BIBI HARUSI YAMKUTA MAZITO, NDOA YAVUNJWA KUMBE ANA WATOTO

  Рет қаралды 13,606

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 190
@majilachannel2821
@majilachannel2821 23 күн бұрын
Huyu naye ,Kwa hii Dunia ya kumlilia kiumbe kweli , Dunia tuliopo ni ya kumlilia mungu2
@SianaMlay
@SianaMlay 23 күн бұрын
Haya ndo malipo ya uongo katika mahusiano. Watoto ni baraka,why umfiche mwenzio
@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris 23 күн бұрын
Ulikosea sana sstr kuficha watoto
@JoyceNeema-wu8lu
@JoyceNeema-wu8lu 23 күн бұрын
Tena alikosea pakubwa sana,,mungu hakupenda yeye niaombe msamaha kwa mungu..
@AgnesShuma
@AgnesShuma 24 күн бұрын
My dear wewe ni mrembo Sana Tena unarangi mzuri Mungu akupe mume mzuri kitoka huko mataifa yambali. Na maaduyi zakowote wa fyate mikia.
@EsterWiliam-to5mb
@EsterWiliam-to5mb 22 күн бұрын
Weww nae ukome unakaaje na Mt hujamwambia unawatoto
@erizabethchanga636
@erizabethchanga636 23 күн бұрын
Yaani huyo kaka munguu amsaidie anaweza akpata mke mungine na asizae munguu hulipa hapahapa duniani
@nyalalijuma2095
@nyalalijuma2095 18 күн бұрын
Kosa lake nini?ye kwanini amfiche? Kuanza 2-0 unazan masihara ee?
@mahmoodabbas7506
@mahmoodabbas7506 Күн бұрын
Jifunze kuwa mkwel na usiwe na kona, mwanaume wa kukuoa yupo ila usirudie kosa la kipumbavu utawakosa wote , mkosi wako n uongo huo ulionao
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 21 күн бұрын
HAPO NAKUSHAURI ACHANA NA HUYOMWANAUME UKIENDELEA KULIA ATAJIONA SANA WEWE URAMBA ACHANA NAYE.
@user-gj1rq9nm1p
@user-gj1rq9nm1p 22 күн бұрын
KWA NINI DADAA HAUKUSEMA UUKWELI , FROM THE START...,?..YOU DIG YOUR OWN GRAVE ..NA UMEINGIA MWENYEWE,🎉,... REPEAT 🙏, DON'T BLEM GOD
@jadetoto
@jadetoto 6 күн бұрын
Huyo Mama yake au ndugu wa hiari mana ni cheaper Dawa watoto mangara au wamefata kwa Baba
@simoncharles3633
@simoncharles3633 21 күн бұрын
Naona wengi wanalaumu tu mwanaume, ila swala lnaanzia kwa nini alidanganya kipindi chote kuwa hana mtoto ama watoto. Heri kuwa mkweli from the beginning, mtu siyo kama hapendi watoto ama mtoto. Ni kuwa muwazi, mtu unaweza sema kama amekuficha haya ni vipi kama watoto ni zaidi na hawa ndo nlofankiwa wajua, ama pengine kuna mengine hayasemi. Ni kote kote mbaya mwanaume kumficha mdada ni mbaya pia. Ndoa inafaa ianze na misingi ya mema na ya ukweli.
@user-ry4kx9hg7o
@user-ry4kx9hg7o 24 күн бұрын
Pole Sana mama,niumia Sana, tulia utaolewa tu.
@ZekaniS
@ZekaniS 23 күн бұрын
😂😂😂wamemuona mwamba anataka kupewa tuzo nae anakuja na snema sasa uloficha kuwa we mama WA watoto wawili
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 21 күн бұрын
Mbona munamushambulia mwanaume sana wakati mmemficha hao watoto 2. Kuweni wazi.
