Nimefurahi sana kuyaona haya kwa viongozi wetu wa nchi allah tuzidishie upendo ,umoja,amani,upendo inshaallah.
@zuhraali85695 жыл бұрын
Tanzanians you are truly blessed to have a leader like magufuli
@bjzee19815 жыл бұрын
Yani Magu bwana. Najua Hijja ni miongoni mwa nguzo alizo tupa Mwenyezi Mungu. Safi sana
@fareedufahamu88934 жыл бұрын
BJzee 19 😆😆
@biramsakh92124 жыл бұрын
Hi ndio tz yenye umoja na uhuru. Mungu ailinde daima amin
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
JESUS IS LOVE.... JESUS CHRIST IS A WAY, TRUTH LET YOU KNOW JESUS CHRIST IS LOVE....
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
(Jesus) "He answered, he wasn't sent except for the lost sheeps of the house of Israel"-( Mathew 15:24),,,,,ere you the lost sheep of the house of Israels?
@razansalim5325 жыл бұрын
Shukrani zangu kubwa kwa rais wetu Allah akulinde na kila shali za usiku na mchana 🤲🤲
@piusmogendi60823 жыл бұрын
Opportunity oo
@kahawathungu5 жыл бұрын
mzee wa rukhsa bado ana nguvu mashallah
@barakasalim74063 жыл бұрын
Rest in peace magufuli, hakika taifa tutaenzi uliyotuachia, Allah akupe kauli thabit🙏🙏
@kimwerionlinetv55744 жыл бұрын
Hakuna kitu napenda kama huu upendo uliopo baina ya viongozi wetu hakika Allah akujaalieni hekima In Sha Allah
@stevek83184 жыл бұрын
"I am the way the truth and the life, no one comes to my father except through me" (Jesus)
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
(Jesus) "He answered , I was not sent except for lost sheeps of the house of Israel"- (Mathew 15:24),,,,,,,are you the lost sheep of the house of Israel?
@allymwazoa30335 жыл бұрын
Mapenzi haya na kuheshimiana kuliyopo baina ya viongozi wa nchi.kuna wafunza wengi Africa na dunia.
@hassanadam27083 жыл бұрын
Magufuli was a very Nice politician
@saidkisumo85075 жыл бұрын
mzee mwinyi hongera sana,,,,,,,
@majaliwashigela49324 жыл бұрын
yanga
@sallybakari81903 жыл бұрын
Allah akuhifadhi hayati Rais wetu magufuli
@yasiniselemani66664 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo salaam
@omarjeylani91445 жыл бұрын
He is the best president of all MashaAllah TabarakaAllah. May Allah guide my favourite president to the right path yarabi. I love this president and am fasting Ramadhan and Allah accept dua during Ramadhan. May Allah accept my dua yarabi. I love you Mr president from kijana wako ambaye ni muislamu na ni msomali from London Uk.
@OfficialLutfia5 жыл бұрын
🙏
@omarjeylani91445 жыл бұрын
@@rehemaahamadiahmadi566 thanks for what? Anyway you welcome
@naamohamed99645 жыл бұрын
Allah akbar
@maisaalawi53995 жыл бұрын
mashAllah
@khamisbakar78263 жыл бұрын
Marehemu Magufuli hakuwa na ubaguzi ktk dini MOLA aiweke roho yake peponi hotuba zake nyingi ni kumcha MOLA na rais wa peke Alie himiza kumcha MOLA
@Unique_SportsMed4 жыл бұрын
Who else is re-watching 2019 Qur'an competition in 2020 ramadhan
@dallas12804 жыл бұрын
Vizurr Sana wetu viongozzzzz tuno wategemeaaaa
@pantaleokulaya53085 жыл бұрын
hongereni marais wetu mmependeza
@sadiqabdullah12944 жыл бұрын
Mheshimiwa magufuli
@jalaljaqub17654 жыл бұрын
MashaAllah
@sautisamsu29815 жыл бұрын
yaan mjomba maguu Allah akupe umr mreff
@razansalim5325 жыл бұрын
inshaAllah Aaaaaamin
@Bruno-ed1ps3 жыл бұрын
😭😭😭
@adijaadija83395 жыл бұрын
Burundi tungelipata raisi kama magufuri tungelikuwanaraha sana
@mukhsintwaha59095 ай бұрын
Karibu tz
@ashurampuya62143 жыл бұрын
Mungu akupe nuru huko uliko
@saadaqcabdulahi24084 жыл бұрын
Magafule mashallah best present
@issahajjiira54116 ай бұрын
Bila ya kuamini Alllah hapana kitu
@shebbywanammurun96125 жыл бұрын
Huyu Ally ndio maana hupigwaga makofi.
