KIJANA MZALENDO AIVAA CCM "HIKI NI KITUKO WAMEVUNJA KATIBA CCM KAMA WANAMPENDA SAMIA HARAKA YA NINI"

  Рет қаралды 25,454

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@magrethsengati2564
@magrethsengati2564 Күн бұрын
❤❤❤❤ safii sana Mtanzania unaye jitambua umeongea point tunavyo waambia wapinzani muelewe msituone kama maadui sisi wote ni Watanzania tuijenge nchi yetu mabadiliko ya mfumo mzima ni muhimu
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 2 күн бұрын
Nkindikwa ni nomaa haaa haaa mzalendo halisi safi sanaa!!
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 күн бұрын
Mzalendo au Ni mzoga wa kupima Inzi, chunguchungu watafika kiasi gani kwa arufu ya mzoga?
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 күн бұрын
Una maana gani? Wewe sio mzoga? Machawa kama nyinyi ni wapumbavu kabisa!​@@GodfreyOsward
@MihayoMageta-k4n
@MihayoMageta-k4n Күн бұрын
​@@GodfreyOswardkwani wewe huoni kuwa Kuna ukweli hayo maneno ya kijana mzalendo, au umeamua kumtukana tu.😮
@victorrobert7797
@victorrobert7797 2 күн бұрын
Umeongea ukweli CCM wameboronga ,walishangilia wasiokijua kweli CCM kwisha
@Hussenskinyangaa
@Hussenskinyangaa 2 күн бұрын
Haya yote kaleta mabeyo kipindi JPM amefariki angeshika nchi😅😅😅😅😅
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (SHERIA MAMA) INAFAA UIPATE UISOME.
@Werema3760
@Werema3760 2 күн бұрын
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 2 күн бұрын
Wapi jeshi Ni kitu tofauti walimosea xana kuweka nchi mashakan kwa watu wenye upeo mdogo kama huyu mama Ila bac mungu atafanya ukuu!
@deluxermahyono5290
@deluxermahyono5290 2 күн бұрын
Kabisa
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp Күн бұрын
Mabeyo kazngua kshenz amir jesh mkuu katanga Kuna vta ya uchumi ktkt ya vta kakata moto badala yakuamsha vkosi vya mafchon viingie kazn yy analeta xwaga za katiba ktkt ya vta hatujakaa sawa bandari zote kwenda uku na uku petrol kutoka 1700 yakapaa mbaka 3700 kuungansha umeme Toka 27 mbaka Lak tatu+ tozo kwenye umeme tozo kwenye cm pamoja na makusanyo kuongezeka kama wanavotamba TRA ukzunguka nch nzma hakuna bara bara mpya ilojengwa na Tanroad Zaid ya kuona bara bara znazojengwa na halmashaur pamoja na kelele zote za wananch kula msoto Mabeyo kakunja nne anakula Kwa mrija mafungu ya Ngorongoro national park
@FrolaMwanja-yk1ck
@FrolaMwanja-yk1ck 2 күн бұрын
Mama mchawi,hana kibali popote kawekwa kama bendera, kang'ang'ana na kiti hakika walijua kilichomwua magufulu
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 2 күн бұрын
INAWEZEKANA LABDA NA YEYE ANALIJUWA KILICHOMUUWA MWAMBA MAGUFURI MAMA RAIS HANA KAULI YEYOTE
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Күн бұрын
HUO MKUTANO ULIKUWA WA CCM WAO WANA UTALATIBU WAO WA KUPATA MGOMBEA..SIO LAZIMA UWE CCM NENDA VYAMA VINGINE SIO LAZIMA UWE CCM..HIVYO NDIVYO ILIFANYIKA KWA MWINYI,MKAPA,KIKWETE, MAGUFURI NA SASA SAMIA...HUO UTALATIBU WA CCM UTAKI NENDA CHADEMA
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 22 сағат бұрын
Safi sana kijana mzalendo
@HezronKaaya
@HezronKaaya 2 күн бұрын
Mkutano mkuu maalumu una agenda ngapi? KWA hiyo mkutano mkuu unafanyaje maamuzi bila kupokea maoni ya vikao vya chini.Mnaomtukana huyo anayejiita mzalendo mnamuonea tafakarini.Wanaoelewa watoe elimu sio kutukana
@timboxlee919
@timboxlee919 2 күн бұрын
Hii awamu ya sita ni ufisadi tu,na uchawa tu,na no development, RIP JPM
@shmohd11
@shmohd11 2 күн бұрын
No development!Unajua maana ya development? Development gani haipo, material, uchumi wa nchi au...? Acha ujinga
@HAWAMBARUKU-t5d
@HAWAMBARUKU-t5d 2 күн бұрын
​@@shmohd11Kwa hiyo hizi ndo akili kwa kudhani kuwa mkiwa na material alafu na uongozi mbulula maendeleo yatakuja?
