KILISIMASI NI SIKU KUU YA MASHETANI SIO YA WAKRSTO EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 33,638

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 585
@bonifacedaniel-ng2hf
@bonifacedaniel-ng2hf 6 ай бұрын
Shikilia apoapo neno lipenye Kwa mioyo ya ambae ana sikio la kusikia mungu akulinde Sana barikiwa amen
@NEEMABUAY
@NEEMABUAY 10 ай бұрын
Polee sana Mungu akusamehe usifundishe usichokijua ungejua maana ya kuzaliwa kwa Yesu usingesema hivyo kaa kwanza mbele Mungu,Mungu atakufundisha usiharakiae kuzungumza kama bado hujaelewa utawapotosha wengi na utalaaniwa pole sana nakuhurumia na nakuombea Mungu akusamehe
@diana56-lorient
@diana56-lorient 10 ай бұрын
Amen Amen Amen, ubarikiwa sana MTUMISHI PASCHAL ❤❤
@neemachacha7844
@neemachacha7844 10 ай бұрын
Amina mtumishi sema kweli yote Yesu yu Mlangoni..wengi wamefunikwa na giza nene..kwa sasa hawakuelewi ila saa inakuja watalia na kusaga meno na watakuwa wamechelewa...Paza sauti Yesu yuaja.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 9 ай бұрын
Sisi tuta sherehekea siku ya kuzaliwa mwokozi wetu yesu kristo mpk yesu atakapo rudi. merry Christmas❤️❤️❤️ 🎄🎄🎄
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 9 ай бұрын
Kabisa
@AriceKilenzi
@AriceKilenzi Ай бұрын
Tutaijua kweli nayo kweli itatuwekaa huruu
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 10 ай бұрын
Mungu akutunze akufiche mikononi mwake adui asikupate ktk Jina la Yesu Kristo aliye hai
@ezekielbarnaba5785
@ezekielbarnaba5785 10 ай бұрын
Mungu anawatu wake kila mahali kwa ajili ya kutangaza habari njema Barikiwa
@KevinaWandera
@KevinaWandera 10 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa MUNGU, kwa nzuri unayofanya. Kwa kweli hakuna krismas kwa mkristo nakubaliana na kwa hili
@nkurunziza55
@nkurunziza55 10 ай бұрын
Thank you ❤❤❤❤❤❤..ubalikiwe Mtumishi wa Bwana.
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 10 ай бұрын
Hili somo niliskia pia kwa mvhungaj wa wasabato debid mmbaga leo tena naliskia asnte sana pschal nilikjwa nakuona sio mtu mzuri kwa kushambulia watumish ongera nimsekia mala ya pili somo lako tena mlokole mwenzangu asnte ❤😊
@elsonkingtz4506
@elsonkingtz4506 10 ай бұрын
Mwenyez mungu awasamehe Sana maana hamjui mlitendalo, Kwanza mnafaa kujua hakuna siku ya shetani siku zote ni za mungu, hakuna siku hata Moja iliyoubwa na shetani, Mimi nikisheherekea Christmas kwa dhumun la kumbukz ya yesu wangu wala Sion huo ushetan mnaosemea, ila kama kuna wengne wanaweka dhamila za kumuabudu shetan wao wala me sion tatzo watajua wao
@TWILUMBAMDUGO
@TWILUMBAMDUGO 10 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu ukweli lazima uwekwe wazi hizi ni siku za mwisho mwenye masikio na asikie na kubadilika.
@ToshaSimon
@ToshaSimon 10 ай бұрын
Amina mtumishi ILa una maandiko kama ya sabato barikiwa sana tufungue zaidi
@AsifiwengulwaNgulwa
@AsifiwengulwaNgulwa 9 ай бұрын
Sema Kweli mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana atusaidie japo utabezwa sana Songa mbele
@fedytemba7541
@fedytemba7541 10 ай бұрын
Amina , ukweli mtupu. Bwana ayabariki makaazi yako na akubariki
@eliyagikaro6426
@eliyagikaro6426 10 ай бұрын
Mimi kama mchungaji,ninakuunga mkono asilimia miamoja,Mungu wa mbiguni akubariki sana.-mathayo.7;13-14.
