Kikwete: Membe alinitesa alivyohamia ACT-Wazalendo

  Рет қаралды 35,012

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@magrethmeela154
@magrethmeela154 Жыл бұрын
Jk.yaani naona kama bado u Rais kumbe ulisha staafu. Hongera Na pole baba.
@annamakomele339
@annamakomele339 Жыл бұрын
Jamani Mimi nilijua membe na kikwete ni ndugu😭😭itakuwa walikuwa marafiki mpaka wakafanana Sanaa😭😭😭
@kulwamathias7680
@kulwamathias7680 Жыл бұрын
Jk nakupenda sana
@seraphinqorro5039
@seraphinqorro5039 Жыл бұрын
He was a kind person with an assertive behaviour.. God receive Bernard Membe in Your eternal life.Amen
@elvismtai84
@elvismtai84 Жыл бұрын
Mkuu umefanya kazi nzuri,kwenye taifa hili umetoa fursa za ajira kwa vijana kujiajiri,jk wewe Ni jembe.
@bakarilimachinga6193
@bakarilimachinga6193 Жыл бұрын
Daah huyu mzee ndomana anazeeka taratibu taratibu sana ...sababu anaipa nafasi sana furaha na kucheka zaidi very funny ..
@fransiscotsii2671
@fransiscotsii2671 Жыл бұрын
Jk n mtu unique San hajipi simu kbs ataishi Miaka mingi mno
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Jembe kama Jembe, JK , R.I.P BM
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv Жыл бұрын
Wewe mpaka sasa ndiye Rais wa Tanganyika endelea kutawala Urais hauna kikomo nchi hii
@danielmartinKiondo-dq4jz
@danielmartinKiondo-dq4jz Жыл бұрын
Kikwete Rais mstaafu umeongea vizuri sana hadi raha nimefurahi uliposema kuwa Ben alikuwa haoni shida kutoa mawazo yake kulikoni wengine wanakaa kimya tuu halafu likiharibika wanasema umeonaee cc tulijua tu hauna mwendo ha Haa ha
@stanleyjohn1361
@stanleyjohn1361 Жыл бұрын
Wema hawafi bwana 🤸🤸🤸
@ambokileosward8850
@ambokileosward8850 Жыл бұрын
😅
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 Жыл бұрын
Sijamuona Kikwete amenyomg'onyea kiasi hiki.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Жыл бұрын
Sasa Mzee alikutesa na nini wakati hakuwa na madhara yoyote kwenye chama pia alipo gombea Uraisi tuliona hakuwa na mvuto wa aina yoyote hadi alizidiwa na muheshimiwa Rungwe.
@annamakomele339
@annamakomele339 Жыл бұрын
Kwanini matajir hawazai Sanaa
@onesmoakwilini7197
@onesmoakwilini7197 Жыл бұрын
Uzee unaonekana sasa
@Macela-i7x
@Macela-i7x Жыл бұрын
R i p bm
@mzeejesh6112
@mzeejesh6112 Жыл бұрын
Bado ww remove
@jacksonleonard4275
@jacksonleonard4275 Жыл бұрын
Wote NI wale wale Mimi Naona bado wewe ukifa nitajidai Sana kuwa maadui wa magufuli wanapungua😢😢😢
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Hata mimi pia nitafurahi
@fransiscotsii2671
@fransiscotsii2671 Жыл бұрын
Uo uadui unausema wew lkn wenzio wamefanya kazi ote nakuteana Hadi mwngine kaachiwa kijiti Cha Urais afu wew unajitesa kusimamia uadui usioelewek unatokea wp, acha kujilimbukiza simu bure kwenye mwili wako relax fikiria chanya zaidi
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 Жыл бұрын
UsIjeshangaa tukaanza MIMI NA WEWE. MAMBO YA MUNGU MWACHIE MUUMBA MWENYEWE
@merekwangujati158
@merekwangujati158 Жыл бұрын
Na unajiona umecomment point na ww , daah kesho Yako penyewe hujui daah mungu akubariki tu ndugu Yako nwenyewe ww hujamsaidia kama JK alivyo msaidia magu ,, daah pole sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@anosiata8242 NJAA NA UVIVU UNA KUSUMBUWA.
@nangugu1657
@nangugu1657 Жыл бұрын
Kila mtu siku yake saa yake sababu yake na namuna yake hakika mungu Aiokoe Tanzania
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
26:51
MkasiTV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Trump details Day One executive orders: ‘Revolution of common sense’
14:17
FOX 29 Philadelphia
Рет қаралды 810 М.
Reconnaissance « implicite » d’Israël : l’Algérie clarifie sa position
14:23
TSA - Tout sur l'Algérie
Рет қаралды 163 М.
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Wasafi Media
Рет қаралды 1 МЛН
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 49 М.
MBARONI AKITUHUMIWA KUJIFANYA POLISI, YASEMEKANA ALIKUTWA NA VITU KAMA...
1:21