@zabibuidi1938
@zabibuidi1938 24 күн бұрын
Watoto balaka kwanini ulimfichaa umevunja uaminifuu
@Araphrqra
@Araphrqra 24 күн бұрын
Unaficha damu yako na sahivi watu wanatamba na watoto wao ila ye ameficha na alienda leba anataka kujifanya binti na uso umekomaa ivo😂😂😂
@user-im8pr5cj3n
@user-im8pr5cj3n 23 күн бұрын
Ila huyu dada amekosea kuficha watoto angemwambia ukweli labda huyu kaka asinge kataa watoto angekuoa mwanaume amewazakuwa wewe si mwaminifu kwanini unaficha watoto wako, ​@@Araphrqra
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 23 күн бұрын
Hayo hua yapo lkn utaolewa na utaogeshwa,uko bomba,
@fridaminja7191
@fridaminja7191 23 күн бұрын
Kweli kabisa
@franktibwita228
@franktibwita228 3 күн бұрын
Ukweri usemwe ulikosea kumficha kuwa una watoto hata ningekuwa mm ninge kukataaa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 23 күн бұрын
Kosa ni kutokumwambia ukweli.watoto ni baraka.pia huwezi kuwaficha😮
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 23 күн бұрын
Uyu mama alievaa miwani ni muigizaji hakuna ukwel hapa
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 19 күн бұрын
Ni kweli kabisa huyo binti mimi namjua vzuri kbsaaa anaitwa Thawabu Khalid
@jadetoto
@jadetoto 6 күн бұрын
Aiseee lkn nasikia ni kweli watu walikuwepo japo ni.muigizaji
@brigethsauzand3926
@brigethsauzand3926 23 күн бұрын
Nyamaza bhana unaumiza watoto wako endelea kuwapambania watoto wako
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 21 күн бұрын
Huo uongo mama mzazi amehusika kwa asilimia 100. Ombea wazazi wako wawe na hekima
@MankaLema-v3o
@MankaLema-v3o 19 күн бұрын
Pole dada usijali utapata mwingine huyo sio ridhiki yako wanaume ndio wLivyo
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 24 күн бұрын
Mnaigiza tu hapo
@beautyafrica254
@beautyafrica254 8 күн бұрын
Kuficha mtoto au watoto sio kitu kidogo,mbona asiongee ukweli,kisa kama hiki hiki kilinifanya nivunje mahusiano na mchumba wangu nilitaka kumuoa kwa kuficha watoto wawili,alafu baadae mnatuita sisi wanaume mbwa
@wandedalushi2984
@wandedalushi2984 23 күн бұрын
Hicho kilio ni Kama anajutia kwanini ako na watoto hatowafurahia watoto kisa kuolewa
@sulemaan8798
@sulemaan8798 23 күн бұрын
Dadangu. Muelewe. Mama. labda. Kwenye. huo. Mji. Kuna mkosi. Mungu. amekuepusha. Mshukuru. MUNGU. Jipende. ddngu. atakukumbuka Lakini. Ukilia. hivyo. atakuona. hupendwi. raha. Jipe. Mwenyewe jifanye. hamnazo
@NaomiMollel-v5r
@NaomiMollel-v5r 22 күн бұрын
Ww ndo mwenye makosa y ufiche
@JanethGeorge-gc5oc
@JanethGeorge-gc5oc 19 күн бұрын
Mna raha na wamama wa kuwabembeleza mnao .
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 21 күн бұрын
WEWE MDADA ACHA KULIA KUNA KITU MUNGU AMEKUEPUSHA. HUYO MWANAUME HATA AKIOA HATA KAA APATE WATOTO. MAANA HAWATAKI WATOTO. ANAROHO MBAYA SANA
@beautyafrica254
@beautyafrica254 8 күн бұрын
Usijaze mtu sumu kwa kumdanganya,huyo bi harusi alifanya kosa kubwa sana kuficha watoto.Kama mtu anakuficha watoto,je unadhani ako na Nia gani kwenye ndoa ,kisa kama hiki kishawai nitokea namshukuru mungu kwa kuwa nilikuwa bado sijaanza mataarisho ya ndoa but sikuweza kuendelea nae,siwezi kukuuliza uko na watoto alafu unijibu huna then all of a sudden nikute uko na watoto🚮🚮🚮
@CharleneGreen-e8u
@CharleneGreen-e8u 5 күн бұрын
864 Antonietta River
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 19 күн бұрын
HUU NI UONGO Huyu binti namjua haitwi Vick anaitwa Thawabu Khalid Mrope tuliishi nae Arusha nyumba jirani na nlikua pekeangu nkawa namuomba aje kulala kwetu,alikua anaishi na dadake anaitwa Rehema na kwao ni Lushoto Tanga japo ni wamakonde,nakumbuka alipewaga mimba na mtoto wa balozi ndo akarudi kwao Tanga leo ndo namuona anaigiza hapa khaaaaaa wala huyo sio mamake mzazi
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 21 күн бұрын
Unampa sifa huyo mwanamme. Mama anakufariji ukiacha achika ujue Mungu amekuepusha nn usifosi unalia iweje unataka watoto wakanyanyasike kwa baba wa kambo. Huyo mwanamme ni mkweli kwa sababu hakuwa tayari kulea kizazi si chake, hivyo ni bora ajiepushe mapema kuliko kuwadanyia ukatili watoto, kumbuka heri lawama kuliko fedheha. Inshallah utapata mume mwingine wala si aibu ni kawaida sana. Siku nyingine uwe muwazi ili mtu ameze au ateme.