@evarinenathaniel9838
@evarinenathaniel9838 10 ай бұрын
Be blessed Mtumishi wa Yesu Kristo.
@AnastasiaNyoni-t4h
@AnastasiaNyoni-t4h 9 ай бұрын
Amina Mungu akubariki sana
@MakrinaLuoga
@MakrinaLuoga 10 ай бұрын
Pole Sana pascali utapata waangaliaji wengi kazi ya.kila mmoja itapimwa hata yako itapimwa
@eliyagikaro6426
@eliyagikaro6426 10 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe saana,kwani kile ambacho nilikuwa nikipigia kelele siku zote,Mungu amekufunulia.sasa nimekubali kweli Mungu anakutumia.krismas ni sikukuu ya wapagani.Mungu akubariki saaana.
@RoseLuzabiko
@RoseLuzabiko 9 ай бұрын
HIVI WEWE PASCAL UNAJIELEWA VIZURI? NAKUONYA ACHA UJINGA WAKO UNAPOTOSHA BIBLIA NAONA UMESHAANZA KUCHANGANYIKIWA,,UMEACHANA NA JODAVI UMEANZA KUSHINDANA NA MWENYEKAZI YAKE? YESU MWENYEWE? NAKUONYA ACHA KUONA UNAJUA SANA KULIKO WATUMISHI WENZIO, KWANZA UNAMVUNJIA HESHIMA MUNGU. WETU, NAHAO WANAOKUUNGA MKONO KWAMBA WAMEKUELEWA CHRISTMAS NI YA shetani, NI WAJINGA WENZIO KWAAPO MIMI NIMEKUDHARAU,JITU ZIMA OVYO👺👹 KWANZA KABISA UMENIKERA, NENDA VYUO VYA BIBLIA KASOME USHAYUMBA,(1) UMESEMA WANAISHEREHEKEA KISHETANI? HUONI SABABU YA CHRISTMAS KUSHEREHEKEWA? ACHA KUDONOA DONOA MAANDIKO, NAKUONYA UMEZIDIWA HATA NA NYOTA YA MASHARIKI ILIYOWAONGOZA. MAMA JUSI NA MALAIKA KWENDA KUMSUJUDIA IMMANWELI NAKUZITOA ZAWADI ZAO, WEWE PAMOJA NA VIPOFU WENZIO WANAOKUSAPOTI UPUUZI WAKO SOMENI MAANDIKO, MATHAYO 2:1-23; KWANZA NAKUONYA NI VEMA UTUBU KWA UPOTOSHAJI HUO,KWANZA HATA. YESU MWENYEWE. ANAKUSHANGAA, NINGEKUPA MAANDIKO MENGI SANA YANAYOONYESHA FURAHA JUU YA KUZALIWA KWA YESU!!! MISITARI HIYO INAKUTOSHA,,, UNAIKUBALI PASAKA KIFO CHA YESU,,KUZALIWA UMEKUKATAA AJABU SANA.... NADHANI KWA JEURI UNAYOIONYESHA HIYO PASAKA HAIKUHUSU, TUACHIE TUNAOFURAHIA KUZALIWA KWA MWOKOZI WETU. YESU. HUWEZI SHEREHEKEA KIFO CHA MTU AMBAE HUKUMSHANGILIA ALIPOZALIWA ACHA MARAMOJA. KATIKA. JINA LA YESU! UMENIUDHI SANA UNAKOELEKEA HAUTAKUA TOFAUTI NA BABU. WA LOLYONDO NA ZUMARIDI. ⛪📖 NA BIBLIA TUPO IMARA KUISIMAMIA SHEREHE HII YA KUZALIWA KWA BOSS WETU YESU MPAKA AJAPO NDIO MAANA NIMEKUPA USHAURI NENDA KASOME, KWAHELI🙏
@denisendagano8326
@denisendagano8326 10 ай бұрын
Amen Amen. Unasema kweli mtumishi. Tarehe 25|12 nisiku ya ku abudu Mungu juwa
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 10 ай бұрын
Ile Kwamba Yesu alizaliwa Duniani mimi siachi kufurahia kuzaliwa kwake Mwokozi wangu Yesu kwa sababu nampenda sana Munguwangu !! Tarehe haibebi Maana tutatembea Na kilichobebwabwa ndaniyake.
