KIJANA ANAYETENGENEZA TAA ZA MAGARI, IMARA KULIKO ZA WAZUNGU, AMEISHIA LA SABA, ANAINGIZA MAMILIONI.

  Рет қаралды 59,784

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 184
@eliakitungo8642
@eliakitungo8642 Жыл бұрын
Hongera sana! Nakuona ukifika mbali,Pambana usikate tamaa na mwamini Mungu na umtangulize mbele kwenye kazi yako, Hakika atakuinua kwa namna ambayo hutegemei hata wewe.
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Amina, asante sana mkuu.
@christinapaul2957
@christinapaul2957 Жыл бұрын
Wakati kuna watu wanajiita wasomi wamefika hadi uraya lakini hata kijiko hawawezi kutengeneza hongera kaka Mungu akutangulie
@meshackmuna22
@meshackmuna22 Жыл бұрын
Ulaya
@jameshonore6554
@jameshonore6554 Жыл бұрын
Hao wasomi ndo wanaozuia wenye vipaji
@leecode6135
@leecode6135 Жыл бұрын
Tatizo wasomj wengi wanataka kuwa wanasiasa
@AceB4real
@AceB4real Жыл бұрын
Na wewe kasome haujazuiwa
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
@@jameshonore6554 ni kweli kabisa
@moureenmickyy108
@moureenmickyy108 Жыл бұрын
God is with you all the time towards your talent...keep that spirit up
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Thanks
@peterkamau12
@peterkamau12 Жыл бұрын
he kijana wa Tanzania hongera licha ya elimu yako ndogo darasa la 7?!?.unahitaji kuinuliwa na wawekezanji mbagara,nakutazama kutoka Kenya msa taa zako ni za kupendeza ,urekekibishaji ni mzuri kazi ya umeme ni rahisi kuliko engine kufunga,fanya bidii ayo tv hongera kumufungulia kijana njia ya kujulikana,material watoa wapi?za kurekebisha plastic,
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
@@peterkamau12 Asante Sana. Karibu sana Tanzania, nakushukuru sana kwanitia moyo
@wamburajoseph1250
@wamburajoseph1250 Жыл бұрын
You deserve kijana, keep it up!
@abuubakarnassor7793
@abuubakarnassor7793 Жыл бұрын
Allah akujaalie Said ufike mbali
@shukurumsuwakollo2264
@shukurumsuwakollo2264 Жыл бұрын
Umepambana sana tena kwa njia halali. Hongera sana !!! Vijana wajifunze kuwa wabunifu watafanikiwa.
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Amina. Asante Sana
@cojicode4206
@cojicode4206 Жыл бұрын
Hello hongera sanaa Said ingependeza kama unge weka na mawasiliano yako ili kwa mtu anae hitaji huduma yako aweze kukupata
@MichaelMwakibolwa
@MichaelMwakibolwa Жыл бұрын
@@saidijuma5843 Hongera sana said Juma.
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 Жыл бұрын
Jamaa ana akili kubwa sana. Somo ni kuwa akili ni tofauti na kusoma, unaweza ukasoma bado ukawa huna akili.
@muddykuwe4123
@muddykuwe4123 Жыл бұрын
Viva viva viva brother
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Kazi mzuri sana kaka ongera sana mungu akubariki sana kaka
@richinda4799
@richinda4799 Жыл бұрын
Hongera sana kijana, Mungu atakupa kulingana na mipango yake juu yako.Endelea kumwamini, kumuomba na kumshukuru kwa kila hatua unayofikia
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Asante Sana
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Жыл бұрын
mashaallah naleta taa zangu mara moja
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Жыл бұрын
Millady AYO wanajitaidi sana kunyanyua vipaji. ONLINE MEDIA NYINGI WAMEBAKIA KUHAMASISHA NGONO TU NA MAMBO YA KIPUUZI. JAMAA ANAFANYA KITU KIZURI TENA NI MTANZANIA MWEZETU LAKINI HUONI WAKIMSAPOTI
@rehemasaadan3450
@rehemasaadan3450 Жыл бұрын
Wow hongeraa sanaa 🔥🔥👏👏👏
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana utabarikiwa kwa maono yako
@salamasefu5494
@salamasefu5494 Жыл бұрын
Inshaallah utafikisha malengo yako taratibu .utafahamika.hongera mungu akubariki
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Amina. Asante Sana
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Na utafikia Malengo yako Mungu Akuongozee 🙏🙏🙏
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Amina. Asante Sana
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Tanzania tuna vipaji sana sema hatupendi kuaminiana alafu tunawaamin wachina na vitu vyao feki
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Жыл бұрын
Nashangaa kwakwel
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 Жыл бұрын
Hongera sana Mtani wangu. Kama kuna uwezekano hebu tengeneza taa za SUZUKI ESCUDO/VITARA na SUZUKI GRAND VITARA taa za mbele na nyuma kwa mtindo wa kisasa.