@jagnamohamed62984 жыл бұрын
kwann😛😛
@ramadhaniathumanimlenge66415 жыл бұрын
Inshallah
@mrishogange42763 жыл бұрын
Mzee alikuwa Ana upendo na wote,wao ndo walkuwa wanafk
@jamesmwenge59203 жыл бұрын
Hakika alikuwa anawapenda Sana wenzake lkn wao walikuwa wanamnafkia
@bensonvicent99794 жыл бұрын
Good
@mohamedturanardan88714 жыл бұрын
Millard Ayo futa kauli yako ya kuzungumza swaumu imemchosha,
@EtihadBega5 ай бұрын
Kwani aliyesema ni Millard ayo au ni huyo Rais
@lainoshababi75004 жыл бұрын
Kikwete anahekima sana hata maneno yake ni yahekima sama
@kaanondojuma2434 жыл бұрын
inshalhaa
@mchambawimakilasiku13493 жыл бұрын
Hooooovyo kabisa, siasa na dini ni wapi na wapi ?????
@fadhilisecha42685 жыл бұрын
Dah! Jay Kei....
@joshuaelihuruma26325 жыл бұрын
Kichwa sana
@awadhirajabu77545 жыл бұрын
Huu Mtandao Unaumwa Matege Kila Mda Video Zinazibwa Tu
@fraviansweetberty88193 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Jpm
@yakomoifakala4014 жыл бұрын
Ukatoliki ndio ulianzisha uislam hapo ni kizungu mkuti watu hawajui
@alifadhil77784 жыл бұрын
Kusoma si kufahamu. Na njia moja ya kufahamu ni kuuliza nazani ww ni Msomi mzuri lkn uliposoma hukufahamu. Kwa hiyo waulize watu ufahamishwe hapo uliposoma.
@maryanmmmaryam80704 жыл бұрын
Nani amekudanganya
@abdulwahidmsellem19985 жыл бұрын
Mzee Magu inshaalah mungu atakuja2 dini ya Haki
@user-pn9ii9iz8f5 жыл бұрын
Abdullwahid Msellem insha Allah
@abrahamkibona70385 жыл бұрын
Dini ipi ya haki na isiyo ya haki ni ipi?
@prosperswai4905 жыл бұрын
Abdullwahid Msellem wanazungumza kuhusu upendo na ushikamano we msenge nae cjui unaongea nn dini pekee ambaye aina ubaguzi ni wakristo nyie mnapenda sana ubinafsi na usisi ety mema mnatenda kwenye huu mwezi tu cku zingne mnakuwa wapi
@abdulwahidmsellem19985 жыл бұрын
Allah atakuongoa inshaalah
@abdulwahidmsellem19985 жыл бұрын
Na tunapofanya mabaya miezi ya kawaida Allah pia atatuadhibu kaka
@Nuurkhalif784 жыл бұрын
Haki sio mkenya raila and uhuru and ruto
@eliasjilanga23205 жыл бұрын
Mkapa umekwama wap?🐒
@caslidajosephat89123 жыл бұрын
😂😂😂 magufuli na hako ka kanzu kiboko
@lloveyoutanzania53153 жыл бұрын
Lala salama baba
@allyhamic95555 жыл бұрын
dah! huy mstaaf anaongea kw upol kwel swaum
@naamohamed99645 жыл бұрын
😃😃ndio alivyo bwan
@bjzee19815 жыл бұрын
Hawa hawajawahi kua wakali.
@allyhamic95555 жыл бұрын
Hibo Muslima hakik n kwel ..
@Bruno-ed1ps3 жыл бұрын
Hii ndio dini ya Mungu
@hamadsaidi14145 жыл бұрын
Maa shaa Allah Dk Jonh Joseph Pombe Magufuli kwnn usisilimu vazi la kiislamu linakupendeza sana
@mdachitv34595 жыл бұрын
Imani sio vazi ndugu
@hamadsaidi14145 жыл бұрын
Nalifaham hilo kwani hata mayahudi wanajistiri lakini imani yao inabaki pale pale ila nimemtaka ushauri MH.DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI hilo nalielewa kuliko wewe
@mdachitv34595 жыл бұрын
Unaweza vaa hizo kanzu mbele ya jamii ukaonekana msafi ila matendo yako ni machafu ndo maana nakwambia imani yako ndo. itakayo kupeleka peponi mwenyezi mungu haangalii vazi lako.
@hamadsaidi14145 жыл бұрын
Ni sawa ila vazi limehimizwa sana katika dini yangu kwaiyo lina nafasi kubwa na ndio mana muisilamu
@albertkashaija24314 жыл бұрын
@@mdachitv3459 uko sahihi kabisa.
@Unique_SportsMed4 жыл бұрын
Who else is re-watching 2019 Qur'an competition in 2020 ramadhan