@YUSUPHHUGUGU-vh9rx
@YUSUPHHUGUGU-vh9rx 10 ай бұрын
Hujielew ww mwana mpotevu, Nan amekwambia kuwa Yesu Ni Mungu, Mungu hazai Wala hazaliw, yesu ni mtume nasiyo Mungu.
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 10 ай бұрын
Pole yan kama wewe siwez poteza muda wa kubishana kabisa kaza na imani yako.
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 10 ай бұрын
​@@YUSUPHHUGUGU-vh9rx Yesu Kristo ni Mungu aliye vaa mwili Wakolosa 2:9, Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili. Yesu Kristo ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote Wakolosa 1:15-16 15 naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. 16 Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake. 17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye. Mungu ndiye wa kwanza katika hii dunia ndiye aliyeumba vitu vyote ,na BWANA Yesu anatusibitishia kuwa yeye ndiye aliyeumba vitu vyote sasa kama siyo Mungu alipewa mamlaka wapi na yeye ndiye wa kwanza huyo Mungu mwingine yuko wapi . Yohana 8:58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko. Tunao uhakika wa kusema Bwana Yesu ni Mungu maana yeye alikuwepo ata kabla ya ulimwengu kuwapo Yesu Kristo ni Mungu wa Kweli Amen
@KennedyMicloel
@KennedyMicloel 10 ай бұрын
Ipo siku wataelewa endelea kuwapa ukweli jambo ni chungu, barikiwa na Mungu wa Mbinguni!
@atupewenauyo9145
@atupewenauyo9145 10 ай бұрын
Amina sana mwana jeshi wa Yesu damu ya Yesu ikufunike nakuombea
@AriceKilenzi
@AriceKilenzi Ай бұрын
Mtumishi barkiwa saan..naomba kujua juu ya habari ya siku ya kuabudu kati ya siku ya kwanza ya juma na ya Saba niipi ni sahh kusheherekeaa
@adventinandyanabo9358
@adventinandyanabo9358 10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda
@MwanamgeniKavuthi
@MwanamgeniKavuthi 10 ай бұрын
Hapo sawa. Mimi pia sioni haja ya hii sikukuu krismasi,kusherehekewa
@manasekamtoni
@manasekamtoni 10 ай бұрын
Amen ila napenda kujua na kufahamu penye paandikwa krismas NI sikukuu ya kishetani pasta
@carolinederi5690
@carolinederi5690 10 ай бұрын
Kma andiko la sku ya kuzaliwa kwa Yesu hakuna basi jua ni uongo maan kila kitu twapima na Maandiko
@manasekamtoni
@manasekamtoni 10 ай бұрын
@@carolinederi5690 yes
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay 10 ай бұрын
Uko sahihi mtumish Mungu mwema akubariki Sanaaaa na azidi kukufunulia
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 10 ай бұрын
Wote wanaokusanyika siku hiyo ya krismas bac wanaabudu miungu jua ile ya kigiriki!! Miungu ilizaliwa siku hiyo ya tarehe 25 ya mwezi wa December. Yeremia52:31. Yesu Kristo ni roho, yaani ni Mungu mkuu. Tito 2:13. Anazaliwa kila siku. Kwahiyo mimi huwa nasherekea kuzaliwa Yesu kila siku kwasababu anazaliwa ndani mwangu. Yesu Kristo Mungu mkuu asifiwe sana!! Nipongeze hata kama hunipendi. Nipongeze tu!!
@NemesiYustina-ye2vs
@NemesiYustina-ye2vs 9 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Paschal Kasian napata tumaini jipya kila ninaposikiliza mafundisho haya
@DavidThobias-b9q
@DavidThobias-b9q 9 ай бұрын
Amina mtumishi wa baba
@BaziraBlaiseButoto-ne2bz
@BaziraBlaiseButoto-ne2bz 9 ай бұрын
Hatuendi siku hiyo hatuendi kusherekea au kuabudu mungu juwa kwa sababu tunaenda abudu Jina la yesu kristo ndilo linatajwa kwa kumuabudu sio mungu juwa.
