DC AFIKA KWA DOGO MTANZANIA ALIYETENGENEZA KITUO CHA RADIO KIGOMA, "NITAKULIPIA, UWEZE KUJUA ZAIDI"

  Рет қаралды 208,901

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 522
@goodluckulimboka8117
@goodluckulimboka8117 2 жыл бұрын
Yaani Millard Ayo tv Mungu atawalipa Kwa kazi yenu nzuri Kwa kusaidia wasio na UWEZO wa kujitambulisha wenyewe nyie mmewatambulisha na wakasaidiwa. Tangu nimeanza kutumia mtandao wa You Tube ""MILLARD AYO TV HAMJAWAHI KUWA NA KAZI MBOVU"'. Millard Ayo tv nyie ni sababu ya Mimi kuingia KZbin!! God bless you!!
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 2 жыл бұрын
Huyu dogo Ni kwikwi, yaaani Ni kiboko dawa ya madoa, Ila nimempenda mama, ana moyo mzuri
@happykimaya6631
@happykimaya6631 2 жыл бұрын
😁😁😁😁
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 жыл бұрын
Mungu Ni Mwema Sana Kila Wakati Barikiwa Mama Dc Kwakweli Ila Na Pongezi Nyingi Ziende Kwa Milardayo👏👏👏👏👏
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 2 жыл бұрын
Hawa vijana msiwapeleke VETA kwa sababu akili zao zinafanya kazi kwa kasi na tofauti na syllabus za veta. Hawa ni kuwapa nafasi ya kuendelkeza vipaji na fikra zao. Njia nzuri ni kuwawezesha na kufata mawazo yao. Alipotengeneza pikipiki, hiyo ilikuwa ni fursa ya kuangalilia ni jinsi gani angeweza kutengeza pikipiki kubwa badala ya kuagiza kutoka china. Hongera kwa kijana na mkuu wa wilaya.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Ni kweli bro....
@samkoka3
@samkoka3 2 жыл бұрын
best comment katika nzote
@Swahili.L.trainer2021
@Swahili.L.trainer2021 2 жыл бұрын
Mambo yote yanaenda kufia kwenye syllabus badala wangemuwezesha kiuchumi na vifaa vya kazi aendeleze ubunifu wake.
@fikirimajolo286
@fikirimajolo286 2 жыл бұрын
fact
@donedaddy4561
@donedaddy4561 2 жыл бұрын
We pia akili yako si yakuipeleka huko kwenye syllabus zao maana unaweza kufaham ni kitu gani kinahitajika na kifanye nini na kwa wakati gani?? Your intelligence bro
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 2 жыл бұрын
At his age na vitu anavofanya, the boy is super talented.... Hii kitu hata professor wa udsm hawezi tengeneza hii kitu.. hongera sana Kwa uwezo wake, huyu jamaa yupo so ahead na mfumo wa elimu na syllabus za veta.
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 2 жыл бұрын
kabisaa
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Жыл бұрын
MashaAllah hongera sana kijana mungu akubarik sana kwa kipaji ulichonacho MashaAllah
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 2 жыл бұрын
Hongera sana kijana wa kiha' mwenyezi MUNGU akujaalie ubunifu zaidi ya hapo
@deusdedit789
@deusdedit789 2 жыл бұрын
Kipaji kinalipa bwana hongera sana mama uso wako na moyo wako vinaendanda
@josephatmathayo2355
@josephatmathayo2355 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mama, na mkuu wa wilaya. Wewe Ni mtu mwenye moyo wa kusapot kazi za vijana wa kitanzania wenye ubunifu na vipaji ndani yao
@galaxyboyofficial9785
@galaxyboyofficial9785 2 жыл бұрын
Mungu akubariki
@japhetrobert1728
@japhetrobert1728 2 жыл бұрын
Nimekubali sana kijana huyu. Hiki ni kipaji kutoka kwa MUNGU
@gapablessgadison6863
@gapablessgadison6863 2 жыл бұрын
Akina mama wanawahi kuona maono,, ubarikiwe DC""hapo ALIKIBA na DIAMONDI wafike kwenye interview serikali tuwaombe kwa huri ili kijana atangazwe kimbali zaidi,,KIGOMA 🇹🇿🔥🙏👍""KAZI IENDELEE"
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Jamani nampenda Sana uyu dogo na mwenyezi mungu amfikishe mbali.🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Mama Mungu akubariki +kizazi chako.una roho nzuri, ni mama mwenye moyo wa huruma.i apreciate you mum.
