Kijana aliyemiminiwa risasi 14 ahangaika mjini Nakuru

  Рет қаралды 23,298

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

10 күн бұрын

Mvulana wa miaka 14 aliyepigwa risasi kumi na moja za mpira na maafisa wa usalama kwenye maandamano ya kupinga mswada wa fedha jijini Nakuru, ameendelea kuhangika na maumivu. Licha ya kuondolewa hospitalini siku tano zilizopita, kijana huyu amesalia na risasi tano mwilini. Na kama Maryanne Nyambura anavyoarifu, familia ya mwanafunzi huyu wa kidato cha kwanza imewachwa na mzigo wa kumtibu kijana huyu baada ya madaktari kuelekezea hatari ya kutoa risasi zilizosalia

Пікірлер: 110
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 8 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢mungu mungu huruma na upendo ulienda wapi asikari mwenye alifanya hayo akose amani kwa familia yake na kwa vizazi vyake nne mungu turehemu 😢😢
@DorcaDaniel-pd3yx
@DorcaDaniel-pd3yx 6 күн бұрын
Usilaani usije ukalaaniwa, nena mema nawe utanenewa mema❤
@humphrey.m3638
@humphrey.m3638 8 күн бұрын
11 how? That guy should be in prison. WIsh him quick recovery 🙏🙏
@shhhhh.
@shhhhh. 8 күн бұрын
Quick recovery, Ruto must go
@molotovcocktail4207
@molotovcocktail4207 8 күн бұрын
Kindly we need his parent's number.
@saidmambo2721
@saidmambo2721 8 күн бұрын
Exactly let the mum drop her number we support her
@norah9345
@norah9345 8 күн бұрын
👏
@Ericmwangii
@Ericmwangii 8 күн бұрын
Ruto must go.
@saidmambo2721
@saidmambo2721 8 күн бұрын
Lete namba mamaa tukusaidieeee😭😭😭😭
@norah9345
@norah9345 8 күн бұрын
👏
@mauriceshilabula4574
@mauriceshilabula4574 8 күн бұрын
this is why ruto has to go
@user-ox6dm2fx5e
@user-ox6dm2fx5e 8 күн бұрын
It will never go unpaid 😢
@nyamwangierick2820
@nyamwangierick2820 8 күн бұрын
Unda pay bill pls ata ka nikamia katasaidia
@user-rf7wx7og6t
@user-rf7wx7og6t 8 күн бұрын
Wana roho mbaya hawa police aki ata roho yaliuma😢💔
@user-ih4ps5po9o
@user-ih4ps5po9o 8 күн бұрын
14 mtu mmoja hata kama huyo police ni shetani 😢😢
@aaliamasachi9510
@aaliamasachi9510 8 күн бұрын
Allah ampe shifaa na waliomdhulumu huyu mtoto Allah atawalipa so sad watu wamekua wanyama kana kwamba hawana watoto subhanaAllah yote Kwa sababu ya dunia .kama ni ruto dunia utaiacha pesa hizi huzikwi nazo kila mwanadamu ataenda bila Mali ila ataenda na matendo yake jiulize matendo yako ni yapi subhanaAllah
@user-ih4ps5po9o
@user-ih4ps5po9o 8 күн бұрын
Hata yule mtoto wa 12 yrs alikua ameweka mkono mmoja kwani nia ya hawa police ilikua nini😢😢😢😢
@janeochengo143
@janeochengo143 8 күн бұрын
Pole kijana tuma number
@StephenWekesa-ul8il
@StephenWekesa-ul8il 8 күн бұрын
Nilikuwa natetea Ruto but acha tu aende
@sheilagg1503
@sheilagg1503 8 күн бұрын
Hio ni shetani walai
@StephenWekesa-ul8il
@StephenWekesa-ul8il 8 күн бұрын
@@sheilagg1503 this is too much now hata Kama tuko kwa serikali
@user-ip9ni9yd9w
@user-ip9ni9yd9w 8 күн бұрын
Woi woi may God come and minister him .Give him alot of oranges for vitamin c. I dedicate psalm 109 for the poor boy.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 8 күн бұрын