@marrymwashinga1942
@marrymwashinga1942 10 ай бұрын
Mungu akubariki kwa hili fundisho maana wengi wapo gizani kuhusu krismas
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 10 ай бұрын
Amen Mtumishi Yesu akulinde maana unaongea ukweli mnoo bila kupepesa naamini itafika muda wote watakuelewa usichoke kusema ukweli wa Mungu
@niyongaboserges6282
@niyongaboserges6282 10 ай бұрын
Asante sana kuhusu jambo hili
@ElizabethMwikali-j2r
@ElizabethMwikali-j2r 9 ай бұрын
Bwana asifiwe San, ata mie nmeishi nkjiuliza n wap ama n maandiko yapi katka bibilia ambayo inaontesha hii Xmas? Bt for now I ve' the truth from u the servant of God, barikiwa San bab
@Mrmnigeria
@Mrmnigeria 10 ай бұрын
Umelewa pastor
@EzekielWaree
@EzekielWaree 10 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki,endelea kutuelewesha, mnaompinga P, Casiani mjiulize swali kuwa je! Mitume wa Bwana Yesu wa agano jipya waliadhimisha Christmas? Kama siyo basi haturuhusiwi, kwasababu kanisa limejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii.
@IRENEMKONAMO
@IRENEMKONAMO 9 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi Kwa ukweli huu Mchungu we umenawa👏. Kila mtu apotee Kwa ugumu wake wa Moyo.
@MichaelsaimonMwita
@MichaelsaimonMwita 10 ай бұрын
Wanamacho lakin hawaon wanamasikio. lakin hawaskii munguu awasaidiee barikiwa sana mtumishu.wakwer
@ChristinaCharles-py1ct
@ChristinaCharles-py1ct 10 ай бұрын
Amina endelea kuelimisha. Barikiwa sana
@GloryMunna
@GloryMunna 9 ай бұрын
Tatizo unajihesabia haki et mitume hawaelejezi wa sisi wa kwetu alituelekeza hatushehekei jishushe mungu akukweze
@ByamunguErnest-jc7kd
@ByamunguErnest-jc7kd 10 ай бұрын
zidi kutusaidia kutufunguwa macho wengi wetu atufahamu🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@joshuajackson5367
@joshuajackson5367 10 ай бұрын
Yaani mpaka unipotoshe kimaandika ujipange sana ninachojua Yesu kazaliwa hayo menyine hayanihusu
@manasekamtoni
@manasekamtoni 10 ай бұрын
Ukitaka kujua Nini maana ya KRISMAS kaa vizuri na mungu ataakujibu vzr mafundisho yamekuwa mengi yanatuchanganya Sana ❤ tunashindwa kufahamu yaaliyo yakweli ni yapi
@damianlucas5345
@damianlucas5345 10 ай бұрын
Punguzen ðhambi
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 10 ай бұрын
Kwa nini Kuna father Christmas na hayo mavazi mekundu Yana maana Gani
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay 10 ай бұрын
Jamaniii namshangaa sn Mungu, Jambo hili wamelizungumzia sn waadventista wasabato kitambo sn, lkn hawakueleweka😢... endelea kuyachunguza maandiko mpendwa wa Bwana Yesu,
@simonnjovu586
@simonnjovu586 29 күн бұрын
Muulizeni pia kwa nini anaabudu siku ya jumapili. Kwa nini anafuata majira ya Januari hadi Desemba, kibiblia zimeandikwa wapi?
@jumannemafuru
@jumannemafuru 10 ай бұрын
Yesu akaonekane ww akutumie kama chombo siku zote,amina
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@davidmdadila4080
@davidmdadila4080 9 ай бұрын
We kasiani Mimi nakufahamu Sana kila siku unaongea mambo mazuri lakini kwa hilo unakosea my friend sisi tumeokoka na tunaamini kuzaliwa kwa YESU hivo lazima tumuheshimu hapo unatafta kitu kingine MUNGU anachukizwa kupinga Mambo yake
@mchelejohn7753
@mchelejohn7753 10 ай бұрын
we unaejiita mtumish umepotea kwa kukosa maalifa soma vzr neno la ,Mungu ulielewe usipoteze watu utadaiwa nakama hujui kaa kimya
@masikanasta1027
@masikanasta1027 10 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe sana na Mungu ❤❤❤
@PastorHenryAluodo.