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
Dogo mkweli mpaka rwaha. Hajivungagi huyu yupo natural haswa. Hatari sana kijana wetu, Sasa usijekuthubutu pombe tu, unachopanga chema, unaghairi. Hakuna hata jema zaidi ya kukalia kiti cha bar tu na kelele kama zote, wengi zilishatutoa nje ya reli. Kaza buti mkuu.
@reubenjohn7111
@reubenjohn7111 2 жыл бұрын
oy unanambayake
@khadijamohamedkibabi3625
@khadijamohamedkibabi3625 2 жыл бұрын
@@reubenjohn7111 Wapigie Ayo Tv watakua Nayo
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
Du pole lakini nadhan huja chelewa bado kikubwa umetambua kosa lako unaweza kurekebisha ukaanza upya
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 Badala umpe ushauri dogo, unanipa pole mimi. Huko tushapita life linaendelea.
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
@@jayjay4313 Oooh hongera Masha'Allah Mshukuru mngu umeamka mapema miye Nikajua bado umelala kumbe ushaamkaeee kuhusu dogo nitatafuta niongee nae maana apa Sina uhakika kama ataona Comment yangu😁😁
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Safi Sana viongozi wetu mnatutia moyo Wana nchi wenu, mungu awazidishie moyo wa upendo.
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 жыл бұрын
Nimemkumbuka hayati magufur alikuwa anapenda Sana watu Kama hawa
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 2 жыл бұрын
Nimemiss Sana mzee ! Apumzike kwa amani
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 2 жыл бұрын
saiz angekuwa ashafanya Jambo tayari
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 2 жыл бұрын
@@djgthehotstepper yaani! Tulipigwa Ila Mungu ni mwema nyakati zote hatuna namna! 🙏😭
@jeshilamtu863
@jeshilamtu863 2 жыл бұрын
MKUU WA WILAYA MH MAHAWE oyeeeee💥💥💥 ,,Dogo wa studio safiiiii.Ana akili sana Dogo👏👏💯
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Kigoma FM🔥🔥🔥duh amazing wahlla 🔨💃💃
@harymo-by8gh
@harymo-by8gh 2 жыл бұрын
kaka hongera sana kwa huo ubunifu ufike mbali na mama pia pongezi kwa support yako 🙏🙏
@faraji2274
@faraji2274 2 жыл бұрын
Big up.VETA walomfua walipaswa kuwa hapo kwa support kubwa.Haipendezi vijana kama hawa kutelekezwa
@raphaelngulo1293
@raphaelngulo1293 2 жыл бұрын
Hongera sana Mkuu wa Wilaya kwa hatua nzuri yakumtembelea kijana mbunifu wa Kigoma radio FM ,nakupongeza kwamsada ulioahidi
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 2 жыл бұрын
Huyu dogo atari na nusu sema viongozi wetu Dah angekuwa Marekani huyu wangejivunia sana kuwa na dogo talented
@joshuajohn7698
@joshuajohn7698 2 жыл бұрын
Wapo weng sana hawa vijana na wanapewa ahad nying lakn haztekelezeki na wanawapeleka kwenye mfumo wetu wa elimu ya kukariri ndo wataua kabsa talent yake
@rajabhussein7794
@rajabhussein7794 2 жыл бұрын
Hongera Sana dogo wengine tuliambiwa tukasome physics tuachane na bunifu zetu tuliambiwa bunifu zetu zitatufanya tusiwe na akili darasani
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 2 жыл бұрын
Tunameza vitini PCM unapiga mabanda kama yote bado taa ikiungua maskani unampigia fundi, friji likiji-off lenyewe unachanganyikiwa.
