''KIKOKOTOO KITATUUA'' - ASKARI POLISI ALIYEMKOSHA RAIS SAMIA HADI IGP WAMBURA AKACHEKA...

  Рет қаралды 37,504

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 11 ай бұрын
Askrari mnawafunza nini watoto wenu wakati nyinyi wenyewe munapotosha Jamii Ngoma Kama hizi haifai kabisa katika Jamii yetu
@David-if6nk
@David-if6nk 5 ай бұрын
Hivi askari mzima unaenda kuwaimbia Mademu ngoma
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Safi sana Amenifrahisha haya mimi Kikokotoo kwakweli ni KIPENGELE
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 Жыл бұрын
Huyu askari ametumwa na Mungu kukisemea kikokotoo. Wastaafu wamedondoka hawana matumaini tena. Walio kazini ni kufikiria ninapostaafu nitaishije? Hari ya kazi imepungua kabisa. Mungu atusaidie.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Kazi kwa kweli.
@AnjelicaBayyone
@AnjelicaBayyone 5 ай бұрын
Kikokotoo itamuaje polisi wako na ccm jamani wanaokufa na na kikokotoo ni waalimu na madaktari na wauguzi na wale wengine mmmmm
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Жыл бұрын
Mtihani dah
@selemansombe4177
@selemansombe4177 Жыл бұрын
Madam President kwenye watumishi kawatendea haki sana.
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 Жыл бұрын
Mimi nakuomba muheshimiwa mkubalie ombi lake la kupandisha cheo. kiukweli mwanzo kanifurahisha ila alipofikisha ombi lake la kupandishwa cheo nilijikuta nahuzunika.
@samahamed2418
@samahamed2418 Жыл бұрын
❤❤
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Жыл бұрын
Yakhee mie nimelalaaaaaa
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 Жыл бұрын
Kikokotoo kikokotoo
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Жыл бұрын
Katambi asikie sasa...kikokotoo ni tatizo sana
@EliatoshaLema-rw5hm
@EliatoshaLema-rw5hm Жыл бұрын
Kama mimi ndo kabisa nakufa na kikokotoo maana sikuweza kujenga maana nilikuwa nasomesha wanangu
@westmanmoses541
@westmanmoses541 Жыл бұрын
Pole
@EliatoshaLema-rw5hm
@EliatoshaLema-rw5hm Жыл бұрын
@@westmanmoses541 asantee
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Жыл бұрын
Ao kinamama dah ! Halafu mjewagomba wenenu nyiwe hamjioni ndo maadili hayo
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Kwakuwaa ww ndio unadiliii au
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 Жыл бұрын
Hahahaha kweli kikokotoo ni kilio.
@gideonmwampyate8458
@gideonmwampyate8458 Жыл бұрын
Hilo la kikokotoo,kweli ni hatari kuliko korona
@naslee1010
@naslee1010 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mcbalozi2519
@mcbalozi2519 Жыл бұрын
Kibati
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Huu muungano!! Kizunguzungu nasikia mm
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Achaaa rohooo mbayaaa ukikuwepoo huu mungano usipoo kuwepoo ww unakusaidiaaa nn
@naslee1010
@naslee1010 Жыл бұрын
Muungano wetu ni mzuri kaka ila baadhi ya viongozi wachache ndiyo wana fanya muungano uonekane hauna ishu ila muungano wetu ni mzuri sana
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
​@@naslee1010sahihi kabisa usemacho
@tobiaskigodi3780
@tobiaskigodi3780 Жыл бұрын
Kikokotoo nikero nakimeletwa kuua wastaafu,futeni kikokotoo!
@AishaSaum-n5j
@AishaSaum-n5j Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@stellacosmacy4785
@stellacosmacy4785 Жыл бұрын
Mtuunee hurumaa kwenye kikokotoo yaani mama tuonee hurumaa
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Upewe maua yako Afande Afande Ahahahahaaa
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@georgemichael9842
@georgemichael9842 Жыл бұрын
From Us this time if you killed People's guy it will cost you much.
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
😂😂😅
@hafidhali3020
@hafidhali3020 Жыл бұрын
Ukhanithi mtupu,mavi yenu
@asalkhan9168
@asalkhan9168 Жыл бұрын
Weye huna mavi au huendi chooni
@kakafadhili4472
@kakafadhili4472 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@AishaSaum-n5j
@AishaSaum-n5j Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
NGOMA YA KIBATI YAIPAMBA KIZIMKAZI.
9:59
SUNET TV
Рет қаралды 17 М.
CHEKI ASKARI POLISI ALIVYOMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA
10:01
Daily News Digital
Рет қаралды 3,8 М.
CHEERS AS PRESIDENT RUTO INTRODUCES HIS TROOPS IN BUSIA!
7:11
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 10 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.