@PastorHenryAluodo. 10 ай бұрын
Naungana na ujumbe wako Mungu wetu sio mwanadamu azaliwe kila mwaka bali kama alivyoingia patakatifu mara hajawahi kutoka Yeye yupo Yesu Kristo Mungu Mkuu
@rithastanley3680
@rithastanley3680 10 ай бұрын
Lkn mtumishi kama tuna azimisha alivyofufuka kwann tusisherekee alivyozaliwa...japo tunajua tunamsherekea yesu Kila siku lkn walifanya ivo kwa kuadhimisha tu japo c mwez ambao alizaliwa ila ilipangwa tu ili kuukumbusha ulimwengu kwambaYesu alizaliwa
@izackambale4234
@izackambale4234 10 ай бұрын
Ukweli mtupu, hakuna Christmas kwenye biblia. Barikiw zaidi mtumishi wa Mungu Baba
@obedjillo3948
@obedjillo3948 10 ай бұрын
Soma bibilia uielewe uache kusikiza tu watumishi bila kusoma nakupata ufunuo wa Mungu..IKIWA WASHEREHEKEA KWA KUNYWA POMBE, NA USHERATI NA MAMBO YAKIDUNIA BASI WEWE HAUFANYI CHRISTMAS UNAFANYA SHEREHE YA KIDUA NA YA KI KRISTO.
@izackambale4234
@izackambale4234 10 ай бұрын
Katika biblia hakuna mahali imeandikwa kumbukeni kuzaliwa kwake yesu, au tarehe ya kuzaliwa kwa yesu kristo mwana wa mungu
@christinemwakio7870
@christinemwakio7870 10 ай бұрын
Yeremia 52-31 inasema 25/12/_ nisiku mfungwa alitolewa gerezani so definitely sio siku ya kuzaliwa Yesu Kristo..., Hata pasaka ya Bwana ipo na tarehe kwa biblia na unaruhusiwa kuikumbuka anasema fanyeni hivi kwa kunikumbuka.... so wakati umefika mambo yawekwe sawa Mungu akubariki sana mtumishi Walawi 23:5-7 inafika wakati wakufata Biblia sio mapokeo ya wanadamu... Yesu Kristo Ywaja uwe tayari kufundishika mpendwa🇰🇪
@izackambale4234
@izackambale4234 10 ай бұрын
Kusoma biblia nakuielewa n vitu viwili tafauti sana, yeremia 52:31 yaongelea wafalme nasiyo kuzaliwa kwa mwana wa mungu. Pia kumbukeni kwamba hafananishwi na chochote kile mbinguni na hata duniani
@christinemwakio7870
@christinemwakio7870 10 ай бұрын
​@@izackambale4234 yes ni kuhusu mfungwa not our good lord Jesus Christ
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 10 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu.
@agreementmwalongo6036
@agreementmwalongo6036 10 ай бұрын
Watakupinga sana ila ukweli ndo huu
@neemasanga5273
@neemasanga5273 9 ай бұрын
Mungu. Anisame nilishelekeya bilakujuwa sasanimeacha ubalikiwe kwakunifundisha
@Steven-y8h5g
@Steven-y8h5g 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@GasperMoyo-is9db
@GasperMoyo-is9db 9 ай бұрын
Naomba andika vizuri cyo klismas Bali krisma
@jeannettezawadi6307
@jeannettezawadi6307 10 ай бұрын
Amina Ubarikiwe mtumishi
@Loiceouko
@Loiceouko 10 ай бұрын
Good may God bless u
@creopatrajoshua
@creopatrajoshua 10 ай бұрын
Jaman kila mtu abaki kwenye kitu anachokiamin me nazan iyo n kazi ya mungu tunanza kuingilia ye ndo anajua kama wakristo wote wanaxherekea Christmas wanakoxea au n dhambi bac tumwachie mungu kazi yake cku ya mwixho kila kotu kitakuwa wazi
@EzeKidal
@EzeKidal 10 ай бұрын
Ni kweli kbs...tuache marumbano ya hoja...tutampa adui nafasi.