@baseonline4178
@baseonline4178 Жыл бұрын
Hata hzo material anazotumia ni za mchina lkn
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
@@deodartngaiza6664 Asante Sana, natengeneza taa zote
@tanzaniafxlab
@tanzaniafxlab Жыл бұрын
Najua lazima vipaji hivi ni vingi, asante milard kwa kutuibulia hawa, uendelezaji wa vipaji na upanuzi wa vipaji hivi ni muhimu sana
@enockmwalugi5927
@enockmwalugi5927 Жыл бұрын
Kaka umetiiisha sana bosi wangu.
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Asante Sana
@Beautiful-Place
@Beautiful-Place Жыл бұрын
Africa tunaweza Mungu akubariki nakipaji chako ufanikiwe zaidi👍
@tifadent1112
@tifadent1112 Жыл бұрын
Good work 👏👏
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Thanks
@michaelodhiambo428
@michaelodhiambo428 Жыл бұрын
Keep it up my God bless your hands
@petersulle1937
@petersulle1937 Жыл бұрын
Hawa ndiyo wasomi, ambao amebuni jambo kubwa na kutengeneza ajira, leo tuna wasomi wengi wanatembea na bahasha. Safi sana Mungu akubariki.
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Huwaa nakubali sanaaaa navoona Vijana tunapambana maana hakuna namna Ni kuupiga adi kieleweke japo Ni Ngumu
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Asante Sana mkuu
@frankngowi-vy7bx
@frankngowi-vy7bx Жыл бұрын
Hongera sana brother
@kassimungemba5830
@kassimungemba5830 Жыл бұрын
Mnaoomba namba kwani hamjaangalia video mpaka mwisho? Mbona namba zimetolewa kwenye hiyo video?!!!!
@walterp.makundi5640
@walterp.makundi5640 Жыл бұрын
Hongera Sana kijana utafika mbali sana. Mungu azidi kukupigania. Sky is the limit
@meshackkalinga5915
@meshackkalinga5915 Жыл бұрын
Hongera pambana sana mungu akulinde
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Amina
@alexofficefurniture5797
@alexofficefurniture5797 Жыл бұрын
safi sana , Kazi Maisha
@emanuelmichael1616
@emanuelmichael1616 Жыл бұрын
Hongera Sana kaka. Hayo ni maono ya ajabu. Endelea kutangaza (redioni na TV) biashara maana wengi hawakufahm aisee naamini wateja wapo wengi sana
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
Dongo hongera na chapa kazi, wadau tumekuelewa kuna siku utapata hata taa 500 kwa siku
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 Жыл бұрын
Manshahallah
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Ongera Sana kijana kwa ubunifu mungu akusimamie katika upambanaji wako
@danielmiano6798
@danielmiano6798 Жыл бұрын
Innovation at its best
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Serikali ingekuwa makini kuwekeza kwenye watu wenye vipaji hakika nchi hii ingegundua hata teknelojia yake"ila sasa watu wenye vipaji serikali haiwajali, iko bize Kuwaita bungeni walevi
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera sana
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
Safi sana vipaji hivo tuvienzi na kuvilinda mungu ibariki Tanzania..
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Good kija bt suruhisho tengeneza nyingi zisambaze Kwa wauza spea za magari hapo ndo utakua umeriza coz Kila mwenye gari ikiharibika anakimbia dukani akienda huko anakukuta
@abelmwangangi5808
@abelmwangangi5808 Жыл бұрын
Kuja Kenya boss kazi iko mingi
@Bojak079
@Bojak079 Жыл бұрын
Respect
@mohamedbashir4344
@mohamedbashir4344 Жыл бұрын
Kaka hongera angetupa number zake nahitaji number nimpe kazi nipo Kenya Nairobi
@jamesmugwanja1659
@jamesmugwanja1659 Жыл бұрын
African should unite and support each other on items they can manufacturer....sio kilakitu kununua china....and governments should offer assistant to such people
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
Kijana said mungu akuongezee maarifa zaidi, maana umeonyesha ushujaa
@iddirajabu4577
@iddirajabu4577 Жыл бұрын
Allah akubarik kaka
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Amiin. Asante Sana
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
NI GOOD IDEA VIPI ANA VYOTENGENEZA AU KU REPAIR KUNA VITU VYA KUZINGATIA MFANO INTESITY YA LIGHT ,WAVELENGTH YA MWANGA MTU AKIWASHA TAA. MANAKE HVYO NDO VITU MUHIMU.