@rajabhussein7794
@rajabhussein7794 2 жыл бұрын
@@theteacherchance6750 yaani sio mchezo kaka
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 2 жыл бұрын
Oyaah huyu dogo anatisha anaweza tengeneza hata bombs mm mwenyew kuna muda nafikilia kufanya kitu ila mmmh serikali itaninyamata🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Huyu ana kipaji sana hata kutangaza ni kama amesomea
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
Kabisa
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
Waooow hii sasa ndo kitu ya maana kwa vijana wenye ubunifu congrats🎊🎊🎊🎊🎊🎊👏👏👏👏👏👏✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
@yohananelsonmusic7207
@yohananelsonmusic7207 2 жыл бұрын
Jaman jaman. Hogera sana kijana mwenzangu. Hongera pia mama yet Dc. Mungu akubariki. Huyu kijana Ni mfano wa kuigwa aiseee. Nashindwa hata nikupe zawad gan ila nakuombea mungu akufikishe mbali Zaid 🙏🙏🤝
@khadijamohamedkibabi3625
@khadijamohamedkibabi3625 2 жыл бұрын
Amina Yarabilaa alamiin , Mwenyezimungu Amsimamie Jmn
@azinarashidi5204
@azinarashidi5204 2 жыл бұрын
Serikali yetu haijali kabisa vipaji nature kama hivi yan huyu alitakiw atafutiwe shule out of country akajifunz zaidi aje afanye makubwa zaidi katik nchi yetu lakn wnawapeleka watoto wao n wanaambulia ziro,,,,,,eti wanampelek English course🥺🥺🥺😢😢cha bure hakikataliwi 😢 Mungu atakujaalia kijana yur big Engineer🥰
@micharazohd7131
@micharazohd7131 2 жыл бұрын
Hatari sana bongo tuko vizuri sena mabenga tu na appreciation toka juu ndio hakuna, maisha bila support ni ngumu kutoboa kiurahisi. Kivhwa kama hiki kinatakiwa kipelekwe shule kisrla afu TBC
@mejakimaro2773
@mejakimaro2773 2 жыл бұрын
Gig up Millard! Wapeleke mjini wote wenye vipaji tutabadilisha taifa letu...
@godblessndosa9500
@godblessndosa9500 2 жыл бұрын
Mbona sisi wengine tunatengeneza naaa tunapeleka wizarani na hatupewi support ya kufika popote?
@dr_godfrey
@dr_godfrey 2 жыл бұрын
Dogo omba na kibali TCRA achana na kuingia darasani tayari elimu unayo
@rajabuhamisi3340
@rajabuhamisi3340 2 жыл бұрын
Kwanza ongera kwake kijana kwa ubunifu na kipaji alichonacho,Ila tukija kwa upande wa serikali naomba iwe serious na vijana wenye vipaji kama hawa ,ukifuatilia huyu ndo aliunda piki piki ndogo ilifika wapi ? Leo kutengeneza kituo Cha redio NAJIULIZA kitafika wapi? Kwa mawazo yangu naona serikali Kuna mahali wanakwama
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 2 жыл бұрын
pamoja na dhambi kumharibu mwanadamu, bado ndani ya huyu mwanadamu kuna uwezo wa ajabu
@augustuscaesar2816
@augustuscaesar2816 2 жыл бұрын
Kigoma The Tallented Region Mungu akubarki sana Dc mahawe Stay fighting for us Mbarikiwe sana pia MILLARD AYO kwa kumnyanyua kijana mwenzetu huyu
@jobkofficial1591
@jobkofficial1591 2 жыл бұрын
Huyu mpe hela kwanza Za kutosha Kama zawadi yaani Hongera hata aweze jenga nyumba nzuri angalau. Avae vzr pia, familia yake pia ifurahie ndo mengine yafuate
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 жыл бұрын
Ongereni sana kumsapoti kijana,mungu nimwema atafika mbali zaidi🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤❤👏👏
@mdthehit
@mdthehit 2 жыл бұрын
Safi sana. 🙏🙏🙏🙏🙏
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 2 жыл бұрын
Mungu Aendelee Kukusimamia Ili Ufike Mbali
@emexchaka6646
@emexchaka6646 2 жыл бұрын
Ana kipaji kingine cha utangazaji bila kusomea.
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Jamani nimejisikia raha sana.hongera Sana Dc kweli ww ni mama 🙏🙏🙏
@djhajiztz
@djhajiztz 2 жыл бұрын
nakbal.mama
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 жыл бұрын
Woooow congratulations kwake keep it up
@ladymzana4511
@ladymzana4511 2 жыл бұрын
Aliwahi kutengeneza pikipiki, aliwahi kutengeneza bajaji, aliwahi kutengeneza jiko la kutumia umeme wa jua, na kwa sasa ametengeneza studio ya radio aliyoipa jina la Kigoma FM, kama serikali na watu matajiri wakimsaidia huyu kijana kuinua vipaji vyake hivi vinne atakuwa tajiri mkubwa sana miaka ijayo, na pia ataiongezea serikali pato la taifa.
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 2 жыл бұрын
Well nimefurahi sana kuona mkuu wa wilaya umeguswa na hili. Mungu awabariki wote watakao msaidia kijana huyu.
