Kwa mahitaji ya T-shirt au Product za Kikosi Kazi piga namba +255 622 037 937 asante kwa sapoti yenu (for Kikosi Kazi Hoodies, Tshirts Caps call us +255 622 037 937 thank you for the love) #KikosiKaziKazini website: kikosikazi.aznasartscentre.co.tz/ jiunge katika familia yetu ya telegram t.me/joinchat/OXCXAVcYrMvoLAZet999Hw
@diegobalenciaga63734 жыл бұрын
One love hip hop till die
@AzmaMpondaMUSIC4 жыл бұрын
Support yenu ni muhimu Sana, ili tuweze kuzidi kuwapa vitu bora zaidi..
Azma Mponda tuko pamoja brother mnatoa kazi nzur so mtafika mbali tena soon trust me..
@DullySykesMusic4 жыл бұрын
WADOGO ZANGU HAMJAWAHI KUNICHOSHA! MISS 2020🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kikosikazikazini26424 жыл бұрын
Kaka mkubwa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@nicksoncharles82404 жыл бұрын
Gonga likes kam umemuona Mr misifaaaaaaaaaaaaaaaaa handsome
@AzmaMpondaMUSIC4 жыл бұрын
Shukrani sana kaka mkubwa
@asueddy14654 жыл бұрын
What a comment from a legendary. Respect
@christianolyehe61494 жыл бұрын
Safi
@kidenyadaniel5154 жыл бұрын
Tuliodhani miss 2020 ni demu lakini baadae tukagundua kuwa si demu bali ni mwaka 2020 tujuane kwa like
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@mugadimon35634 жыл бұрын
Mie mwenyewe nilijua ni pisi kali
@adamngonyani25784 жыл бұрын
Wachawi wa idea hawa wa2 hatariiiiiii
@dangomc_official4 жыл бұрын
Duh ndo najua atamimi walai na ninausikiliza kila ck hadi nishaa ikalili
@D-Man.B-Free4 жыл бұрын
Yaani P the MC anaua kila ngoma,...Daaah
@rajabuhaji28134 жыл бұрын
amepita mpaka na mueshmiw benjamn mkap" SONGA salute!
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@omaressau32994 жыл бұрын
Samaki ndani ya maji "SONGA"
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
huu mwaka sio poa kweli miss 2020 big ideal
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
hahahah ulitugombanisha na kungulu wa nzenji oi sio poa weusi mme kaaaa
@kijangageofrey18864 жыл бұрын
Ngoma kali. Endeleeni kufanya muziki mzuri. Hakuna haja tena ya kuwathibitishia watu kuwa nyinyi ni wakali. Let the music talk, you're the illest MCs out ther!
@AzmaMpondaMUSIC4 жыл бұрын
Great point...
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@MiaTheLathini4 жыл бұрын
KITA the Pro! Unaimba sana!.. Nljua BEATs tu
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@novatusrichard93754 жыл бұрын
Iyo verse ya piliii ni hatariiii🙌🙌
@teddyjames42094 жыл бұрын
Kikosi kazi na kita the pro mko juu 🇰🇪 Kenya tuko pamoja sana
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Ngoma Kali sanaaa 👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@beberu294 жыл бұрын
Wanangu wa nguvu kazi kazi hiki ndicho kikosi cha vitani kikosi kazi kazin moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alkaullahmediaTz4 жыл бұрын
sahv niko na uyu miss, na nna mmisi mwngne... hatar sanaaa😂😂😁💥💥💥💥
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@philippeter1984 жыл бұрын
This song is so cool, I'm enjoying it from Belgium...