Dah sasa zote hizo jaman??? Yan inamaana alikuwa tu amelala chini.. Huu ni ikatili mkubwa sana uliopitiliza. Mm ni mtanzania ila hii kitu imeniuma sana
@joyceowoko3287
@joyceowoko3287 8 күн бұрын
The government should do something this boy is in pain ooh God I can imagne how he sleeps with pain 😢😢😢
@victormuthui8937
@victormuthui8937 8 күн бұрын
Tumeni number
@norah9345
@norah9345 8 күн бұрын
👏
@mohamedgathu2676
@mohamedgathu2676 8 күн бұрын
Very sad... justice 😢 justice 😢 justice
@SalomePeninah
@SalomePeninah 8 күн бұрын
Pole kijana
@glado6550
@glado6550 8 күн бұрын
Where is kome
@FatumaBasho
@FatumaBasho 8 күн бұрын
Allah ampe shifaa ya haraka 🤲🤲
@saidmambo2721
@saidmambo2721 8 күн бұрын
InshaAllah
@alextwiri
@alextwiri 8 күн бұрын
ndio maana nachukia polisi malaya hao😢lakini najua watalipia haiti😢
@CarolineBrown-ux2wn
@CarolineBrown-ux2wn 8 күн бұрын
My dear this is inhuman 😢Ngai
@JanetKimathi-bw9rv
@JanetKimathi-bw9rv 6 күн бұрын
Ak pole kabro,mungu ako nawe,naomba qr from God,huyo alikutendea ayo mungu ananamjua na atafanya revenge
@user-rf7wx7og6t
@user-rf7wx7og6t 8 күн бұрын
Hawa police hawana watoto 😢😢😢
@evansouma4333
@evansouma4333 8 күн бұрын
Mtoto alienda maandamano kufanya nini? Huyu alienda statehouse kujaribu kuingia
@skyhaker4742
@skyhaker4742 8 күн бұрын
​@@evansouma4333 protest is a right of every kenyan.... Reason kama mtu mkubwa and read the constitution.
@skyhaker4742
@skyhaker4742 8 күн бұрын
​@@evansouma4333secondly it is clear that you didnt hear or understand the story coz.... He was shot in town not at statehouse.
@japhetizrael5559
@japhetizrael5559 8 күн бұрын
​@@evansouma4333Ingekuwa kwako ama ndugu yako ungekuwa waeza ongea hivyo kweli
@mayaspanic221
@mayaspanic221 8 күн бұрын
@@evansouma4333 if this was your son, you wouldn't be talking like a deranged demon
@sylviawambui748
@sylviawambui748 7 күн бұрын
Zakayo na Jezebel wako hop mnafurahiya sasa😢 huyu mama aingie Tiktok tumchangie
@jameskeremi7066
@jameskeremi7066 8 күн бұрын
Awa polisi nimatasa waezi saa watoto na mungu wasiwapee watoto😭😭😭
@liliangatobu4106
@liliangatobu4106 6 күн бұрын
Amen
@CoxConcept
@CoxConcept 8 күн бұрын
Ati mlikua mmeficha uso, mkasahau uko mwisho...
@cryptoth4n0s77
@cryptoth4n0s77 8 күн бұрын
With Kenyan media houses, anonymity is never there. You are likely to get killed by them doing expose because this is not the first time they have failed to blur out completely. They usually fail at the thumbnail shot, or at the first of the film and the tail end.
@lucymwangi655
@lucymwangi655 8 күн бұрын
Pay bill plizz
@sabbathfaith879
@sabbathfaith879 8 күн бұрын
Paybill or anything we will help
@valerineval3233
@valerineval3233 8 күн бұрын
May God intervene this is so painful
@ngari117
@ngari117 8 күн бұрын
remember half the deaths in 2007 pev were by police
@jameskeremi7066
@jameskeremi7066 8 күн бұрын
Very sad 😭😭😭
@Nicholas-yr2sq
@Nicholas-yr2sq 8 күн бұрын
I hope zakayo is watching keenly, this week lasima atuuwe wote atumalise🔥😣
@Travelwithfred
@Travelwithfred 8 күн бұрын
Waaah police haki
@fridahkarimi5510
@fridahkarimi5510 6 күн бұрын
MIKE SONKO kindly help!