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 күн бұрын
Makelele sana mara birthday na ujinga ujinga mwingi!
@notnecessary-b7m
@notnecessary-b7m 2 күн бұрын
Maendeleo hakuna, mtaani shida tupu kwani hujui au asali? ​@@shmohd11
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 2 күн бұрын
TUSEME UKWELI RAIS YEYE AMEWEKWA TU KAMA VILE BOYA MAAMUZI YOTE ANAPANGIWA NA WATU KAMA VILE ALIVYOPANGIWA KUMUWEKA WASIRA MAMA HANA SAUTI WALA UWEZO WOWOTE
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Күн бұрын
Safali moja huanzisha nyingi sasa hapo uchaguzi hulu na haki ni ndoto Tanzania mwanzo wa safali ni huo je mwisho wa safali utakuwaje kwa kweli mungu tusaidie naona kila kitu ni njia za mkato hatutaki kufuata shelia bila shulti
@kingmichael1234
@kingmichael1234 2 күн бұрын
Mkuu uko sahihi kabisa. CCM imekuwa chama cha watu fulani na sio chama cha wananchi, wengine wote ni machawa tu wasindikizaji.
@Werema3760
@Werema3760 2 күн бұрын
Facts✅
@HezronKaaya
@HezronKaaya 2 күн бұрын
Huyu bwana mi shujaa.Ndiye pekee amejitokexa hadharani kusema ukweli wengine kimiya.Hata waasisi wamenyamaza,hili jambo halijakaa vizuri,ni kituko mazingaumbwe matupu,unafiki utaangamiza Taifa.
@Alhawari-w2b
@Alhawari-w2b 11 сағат бұрын
Shida kubwa waliohuzulia katika mkutano ule wote wamepata bahasha nono😢
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 22 сағат бұрын
Kichofanywa na CCM ni uhuni wa hali ya juu sana
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 күн бұрын
Hivi hawa CCM wamempitisha Samia awe mgombea kwa Katiba ipi? Hawa watu wanakanyaga Katiba, wanakanyaga kanyaga tu wala hawajali. Hata Katiba yao wenyewe wanaikiuka, sijui hiyo ya nchi wataiheshimu kweli😂😂😂
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 2 күн бұрын
Uko sahihi kabisa mpina
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 2 күн бұрын
Hapo hakuna mpina
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp Күн бұрын
Katika hio miamba minne ya ccm kausahau mwamba mmoja Olesabaya nae n mzee wakunyosha rula
@HenryKimaro
@HenryKimaro 2 күн бұрын
Siku inakuja waovu wote watapigwa RADI na Mungu Mkuu na wala si mbali
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Күн бұрын
SAAAAAAFIIIIIIIII SAAANAA MZALENDO HALISI TUACHE KUIKIUKA NA KUIVUNJA KATIBA YA NCHI YETU JAMANI MMMMMMMMMMMMMMMM. MNHU. WOTE WANAJUWA BAAAS. TUU
@emmanuelBon-p6u
@emmanuelBon-p6u 2 күн бұрын
Fungus kesi Kaka tupo Pamoja chief
@charlesbarongo2778
@charlesbarongo2778 Күн бұрын
Huyu ni zaidi ya Musiba.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 2 күн бұрын
Usiseme amavunja katiba ikaishia hapo, eleza ni katiba gani iliyovunjwa???
@lodrickhubert9093
@lodrickhubert9093 8 сағат бұрын
Wanajia wqtanzania wameamka sana ndiyo maana wamewahi mchakato.