@sabinusjacob88334 жыл бұрын
Aseee kwanza mdundo ni hatari sana touch flan hv za old skul, mmetisha sana wanangu gonga like twende sawa
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@modricrushdiy20894 жыл бұрын
Kwa tulivyo henyeka 2020 nenda tu one kasema
@saidamassawe7710 Жыл бұрын
One of the best song of hop
@sharikinanguka14684 жыл бұрын
Miss 2020 hii ni zaidi ya kaliii
@sabasshayo84144 жыл бұрын
Huyo jamaa wa kwenye chorus ndio namskia mara ya kwanza ila ni 🔥🔥🔥🙌🙌
@platotaurus23014 жыл бұрын
Anaimba kama Belle 9 aisee yuko vzr
@mpjozzegalvanize49264 жыл бұрын
Tafuta nyimbo hizi za Azma mkito utamsikia kwa uzuri zaid #bibi na babu #my girl friend is best friend #kipimo cha penzi
@MiaTheLathini4 жыл бұрын
Na ndiye producer Wa nyimbo zote zlizotoka za #kikosiKazi
@tanzania_celebs4 жыл бұрын
kita the pro
@hasheemdogo96824 жыл бұрын
Kikosi kikosi kinachoma kama jua la utosi /Kikosi kikosi kinameza ma emcee kama msosi
@eddytzonlinetvTallMan4 жыл бұрын
HUU MOTO SO WENYEWE AISE TUNAFUNGA MWAKA NA MISS 2020
@mapesasautiyawengi10514 жыл бұрын
Zaiidii sana salute sana siku zote huwaga naaminia kakazangu imeweza sana ,toka kenya nafatilia sana harakati zenu kaka,,,@Azma .huyu ni Mapesa kutoka kenya..pamoja sana
@panjumitindo11354 жыл бұрын
Team Ya Rap Africa Tumefunga Mwaka Kwa Miss 2020 Bonge Ya Ngoma Uwezo Makini
@wazambulitv57354 жыл бұрын
*Kikosi kazi Kazini ili banger Miss Tweny Tweny tunalala tunaamka nayo mpk 2021 🔥🔥🔥😀👑✔✔*
@ramakabelele85234 жыл бұрын
My favorite song..... Ngoma kali Sana Kikos Kaz..... Muandae na show bhas
@innocentolomi74564 жыл бұрын
Wacha moto uwake 🔥🔥🔥
@meshackngaboss12364 жыл бұрын
Hip-hop elite ,top shelf, cream majina zote everyday you guys proves you are the best keeping hip-hop alive ,BIG UP KIKOSI KAZI
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@alextanzania4 жыл бұрын
Yaani mtayarishaji muziki(music producer)ni sawa na pilau na mrenda. Unagonga midundo migumu ili hali unaimba laini. Imekaa poa sana Kikosi Kazi mko poa sana. Hongera kwa Kita the Pro ,kiitikio (chorus) kizuri unaweza. Tunawasapoti sana.
@bamatv6514 жыл бұрын
Naisubiri kazi kutoka kikosi cha wana
@peterakaro95134 жыл бұрын
Hii ngoma kali sana, ni moja ya ngoma zangu tatu kali za Hip Hop zilizotoka mwaka huu. Hiyo biti ni sound mpya sana kwa muziki Bongo.
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Weusi wako wapi kimya like kwa kikosi kazi
@onesmongenzi34714 жыл бұрын
Kabla ya huyu miss nilikuwa na miss mwingine, sasa hivi nipo na huyu miss na nammiss mwingine, nadhani ni sababu anafanya nahisi vingine, nahisi nahitaji tena miss mwingine, kanifanya niwe broke yaani, sina money sipigi show, na kuna muda aliniweka lockdown , kiukweli hathamini anachokipata, amepita mpaka na Mhe. Benjamin Mkapa. Songaaaaaaaaaa!!!!
@shabbyofficial_4 жыл бұрын
Hawa watu ni genius .. kumbe wanaimba ju ya corona 🤦🏾♂️🔥🔥🔥
@videozaaj10694 жыл бұрын
No ni juu ya mwaka 2020
@shabbyofficial_4 жыл бұрын
@@videozaaj1069 oohh nice 👍🏾
@hellyally43954 жыл бұрын
kabxa axeee
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
sio corona tu wanaimba juu ya matatizo yote yaliyo watoke na yalio tokea huu mwaka
@BenKiba044 жыл бұрын
Sijui kwann bongo kuna watoto wa mama wengi wanapenda kusikiliza miziki ambayo haielimishi wakati ma goma Kama haya ndo Yana vuta hisia Love Hip Hop
@samuelmwangi6434 жыл бұрын
East afrika ni yenu..real HipHop🔥🇰🇪
@jeremyson77294 жыл бұрын
miss 2020 .. let me file this record mo fire... funga mwaka kazi nzuri
@shaphiyabdul16304 жыл бұрын
Respect kikosi kazi kanzini Mchawi album iko ndokitu tunacho kingoja kwa ham fans wenu
@sanakwachabasco59594 жыл бұрын
KIKOSI KAZI. GONGA LIKES ZA ZAIID HAPA. ❤️From🇰🇪
@videozaaj10694 жыл бұрын
Dah kita ni bonge la chorus killer..ametisha sana,sema miss 2020 umenifelisha sanaaaa aseee
@tomtarimo92544 жыл бұрын
Kali Sana aise Machali Zangu nawakubali Sana Tazimania(WTC
@rashidngwele39354 жыл бұрын
Songaa nom aaaa
@godfreyalfonce50574 жыл бұрын
Kazi nzri wanangu p mawenge katisha xna....
