Kuna mtumishi WA mungu ako Uganda na pia hapa KZbin Yuko mwagalie. Anaitwa Samuel kakande prophet.waeza enda kule. Na utapona kwa nguvu za mwenyezi mungu bro. Weka Imani.
@MakrinaLuoga10 ай бұрын
Ukiamini yesu mponyaji utapona nenda kwa.mwamposa niamini utapona kabisa hayo ni mauza uza ya mapepo. Pepo anaweza kumzuru mtu kwa namna yoyote nenda kwa mwamposa tulia hapo mungu atakuokoa na huo ugonjwa.
@marthaholela693810 ай бұрын
Pole sana .njoo Kwa ZUMARIDI amini ataenda kukufungua make hii ni shetani. Anakitesa yupo anayejibu haya yote.njoo Mwanza kaka ....wamepona wengi sana....
@pendokissatu93710 ай бұрын
Mbona Mimi naona huu ugonjwa Ni Maombii Tu Jamanii Sijuii kwanini Nawaza Ivoo
@rajabmohammed23410 ай бұрын
Mmhhh mtihan wallah ukijiona huumwi ht kidole bs tuna kila aina y sababu kumshkru Allah,2muombee dua nasi 2ombeane dua.
@laylayl516610 ай бұрын
Yaarab mponye kijana kwa huruma zako
@LinahCorin10 ай бұрын
Mtafute nabii david richrd yupo you tube ukimwamini mungu kupitia mtumishi huyu usiangalie dini angali shida yako bila kusahau imani
@zainabumartin952010 ай бұрын
Polesana kaka hassani mungu atakuafu insha allah pia kunawatu watajitokeza kukusaidia
@sabihaibrahim14310 ай бұрын
subhanallah mitihani ya kidunia ni yetu sisi waja pole sana naomba kwa Allah akuondolee maradhi kwa wepesi inshallah
@AdellaMinja10 ай бұрын
Pole sana, mungu atakuponya...nenda hapo buza kwa nabii Dominic kiboko ya wachawi.utapona ndani ya saa monja
@elizabethkitundu193610 ай бұрын
Mwenyezi Mungu mnusuru mjawako huyu kijana bado mdogo muondolee huu mtihani,
@jeniffermulindi505710 ай бұрын
Pole sana bandru aki ni maumivu makali aki nakumbuka tukifanya movies na ww ukiwa vizuri aki,mungu akuponye
@fatmaahmed863710 ай бұрын
KAKA FANYA TOBA YA KWELI..SALII SANA NA NENDA KWA SH.OTHMAN akufanyie KISOMO
@mishigwan659810 ай бұрын
Kataa kabisa neno La kukatwa Mguu Omba M'Mungu Amfanyie Wepesi 🙏
@SaadyaMohammad10 ай бұрын
Kaka poli mtafutea shikhia akusomia rukkiya na mungu Yuko na ww utapona mungu nimkubwa
@shekhanahdy324110 ай бұрын
Pole sana..wasanii mwenzao akiwa mgonjwa hawamsaidii.wanafikiri hayata wapata matatizo wala Hawatakufa...