@iwork7257
@iwork7257 7 күн бұрын
Ruto, Kindike, Bungei, and Koome should not just resign, but must be prosecuted for the deaths and injuries of INNOCENT CHILDREN
@user-to4xx3rj1m
@user-to4xx3rj1m 8 күн бұрын
😢😢😢😢😮
@SomoIya-qh7jz
@SomoIya-qh7jz 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@martinkaindi4988
@martinkaindi4988 8 күн бұрын
Now I curse the police who did this
@w32vash74
@w32vash74 8 күн бұрын
😭😭😭
@danielekakoro5265
@danielekakoro5265 8 күн бұрын
Ruto God is watching you
@tonynjugunanjogu3090
@tonynjugunanjogu3090 8 күн бұрын
kenyans we need to be there for each other this our brother we aint suppose to get tired we should stand for his well being pay bill itabe.we should not beg govt to help we don need anything to do with ruthless n chestthumping politicians.
@lillshadTv
@lillshadTv 7 күн бұрын
Our police are idiots😢
@tumaabby2172
@tumaabby2172 8 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@user-wl1gn9gq3s
@user-wl1gn9gq3s 8 күн бұрын
What the hell...huyu polisi anayefanya hivi Ako na mtoto kweli
@lucymwangi655
@lucymwangi655 8 күн бұрын
Woi gervment Gz saidia pliz
@fredmariita8930
@fredmariita8930 7 күн бұрын
The police who did this will never find peace in is ethere life 🙏🙏🙏🙏
@AhmedMohamed-wm5zk
@AhmedMohamed-wm5zk 8 күн бұрын
14, how comes😢 ?kwani huyo polisi alikua wazimu?we feel sorry for him,pole quick recovery
@user-ih4ps5po9o
@user-ih4ps5po9o 8 күн бұрын
Mtu amelala chini si moja tu ilikua enough 😢😢
@fredricklemiso6191
@fredricklemiso6191 8 күн бұрын
Umaskini Kenya ni shida tu😢
@vivianchemayek5359
@vivianchemayek5359 8 күн бұрын
Huyo askari ni mnyama aje hata hakuwa na huruma surely 😢
@jobungure7195
@jobungure7195 8 күн бұрын
When ruto is on the throne what do you expect
@user-vz7ey7ey9i
@user-vz7ey7ey9i 8 күн бұрын
Please wazazi next time mkisikia kuna maandamano don't allow your kids to go outside especially wanafunzi
@suzanwang7654
@suzanwang7654 6 күн бұрын
NA Raila anasema dialogue
@NelsonWakeronya
@NelsonWakeronya 8 күн бұрын
Bahati mbaya Tu, lakini usiende maandamano tena
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 7 күн бұрын
Pumbafu!
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 7 күн бұрын
Churches cursed this country for deceiving masses of people that Ruto was their God given choice. Kumbe jamaa ni nyoka!
@erickonsongo8377
@erickonsongo8377 8 күн бұрын
Tuma paybill
@SadikiMwaipopo
@SadikiMwaipopo 8 күн бұрын
Mungu awalaani police walio shoot uyo kijana
@alexisonthebeatproducer
@alexisonthebeatproducer 8 күн бұрын
Paybill banaaa
@MahatechahaleEvans
@MahatechahaleEvans 8 күн бұрын
Uyo polisi afariki kabula sikuzake kufika
@user-jk4od9vv3c
@user-jk4od9vv3c 8 күн бұрын
Tumeni namba tutoe chenye mtu ako nacho kindogo atibiwe
@brighton1168
@brighton1168 8 күн бұрын
Tupe namba ya mpesa tutamchangia
@dominicmusesya6428
@dominicmusesya6428 8 күн бұрын
Kino polisi mwiandu ndia muno
@SusanKaranja-tt8lq
@SusanKaranja-tt8lq 8 күн бұрын
Whaaaaaaaaat??????
