RAJABU LUWONGO Mungu akufanyie wepesi katika shughuli zako za kilimo my Daddy
@loner_wolf4 жыл бұрын
Mama wa BIMA YA MAZAO ni mkenya , kingereza kingi yuko kibiashara sana.... kunautapeli hapa katikati 😂😂😂😂
@anthonykikoli87852 жыл бұрын
nimeipenda sana kila siku nitaifatilia
@loner_wolf4 жыл бұрын
Hapa naona kunawafanyabiashara ya mbegu na tapeli wa BIMA ya mazao 😂😂😂😂😂 Namm natafuta shamba nakuja huko
@bokimmwamba23223 жыл бұрын
Brother kwakuwa umepanga kusaidia watu kuna baadhi ya mambo uongeze mfano aina za mbegu nzuri kwa zao huska na ufanisi wake kulingana na hali ya hewa ya maeneo tofauti hatua za kilimo cha zao husika japo mengi ni common but idadi ya mbegu inter raw spacing and intra raw spacing mbolea kwa kila hatua I mean summary yote itasaidia then izo shuhuda zpate nafasi pamoja na mawasiliano ya wataalam wa zao husika ni nzuri but it is great job be blessed brother
@amonzachary27182 жыл бұрын
Umetisha boss inaonekana uko na professional kwenye agricultural sector big up
@yusuphmussa5544 жыл бұрын
Tatizo hiyo sunflower haijapandwa vizur panda kwa mstar spacing katika mazao in nzuri zaid na inatoa vzur mbigu nzuri ila mnaipanda vibaya......
@nyamahembasarya9858 Жыл бұрын
Navojua mm alizeti ikibeba kubwa utapata kidogo lkn yakiwa ya kawaida unapata zaidi kwa sabu punje zinakuwa nyingi
@alphoncenestorybishirangon18362 жыл бұрын
Safi sana. Ila niombe kwa awamu nyingine jitahidini kupata wakulima wenye elimu ya kutosha ya kanuni bora za kilimo cha Alizeti 🌻. Alizeti huwa haipunguziwi miche, hii ni tafsiri kuwa hajafuata utaalam wa kupanda kwa nafasi na vipimo maalum. Na kama shirika alilolitaja ndo wamemwelekeza kupanda hivyo baada ya wiki 4 aanze kung'oa nyingine basi walikosea na wamempa hasara. Huwezi nunua mbegu bora ukaipanda kwa lengo la baadaye ung'oe miche mingine. Tuwatumie maafisa kilimo waliopo kwenye maeneo yetu.
@theLIFEtheLIGHT123 Жыл бұрын
Samahani, naomba kupata mawasiliano yako niweze kupata ABC za KILIMO CHA ALIZETI. *Stay blessed*
@deogratiusyudatadei56582 жыл бұрын
Hiyo ni mbegu gani jamani naomba ukijua najinsi yakuipata
@rinaldaoman78922 жыл бұрын
Mbona nikila haya mafuta natapika yaani yamenishinda kabisa au yanachakachukiwa vibaya
@monicajoseph47484 жыл бұрын
Naitaji iyo mbegu naipataje
@glovekamuntu21626 жыл бұрын
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo. Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
@jasamkileo6283 жыл бұрын
jina la mbegu mtuambie
@yusuphulameck65483 жыл бұрын
Dodoma mpo sehemu gani
@japhethalfred35694 жыл бұрын
Japheth wa tarime , Mara tunaomb mbegu ili kuzigawa kwawakulima katika kata ya manga
@cheskomsigwa86044 жыл бұрын
waelimishaji vipi.mbona nambazenu za sm hamzitoi kwann
@esthertarcian42872 жыл бұрын
Soil test mnafanya
@alfatarimo14663 жыл бұрын
Moshi mko sehem gan
@raginauthor18815 жыл бұрын
Dodoma ofisi zipo maeneo gani?
@aswilekibona98612 жыл бұрын
Tabora mbegu zake zinaoatikana wap?
@gracianpanza40693 жыл бұрын
Kilimo cha alizeti kinahitaji mbolea ipi?
@ezekielmbwilo76156 жыл бұрын
Nimekuwa nafuatilia sana vipindi vyenu vinavyo tuelimisha sana vijana, nilikuwa nauliza nitaipstaje mbegu bora ya hybrid ya hysum 33 ya alizeti , hususani sisi tulio mikoani kama mm niliyeko sumbawanga Rukwa.Kama utakuwa na mawasiliano na haowasambazaji wa alizeti tupatie mawasilano yao.
solomon Contact details SDC 0715 751 133 0787 751 133 David Yamagaji Contact details By Trade 0756 850 726
@ezekielmbwilo76156 жыл бұрын
mbegu hizi za alizeti zinapatikana wapi
@jorgejorge52106 жыл бұрын
gunia la alizeti litakua linauzwa bei gani pamoja na mashudu ili ukitoa gharama zako uweze kubakiwa na faida ya shs 900,000
@kilimobiashara93616 жыл бұрын
Kilo ni TSh. 700 nakuendelea, inategemea na eneo, hii ni bei ya msimu huu 2018
@jorgejorge52106 жыл бұрын
sina hakika na hesabu zenu maana kama kilo ni shs 700 maana yake gunia la kilo 100 = 70000.utahitajika uvune gunia wastani wa gunia 21 kwenye heka moja ili utoe gharama na upate faida ya shs 900,000.wakati mmesema mavuno ni gunia 12 mpaka 15..muda mwingine tuambiane ukweli kama kilimo kiko kwenye damu utalima tu bila kujali ni faida kiasi gani utapata kuliko kuongeza faida za uwongo kuvutia wakulima.
@makoye83882 жыл бұрын
Kilimo Cha Utube ni tofauti kabisa na uhalisia.
@hamoudsaid48655 жыл бұрын
NAOMBA NIFAHAMU HEKA 1 YA ALIZETI NDEGE WAKISHAMBULIA SANA UNAWEZA KUTOA GUNIA?
@deusikamage74042 жыл бұрын
Kilimo biashara program
@deusikamage74042 жыл бұрын
Kilimo biasha ra program
@julianasabrere61982 жыл бұрын
Kwenye gunia moja la alizeti unatoa mafuta lita ngapi?
@nyamahembasarya9858 Жыл бұрын
Ni lita 20 hd 23 kwa uzoefu wangu
@athanielkabadi10144 жыл бұрын
Poa
@racheldaniford34326 жыл бұрын
nahitaji hizo mbegu za alizeti chotara ntapataje na bei zenu pia nataka kujua
@kilimobiashara93615 жыл бұрын
solomon Contact details SDC 0715 751 133 0787 751 133 David Yamagaji Contact details By Trade 0756 850 726
@sarahkanon53913 жыл бұрын
@@kilimobiashara9361 ok
@glovekamuntu21626 жыл бұрын
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo. Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
@glovekamuntu21626 жыл бұрын
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo. Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
@kilimobiashara93615 жыл бұрын
ushauri wako unazingatiwa
@samsonkitalala42875 жыл бұрын
Elfu 35
@sarahkanon53913 жыл бұрын
@@samsonkitalala4287 na huku upo na me nipo tuitupe nanjuva hii
@glovekamuntu21626 жыл бұрын
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo. Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
@kilimobiashara93615 жыл бұрын
tuma ujumbe mfupi kwenda kwenye namba iliyo kwenye video utajibiwa
@kilimobiashara93615 жыл бұрын
wasilina na hawa watu kupata taarifa na upatikanaji solomon Contact details SDC 0715 751 133 0787 751 133 David Yamagaji Contact details By Trade 0756 850 726