@esterjoseph670
@esterjoseph670 10 ай бұрын
Ss hatusheherekei SKU wala mwezi,Ila cku na mwezi tunawafundisha watu njia za wanadam na njia ya Mungu.
@gorretyawuor4918
@gorretyawuor4918 10 ай бұрын
Bwana asifuwe mtumishi wa Mungu
@magdalenemaya3096
@magdalenemaya3096 10 ай бұрын
Thank so much ,most people in the world don't know and disagree abt Christmas to be demonic, they disagree tell dem e fact and truth 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@maggiemagdalena3006
@maggiemagdalena3006 10 ай бұрын
kzbin.infoW9GvJ9Kmbx8?si=ZeoBynRUpaZ0T4CY
@ForgiveCheyo
@ForgiveCheyo 10 ай бұрын
Mungu ahusike without jesus nothing
@bonfaslazaro2289
@bonfaslazaro2289 10 ай бұрын
Barikiwa Sana endelea kusema ukweli ili watu wajue ukweli maana dunia imelewa na sikuu mbalimbali bila kujua chanzo chake.
@agreementmwalongo6036
@agreementmwalongo6036 10 ай бұрын
Amina baba weeee aminaaa ,Tupone tuponeee
@jeremiahwilson317
@jeremiahwilson317 10 ай бұрын
Sio ukweli hata kidogo kwa sababu sisi hatusherekei siku tunasherekea MPANGO (mission)ya kuja kwa yesu kristo duniani na mpango wa YESU ni kuja kunikomboa mimi na wewe na wala sio mpango mwingine sasa naona wewe unayetaka kupotosha kuhusu krismas ,krismas tunasherekea siku ya YESU KUZALIWA naona wewe sasa unaelekea kuwa MDOGO WAKE SHETANI acha kutupeleka makosa kwenye imani yetu ya kumuamini YESU KRISTO
@agreementmwalongo6036
@agreementmwalongo6036 10 ай бұрын
Lazima uitetee kwasababu wengi tumekuwa familia na makanisa yetu yanasherekea ni ngumu kukubali ila kwakuwq umeshasikia mtumishi kasha maliza huduma imebaki kwako kuipima Roho.
@isayashayo4777
@isayashayo4777 10 ай бұрын
Imeandikwa wapi kuwa Kuna Christmas kwenye biblia Iko wapi acha ushamba ndugu Mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako
@Revelation1412.
@Revelation1412. 10 ай бұрын
FAFANUA kwa Maandiko..unajipoteza fahamu .. mbona mnasherekea Tareh 25 December kila Mwaka..? NDO mnaamini alizaliwa hiyo Tareh Hebu toa Andiko
@elegantthriftcollections8101
@elegantthriftcollections8101 10 ай бұрын
Nenda kafanye uchunguzi, kasome chimbuko la hii sikukuu ilianzaje anzaje hapa duniani na ujiridhishe je walio ianzisha ni kweli walikua wanamsherehekea Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai au Ibilisi aliyejigeuza malaika wa nuru halafu rudi kwenye maandiko, ni wapi Kristo aliwahi sherehekea birthday yake au mitume kumfanyia birthday na kutuachia agizo la kuadhimisha kila mwaka tar 25/12? Biblia inaonya kuhusu kuongeza au kupunguza neno la Mungu, Kuna mapigo. Hii ni sherehe ya kipagani, Yesu hahusiki hapa bali mungu jua wa warumi, ila ukweli huwezi kuujua usipoutafuta maana ibilisi ni muongo na baba wa huo uongo.