@ThekingBuddar
@ThekingBuddar 3 сағат бұрын
CCM WEZI MAJAMBAZI WOTE
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
Mzarendo umeongea ukweli tatizo hawajiamini njia zake zamkato mkato ndio maana Wanawasiwasi hakubaliki nirushwa tu Nchi imeuzwa hii mtu Mmoja tu kikwete ndie mwenye mamlaka Nchi ya kifalme
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 2 күн бұрын
hata wadhamini hawanaa
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 22 сағат бұрын
Mpina yuko sawa
@JohnnyJapheth
@JohnnyJapheth 7 сағат бұрын
Wewe mnuka mkojo Sasa katiba ya ccm wewe inakuhusu Nini mpaka mishipa inakutoka wakati wewe chadema
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 күн бұрын
CCM....VIONGOZI.... MMEIKABA NA KUINAJISI DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA CHENU.....INASIKITISHA SANA!
@huyu1993
@huyu1993 2 күн бұрын
Wewe haikuhusu inayowahusu ni ccm wenyewe sio nyinyi vikaragosi,wacheni ropo ropo
@SalumRwambo
@SalumRwambo 18 сағат бұрын
Nilivyo elewa mimi kikwete aliongea hichi tunacho fanya hapa nnacho kiongea kama hakipo kisheria wanasheria wa ccm wapo watasema kama Kuna kasoro turekebishe kama sawa basi hakuna sababu ya kuzunguka tuyamalize
@rejobu9723
@rejobu9723 2 күн бұрын
Fact
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 2 күн бұрын
Siku zao zinahesabika
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 Күн бұрын
Hoja ni kuwa, chawa wake huyo Mwenyekiti wenu (Samia Suluhu Hassan) ambao ndio wanaitafuna na kuifisadi nchi, wanamtaka huyuhuyu dhaifu na asiyeweza kuwawajibisha hawa chawa wake aendelee kuwa Rais ili waendelee kula bila bughudha. Na wanataka Wazanzibari waendelee kuitawala Tanganyika. Hili hatulitaki na tutawasha moto mkali kulikataa na kulipinga kwa nguvu zote!!
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory Күн бұрын
Msajili wa Vyama vya Siasa hapo hasemi chochote, wangekuwa CHADEMA Angeanza kuwalima barua
@ReaganFeeley
@ReaganFeeley 2 күн бұрын
Nkisikia ametekwa sito shangaa
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 2 күн бұрын
Mungu Yupo juu ya Tanzania Hakuna Mtu Atatekwa.
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 22 сағат бұрын
CCM haijafanya fair
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 2 күн бұрын
Kwan ww chama ni chako? Wenye chama wameamua hivo, kaanzshe chako ukafuate katiba ya chama chako. Acha ujinga umetumwa kakojoe ukalale....
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Күн бұрын
Acheni kuongea ujinga Kwani katiba ni kitabu cha muungu mpaka isivunjwe kuna dhambi gani kwa muungu kuvunja katiba hii mifumo ya kidunia tu imeletwa na wazungu kwa faida yao.huyo muungu haizitambui sheria za katiba.
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 2 күн бұрын
Mwambieni jk na kundi lake wakiujua huu huu huujui ccm kununa tumedhamiria kuwaonyesha wajuaji😂😂😂😂😂
@AsegelileMwamafupa
@AsegelileMwamafupa Күн бұрын
Ameongea ukweli,! Ikiwa halmashauri inaweza kufanya vituko hivi haki, ukweli na demokrasia viko wapi! Mbona hawakujaza fomu za kugombea nafasi hizo!!
@FaustineMangula
@FaustineMangula 2 күн бұрын
Pikipiki hazikuwa za chama ila za raisi SamiaSuruhu Hasani ndio maana ni SSH.
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
@@FaustineMangula Sio kweli Zina chama wamepewa wanaccm nakuandika chata ya mama hata kama hujui kusoma hata picha
@mkadammkadam
@mkadammkadam Күн бұрын
Na viwanja vya ndege, madaraja, vituo vya mabasi vyenye majina ya watu ni vya kwao?