@habibamura5255
@habibamura5255 23 күн бұрын
Siwezi kuficha watt wangu kisa kulewa
@marytitus3922
@marytitus3922 23 күн бұрын
Unapenda mwanaume kuliko watoto wakooo mmmmmmh ukiona una funga ndoa na mwingine si kumaanisha baba watoto ulimwacha,,,,kwa nini usikubali roho safi huyo aende,,,,kwa nini ulificha watoto wako,,,Lea watoto songa mbele
@khadijaahmedi9937
@khadijaahmedi9937 23 күн бұрын
Kwa nini sasa kamficha kama ana watoto sio kosa la mwanaume tamba na watoto wako ukmpata tu mwanaume unmweleza nina watoto akikubali sawa akikataa basi sio kosa lake mwanaume apo amefikiria iyo umemficha kuna mengi utamficha tu alichowaza kiukweli mi sioni kosa la mwanaume apo
@Stella-oh3my
@Stella-oh3my 22 күн бұрын
Yan mm mwanaune akinitongoza namuambia na mtoto akinipotezea sawa akikubaliana na mm sawa
@brigethsauzand3926
@brigethsauzand3926 23 күн бұрын
Ungemwambia ili ujue atapenda ua na boga lake una makosa dear watoto ni baraka
@KhalidaUridu
@KhalidaUridu 23 күн бұрын
Mwche ya mkute kwann hakumwmbya ukweli Sema ukweli uwe huru hapo kasema Hana katoto ovyooo
@samwa9496
@samwa9496 23 күн бұрын
Watu wambea sasa mnamiga picha na kumrusha yanini kama ni mimi nawashitaki
@rosekinyunyu6290
@rosekinyunyu6290 23 күн бұрын
Pole Mungu kakuepusha kitu
@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris 23 күн бұрын
Mwanaume hana kosa coz uyo dada alikosea tu kumficha mchumba wake
@mohamedabdallah6480
@mohamedabdallah6480 23 күн бұрын
Kwani watoto tatizo ujinga huo mwanaume anashida
@jokhaali5893
@jokhaali5893 24 күн бұрын
Pole sana darling, rizki yako M. Mungu atakuleteya. Upowe mwana
@zenahans1751
@zenahans1751 23 күн бұрын
Kwahiyo unatuonyesha kuwa ungeambiwa uwauwe watoto wako kwasababu yamume ungewauwa acha ujinga usiache ambachao kwa msala upitao mwache aende lea watoto wako
@asmamjema8539
@asmamjema8539 20 күн бұрын
Ulitakiwa uweke waz una watoto akupenda na wanao umekosea sana, na bora kuna kitu Mungu kaepusha kwani unatakiwa upate mwanaume ataekupenda na wanao dada kwani akikupenda wewe wanao hawapendi unafanyaje, kwa upendo huo ungetelekeza watoto wewe, bora alivyoondoka
@adamhashim3352
@adamhashim3352 24 күн бұрын
Kuna ambayo ilinitokea mm goba tumeenda kufungisha ndoa baba mtu kagoma kutoa idhini na mtoto kashavaa shera bwana harus kashafika baba mzazi alitengana na mkewe watoto wanaish na mama kwo mzee hawakumhusisha sasa kwenye kutoa idhni mzee kagoma wewwe. Binti aliliaa balaaa
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w 23 күн бұрын
Angekuwa na ndugu yake tumbo moja wakiume ambae mashirika balehe anamtolea idhini hao wababa nivisirani sn japo sio wt
@user-lf5ee3ok8f
@user-lf5ee3ok8f 3 күн бұрын
Utakufa juu ya mwanaume dada,njo mwanaume ule,Acha stresse utapata mwingine,lakini usiwe mufishi
@lydianasimiyu3138
@lydianasimiyu3138 23 күн бұрын
Mbn ulificha watoi sas but pole sana wew n strong women wacha kutuambishaa na machozi banaa simama wanaume hawaminikii sai ...?sasa wew ukilia sai na watoi wako watalia ache amuka bana
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 22 күн бұрын
Habari ya mchongo hyo
@HassanAli-nj7zy
@HassanAli-nj7zy 23 күн бұрын
Mdogo wangu. Huyo sio wako na mshukuru
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 23 күн бұрын
Poleee babe mama..ulikosea kutomuweka wazi huyo alietakiwa kuwa mumeo .