@kareemmngeza4784 жыл бұрын
Kikosi kazi nakubali zetu dua Kwa kila mtaftaji .....miss 2020
@wizlee76494 жыл бұрын
Salute kikosi kazi naona ninachokisia miss 2020 imebaki historia....love ndo msingi wa maisha p na nikki
@abdulmngombe93084 жыл бұрын
hawa jamaa ni kama vile wametupiwa jini la michano ndio raha ya team nzima kuwa best writers, beat smooth kama mikono ya Dre kumbe kita the Pro... Best group ever
@yohanampayo21823 жыл бұрын
Oooooiiiii noma sana mzee 😁😁😁😁
@victormwakyusa19864 жыл бұрын
@kikosi kazi mmemfunga mbwa mnyororo alaf mnapitisha nyama mbele yake ebu achieni ngoma Bas inachelewa cover tu la motooooooooo
@modricrushdiy20894 жыл бұрын
Oyaaaaaaaaaa mda mda mdaaaaa
@sirgadaph71944 жыл бұрын
Big up #songa nimependa kipande chako
@billywarawara44924 жыл бұрын
The miss 2020 imeeleza hadi hii pandemic... Only hiphop could understand such a drill... Real hiphop 💪👍
@henrytembo83544 жыл бұрын
Naiona hip hop ya bongo ikifika pale tulipokua tunataka ifike. Salute sana kweny ✊🏿✊🏿✊🏿
@farijalimussa25924 жыл бұрын
Keeping the gud music alive...MISS2020 💥💥💥 bora aende zake hata upande wangu hakukaa sawa miss 2020
@youngnc4 жыл бұрын
Yaani hawatoshi ..kikosi kazi 💯💯 am sorry magufuli
@saidysaidi32274 жыл бұрын
Miss 2020 ngoma Kali sanaa kks kazi big up kwao
@adamngonyani25784 жыл бұрын
Miss 2020 hiyooooooooooo ndo maana nawakubally"namsikilizisha dem wangu mda woooote yani!!?!?!!!!
@Jayninetythree4 жыл бұрын
The sound is sweet so attractive to listen 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@emanuelmhagama81934 жыл бұрын
*Sijaelewa uyo miss2020 wanamponda au wanamsifia maana one kamponda stereo kamsifia*
@mxolidogtype15234 жыл бұрын
Miss 2020 ni mwaka 2020 so kama kwako upo vizuri unausifia tuy ila kama upo ovyo kutokana na corona ndyo wamediss all in all Ngoma inahusu huu mwaka 2020
@benjaminchokela35774 жыл бұрын
Mikono juu everybody!!!
@suhailsodeh50634 жыл бұрын
Best hiphop group in east Africa of all tm....🇰🇪💯✈🎧
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@SonnyKings4 жыл бұрын
🧢
@tonyelshabbaz4 жыл бұрын
Beat 200% Flow 100% Lyrics 100% Chorus 200% Hii ni ngoma kali zaidi ya Hip Hop 2020!!!!!!!!!
@imacapela84264 жыл бұрын
Miss 2020..tunafunga mwaka ivii..likes japo mapenzi yanatutesa watoto wa kiswazi..
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Ngoma zoote za kikosi kazi ni kali, bora. Na kila siku mnaachia dude kali. Kweli tumefunga Mwaka Fresh. Miss 2020 pia ni miongoni mwa ngoma bora kwangu.
@kastorymalila11094 жыл бұрын
Kikosi kazi hatari sana nyie watu
@othumanomary32984 жыл бұрын
Napenda twende wote paka udachi Nashangaa hutaki Dr Unjuu💥💥💥💥💥
@mosamossile91134 жыл бұрын
Am watching from South Africa Cape Town Wynberg Kikosi Kazi ndo Kazi Music mzuri
@kibokomckibokomc20194 жыл бұрын
Kikos kaz Fanya kazi mpaka wapili awe mubishi heshima kwenu babu
@pademwanaharakati89804 жыл бұрын
Big up sana kukindi bora la Hip Hop bongo respect kwakaz nzur Steve Rnb kauwa kitikio
@binyezanch82714 жыл бұрын
Songa umepita mwan kwny beat but respect all guys
@ghosttalkvibe4 жыл бұрын
Bonge la beat Bonge la vocal, Bonge la mfoko Bonge la floo
@erickmtui11604 жыл бұрын
Move ya kutisha
@saidamassawe7710 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@issadoggo4 жыл бұрын
Mansul never change the outlook and others too,realizing that ur real G's.Keep head up you guys ur mean to hip hop
@abdulrahmanhassan92544 жыл бұрын
Vesi ya kwanza utadhani 50 cent hatarii , hii nyimbo nikali sanaa nimeirudia kuiskiza zaidi ya mara 5 , hii ningoma kali ya HIP HOP kwa mwaka 2020. KIKOSI KAZI WANAIRUDISHA HIP HOP KWENYE RAMANI YAKE.
@swalahbarriye59224 жыл бұрын
One the incredible
@besteemusic93684 жыл бұрын
This is real hip hop tuipe saport ifike sehem
@daudngatunga50244 жыл бұрын
Hatari ... Beat Kali, content Kali, chorus, rappers, #kikosikazi
@nyuz_online4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qYulhHWujtqji6M
@shallmolownicodem47344 жыл бұрын
Ngoma Kali nawaelewa
@EmmanuelKabigiАй бұрын
Noma sana tamaduni a.k.a kikosikazi
@acrambacari41874 жыл бұрын
Huyu SOOONGA nyiiiiiiie nyieee atauwa mtuuuuh
@wizzymillyofficial88814 жыл бұрын
Ambaye hachanji haelewi maana yahiingoma ambao tunachanja tuna elewa miss 2020 anapita ana kuja miss 2021 tumuone nayeye atakuaje
@collinsmakanta68984 жыл бұрын
Dah Nyie Ni Nyoko Aisee mmeuwaa Hatari Kinoma Noma
Kitaa the pro. Umeua mjanja ..chorus ni Balaa sana.
@joashmumangi85194 жыл бұрын
Miss 2020 kikosi kazi hii funga mwaka.BIG UP mapro wetu.
@lostermambele45354 жыл бұрын
Daaah nikajua anasifiwa demu,,,,kikosi kazi😁😁😁🙌
@shabanijuma20854 жыл бұрын
Kikosi kazi hapa kazi to kazi my Kali 2020 ni hii.
@benjaminmchami48784 жыл бұрын
miss 2020 ni mnyama, amenifanya niache game
@tanzania_celebs4 жыл бұрын
waiting here
@chebenako51124 жыл бұрын
Nouma saana ma kamkubwa #kikosi_kazi💣💣💣💣mnanikosha saana, brother kita huu mdundo 💥💥💥💥💥💥💥💥alafu pia umefanya chorous moja kimbembe kichaa cha voko, saf saana saana MISS 2020
@ramjusotz4 жыл бұрын
Kikosi kazi daima mbele ma broo
@learntoearn95884 жыл бұрын
Good music forever. .....kikosi kazi kazini
@omaryahmed71004 жыл бұрын
I HOPE HII NDO NGOMA YANGU KWA MWKA 2020 KUTOKA KWA HAWA JAMAA....SALUTE
@brainfigure944 жыл бұрын
Kazi nzur kinoma songa umetisha sanaa
@mathiascharles6074 жыл бұрын
Salute kwa uyo alieimba chorus aisee kaua mbaya
@allyally1424 жыл бұрын
Wazee kweli mmeamua maamaee.. hii beat ni soo aisee
@youngriziy38964 жыл бұрын
Nikisikiliza ngoma hii xitaman hata kulala, kuxema chaukwel mmeimba kinomanoma #kikosi_kazi
@Pharrell_faith4 жыл бұрын
Hatari sana. Wacha ni wa support kwa nunua hood lkn ntaendelea kuwa support kwa kuangalia hii video huku Utube kila mara
@saidamour26354 жыл бұрын
Hahaha Zaid nimewaelewa kunguru wa zenji one Love from Zanzibar (Zanziboys) tupo macho kwa ngoma zote za kikosi kazi
@Tellaaxis7 ай бұрын
2024 naangalia hii kitu #tellaaxistz
@francismsami21694 жыл бұрын
Kwanini hi ngoma haipo no1 trending???aseee booonge la ngomaaaa