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan Күн бұрын
@mkadammkadam pikipiki ni za mama ni Rushwa na kampeni za mapema kuwanunua watu ukweli usemwe anatumia ngumu kubwa kushawishi watu
@GeorginaAnatory-u1z
@GeorginaAnatory-u1z 2 күн бұрын
wale akina msiba na wale wengine wawili wanaoisema sana chadema mbona kwa ili la chama chao atuwasikii
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 күн бұрын
Wape elimu hao maccm wamechemsha wamevunja katiba yao wenyewe
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 2 күн бұрын
TUSUBIRI HII MITANO YA MWISHO TANZANIA ITAKUWA KWISHNEYI IMESHAKWISHA KILA MTU AMESHACHUKUWA CHA KWAKE NA ALIYEBAKIA HAPA BONGO AMEBAKIA NA ALIAHAMA NCHI AMESHAHAMA TUNABAKIA NA MATATIZO NA NJAA YETU TU
@rashidifaraji6037
@rashidifaraji6037 2 күн бұрын
Wewe ni mjinga kabisa mkutano mkuu ndiyo wenye mamlaka soma vizuri hiyo ibara 101 kenge
@haggaikinyau9047
@haggaikinyau9047 2 күн бұрын
Huo ni uongozi wa kwenye chama sio kugombea Uraisi. Kugombea uraisi ni form ya Tume sio ya chama. Wewe hutofautishi kati ya uongozi kwenye chama na uongozi kwenye nafasi za uongozi wa serikali
@kizitoMwanshuli
@kizitoMwanshuli Күн бұрын
Nadhani hujamuelewa, kasoma katiba ya chama: Kaeleza kazi za mkutano mkuu, Ikiwa ni pamoja na kuchagua mgombea wa nafasi ya mgombea KITI Cha Uraisi. Hivyo huwezi kuchagua kabla ya kuvunja bunge.
@IddMsongo
@IddMsongo 2 күн бұрын
Kwani wakati Magufuli anagombea awamu ya pili, aligombea na nani
@SalumRwambo
@SalumRwambo 18 сағат бұрын
Hapo anaongea ccm imevunja katiba ya nnchi au ya chama chao
@gastonjohn537
@gastonjohn537 2 күн бұрын
CCM haiko hai tena
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 2 күн бұрын
Kuna watu nchi hii wamelishwa UNGA WA NDELE macho yao yanamakengeza,,, nyeupe wanaiona nyeusi, kijani wanaona bluu.
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 2 күн бұрын
Ccm inabomoka.still bado mda ujafika
@aliyaliya1995
@aliyaliya1995 2 күн бұрын
Mgufuli hakuvunja katiba kumchagua rais wa znz
@amirjuma9395
@amirjuma9395 2 күн бұрын
Mwandishi hapo unamhioji mcharuko😂😂😂😂😂
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 күн бұрын
Moyo wako umejawa hila huwezi ona wala kusikia
@AzizihFarijala
@AzizihFarijala 2 күн бұрын
Mkutano mkuu ndiyo ni kikao Cha mwisho chenye mamlaka ya kundengua au kukazia maazimio ya katiba. Hivi huyo mcharuko anafikiria ni kikao gani kikubwa
@SALIMUsafuko
@SALIMUsafuko 2 күн бұрын
ANAEHOJI NA ANAEHOJIWA WOTE MABOYATU , KAMA VP JIUNGENI KWENYE HICHO CHAMA CHA UBELGIJ SISI SIO WAJINGA KAMA MNAVYOFIKIRI HATA MKESHE NYIE OVYOTU LABDA MKASHINDE HUKO UBELGIJI
@seifmketo2421
@seifmketo2421 2 күн бұрын
mama nakustahi
@سليمانلوغاجو
@سليمانلوغاجو Күн бұрын
Semeni kwakua mna uhuru wa kuongea angekuepo kafiri mwenzenu mnge fyata mikia
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 күн бұрын
Mtamaliza maneno na vitabu ila CCM itatuongoza.sana tu hatujaona chama kingine cha kutuongoza zaidi ya CCM
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 күн бұрын
Hawa watu wanafanya mambo kibabe, wasipojirudi wataangukia pua.
@mmbagajuma3347
@mmbagajuma3347 2 күн бұрын
Samia hajataka uongozi wa chama, ni uraisi. Kweli huyu bwana ni mcharuko😊
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 күн бұрын
Sasa kwa nn asiweke from wachukie wagombea wengi maku wewe
@dinimanabii833
@dinimanabii833 2 күн бұрын
mkutano mkuu una nguvu kuliko hivyo unavyovisoma hapo mkutano mkuu una maamuzi ya kuongeza au kupunguza kipengele chochote kwenye katiba acha shobo kusemea vitu usivyovijua
@Pastorsteverotali
@Pastorsteverotali 2 күн бұрын
KAMA CCM WAMEVUNJA KATIBA YA CCM NANI ANAWAJIBIKA? JE WATAWEZA KUILINDA KATIBA YA TANZANIA? WANASHERIA WA TANZANIA NA WAANDISHI WA HABARI WAKO WAPI KUELIMISHA UMA?