@daudiedsonrichard509
@daudiedsonrichard509 Жыл бұрын
hadi kuaminiwa na kampuni kubwa la usafirshaji basi ujue kila kitu kipo sawa
@iTargetMediaCommunications
@iTargetMediaCommunications Жыл бұрын
Commendable innovation. How can we collaborate?
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Napenda vijana wenye uthubutu
@amanmalima940
@amanmalima940 Жыл бұрын
Ukimwamini YESU Kuwa BWANA na MWOKOZI utaokoka na utaenda mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@hudsson75
@hudsson75 Жыл бұрын
Hapo anatakiwa aongeze kitu kinaitwa vacuum forming machine, itamsaidia sana kupata shape ya taa kirahisi na kwa ubora zaidi
@1stnews283
@1stnews283 Жыл бұрын
Kaka pls embu nipe link ya hiyo vacuum forming nachine maana zipo nyingi
@ShaskaMakota
@ShaskaMakota Жыл бұрын
Duuuh noma SANA
@nassirali7499
@nassirali7499 Жыл бұрын
Nyinyi waandishi wasenge sana mwenyewe anasema kafika form 2 nyinyi mnaandika kaishia la 7, mbona mnaleta usenge mnakosa maadili ya habari?
@christophergambi8639
@christophergambi8639 Жыл бұрын
Nakubali sana kaka tuko pamoja nimeipenda kazi yako
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 Жыл бұрын
Hongera mnooo
@sabasshayo
@sabasshayo Жыл бұрын
Hiyonikazi nzuri sana, sanene pande gani upo tukutembelee.
@mabuyewakabalekyamtwara5205
@mabuyewakabalekyamtwara5205 Жыл бұрын
Hongera sana keep it up
@soothingrelaxingtime8976
@soothingrelaxingtime8976 Жыл бұрын
Njoo Nairobi tutengeneze pesa
@0107Funkid
@0107Funkid Жыл бұрын
Kuishia La Saba ni shida!!!!!isack newton aliishia la ngapi mnikumbushe?😏
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Safi sana mzee
@kamanda007
@kamanda007 Жыл бұрын
Safi sana, sasa nunua machines za hiyo kazi ili zionekane vizuri zaidi na kazi iwe ya haraka, hakuna kurudi nyuma mpaka ufungue kiwanda kikubwa cha taa za magari
@hassangauday6272
@hassangauday6272 Жыл бұрын
Hongera haisee
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
Safi sana
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Жыл бұрын
Ila kigoma Kuna vipaji sana
@piustombili9921
@piustombili9921 Жыл бұрын
Usicheze na mtu wa Kigoma popote pale duniani asante sana homeboy
@mosesnjorosh9717
@mosesnjorosh9717 Жыл бұрын
Vip namna ya kuwasiliana nae kwajili ya huduma iyo?
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Жыл бұрын
Safi sana!!
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Tz. Wapo vijana wengisana wenye vipani ila tatizo nchiyetu inamaindi Sana vitu vya njeya tz
@jumamwaya5524
@jumamwaya5524 Жыл бұрын
Naomba msaada wa namba please ninashida taa za Mazda
@0610John
@0610John Жыл бұрын
Ametisha lakn kwenye bei ajalibu kupandisha
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Nimependa iyo
@rauliandismasi4027
@rauliandismasi4027 Жыл бұрын
Ongera sana broo, je mawasiliano tunayapata vp?