@sandyvoicevevo
@sandyvoicevevo 23 күн бұрын
Kikuweli wanaume saiv atuitaj wanawake wenye watoto
@sharlynshabani6815
@sharlynshabani6815 23 күн бұрын
Aache kificha wa toto wak mpuuz huy
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 24 күн бұрын
Mm nasema popote km watoto nnao na natamba nao simfichi mtu akinitaka sawa asinipende potelea mbali
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 22 күн бұрын
Kabisa
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 23 күн бұрын
Dada acha ujinga, kama ulimficha watoto hilo ni kosa lako, pia unamlilia mwanaume!! Shida wadada ukiambiwa nakupenda mnajifunua kila kitu sasa ndo hayo!! Hujitambui halafu unajidhalilisha kwenye media Huyo mkimwacha atanyaza anajizima data!!
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t 23 күн бұрын
We hujui Mungu kskuepusha na mengi furahi zimevunjika kanisani mtu hawatokei
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 23 күн бұрын
Hivi nyie waume,hamuoni tofauti ya mama,msichana,au ni vp?mbali na yy mwenyewe kuongea,msituzingue banaaa,nko kenya ❤
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 24 күн бұрын
Mungu amekuonyesha sio mwanaume hapendi watoto acha kulia penda watoto Wako
@-RydaJamal26
@-RydaJamal26 23 күн бұрын
Ila mwanamke ndio mwenye makosa mbona hakusema ukweli
@user-in7ud5gj7c
@user-in7ud5gj7c 23 күн бұрын
Sasa kama alimficha ulitaka afanyaje?
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 22 күн бұрын
Maigizo yenu na gauni ls bibi harusi ni lile lile la ndoa iliyovurugwa ukumbini
@BethilaLuoga
@BethilaLuoga 23 күн бұрын
We nawe kinachokuliza nn mda mwingine mkakomage aliye kwambia ufiche watoto Nan
@EgraWilliam-oo8th
@EgraWilliam-oo8th 23 күн бұрын
Wiki ijayo ndoa mbona kavaa shella Leo mbona kama tamthilia hii😅
@ole_larusai587
@ole_larusai587 20 күн бұрын
Wanawake wanajua kujiteteta😂😂 Siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto
@mamnuru9802
@mamnuru9802 24 күн бұрын
Ni kweli kama ipo, ipo tu jukubali kama mwanamke pambana watakuja wengi pls my sister tumepitia vingi zaidi ya hivyo lakini mungu yupo, Cha msingi jiamini amka upya.
@MegaAbby1010
@MegaAbby1010 6 күн бұрын
Sasa ndoa ya week mbili zijazo shela linavaliwa leo😅..