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
Mpumbavu sana huyu wee ccm ina wanasheria wanajua nini wakifanyacho ule uliitwa mkutano mkuu maalum maana yake ni wa dharura na kikao cha dharura unaweza kufanya chochote ikiwa akidi ya wajumbe imetimia kilichofanyika ni kujaza nafasi ya makamo na kutoa maamuzi ambayo wangekutana tena na kulipanga hilo
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
@@RashidHaroun-c2j jibu hoja udcituoane kwann mnakua hivyo
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
@GodfreyBikukan kwani apo pana hoja yee kazungumza tu kwa ufinyu wa akili yake kwa jambo asilo lijuwa ama wee umeona pana hoja gani
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
@RashidHaroun-c2j sio ufinyu wa Akili unataka Kila Mmoja aseme ndio kama wale wajumbe walivyo sema ndio kama Anakubarika kwann wanaharaka hata wadhamini hawajapata kunann
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
@GodfreyBikukan wajumbe walio kubali siku ile ndio wenye mandatory ya kufanya vile na katiba imesema inapofika kipindi cha uchaguzi kikao kinaweza fanya vile haukukusudiwa uchaguzi wa dola apo uliokusudiwa ni uchaguzi wa chama ambao ndo ulifanyika iyo juzi ni kikao maalum chenye ajenda ya uchaguzi wewe chadema sijuwi chadomo huwezi juwa katiba ya ccm maana yake
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
@RashidHaroun-c2j Tuwe WAKWELI Nchi yetu haina Demokrasia chama pia hakina Demokrasia kazi nindio ndio tu
@MASOUDSALUM-r5r
@MASOUDSALUM-r5r 2 күн бұрын
Halafu sio za ccm ni HHS
@denisJoel-v7i
@denisJoel-v7i 2 күн бұрын
chadema ndo muda wenu chukuen nnch sasa
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 күн бұрын
Samia hatorudi madarakani abadan. Uhuni walioufanya tarehe 18-01-2025 utamgharimu.
@jumanneomary2997
@jumanneomary2997 2 күн бұрын
Wahandishi mngekua mnatuondolea vilaza hao Mtu ataajuwi kua mkutano mkuu wa ccm ndiyo wenyemamlaka wakubadilisha chochote kwenye katiba ccm
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 күн бұрын
Kumbe wahandishi ndio tatizo ??
@innonyange6482
@innonyange6482 2 күн бұрын
Wahandisi
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 күн бұрын
Wewe ungetupa kifungu Cha katiba ya CCM iliyowapa wajumbe kubadilisha vifungu vya sheria
@kizitoMwanshuli
@kizitoMwanshuli Күн бұрын
Jenga hoja,usianze na kejeli et kilaza; unadhani kipi kina Anza kubadili katiba au kutumia mabadiliko hewa kufanya maamuzi? Nadhani ni muhimu tukajielekeza kujibu hoja zake kuhusu umuhimu wa kuiheshimu katiba badala ya kuamini tu maamuzi ya mkutano mkuu bila hadidu rejea zinazo wasilishwa Kwa lengo la kufanyia mabadiliko katiba ya chama.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 19 сағат бұрын
SI wabadilishe kwanza hivyo vifungu..na viendelee kuishi.....
@ReubenMweteni
@ReubenMweteni 2 күн бұрын
Hana akili huyu jamaaa, asome na aielewe katiba vizuri sana
@notnecessary-b7m
@notnecessary-b7m 2 күн бұрын
Fafanua wewe
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 күн бұрын
Kweliii we kuma
@Ambwene
@Ambwene 2 күн бұрын
Mamaako aliyekuzalia matakoni ndo Hana akili mbwa wewe
@josephatnzioka6452
@josephatnzioka6452 2 күн бұрын
Kuna chembechembe za hofu mahali fulani...
@JumaMartin-e4v
@JumaMartin-e4v 2 күн бұрын
Mtangazaji unapenda unae muhoji banane nae hapa kwa hapa.ngoja siku ukutane na mtu anaongea na kurusha mate ndio utakapo mpa mgen distensi
@MwanaHALISITV
@MwanaHALISITV Күн бұрын
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa Duuuuh
@amirjuma9395
@amirjuma9395 2 күн бұрын
Mpaka hapo utumbo tu kaongea sijaona wapi katiba imevunjwa
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 2 күн бұрын
Punguza mihemko
@FakiFaki-w3e
@FakiFaki-w3e 2 күн бұрын
Huna akili!