@florajames1890
@florajames1890 2 жыл бұрын
Kijana mkuu wa wilaya si wa habar mpe heshima ake
@MelkisedekiSamson-kd7gw
@MelkisedekiSamson-kd7gw 7 ай бұрын
Hawa watu ni zaidi ya veta hawa Wasomee Modern technology,na serikali ibebe majukumunya kuwatunza na kukidhi mahitaji yao sambamba Na kuwekeza kweny Wawekeweza sana kwenye miundo mbinu itakayowatengenezea vijana wengine fursa ya kutopitia mazingira magumu kama wao,itakayorahisisha kuwa na mazingira bora ya kufikia ndoto zao, kama vile vyuo na viwanda kwa kila atakayekuwa na kipaji hicho,kisha wao wasifanye kazi hiyo zaidi ya kuwa wakufunzi wa Vijana wengine nao wakikomaa wanastaafu wanafunza wenzao kila sekta,tutajikuta viwanda vinakua na technolojia bila kutegemea sana mataifa mengine ila wamezeshwe uzalendo kwa manufaa ya taifa ni hazina hizo Mungu ametupa
@gasirigwaaloyce8739
@gasirigwaaloyce8739 2 жыл бұрын
Tukubali tu kua watu wa aina hii wamezaliwa wachache duniani, walozaliwa ugaibuni waliendelezwa kwa lengo la kuinua nchi zao na wote tunaziona zilipo lkn walozaliwa africa walipuuzwa tangu kuumbwa kwa dunia, na mpaka sasa wanapuuzwa tu kumbe ndo wakuikomboa Africa basi selikali muungeni huyu mtoto atubadilishie historia
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, Kijana kaelezea vizuri sana, hongera sana ndugu yangu katika Imani.
@mabugabm7708
@mabugabm7708 2 жыл бұрын
Good boy, good leadership. Kazi iendelee...!!!
@davidoscooper237
@davidoscooper237 2 жыл бұрын
Kazi iendelee ndo nn sasa sema (hapa kaz tu)
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 2 жыл бұрын
Kuna somo nimejifunza. Wanaomaliza Engineering chuo kikuu hawawezi kufanya alichofanya huyu dogo nahisi kumpeleka shule anaend kufundishwa na watu anaowazidi ujuzi. Elimu yetu ilenge kutoa ujuzi
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Ukimpeleka kusoma umeuwa kipaji...na hiyo radio aliyoianzisha....Cha maana so lugha Cha maana Ni kazi yenye kuleta Tija.. hiyo Ni kazi tayari...ajengewe kituo Cha radio na kuongezewa vifaa Kisha apelekwe asome utangazaji na uaandishi wa habari... Si unaona anapenda kutangaza na kukaa kwenye mic.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@franckjumanne3017
@franckjumanne3017 2 жыл бұрын
Hata mimi niliwa kutengenezaga hiyo zamani sana sema sikuvuma tu aisee sijui nifanye tena huyu jamaaaa ni shidaaaa
@sarahnyasulo6876
@sarahnyasulo6876 2 жыл бұрын
Ludia tena vipaji viwe vingi
@japhetrobert1728
@japhetrobert1728 2 жыл бұрын
Barikiwa sana .umeonyesha nidhamu ,bidii ,moyo wa kujitolea. MUNGU akubariki sana.
@joysoka3575
@joysoka3575 2 жыл бұрын
Ayo si ndo mambo sasa naiomba serekali msiishie tu apo jmny kwenye ahaadi zenu mzitimize kwa uyo kijana tunaitaji kuja kusikia amefika mbali xanaaa aitangaze Tanzania yetu jmny mungu akujalie mdogo wangu ufike kule alipokukusudia yeye alie juu amen God blees you🙌🙌
@MiwagoTz
@MiwagoTz 2 жыл бұрын
Hongera sana Kijana mwenzangu Mimi pia niliwahi kutengeneza Radio yangu nikaipa jina Miwago Radio watu wakanivunja moyo wakaniambia nitakamatwa ni kosa hivyo ubunifu wangu ukakwama,Radio yangu ilikuwa inapatikana kwa umbali wa mita 200 na nilikuwa najitahidi niweze kufika umbali mrefu Sana ila uwoga umenirudisha nyuma .
@only_winners
@only_winners 2 жыл бұрын
ulitakiwa kuendlea kupiga kaz mpaka ukamatwe! Acheni kuogopa maneno ya watu walifeli mkuu!!! Piga kaz ubunifu unahitajika kwenye taifa ukiwa umekosea mamlaka husika zitakuelekeza cha kufanya!!