@Zari_og10 ай бұрын
Nakumbuka mala mwisho tulikuwa otee kambi na marehemu mzee korongo ulikua unapambana na sanaaa japo una umwa lakn leoo imekua ali mbayaa zaidi pole sana kaka mungu atakuponyaa naaminii katika ilooo
@Nahdiya-nr3de10 ай бұрын
Usikate tamaa hujafa hujaumbwa mungu ataleta shifaa
@ruqayaissa99010 ай бұрын
Pole Sana Zahir punguza sauti ya mziki
@meckitridamichael651310 ай бұрын
Daah ewe muumba wambingu na nchi muondolee hyu kaka maradhi aliyonayo kwasababu wew ndo ujua kinachomsibu mwaka huu uwe mwaka wa uponyaji kwake Amina
@Neema-t5f10 ай бұрын
Ujawai kuona ama kumskia mwamposa ww au ndo hua imani ya mungu kua anaponya na hakuna knachoshndkana Kwa mungu
@Grace-l9l8y10 ай бұрын
Huu uvimbe ni maombi 2 mungu akufanyie wepes kaka
@upendolyimo68810 ай бұрын
Mungu anaweza yote hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu, nenda kawe kwa mtumishi wa Mungu Mwamposa
@emmymgumba574810 ай бұрын
Pole sana kaka nakuombea bila kujali Imani zetu Mtafute Mtumishi wa Mungu hata kwa njia ya KZbin anaitwa Eribariki Sumbe unapona kwa Maombi kupitia jina la Yesu bila shida Amini kaka Kwa Mungu wa Bwana Yesu yote yanawezekana Amen
@BiubwaBeauty-henna10 ай бұрын
Sema staghfirullah kwa wingi hasbiyallah kwawingi halafu msalie mtume kwasana Subhanallah mungu atakusaidia inshallah kwake hilonijambo dogo
@عايشهالمجنونه-و8ب10 ай бұрын
Subuhan Allahh 😭😭 pole sana kaka Allah atakufanyia wepesi inshallah 🤲
@mariammohammed919810 ай бұрын
Pole sana kaka Allah atakuponya inxhaalah
@BarakaKitomari10 ай бұрын
Nakushauri uwende kwa maombi kwa imani kwamba utapona wapo watumishi wa mungu Kama nabii sugue yupo pale kivule hizo nguvu za giza
@FatmaHassan-t4q10 ай бұрын
ALLAHU AKBAR.. mwenyezmungu akufanyie takhfif.
@AllyHaruna-ko3it10 ай бұрын
Pole sana jamni
@AleKhan-k3z10 ай бұрын
Pole sana kaka nakushauri uende umwone mtumishi wa mungu prophet Samuel kakande uganda utapona kaka hiyo sio kawaida
@rosemwankemwa941310 ай бұрын
Jamani polee nenda kwa watumishi wa mungu watakusaidia
@niimatmdee60210 ай бұрын
😢😢😢😭😭subhanallah pole sana dear😢 Uko wap ...dar_es_salaam sehem gan
@LatifaSelemani-r6r10 ай бұрын
usikate tamaa muombe mungu utapona
@elizabethmukeba252810 ай бұрын
Maximam mupeleke buza kwa maombi kwa pastor kiboko kya wachawi Dominic
@aisharamadhani194810 ай бұрын
Subhanallah mungu amsadie apone yarrab wewe wewe ndio hutuponya 😢😢😢
@SalmaSamir-df3tz9 ай бұрын
Yaa Rabbi tunakuomba wewe uliye umba mbingu pasina nguzo YAA Allah msaidie kaka huyu apone maradh yake aweze kunyanyuka tena kufanya shughuli zake Ameen thumma Ameen Allah atakuafu
@FloraPaulo-fe8oh10 ай бұрын
Pole kipenzi mungu atakufanyia wepesi kaka yangu
@Davidbecomemalima10 ай бұрын
Mungu akusaidie utapona t brother
@aminapili297810 ай бұрын
Aki pole kaka inauma kweli
@BeullahBujah-lk3sx10 ай бұрын
Karibu kwa Pst Dominic Buza Kiboko wa Wachawi..
@ramadhanmahongole929310 ай бұрын
Nakushauri nenda kwa mwamposa Mungu atakusaidia utapona
@JoyceMwita-e3w10 ай бұрын
Jaman Dunia hii kaka jaribu kufika kweny huduma ya maombi utapona naamini katika Mungu
@ainessfoya446310 ай бұрын
Mwanangu pole..na hongera kwani unaenda kuponaa kwa upako wa mtumishi mwamposa...wahi upako..