@KilundumyaAthumani
@KilundumyaAthumani 2 күн бұрын
Hata wanamtuma ni chenga tu
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 күн бұрын
Sauti mbovu sana!
@notnecessary-b7m
@notnecessary-b7m 2 күн бұрын
Ila point sana.
@mkadammkadam
@mkadammkadam Күн бұрын
Huyo mnayemuona msomi anapotosha watu. Anachanganya yaliyomo ndani ya Katiba ya Chama na ya ndani ya Katiba ya Nchi. Huyu si mzalendo na si mwana CCM bali ni mtu anayetumiwa kuisema vibaya CCM.
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 2 күн бұрын
Hayakuhusu
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 2 күн бұрын
UCHAWA UTATURUDISHA UTUMWANI
@ramadhan122
@ramadhan122 2 күн бұрын
Keele za mpangaji ha,imzuii mwenye nyumba kulala
@mmbagajuma3347
@mmbagajuma3347 2 күн бұрын
Huyu mgonjwa
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka Күн бұрын
Huyu hana akili kaazishe chama chako kwani ni chama chako, wenyewe wameamua wewe inakuhusu nini, acha upuuzi wewe.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 күн бұрын
Acha ujinga kamata wajinga km hawa fira ndani ongelea chama chako
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 күн бұрын
Wewe unadhani huyo sio mwanachama? Wewe punga chawa huwezi kuelewa! Hili hata Musiba kaliongelea jumapili!
@IssaMatandi
@IssaMatandi 2 күн бұрын
Ninyi ni vichaa.Tafuteni chama chenu na mupnge mambo yenu.CCM ina sheria zake.Ninnyi ni machizi wote.
@JumaRashid-h8h
@JumaRashid-h8h 2 күн бұрын
Thinking capacity
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
@@IssaMatandi kichaa utakua wewe Jenga hoja yeye kajenga hoja Tena zinamashiko kama anakubarika kwann mnaharaka
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 күн бұрын
Chama chenye katiba kilitakiwa kifuate utaratibu wa chama na CCM Ina katiba ndiyo muongozo wao kwani hawakutaka wanachama wachukue form ili washindane itumike demokrasia kuliko kufanya udikteta?
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 күн бұрын
Wewe ndo unaakili sana kuliko wote wanaohoji? Huoni kwamba hali hii ni ya hatari sana kwa CCM
@charlesmgory3131
@charlesmgory3131 2 күн бұрын
Ili haki itendeke au uovu unpotaka kufika mwisho nilazima uovu uongezeke ili haki ije kwa muda mwafaka aliokusudia mungu walichofanya ccm ni maandalizi ya anguko Lao ili litimie kusudi la mungu.
@Amisiabdallah-t4n
@Amisiabdallah-t4n Күн бұрын
Biteko ni mnyarwanda huyo, hebu hangalieni sura yake na pua yake huyo jamaa ni mtu wa Rwanda.
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Күн бұрын
Ahaaaaaaw umeona mbali
@shmohd11
@shmohd11 2 күн бұрын
Kuchagua siyo lazima kuwe na mgombea zaidi ya mmoja. TANU hadi CCM, mtu kupita bila kupingwa ni jambo la kawaida
@tilusubya3043
@tilusubya3043 2 күн бұрын
Huo ni uongo acha ukabila.Hao unaowataja hawana lolote.MAMA SAMIA NDILO CHAGUO LETU NA ATASHINDA KWA KISHINDO.
@deluxermahyono5290
@deluxermahyono5290 2 күн бұрын
Mpumbavu ww sasa kwann Kuliwekwa utaratibu?
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 күн бұрын
Huyu jamaa mpumbavu , mwaka wa 30 ndio tutachagua nw samia amalize muda wake
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 күн бұрын
Amalize mara ngapi, kwani alichaguliwa na nani? Ukweli unajua kma alikua anamalizia muhula wa Pili wa Magufuli, Kisha kma anahitaji kuendelea lazima achuane na wengine ndani ya CCM akipita ndo awanie kitaifa. Fanyeni tu mzaa dola ichukuliwe na upinzani kwa urafi wa madaraka.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
Waasi Wa M23 Wasalimu Amri
4:08
Ebru TV Kenya
Рет қаралды 462 М.
Trump escalates Panama threats to intimidate Putin
10:00
Times Radio
Рет қаралды 81 М.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН