Kwa mahitaji ya T-shirt, Sticker za Bajaji, Vikombe au Chupa za Maji zenye logo ya Kikosi kazi, piga namba +255 622 037 937 MR BRAND asante kwa sapoti yenu (for Kikosi Kazi Hoodies, Tshirts Caps call us +255 622 037 937 thank you for the love) #KikosiKaziKazini jiunge katika familia yetu ya telegram t.me/joinchat/OXCXAVcYrMvoLAZet999Hw
@paulofficial37034 жыл бұрын
Dah hongereni kaka kwa kazi nzuri kila days mim nifani wenu toka kitambo na nafurahi kurudi kwa kishindo na kwa kazi nzuri, MPE hai ndug yangu nikk mbishi tata mura🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@selemanmwaisela47334 жыл бұрын
Ata mikoan au
@putinvladimir47884 жыл бұрын
Kikosi Kazi Burundi Kuna Rappa Anaitwa #Kingorongoro Anaistaili sehem kama hiziii nayeye aonyeshe Rapswahili Bujumburaaa
@mababiyoo80994 жыл бұрын
Leo nimeboleka kenya wametufunika hii ngoma ila sio mbaya
@kibwamoko87674 жыл бұрын
KK ndio kundi bora la Hiphop Afrika Mashariki na Kati.
@BREEDERLW4 жыл бұрын
Ni Kubayaa Sana!!🇰🇪x🇹🇿
@rarpidoh47934 жыл бұрын
Boga hii mwaka bro
@jamalally37354 жыл бұрын
Appreciate brother from +255
@jamalally37354 жыл бұрын
Me hupigapiga kazi kwanza kutulia huwaga ni after
@pekelemilele53314 жыл бұрын
I see u usipumzike ...wakati wako
@archykawere14304 жыл бұрын
Sanaaa tuuuuuu
@geraldoluoch94794 жыл бұрын
Kaa LA moto killed this shit bro who is with me!!?
@mwakanyekenyiki92414 жыл бұрын
NOMA SANA, BETI YA KWANZA YAMOTO SANA
@vincentmassolah77874 жыл бұрын
🔥🔥
@chibodee4474 жыл бұрын
Ebwana ndio
@brosataasisi36574 жыл бұрын
Nimerudia zaidi ya mara 10 hiyo verse
@solitude-n5w3 жыл бұрын
Upuzi
@adamcjamoker90864 жыл бұрын
Ooii kutoka Tanzania hadi Kenya tunawakilisha mdundo ebu weka mwaga like kwa ajili ya kikos kaz🔥🔥🔥
@djfita14 жыл бұрын
Tra is ART...Came here for my Kenyan fam, wasn't disappointed. TZ brought their A game. Safi sana East Africa 🌍
@Ntpl20244 жыл бұрын
Yeah Man! We're very proud of these guys👊🏿👊🏿 Kenyan Emcees killed as well! Wonderful joint
@CertifiedStoic4 жыл бұрын
Wengi walidhani Kikosi Kazi could just turn out trash kipindi wanaanza. Najua hizi movement wanaziona and they won’t say a word. Big Up KK kazini ‼️‼️‼️🔥
@ndoloyeng4 жыл бұрын
Saaaana tu ile ile tu mguu Kati chaafu kupimp them saaafi mbwegaz
@niggahoodthemc91564 жыл бұрын
✊🏿✊🏿✊🏿
@mugadimon35634 жыл бұрын
Sure kila kukicha wanazidi kuwaprove wrong wadau kwa sehemu kubwa.Hawoooo international wamepiga kolabo na majrani zetu kenya na wameonyesha kuwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 soon hawa wataanza kuonekana hizo station kubwa
@eddytzonlinetvTallMan4 жыл бұрын
Tanzania KUNDI LA KWANZA LA HIP HOP KUFANYA COLLABORATION NA WASANII WA NJE NI KIKOSI KAZI FUNGUENI NJIA KWA WEUPE
@we66ooyeah4 жыл бұрын
Naona uchokozi hapa! HAHAHAHA!!!
@eddytzonlinetvTallMan3 жыл бұрын
@@elmarley104 upo boe
@BlackMtengwa4 жыл бұрын
EAST AFRICA UNITED....+25ALL
@richie_Jk4 жыл бұрын
... Naombeni likes Kumi tu kwa kikosi kazi 🔥 ✊🏽✊🏽
@christopheramrono37704 жыл бұрын
Kaa la Moto is genius.... PAN African skills..!! KENYA AND TANZANIA. BIG
@a.g.e.tanzania4 жыл бұрын
Kikosi kazi tembeza like kama umekubali dundo hilo 🔥🔥🔥✊🏼
@mababiyoo80994 жыл бұрын
Hawa jamaa wako vizuri naona kikosi kazi wamejitafuta jamaa wanachana tz tuwe wakweli tumefunikwa
@a.g.e.tanzania4 жыл бұрын
Amini mwamba
@solozukc-14 жыл бұрын
Nakubali hii approach ya ku join forces na 254, mnaongeza market kuliko kutegemea media za Tz za wayayushaji
@shenamtukufu12244 жыл бұрын
TUNATAKA KAMA IZI MAZEE,IZI ZITAENDA MBALI SANA,ASANTE SANA WANANGU MNATULUDISHA M LAB ADI NAHISI HISIA zangu zote zinaludi. Saa weupe wanaweza hi?hao watoto wa Kenya wako POA Sana kiharakati,makeke family,mtongwe west,akina jonh viget,ukoo flan mau mau,kalamashaka.nakubali KIKOSI KAZI HESHIMA KWENU
@abuzaally12344 жыл бұрын
Wapi like ya Kaa LA Moto.. 001 from Bahrain
@kareemmngeza4783 жыл бұрын
Kikosi vitani kukomboa African hip hop
@Mayatimatv4 жыл бұрын
Kujikaza kisabuni haimaanishi form (foam) itajipa😂😂😂💥💥💥💥💥💥
Oiiiiiiiiiiiiii Heavy Sana hiii.... East Africa well Represented 💪🏿💪🏿💪🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@husseinchea55243 жыл бұрын
Kaa la moto...mfalme wa Mombasa 🇰🇪
@willinjowritter2064 жыл бұрын
This has found me alive,am happy. What a perfect combo is this maaaaan. UNDERGROUND SH!T...who ever brought all these niggas together BARIKIWE SANA, love and blessings from KENYA 💯
@piusbarawa19654 жыл бұрын
Kaa la Moto the first rapper,,, I salute yua lines boss
Nimependa mazingira yetu ya mtaani kwetu na pilikapilika zetu mlivozionesha mmetisha sana
@issahnapster7034 жыл бұрын
This what we have been waitng for thanks for da Heavy Joint
@kingskoligih69254 жыл бұрын
Kujikaza kisabuni haimaanishi Form itajipa!
@dkensmopainvevo36834 жыл бұрын
Let's bring back the real Hip hop 🔥🔥 Gang gang ni uhuni sio slogan Kaa la fire🇰🇪 kikosi kazi 🇹🇿
@yohanapetro49374 жыл бұрын
Mumepania team kikosi kazi Tujuane Mwaka Wetu
@petermassawe45603 жыл бұрын
Bonge ya pumbu salute unju Bin unuke n pacha wangu p mawenge spreadlove forever 💪
@modricrushdiy20894 жыл бұрын
Kila alopata nafasi kwenye hii ngoma ni nomaa sana
@trueboy19193 жыл бұрын
Kaa LA moto,one the incredible, Nikki mbishi,kayvo kforce🔥🔥🔥🔥
@shaphiyabdul16304 жыл бұрын
Siwapingi wadau wangu kikosi kazi kazini kushuka kazi apa mawe juu ya mawee wataelewa2
@antonywilliam47434 жыл бұрын
Big up Wazee 👏,, Kazii nzuri
@agleywest1123 жыл бұрын
Saluti
@timbayatibello8594 жыл бұрын
Breeder kwa hio line up amepull up i see greatness kwa huyu dogo.
@ngongasement31104 жыл бұрын
💪💪mmetisha mabro dundo zito kwa kweli mmenikosha💚❤💛
@dmweks4 жыл бұрын
"Kujikaza kisabuni haimaanishi form itajipa"...My best bar
@dastonamichaels18544 жыл бұрын
As a kenyan ea hiphop head nakubali sana harakati wakubwa zangu💪🏾
@Inno-qz2ec4 жыл бұрын
Kila mtu ametendea haki beat..long live hiphop ..
@historianyeusi95244 жыл бұрын
Nakubali wanyama kikos kazi👊🏼👊🏼
@kibwamoko87674 жыл бұрын
KK ndio kundi bora la Hiphop Afrika Mashariki na Kati.
@bladymc45474 жыл бұрын
Ebhna hyu one ni moto mnooo..sikiliz vizur vesi yke
@joelntile90784 жыл бұрын
That’s pan-africanism ✊🏿
@jeremiahmasunzu34373 жыл бұрын
Hii joint ya TAMADUNI music inaelekea levels zingine 🙌🙌🙌
@francismwazoka89053 жыл бұрын
Kikosi kazi sure vibes wazito kwenye track💯💯💯💯
@Chuike14 жыл бұрын
Kikosi Kazini!! 1183!! EA hip-hop to the world!
@karizllamwenye99244 жыл бұрын
Mekatilili for generation...satuli chelewa chelewa....kaa la Moto kiumbe 🔥🔥🔥🔥💯❤️
@gideonkenan78243 жыл бұрын
Everything is possible ma youths,jiamini utafika mbali.
@charleskaozya99244 жыл бұрын
Mansul he's the realest since day1
@mosamossile91133 жыл бұрын
Um watching from South Africa Cape town wynbebrg, Tz hakuna kama kikosi kazi lv home sweet home Tanzania, lv kikosi kazi Fans fROM SOUTH AFRICA
@jofreymfugale47524 жыл бұрын
Ngoma kali ila unju umetisha zaid 🙌🔥
@ibrahimmadunda97134 жыл бұрын
Tumeanzaa ivi 🇹🇿 ft🇰🇪 🔥🔥
@akonizoizzo5344 жыл бұрын
Asnte mbishi nimekubli broo haile salasi chapter nzuri good job
@ondustreetlawyer22354 жыл бұрын
THE EAST HAS SOMETHING TO SAY💯💯💯💯💯💯. HEAVY vile inafaa. 🇰🇪X🇹🇿
@sleifikhajjir2624 жыл бұрын
Mim ndio maana naipenda hip hop couse naielewa sana
@mwandishiwawatu20334 жыл бұрын
Gari limewaka. Mwendo wa kazi. Respect wazeia
@qaccamnatu45674 жыл бұрын
Daaaaaah sio poa kila Kona ya mtaaaa shida dude
@mwafute36874 жыл бұрын
Activists. That's hip hop. Keep doin ya good work bruhs. Siku zote, uhalisia ndio unaovuka boda na kuishi popote. Batili, huvuka na kurudi mapema, batili hakiishi ugenini. Big time brothers. One.
@utdforever92363 жыл бұрын
Kila mmoja ametesa....Nikki mrasta😄
@ramog61324 жыл бұрын
Noma sana kikosi kazi...... Wale watoto wanne wapotezeni kabisa.... 🤑...wasiwaxumbue
@mcjakababakenya49123 жыл бұрын
big ups kaa la moto kiumbe...karibu tena nyumbani....hiphop ndio kazi🙏🙏🙏🙏
@youngkidofficial18844 жыл бұрын
Kaa la Moto 🙌🙌🙌
@didashi19014 жыл бұрын
Hii kazi sanaaa wakuu HIP HOP 4 LIFE
@thitimathitima47794 жыл бұрын
Nairobi mpaka dare es salaam connection tumeikubali 👐 ni 🔥 🔥
@shomysimba8034 жыл бұрын
Oyiiiii wakubwa bega kwa bega🔥🔥🔥
@staminachrissteve25694 жыл бұрын
Shout out the y'all. Respecting the Hip hop culture. East Africa HipHop to the World. Big up sana!!!
@LoxDeChiz3 жыл бұрын
This was needed.