@Nahdiya-nr3de10 ай бұрын
Subhana allah mungu atakutahfifia lkn nakushauri km umepimwa vipimo hamna ww rudi nyumbani kwnu ukaangali ratizo nn mana huo mguu nduguangu hauko vzry
@fatumamsellem762210 ай бұрын
Subhana llah Allah Akupoze Na mtihani ukikufika Uzidi kuomba msamaha Hayo maradhi hosp Hawawezi Matibabu ya Dawa za kiyenyeji Kama Tambazi Kama sikosei Maji hayo Pole sana Mombasa sokoni majengo wanazo Dawa za maradhi hayo.wagiriama wanauza Maji mengi na hayo maji yanakua yamoto Yanauma sana sanaa
@SuleimanKhdija10 ай бұрын
Subhanallah Allah amfanyie wepesi mitihani niyetu sisi wanaadam Naki lamtu anayake Allah atuzidishie Subra kwakweli 😢
@fallymetoo19110 ай бұрын
Lahaula walakuata ila billlah
@celinahokororo902510 ай бұрын
Pole kaka Nenda kibaha hospitali ya Dr.Baki
@zamzamMaulidi-q8s10 ай бұрын
Mungu atamuaf ishallah na atafute mvuje wa kidonge na ndim apakae utaondoka biidhinllah
@fatmakhatib293510 ай бұрын
Mungu mkubwa insha'Allah kwa uwezo wake utapona
@yousifyousif-p7f10 ай бұрын
Pole sn brother mungu atakuponya
@Zuuh428610 ай бұрын
Pole sana kaka kwa uwezo wake Allah utapona
@sophiakimaro517410 ай бұрын
Mungu akupe uhauweni ndugu yangu.acha tujichange na Mungu asaidie itimie kwani afya haiwezi kufananishwa na pesa.
@khadijahamisi556110 ай бұрын
Heeeh😢 jaman jaman sin lakusema mm kaka kaka pole kwa maumivu
@MAASAIONLINETV10 ай бұрын
Pole kaka mungu akutie nguvu utapona muamini mungu usikate tamaa
@reginatyler584910 ай бұрын
Pole kaka usikate nenda kwa kipoko wachawi Buza Nabii Dominic utapona
@cettyamandus292910 ай бұрын
Nenda kwa wachungaji blo amini usiamini
@frankmahenge594310 ай бұрын
Pole kàkà
@Mariam-fm8vq10 ай бұрын
Wah yeah anaumia sio mchezo 😢😢😢
@janetdundul385810 ай бұрын
Hospital ya muhimbili mungu nisamahee tuu sihipendi kabs kusema ule ukweli sisi wa hali ya chini tunateseka sana kwa matibabu sitasaau kaka yangu halipoteza maisha kutokana na kipato chetu cha chini madacitali wanampita tuu mgojwa kama hawamjui MUNGU,,,,dah,,,mungu atakuponya kaka yangu,, pole sana
@FaridaOngala10 ай бұрын
Duu pole dear ungekuwa india wasinge kukata pole dear
@YasintaJohn-t8s10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuponye lakini pia ushiriki na maombezi Mungu anaweza kukuponya
@LatifaSelemani-r6r10 ай бұрын
pole
@florence612710 ай бұрын
Maombi tu jaribu kwa pasta kakande Uganda utapona .
@christaoman889010 ай бұрын
Pole sana Mungu akufanyie wepesi upone uwe mzima
@ZainabMtitu10 ай бұрын
Pole sn kaka allah atakufanyia wepec inshaallah kuumwa ni ibada
@fatimajuma333010 ай бұрын
Au uangalie upande wa 2 huenda kachezewa
@shakirakalumuna610810 ай бұрын
Pole sana mitihani ya dunia ila bi idhini Rahmman utapona inshaallah. Ila tafuta mwenyeji wa Bukoba utumie dawa za asili.make bukob kuna dawa za asili zinasaudia sana inshaallah.