@generosennko8343
@generosennko8343 23 күн бұрын
Hii ni kweli au ni mchezo wa kuigiza? Kama ni kweli kwa nini ulimficha mwanaume? Mungu hausiki hapo. Shida umeileta wewe. Ukiwa mkweli utaolewa. Jifunze hilo. Yupo mungu aliyekutengea na atatokea. Jipe moyo
@esterpaul5856
@esterpaul5856 23 күн бұрын
Matapel hayo
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 23 күн бұрын
Mchezo tu wa kuigiza wanatafuta viewers,
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 23 күн бұрын
Maigizo tu, kuna mtu angeruhusu muandishi wa habari kuingia ndani amuhoji wakati yupo katika majanga, haya maigizo yakutafuta folowers ina uso wake uongo uongo
@graceshirima6072
@graceshirima6072 23 күн бұрын
Kwanza kabisa mwangalie mama yako lakini pili angalia watoto wako, nikushauri tu mshukuru Mungu labda huyo mwanaume angekuja kukuchinja mshukuru Mungu amekuepusha na kitu kikubwa saaana kuwa jasiri Huna mkosi wala nini yoote maisha,
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 23 күн бұрын
Mm nashangaage.ukute katika.mXungumzo yao.hawakuwah.kuzungumzia.hilo
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm 23 күн бұрын
Mi mwanaume akinifata tu namuambia nna mtoto kwaiyo chaguo nilake kukubali au kukataa tena na ada yamtoto anatakiwa atoe nahata ningekua nawatoto 10 nisingeficha
@jamilaambrose7152
@jamilaambrose7152 23 күн бұрын
Usiliee mwaya hiyo sio riziki yako mwaya tulia
@fridaminja7191
@fridaminja7191 23 күн бұрын
Yan dda unalia kweli ooh! Yan kumllia mwanaume mwiko
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 23 күн бұрын
Mimi kuachilia moyo wangu kwa bwana au mtu anayetarajia kunioa sitaki ata akiniahidi nini namjibu tu siamini hata akinioa sitaki kuachilia moyo wangu maana nitateseka mimi iii pole dada Mungu yu pamoja nawe
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 23 күн бұрын
Mdada mrembo kweli
@chikujuma18
@chikujuma18 24 күн бұрын
Pole dada najua unaumia mola atakupa mwingine inshallah
@sharlynshabani6815
@sharlynshabani6815 23 күн бұрын
Kweny mahucano yako nakushaur ucfiche watoto wako kwan uliwatafuta mwenyew so watot wako kwanz hayo mengin badae acha kituaibisha wanawak wenzak
@annemlay11
@annemlay11 23 күн бұрын
Ulikosea sana kum for icha una watoto.Kwa nini hukufikiria kuwakana wanao.Huna maana.
@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris 23 күн бұрын
Sasa yenae mbona alificha watoto
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 23 күн бұрын
Mimi ningemshauri huyo dada aache kabisa kujiliza na kujinyongonyesha huyo mwanaume siyo chochote Hana lolote mtu asiyependa watoto mtu gani yaani watoto TU ndiyo amuache mchumba hebu dada endelea na maisha yako
@user-cf5li5mf9o
@user-cf5li5mf9o 24 күн бұрын
Huo ni ujinga ww fanya biashara Lea watt wako ww unamlilia mwanaume ndugu yako
@naimajuma647
@naimajuma647 24 күн бұрын
Sasa ndoa wiki ijayo mbona kavaa nguo ya harusi acheni izoo
@user-lb8lq7um5x
@user-lb8lq7um5x 24 күн бұрын
Michezo iyo 😂😂 wanao amini kazi kwako sema na dada Kajua kulia kaitendea movie hakii😂
@user-lb8lq7um5x
@user-lb8lq7um5x 24 күн бұрын
Micheze iyo 😅😅 kunawajinga wanaamini 🤣🤣🤣
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 23 күн бұрын
Kwanza kama angalikuja kugundua mbeleni ndoa ingevunjika tu😮😮😮Sasa dada acha uchizi.Hakuna aliyekufa😮😮 acha kumlilia.mwanaume😮😮
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f 23 күн бұрын
Polee mwanangu.
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 24 күн бұрын
Kwanini hukusema jamani weeeeeweeee ndoa mpaka unaukana uzao wa tumbo lako mwenyezi mungu hapendi,akipenda boga na mauwa yake ,angejua ingekuwa bora,kuna familia nyingine hawaowi wanawake wsliokwisha zaaa,wtt wako ni bora kuliko ndoa acha ufala ungesema ndume ingeamua kunyoa au kusuka ,
@SiloEuphrasie
@SiloEuphrasie 24 күн бұрын
Mama kweli wanaume ni wengi ila mume ni moja tuu uyu ana aki yake yakulia mauna anampenda mumeo,inawezekana uyu kaka aka fata comente iyo asiangalie upande mama una makosa mengi kwenye misemo ila angaliye moyo wa uyu dada jisi unateseka kwajili yake na amusamehe sisi zote tuna makosa mungu pekeyake ndiye mtakatifu,tunakuomba kaka msamehe mukewe kama utafata vidéo hii
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 23 күн бұрын
Nilijua kafiwa na mume kumbe 😢😢 Bora hayo maamuzi kayafanya hata mkato wa chumba hujauona
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 23 күн бұрын
Acha udhaifu swala la familia mnaliweka hadhalani ili jamii ijadili udhaifu wenu 😊 mleteni nimuoe
@annalubango9899
@annalubango9899 21 күн бұрын
Kwa hoyo alikuwa anenda kuolewq na hizo ccm kichwani???