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 Жыл бұрын
nakubali sana mwamba uyo
@mlionea
@mlionea Жыл бұрын
Njoo kenya
@soaregttz65
@soaregttz65 Жыл бұрын
Hapo Elimu sio issue muhimu anafanya nini mnakosea kuuliza watu elimu wakati anachofanya ndio Elimu yake hongera sana Elimu isikukatishe tamaa hicho unachofanya ni zaidi ya Phd
@karibupemba5981
@karibupemba5981 Жыл бұрын
Weka namba zako za simu
@michaelodhiambo428
@michaelodhiambo428 Жыл бұрын
Am from Kenya I would like to have your contacts
@mansoursuleiman7999
@mansoursuleiman7999 5 ай бұрын
Tunaomba namba ya sm tunataka huduma
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Жыл бұрын
Mjomba upo vzur
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Asante Sana
@fauzibinzoo6563
@fauzibinzoo6563 Жыл бұрын
Kwa siasa za kibongo navozijua mm huyu ataambiwa akasome veta wakat huko veta kwenyewe hawana utaalam huo bado kila kitu kwetu ni siasa tu
@simaiabdala6565
@simaiabdala6565 Жыл бұрын
Namba za sim
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 Жыл бұрын
Good work ila sijawai ona serekali ikishulika vizuri na awa watu kidogo msema kweli JPM alikuwa aikiwapa sapoti
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 Жыл бұрын
anatengeneza taa au anatengeneza lens? taa na lens ni vitu viwili tofauti. ila hongera sana mungu azidi kukusimamia ufike mbali zaidi
@kibokibosho7476
@kibokibosho7476 Жыл бұрын
icho ni kiswahil
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 Жыл бұрын
@@kibokibosho7476 taa ni nyingine na lens ni nyingine kaka. kwenye miwani lens ni taa? kwenye camera lens ni taa? kwenye microscope lens ni taa? kwenye jicho pia kuna lens... hivi ni vitu wiwili tofauti kabisa. kuna taa na aina zake pia kuna lens na aina zake. ingia hata google basi uone tofauti zake. kwenye gari tuna lens na ndani yake inaweka taa (bulb) ambayo unapenda iwe nyekundu, nyeupe, LED nk.. ahsante
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa wasomi wengi, hawawezi kitu, Kuna akili za kusoma na akili za maarifa! Kwa watu weusi wenye akili za kusoma Huwachukia wenye akili za maarifa, maana mwenye akili za maarifa anatafuta elimu kidogo anaifanyia kazi kubwa.
@josephmwamalumbili8011
@josephmwamalumbili8011 Жыл бұрын
Mtu wa Mungu naomba namba zako Nina TAA MBILI za platzi naomba tuwasiliane
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Watanzania tunavipaji na tunauwezo mkubwa wakufanya mambo makubwa sana, tatizo SERIKALI yetu haisapoti vijana kama hawa kabisa. Ndio kwanza wataanza kumwekea vikwazo kama Ukren na Urusi😏 Wanatia hasira 😠😠 Wakati China kijana kama huyo tayari angesha wezeshwa mitambo ya kisasa kurahisisha kazi zake na kuongeza ajira kwa vijana wengine.
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 Жыл бұрын
Namba ya simu
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 Жыл бұрын
Mild ayo naomba namba zake uyo mwamba nifanye nae biashara
@erickmalamsha6938
@erickmalamsha6938 Жыл бұрын
Hii idea ni kubwa sana tupatie namba zake
@avelindaniel2692
@avelindaniel2692 Жыл бұрын
Big up bro
@JohnMwangi-jv3pp
@JohnMwangi-jv3pp Жыл бұрын
Naomba nafasi ya kusoma huu ufundi , natoka nairobi , nipe jibu
@fawazmateb1797
@fawazmateb1797 Жыл бұрын
Naomba number zake
@yusuphmruma1232
@yusuphmruma1232 Жыл бұрын
Namb za mshikaji napataje
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 Жыл бұрын
Weka namba ya simu
@racmyco6501
@racmyco6501 Жыл бұрын
Kurusha hii clip ndo kosa, TRA wapo njiani wanakuja
@moshirayheem8449
@moshirayheem8449 Жыл бұрын
Umeubinda mwingi sn kak
@nelsonkileo3247
@nelsonkileo3247 Жыл бұрын
This is Big
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Kwenda shuleni miaka mingi nikupoteza maisha
@fahadfahmy
@fahadfahmy Жыл бұрын
Kijana ana Tallent mashaallah,ila hiyo kofia ngumu sio sehemu yake kuvaliwa
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 Жыл бұрын
Unajuaje
@fahadfahmy
@fahadfahmy Жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 basi unajua wewe
@mabuyewakabalekyamtwara5205
@mabuyewakabalekyamtwara5205 Жыл бұрын
Contact please ili tununue hizo Taa?
@mshua337
@mshua337 Жыл бұрын
Millard mshauri Jamaa atafute mtaji awe anatengeneza taa za gari ndogo anaziuza.mteja akifika anafungiwa na kuondoka
@yolenimocheng8745
@yolenimocheng8745 Жыл бұрын
Sasa Huyu anaweza kupata pHD
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,2 МЛН
MABINGWA WA KUTENGENEZA TAA ZA MAGARI KWA JIKO LA MKAA - MSWAHILI
25:47
MSIBA: MTANGAZAJI WA WASAFI FM DIDA SHAIBU AFARIKI DUNIA
2:05
Millard Ayo
Рет қаралды 39 М.
Haya ndio majanga yanayowakuta waendesha malori ya mizigo
15:58
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 12 М.