@EvonithaBeshobeza10 ай бұрын
Pole kaka
@Neema-t5f10 ай бұрын
Mwamin mungu nendakwawa2mish wamungu utapona
@AllyMwinyi-rx8gr10 ай бұрын
subhana llah pole kaka alla atafanya wepes
@NoorNoor-ld8po10 ай бұрын
Pole Sana Kaka INSHA'ALLAH Allah atakuafu na utapona kwa uwezo wa allah
@Avelinvenance10 ай бұрын
Pole sana jaman Mwenyezi Mungu nakuomba unyooshe mkono wako pekeako ufanye uponyaji wa haraka Amen
@ukhutfatumah115410 ай бұрын
Subhunnallah jamn daaa Dunia hii jamn m/mungu akureshe katika Hali yako ya kila Siku kaka yangu
@arafakiloli74910 ай бұрын
Subhanallah pole sana Allah akuondoshee maradhi yanayo kusibu.
@neemasiwakwi652810 ай бұрын
Pole Sana , mwamini Mungu atakuponya
@MagyChacha10 ай бұрын
Mimi hawa wakaka wazuri hawa siwatetei mana wanaumiza sana wadada wawatu ila Mungu amsaidie
@LusajoKabuka10 ай бұрын
We mungu kweli hujafa hujaumbika pole akwinulie msaada
@Nahdiya-nr3de10 ай бұрын
Ungeandika jina lako kamili n code no cz mpesa hua yahitaji jina lisikoseke hata nomba noja bro
@ruwuianjojorachide18910 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi dungo wango pole sana😢
@TatuMtumbuka10 ай бұрын
Naelewa hii ishu inaumaje hakuna anayependa kuomba jamani ila maradhi haya Allah Akbar
@Maas-d5d10 ай бұрын
subhanna llah Allah akuponye hakika.dunia hii.Allah akuponye
@jamesngalahinzano346410 ай бұрын
Pole Sana kaka. Mwenyezi Mungu akuondolee ugonjwa huo.
@mwanawetumwatumwa300010 ай бұрын
Mungu akupe hafueni ln Shaa allaha
@AllyHaruna-ko3it10 ай бұрын
Ndugu zako waende kununua mafuta ya mwamposa upake Kwa Imani plz utapona
@halimahalima148810 ай бұрын
Pole sana Allah atakuponya kwa uwezo wake👏😢
@RehemaKhamis-k8s10 ай бұрын
Jaribu kienyeji kamaugonjwahamna Mungu atakusaidia
@yasminjuma914610 ай бұрын
Ushauri wangu tu. India wapo juu kidogo kwa matibabu.
@maximumtvonline10 ай бұрын
Sio juu kidogo bali hata wamarekani wanenda kutibiwa india wale ni mabingwa snaa
@dassustephen73110 ай бұрын
Namashauri huyu kijana aende kwa Boniphace Mwamposa naamini Mungu atamponya kirahisi.
@bashirusalumu414410 ай бұрын
Achana na ufremasoni uo wewe uyo mwenzako anaumwa kweli kweli wewe unampeleka uchawini uko mwamposa si mchawi uyo uku songea aliwaambia watu tupa magongo baada ya Apo kilichowakuta ninouma
@salmaalimusa680910 ай бұрын
SubhannaAllah yaa Rabbi tujaalie maradhi mepesi
@samiyairakoze595810 ай бұрын
Huyo niucawii
@costantinekikinda757410 ай бұрын
Okoka wewe acha udini pia jitasimini wapi ulikosea ukatubu amen
@umsoud330610 ай бұрын
Allaah Akupe Shifaah Amiin
@WiliamJames-e2l10 ай бұрын
Pole kaka duuh 😭😭
@mariamkimtai69310 ай бұрын
Watanzania Mko Ushamba Interview Na Music Back Ground 😅😅😅😅 Kelele Tu
@NemaAli-zh6hr10 ай бұрын
Pole mpnz mungu akufanyie wwpesi 😢😢😢
@PaulinaMichael-ud4rv10 ай бұрын
Pole sana kaka angu naomba uend kwa mtume mwamposa na uhakika utapon
@Filmworldstar10 ай бұрын
Pole mzee maji anda nikutumia chochote nii adili huyu
@emillyzeeh117310 ай бұрын
Pole sana dungu mungu atakuponya 🙏🙏🙏🙏in the Name of Jesus Christ Amen pole sana