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 23 күн бұрын
Wewe dada nitafute nikusaidie ndugu yangu make duu inauma sana tuliozalia nyumbani
@PeternicolausMlonganile-zw8im
@PeternicolausMlonganile-zw8im 23 күн бұрын
Sa mbona amevaa gauni la ndoa leo
@JEHOVAHNISSIINTERNATIONALCHURC
@JEHOVAHNISSIINTERNATIONALCHURC 23 күн бұрын
Matumizi ya R na L pia kuchanganya lugha wakati pia huondoa ladha ya taarifa....na kids-qualify ethics za utangazaji
@chidysong9187
@chidysong9187 23 күн бұрын
Wafariji sasa daaah 😂
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 24 күн бұрын
Saa ingine angekuja akakutesea watoto wako ni kher yako hio Allah kakuonesha bado mapema huo bwana hakufai na angekuwa anakupenda si angewakataa wanao
@AngelMkufyaa
@AngelMkufyaa 23 күн бұрын
Pole Sana Dada lakin ulifanya makosa kuwaficha watoto wako kisa kuolewa namwanaume mwingine
@SiloEuphrasie
@SiloEuphrasie 24 күн бұрын
From DRC, pole dada mbona hakusema ukweli toka mwanzo
@MarryKimaro-m9k
@MarryKimaro-m9k 23 күн бұрын
Ndo wakome kuficha.Hivi mtu unaanzaje kuficha kuwa huna watoto wakati unao?
@ElizabethMagessa-f6w
@ElizabethMagessa-f6w 23 күн бұрын
Pole dear Mungu atakupa Mme sahihi!. Wakufanana nae.
@HezronPedias
@HezronPedias 21 күн бұрын
Kama anamtaka mme sahihi mshauli awe muwazi vinginevyo tutakuwa sisi tunatoa comment tu
@JoyceNeema-wu8lu
@JoyceNeema-wu8lu 23 күн бұрын
Mbna udanganye bas kwamba huna watoto????mungu pia hakupenda kitendo ulichokifanya,,,anyway pole sana dadaangu,,,,watoto siku zote n malaika wakubali popote kila wakati,,,,tujifunzeni,,,na sio ety mwanaume n shetani apana,,dada uko na makes.
@halimashaban7038
@halimashaban7038 24 күн бұрын
Kwann kuficha watoto!!wanawake wapate funzo kupitia huyu mama!!laana ya watoto uliowakana inakuandama..hakuna mkosi wala nuksi...mtu jiongee ndio mwengine ajiamulie yy mwenyewe..mm nikatae mtoto wangu sababu ya mume naumwa🤔
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 23 күн бұрын
Usimlilie mwanaume kipenzi ,ingawa inauma dahhh,hakuna mwanamke asiyepitia situation kama hii,tena huyo mwanaume mbabaifu achana nae
@AgnesShuma
@AgnesShuma 24 күн бұрын
Pole my dear friend acha kuonesha Wanaume machozi yako.acha kutuaibisha wadada wenzako .
@esternsimbila5359
@esternsimbila5359 23 күн бұрын
Kosa ni lake mwanamke kwaninin alimficha mchumba wake kuwa anawatoto angekuwa muwazi toka mwanzo kwa mchumba wake
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 24 күн бұрын
Kwa Nini haukumwambia mapema kama una watoto?
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 23 күн бұрын
Sasa kwa nini amevaa shela
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 15 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 22 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 87 М.
MKE APEWA TALAKA USIKU WA MANANE, MUME ADAI MTOTO SIO WAKE
28:32
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 15 МЛН