@antibiotic7238
@antibiotic7238 8 күн бұрын
Shida iko wapi polisi akifinya mkikuyu na mkalee?😂.. Wacha wafinywe coz they celebrate when other tribes from opposition go through the same.Karma nae sio mchezo yani hii ni lesson wakenya wamepata this this time
@MARKNZIOKI-yy2ff
@MARKNZIOKI-yy2ff 8 күн бұрын
Akwende devil,Hana huruma kabisa
@seneu.2128
@seneu.2128 8 күн бұрын
Hanifa amekalia pesa anasema atatoa pesa kwa familia za watu wamekufa na wale wa live bullets, Sasa kama huyu kijana hafai kusaidiwa? Pesa za wakenya zinaenda kumtajirisha Binti wa kisomali
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 7 күн бұрын
Ruto thrives on blood and lies.
@effiekamau1748
@effiekamau1748 8 күн бұрын
So they just spray bullets blindly?
@gladyskamau9289
@gladyskamau9289 8 күн бұрын
Hawa for mtoto kama huyu nikumchapa viboko mbili , instead ya bullets 😢😢😢
@antibiotic7238
@antibiotic7238 8 күн бұрын
Shida iko wapi polisi akifinya mkikuyu na mkalee?😂.. Wacha wafinywe coz they celebrate when other tribes from opposition go through the same.Karma nae sio mchezo yani hii ni lesson wakenya wamepata this this time
@timothyonyango9
@timothyonyango9 8 күн бұрын
Why are you hiding his fece, just show for Ruto and the whole world to see.
@user-hq5tq9dj2v
@user-hq5tq9dj2v 8 күн бұрын
Alieda kutafuta nini
@brendakraido1015
@brendakraido1015 8 күн бұрын
Tuma Paybill
@suleymanislam4015
@suleymanislam4015 8 күн бұрын
Haki haizami
@antibiotic7238
@antibiotic7238 8 күн бұрын
Shida iko wapi polisi akifinya mkikuyu na mkalee?😂.. Wacha wafinywe coz they celebrate when other tribes from opposition go through the same.Karma nae sio mchezo yani hii ni lesson wakenya wamepata this this time
@MargaretWanjiru-tj6xq
@MargaretWanjiru-tj6xq 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@antibiotic7238
@antibiotic7238 8 күн бұрын
Shida iko wapi polisi akifinya mkikuyu na mkalee?😂.. Wacha wafinywe coz they celebrate when other tribes from opposition go through the same.Karma nae sio mchezo yani hii ni lesson wakenya wamepata this this time
@VickyChepchirchi
@VickyChepchirchi 8 күн бұрын
Ujinga ya kujifanya hero ati liberation upusi tupu ona sasa shida ameletea familia
@antibiotic7238
@antibiotic7238 8 күн бұрын
Shida iko wapi polisi akifinya mkikuyu na mkalee?😂.. Wacha wafinywe coz they celebrate when other tribes from opposition go through the same.Karma nae sio mchezo yani hii ni lesson wakenya wamepata this this time..enda pea yeye mursik
Citizen TV Live
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 94 М.
Ndoto ya mkazi yaelekeza kugunduliwa kwa maiti eneo la Kware, Nairobi
4:43
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 56 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 28 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Kifo cha mwanamitindo Sarah Njogu aliyefariki Kasarani, Nairobi
3:13
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 98 М.
Mtoto Huyo Alipatikana Nakuru
2:21
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
Mtoto wa miaka 12 aliuwawa kwa kupigwa risasi
4:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 28 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 359 М.
Kenyans unmask identity of rogue police officer
4:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 645 М.
Vijana waonekana kushikiza uwajibikaji kaunti
3:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 8 М.
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 56 МЛН