@JohnMgaya-mf7ux
@JohnMgaya-mf7ux Жыл бұрын
🤑
@sportsmailtv
@sportsmailtv Жыл бұрын
Naomba nipate namba zako tuwasiliane inbox
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana sana.Kusikia kiingereza kinanisumbua..Kinanichanganya..wazungu wanaongea Lugha sieelewi.Ukweli unakuweka huru.
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 жыл бұрын
Kabisaa yaani
@mrpambatv3420
@mrpambatv3420 2 жыл бұрын
Hongera sana mama napia kiongoz nape Mungu awalinde zaidi
@dominicjulius3108
@dominicjulius3108 2 жыл бұрын
Ongera sana Kwa umoja mlio uonyesha
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 2 жыл бұрын
Hongera mkuu wa wilaya kusupport vipaji. Kutoa ni moyo. Mungu akubariki mama yetu mkuu wa wilaya. Pia hongera kwa ubunifu Fundi Mitambo.
@denismasele4130
@denismasele4130 2 жыл бұрын
Kwetu ukiwa na kpaji unaambiwa unahitaji Elimu,,, but Elimu ni hali ya kulijua jambo na kuweza kulitolea ufafanuzi English ni nn?
@deluxermahyono5290
@deluxermahyono5290 2 жыл бұрын
Lugha ya mapaka wa kizungu sa akiletewa kompyuta za kichina itabidi akosome China koz
@stadiusaudax6137
@stadiusaudax6137 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mama, hakika hii itawapa nguvu vijana wa kitanzania kuendelea kupanua maarifa yao zaidi na zaidi.
@__B.O.B
@__B.O.B 2 жыл бұрын
Kweli Bongo Nyosso... Yani serikali na hela zote badala wampeleke dogo hata vyuo vikubwa sana vya Technolojia kama Marekani, Japan au Israel wanampeleka English Course!!!! Halafu kingine Mkuu wa wilaya hajui hata kama kwenye wilaya yake kuna shule ya English course au hamna!! Kweli mnaupiga mwingi.
@halimajuma2340
@halimajuma2340 2 жыл бұрын
Honger na mama kwa kump moyo kijan mwenzet
@vickykissie9742
@vickykissie9742 2 жыл бұрын
Hongera sana kijana kwa uthubutu. Hicho ni kipaji ,kamatia sawasawa n.a. Mungu akuongoze. Mama mkuu wa wilaya leya mwanao
@lucassamson6737
@lucassamson6737 2 жыл бұрын
Honger kwa dc mama zet mnaupipa mwing pia kwa huy kijana nipongez kwa kaaz nzur aendelee atafkia ndot zak ip ck
@sadamofficialtz
@sadamofficialtz 2 жыл бұрын
Safi sana Dc🔥🔥
@mwalimugoogletv3738
@mwalimugoogletv3738 2 жыл бұрын
alafu mpumbavu anasema tutoe english secondary. tuweke kiswahili.una tecknology gani yakutegemea lugha yako, unafikiri wewe ni mchina au mrusi?j. if u are poor, even ur language is poor. kingereza ndio lugha yenye maarifa mengi.
@tumainisangaonline6536
@tumainisangaonline6536 2 жыл бұрын
Hongera sana mwanetu. Mungu akuwezeshe ndoto yako kubwa ikatimie kwa njia yoyote ile
@KATOPE1
@KATOPE1 2 жыл бұрын
Safi sana Muheshimiwa DC 👍
@chale0ify
@chale0ify 2 жыл бұрын
Huyu dogo akasomee electronics nje..VETA watampa fundamental tu!...Ni bonge la engineer
@user-pg1xe1qs2g
@user-pg1xe1qs2g 2 жыл бұрын
😎😎 Safi sana DC, Hongera sana kijana
@nestorybegasha7884
@nestorybegasha7884 2 жыл бұрын
Big up
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 жыл бұрын
Dogo ni mkali
@peterphilipo4152
@peterphilipo4152 2 жыл бұрын
Ayo tv💥💥💥💥
@shabaniramadhani8891
@shabaniramadhani8891 2 жыл бұрын
Mungu ni Mwema sana aiseee
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 2 жыл бұрын
Hongera sana DC kwa ufuatiliaji wako na kwa kumtia moyo kijana wetu
@na-shownakshi7453
@na-shownakshi7453 2 жыл бұрын
One love from Qatar bro. Inawezekana ukijitolea na kumuamini mungu.
