sikumbuki ya zamani yesu yu ndani yangu....am blessed
@flashlightstudio53993 жыл бұрын
Siku zote nikimkumbuka Kibaso hua nasikiliza huu wimbo version hii. R.I.P MWALIMU SAMSON KIBASO
@caramafareed39805 жыл бұрын
Maisha ndani ya yesu niraha isiokua kifanii......MPE yesu moyo wako utaona yote yawezekena
@gideons52654 жыл бұрын
Yesu atukuzwe kwa utumishi huu mwema
@dorcas2335 жыл бұрын
Mpiga keyboard ameupa wimbo huu intro mzuri #Blessings
@RenadiaGozibert8 ай бұрын
Huwezi kitu😂
@YoshauBinnunАй бұрын
R.i.p kibaso❤
@theblackpearl70355 жыл бұрын
Wimbo ni mali ya MTUNZI Mwalimu SAMSON KIBASO sio wa kwaya yeyote (SDA au LUTHERAN)
@gideons52654 жыл бұрын
Ukiona umekuwa recorded ujue mwenyewe alitoa kibali.
@samwelmwasomola24573 жыл бұрын
Mwalimu Samsoni Kibaso,tutakukumbuka baba
@AnnaMeleiyaMbise2 жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana Mungu awabariki
@eliamanielisaeli75424 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu heko sana pia kwa mpigaji wa bass guitar amejua kulitendea haki mbarikiwe na Bwana💪🏾🙏🏾
@johnfaustinechannel7464 жыл бұрын
Nimefurahi sana kwa wimbo huu, mmneimba vizur sana kama waadventista wasabato wanavyoimba; Music umetulia, Ujumbe mzuri, Hakuna kurukaruka, dah Mungu awabariki sana. Nachuchumilia wokovu
@siamremi73202 жыл бұрын
Ameen
@innocentnnko22925 жыл бұрын
Hakuna Hasara kuwa na YESU ndani yetu bali ni faida tu, Mbarikiwe watumishi wa MUNGU wimbo mzuri mno!
@furahaabrahman32314 жыл бұрын
Ameen mbarikiwe
@calvinmelvin97313 жыл бұрын
Duuh NI noumaaa
@dadarehema3 жыл бұрын
Oooh wooow so nice!! Mmetulia Na wimbo unasikilizika.Sio kwa kuchezacheza kule hata usikivu huwa haupo tunaangaliga tu nani kajipamba vizuri wooyii.Barikiweni sana.
@christineamukoye99694 жыл бұрын
Hallelujah glory glory to GOD. Nabarikuwa sana na MUNGU awabariki sana.💃💃💃💃💃💃. Dunia kwaheri yalopita yamepita.
@siamremi73202 жыл бұрын
Ameen Ameen
@oliverkyando9897 Жыл бұрын
Amen
@martinjacobtv98642 жыл бұрын
My favourite song ever.
@amanimghamba61355 жыл бұрын
Mungu awabariki,wimbo mzuri
@Africantales87 Жыл бұрын
Tango nijue Yesu Kila kitu naombea napata,ananipigania kwa Kila mara hakuna hasara kwa Yesu
@rizikitito30243 жыл бұрын
Mmbarikiwe mmeimba vizuri
@petermende51535 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabarik kwa kuitangaza Injili
@IbelongtoJesusChrist Жыл бұрын
Thank you Heavenly Father, what a beautiful language. In every face, I see Jesus❤️✝️ This is where my roots come from, and I learning Swahili more everyday. 🙌🏻✝️ Mungu awabariki ninyi nyote ❤️
@alphoncebulay40564 жыл бұрын
Wimbo mzuri hongereni sana
@furahaabrahman32314 жыл бұрын
Ameen
@upendomwalupogo4624 жыл бұрын
Oooh nice song
@jessiemoshi73345 жыл бұрын
Mbarike jmn kijitonyama
@claudianekesa95202 жыл бұрын
🙏🙏pick up brothers/sisters
@shadrackkipkemboi9932 Жыл бұрын
Nice song..but undownloaded why?
@ibrahimemmanuel47803 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@dorcas2335 жыл бұрын
#Barakiweni
@furahaabrahman32314 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana
@davienyckx7853 жыл бұрын
the song is cool even dressing code but earing and make ups are contradicting
@itssirjames2 ай бұрын
KURASINI ORIGINAL SONG... MBONA YOU ARE USING ANOTHER BEAT.