@Hiphobongo4 жыл бұрын
KIKOSI KAZI NDO TOP YA TOWN
@adamsdaud92684 жыл бұрын
Fitii sanaa wazee✅
@chilupamapesa54554 жыл бұрын
Namkubali Niki skuizi wananiita mbishi, kinyamwezi sana
@LugomboMaKaNTa4 жыл бұрын
TISHA SANA ✊🏿🖤
@donkijana53474 жыл бұрын
Kikosi kazi kazi juu ya kazi kizazi sana makamanda 🔥🔥🔥
@lowkeybongo4 жыл бұрын
Azma Mponda namuelewa sana.love from Arusha
@lidaboy173 жыл бұрын
Hatimae nimepata nilicho kihitaji nilitakaitokee Siku moja hii collaboration sema wame did it noma sana bless up
@dmack2554 жыл бұрын
Mnakuja juu xana wananguuuuuuh
@ianokari11024 жыл бұрын
Hizo beats manze likes za producer
@a.g.e.tanzania4 жыл бұрын
Azma ,🔥🔥🔥🔥✊🏼
@godzillahlegacy48893 жыл бұрын
Kaua sanaaa humu
@pulltheskymusicgroup44754 жыл бұрын
Kwa Mara ya Kwanza kk wametoa ngoma sasa ...HIPHOP ON MAP 📍 KILA KITU 10/10 saaafi chief !!! Hii ndio kazi sasa ...KK LEVEL ZA WUTANG
@v12muscular383 жыл бұрын
Haahaaahhaahhhh mmetisha wazee🙌🏽🙌🏽 all real everything!
@kingballoh16654 жыл бұрын
One the incredible ni nimekuelewa sana warrior 💪
@alphaabdallah14064 жыл бұрын
Husika panapohusu...💥💥 unooo
@manchidy4 жыл бұрын
Beat kali sana....flows za kibabe,...Kikosi Kazi Kazini mwende mzuri sana...tuendeleee nao
@lucasfortunatus43984 жыл бұрын
Asee kitaa big up bro bonge la bit wanyama hum ndn wote mmeua, salute.
@lemnyamaz89834 жыл бұрын
Kaa la moto the great emcee I know...repeating mood...Big time kaa la moto Kiumbe...Respect am here for the culture..
@negotvonline69034 жыл бұрын
Kikosi kazi kazini♨️♨️♨️
@mojamal0074 жыл бұрын
Waambie Watoto "GANG GANG" Ni Uhuni Sio Slogan, Save Yourself Son - KAA LA MOTO, 2021 💯💯
@sketchsharp454 жыл бұрын
This is the way to go! Big moves this year!!!
@charleskaozya99244 жыл бұрын
Mbishiiii kawakaa sana umu dah ila mawengee ameandikaaa sanaaaaaaa
@mashdem66084 жыл бұрын
KAA LA MOTOOOOO 🔥🔥🔥🔥 KEY BOARD WORRIOR UNANGOJA NANI ABORESHE
@ilapeter56044 жыл бұрын
Gaddamn! Everybody did this beat justice🔥🔥🔥Romi Swahili to the world
@RoyKisieloK1S13L04 жыл бұрын
Much Love Here....A.I.G.....AFRICANS INVOLVED in GROWTH!!! KAZI KUBWA. STAY BLESSED.
@sizakitego43744 жыл бұрын
Daaah Yupo wapi Songa...Stereo na Zaiid
@derrickngugi79444 жыл бұрын
Waaa malyrisisisisist💯💯💯💥💥ukiji kaza kisabuni haimanishi fom ita toka🔥🔥🔥
@hajimaster30584 жыл бұрын
Kikosi kazi jeshi kubwa inasomeka symbol🙌
@HitmakerTk24 жыл бұрын
Kali sana makakaz🔥🔥
@suhailsodeh50634 жыл бұрын
Unju...da beast....salute...Uno na p the mc...Mwanzo nyinyi wengine nyuma yenu...Dope shit🔥🎧🎤🇰🇪💪
@harrykarua92382 жыл бұрын
255 met 254 ni noma na nusu...Bless up u Guys for keeping HIP HOP still alive..PEACE N LOVE
@vossti3 жыл бұрын
Ujifunze kuwa Star player hata ka hujapata Namba!!⚡⚡⚡🔥🔥
@pierlomakavel41693 жыл бұрын
East AFrica All the way 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@shukrankalugo14723 жыл бұрын
Tunaishi kwa midundo hii, HOP TILL WE DIE
@msabatozeson90234 жыл бұрын
nimesikia "we mkali au sio mwaisa" unju urasta umekupendeza! umelook like afande sele!!