@andrewoscar7762
@andrewoscar7762 2 жыл бұрын
Hongera bwana mdogo, serikali inabidi mumtizame huyu dogo kwajina atimize ndoto yke
@lewissinkalatz.3914
@lewissinkalatz.3914 2 жыл бұрын
Hakika nimefurahishwa sana na jambo hili kwako were Mkuu wa wilaya hivi ndivyo uongozi unatakiwa kuuendeleza uelewa kwa vijana wetu tz.hongereni sana
@mohamedidangeni346
@mohamedidangeni346 2 жыл бұрын
Tanzania imebadilika Sana,zamani ameshakamatwa na kuwekwa ndani
@mohamedmagwiza8048
@mohamedmagwiza8048 2 жыл бұрын
Big up sana 💯💯♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏💫💫✨💫💫💫💯💯♥️♥️♥️😍😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💫✨💫🤣💯🙃💯🙃💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marylyimo746
@marylyimo746 2 жыл бұрын
Tunawataka vijana kama hawa big up dogo Mungu atimize ndoto zako.
@Bari686
@Bari686 2 жыл бұрын
HONGERA SANA MILLARD AYO, UMEMTANGAZA KIJANA NA SASA AMEANZA KUFAAMIKA NA KUPEWA SAPOTI ZAIDI..
@bahatimiamor_officiel9258
@bahatimiamor_officiel9258 2 жыл бұрын
She's THE LEADER 🇹🇿🙏💯🌍🌎
@kbdmsafi_tz8094
@kbdmsafi_tz8094 2 жыл бұрын
Mkuu Wa Wilaya Huyu Awekewe Sanamu Pale Kigoma
@mohammediddi5385
@mohammediddi5385 2 жыл бұрын
Kigoma to the world 🌎 More talent boy,luck since day one, Creativity, and keep going usichoke mungu n wanyote sie
@mapilitv
@mapilitv 2 жыл бұрын
KigomaFM good.
@Karromiatz
@Karromiatz 2 жыл бұрын
Tungekuwa na viongozi kama Hawa 10 Tanzania nzima tungekuwa juu Sana!!
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 2 жыл бұрын
Uwezo tunao ubunifu tunao mari matirio pia tunazo ewe mwenyezi MUNGU mzidishie ubunifu mkubwa zaidi
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Nimependa saut ya dogo ikikupendeza millard mchukue dogo atangaze ayotv
@rfpmediatz
@rfpmediatz 2 жыл бұрын
Hongera Sana Serikali yangu
@mathiasvicent9955
@mathiasvicent9955 2 жыл бұрын
Nampongeza sana kijana huyu serikali naomba kupitia tcra kuja na utaratibu utakaowezesha kuwainua wabunifu kama hawa na wala si kuwaangamiza!
@eliudkazoba5170
@eliudkazoba5170 Жыл бұрын
Ongera sana Mkuu wa Wilaya kufika na kumtia moyo Mtanzania mwenzetu kwa kipaji alichonacho. Kijana umeupiga mwingi.
@husseinsauti4054
@husseinsauti4054 2 жыл бұрын
Hongereni Sana viongozi Kwa kuwatia Nia wabunifu na kuwasaidia
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 2 жыл бұрын
Manshallah 😍
@leonardkapati3125
@leonardkapati3125 2 жыл бұрын
Wakija TCRA watasema mnara wa miti haufai kabsa na viti vya plastic Kama Masood alivyoambiwa na TBS
@edwardleonard7402
@edwardleonard7402 2 жыл бұрын
Sasa English course ya nini ww fanya Kaz ya ubunifu wako sio lazm ujue English
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 жыл бұрын
English kitu gani, bora dogo ajifunze kiha ili apanue wigo wake kwenye tasnia ya utangazaji,Waha kutoka kasulu ,kidahwe na Kimondo watanufaika sana .Kingereza hakileti unga mezani .
@mcgb5725
@mcgb5725 2 жыл бұрын
One love Home boy ,kazi nzuri sanaaaaa
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
Pia ayo tv mungu awabaliki maana mnaibua vipiji vingi vilivyo jificha
@simonkabala2063
@simonkabala2063 2 жыл бұрын
Tanzania ya viwanda... Mpaka raha hapa sasa tunaomba serikali ifanye kweli ili ile point ya poor government support tuiuwaaaa kabisa
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,8 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 56 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 59 МЛН
ALIETENGENEZA PIKIPIKI NA GARI ABUNI SIMU RADIO INAYOTUMIA ATM CARD
30:15
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,8 МЛН