын
Uyu jamaa anatangaza uganga wake
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 6 ай бұрын
Wanapenda waonekane media😂
@jacksonmbwasi8366
@jacksonmbwasi8366 6 ай бұрын
Kwahyo hayo maelezo unayotoa ww ulijuaje Kama hayo yalikuwa yanaendelea wakat ulikufa ?
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 6 ай бұрын
Hukusikia ameanza kusema alisimuliwa?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
amesema Alisimuliwa Sikiliza Kwa Makini ndugu
@nzanzex7831
@nzanzex7831 6 ай бұрын
Au mzazi wako alikua na siri flani? Mbn??
@lyidiajuakaly3335
@lyidiajuakaly3335 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 dunia hii
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
BASI HITAKUA YESU KALUDI HUYO KAMA MINADAMU ALIZIMIA TU AU UNATAKA KUTOA NYIMBO KWASABABU NDIO ZENU WABONGO
@alialkiyumi9372
@alialkiyumi9372 6 ай бұрын
Alizimia acheni ujinga
@restitutakisamo7607
@restitutakisamo7607 6 ай бұрын
Kamani alielezewa yey alikuwa mdogo
@fashyahmed4135
@fashyahmed4135 6 ай бұрын
Jaman kafa akafufuka???? how 😅...ww baba angu ulikuwa umekata moto tu sema ndg zko wakaharakisha kukuvalisha sanda....we alikwambia nan israel akishatoboa tundu kuvuta roho huwa anairudisha?? asubuutuuuuuu😅😅....Allah atupe mwisho mwema
@mamachris6811
@mamachris6811 6 ай бұрын
Hawakuwaga,aliululizaga,aliwaga,akawaga,hakufikaga,alishangaaga 😂
@alisaleh7040
@alisaleh7040 6 ай бұрын
Wakajaga... wakaga 😅.....
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 6 ай бұрын
Hakufa
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 6 ай бұрын
Alizimia 😂😂😂😂😂😂
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 6 ай бұрын
Kitu kama kinapikwa
@josephlorri431
@josephlorri431 6 ай бұрын
Hao wanaokimbikiza kuzika watakuwa wanazika watu hai..
@maindamai8374
@maindamai8374 6 ай бұрын
😢😢
@abedimhjeshi593
@abedimhjeshi593 6 ай бұрын
Kweli uwaga wana kimbiza watu haraka haraka kuzika ipo siku MTA tuzika wengi tupo hai afu tuna zinduka tukiwa kaburini
@HemedSaleh-oh3cz
@HemedSaleh-oh3cz 6 ай бұрын
Move 😂😂
@edwardleonard5793
@edwardleonard5793 6 ай бұрын
Bahati ni kwamba hakuwa amepelekwa mochuari angefufukia huko wangemalizanae tuu
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
😂
@backamwasha8280
@backamwasha8280 6 ай бұрын
Acha kudanganya watu kijiji kilitetemeka wapi mie ni mwenyeji Wa uko mwanza Sema ukweli baba yako ni mganga wakyenyeji
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Mchawi, labda majini yake hiyo nana ake
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 6 ай бұрын
Baba yako ni mganga wa kienyeji tu ongera ukweli tu.
@backamwasha8280
@backamwasha8280 6 ай бұрын
Acha uongo Wewe siyo Wa mwaka1990 mbona mnapenda kutudanganya
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
anawez ,mwanangu wa Mwaka 89 wako Sawa tu kama yeye
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
Rangi hiyo ni mbaya Inachakaa Haraka
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c 6 ай бұрын
Sasa umekufa alafu unaongea au ulikuwa unasikia yanayotendeka
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 6 ай бұрын
Kwani chemical nyie huwa mnajua ni nini?
@user-yj2qc6cw3q
@user-yj2qc6cw3q 6 ай бұрын
Majabu mengi yatokea uko Tanzania 🇹🇿
@kiri5807
@kiri5807 6 ай бұрын
Alizimia huyo , Hakuna kufa na kufufuka kwa hii dunia . Ni vile tunaharakisha mazishi na hivyo ndio quran imesema .
@alicehaule1306
@alicehaule1306 6 ай бұрын
Ulijuaje ametokea gafla na ww ulikuwa mfu acha kutusokota bhana
@LucyLaut-ij7ev
@LucyLaut-ij7ev 6 ай бұрын
Aliadisiwa
@user-sk5sd7kc9g
@user-sk5sd7kc9g 6 ай бұрын
100kilo🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@kingeibiy
@kingeibiy 6 ай бұрын
Uyo hajakafiniwa au
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 6 ай бұрын
Alizimia tu mtu hafi halafu akafufuka
@asteriashios1852
@asteriashios1852 6 ай бұрын
Wee sema ni mganga wa kienyeji au ndo alikutesti
@backamwasha8280
@backamwasha8280 6 ай бұрын
Sema mganga Wa kyenyeji
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Mchawi 😂
@khadijakhamis7957
@khadijakhamis7957 6 ай бұрын
Ah haiwezkn bhn tuacheeee 😅😅😅😅
@kristenongo7094
@kristenongo7094 6 ай бұрын
HUYU ALIZIMIA HAKUFA KABISAA
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 6 ай бұрын
😂😂😂😂
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 44 МЛН
BIBI HARUSI YAMKUTA MAZITO, NDOA YAVUNJWA KUMBE ANA WATOTO
9:44
MKE APEWA TALAKA USIKU WA MANANE, MUME ADAI MTOTO SIO WAKE
28:32
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН