BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/ MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA..PART 07

  Рет қаралды 6,418

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#baharia #mbanga #dupamdupange

Пікірлер: 30
@dar24media
@dar24media 7 ай бұрын
Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761. kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
@hashimrashid6380
@hashimrashid6380 7 ай бұрын
Dupa tatizo lk unasherehesha sanaaaa
@kingkendrickk
@kingkendrickk 7 ай бұрын
Nashukuru kwa kuliona hilo
@godsonkimaro1440
@godsonkimaro1440 7 ай бұрын
Endelea story ilipo ishia unatuchanganya, mbona zingine un piga vizuri sana bro.
@bongomastory791
@bongomastory791 7 ай бұрын
Dupa unazingua huna mwendelezo mzuri wa story muache msimuliaji aendelee alipoishia kama una maswali utamuuliza mwishoni
@mjukuuwamizimu8524
@mjukuuwamizimu8524 7 ай бұрын
Story unailudisha nyuma. Tuliishia pale kila MTU amepewa police wake. Wakaanza kuutapa tapa
@lilmg6242
@lilmg6242 7 ай бұрын
Punguza kuhoji sana tupe story
@hamisamadimpozi5923
@hamisamadimpozi5923 7 ай бұрын
Story tamu ndio anapoishi duu maisha hayaa pamoja ❤
@jooepaullas791
@jooepaullas791 7 ай бұрын
Dah hyu Dupa Sikuhiz kipindi kimeshinda maana hata hujui upo episode gan 😅😅
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 7 ай бұрын
Bongo moja la story noma sana 🔥
@MohamedHaibe-m8g
@MohamedHaibe-m8g 6 ай бұрын
Bro dupa ni nini maana ya neno kabunyau
@sultandihomba4359
@sultandihomba4359 7 ай бұрын
Dupa unataka kulefusha story Sasa matokeoyake unaboa kwenye story
@francistadayo1569
@francistadayo1569 7 ай бұрын
@BarakaMkwawa-r1d
@BarakaMkwawa-r1d 7 ай бұрын
Jamaa anazinguwa muendelezo mbovu kabisa
@bongomastory791
@bongomastory791 7 ай бұрын
Kati ya dakika 30 mwendelezao ni dakika 10 upuuzi
@SamirahKiango
@SamirahKiango 5 ай бұрын
Upuuzi kweli
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 7 ай бұрын
Dupa mbwembwe nyingi sana adi unaboa
@trienette6224
@trienette6224 7 ай бұрын
Dupa mjomba Leo kazingua
@topselaz6366
@topselaz6366 7 ай бұрын
✌️
@NaaZeyana
@NaaZeyana 4 ай бұрын
Punguza kuhoji unahoji sana nimekifatilia kipindi kwa muda mrefu sana watu tofaut lakini unachosha umuachi mtu adithie story tujifunze lakin unamkatisha kila wakati unaboa kaka
@kingkendrickk
@kingkendrickk 7 ай бұрын
Dupa unafeli kipindi hovyo hovyo siku safari hii, acha jamaa asimulie wewe hauna haja ya kuongea ongea, hayo maswali muulize baada ya kumaliza simulizi
@MitosoMtoni
@MitosoMtoni 9 күн бұрын
Oya mwambie anayumba
@NikyHassan
@NikyHassan 7 ай бұрын
Br.Dumpa punguza PRRRRRR.....
@issaally9403
@issaally9403 7 ай бұрын
Bab kubwa
@nobamsigala2951
@nobamsigala2951 7 ай бұрын
Ilikuwa hela sh ngp
@jasonsaco5192
@jasonsaco5192 7 ай бұрын
IYO STORY ANGEMPLEKEA DAVISTA MATA
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 7 ай бұрын
Yule Jamaa anajua sana
@SamirahKiango
@SamirahKiango 5 ай бұрын
😅😅😅😅kweli
@cchimodzi3858
@cchimodzi3858 7 ай бұрын
Njia ya kwenda Ulaya
@daudjoseph8513
@daudjoseph8513 7 ай бұрын
Tuliza mdomo basi
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
LIVE: Mama Yake Chid Benz Afunguka Yote Yanayomhusu Chid | Shajara
1:14:41