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 10 ай бұрын
Mungu ni Mwema
@johnmgalatia1939
@johnmgalatia1939 10 ай бұрын
Mungu akusamehe,nilikupenda toka ulivyoanza kuonekana BBS lkn kwa sasa nahisi ule ugonjwa umekuchanganya akili,hivi unafikiri ukijua kusoma biblia mistari kadhaa basi unaanzisha Kanisa, Ingia darasani soma history, mapokeo na kwanini inasheherekewa tarehe hiyo, swali langu kwako naomba unieleze hapo huo mwezi wa sita uliotajwa ni mwezi wa sita wa mimba ya mariamu au ni mwezi wa sita ya siku aliyojiriwa na malika?
@BintiMwambapa-ev6kw
@BintiMwambapa-ev6kw 10 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU barikiwa sanaaaa na MUNGU azidi kukutunza, swali langu ni hili ,ni kuhusu mwanamke kujistili ni lazima kufunika kichwa chake maahali popote au ni kanisani tu au aina umuhimu? Naomba jibu mapambo yote nimeacha.
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 10 ай бұрын
mwanamke anapaswa kufunika kichwa chake muda wo wote na sio tu wakati wa ibada kanisani, because anatii mamlaka ya mume wake. kwa sababu biblia inasema kichwa chakila mwanamke ni mwanaume na kichwa chakila mwanaume ni Kristo na kichwa cha Kristo ni Mungu
@BintiMwambapa-ev6kw
@BintiMwambapa-ev6kw 10 ай бұрын
@@EvangelistMathayo2604 Aminaaaaaa Mtumishi wa MUNGU Sasa endapo sijaolewa nipo tu nyumbani?
@MwitaGabriel-r8s
@MwitaGabriel-r8s 10 ай бұрын
Fundisho zur hata mim nakubali
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 10 ай бұрын
Wagalatia 1:8-9 lakini ijapokuwa sisi au Malaika wa mbinguni atawahubili ninyi injili yoyote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri na alaaniwe. 9.kama tulivyotangulia kusema na sasa nasema tena mtu awaye yote akiwahubiri injili yoyote isipokuwa hiyo mliyoipokea na alaaniwe. __________________________ Nataka majibu Christmas imeandikwa wapi na Mitume waliisherekea wapi siyo kuwatukana watumimishi wa Bwana wanaosema kweli.
@AdamPaulo-x2k
@AdamPaulo-x2k 9 ай бұрын
Yaani kila mmoja huja kwa maono yako mwenyewe jinsi nawe ndiyo mmoja mmoja ya wapinga kristo Huoni kuanzishwa kwa sikukuu ya krismasi ni sehemu ya ibada na kumtsngaza kristo
@EsitaDavid2-wp1uf
@EsitaDavid2-wp1uf 10 ай бұрын
UBARIKIWE,KANISA BWANA ANALISAFISHA ,anayeelewa hii amebarikiwa.
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 10 ай бұрын
MARKO 7:7-8 Nao waniabudu bure wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. 8.Ninyi mwaiacha amri ya Mungu na kuyashika mapokeo ya wanadamu. 9.Akawambia vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapeo yenu. ------------------------------------------------ Ukiona huelewi kuhusu hili piga magoti mbele za Mungu muulize siyo kusapoti kitu ambacho kiko kinyume na Neno la Mungu
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 10 ай бұрын
Yesu alisema hakuna siri ililiyo fichika ambayo haitafichuliwa,hii ilikua ni siri lakin hatimaye imefichuka MUNGU akubariki sana mtumish endelea tu kutufundisha na kutuonya katik siku hiz za hatar
@marrymwashinga1942
@marrymwashinga1942 10 ай бұрын
Amina na mungu ampe ulizi wake
@happyharuni670
@happyharuni670 10 ай бұрын
Ubrkiwe mtumishi wa mungu
@FiveFunny
@FiveFunny 10 ай бұрын
Wewe ni lijiñga okoka bado
@ridiajofrey8276
@ridiajofrey8276 9 ай бұрын
Ni kweli hili fundisho nimeshajifunza mara mbili na nikwel
@MusyokaJoseph-r4v
@MusyokaJoseph-r4v 10 ай бұрын
Ukweli ndio huo mtumishi
@esthershirima5309
@esthershirima5309 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi,krismas sio ya kibiblia,
@jamesdaniel3373
@jamesdaniel3373 9 ай бұрын
Amina pasta
@daudic.mpinga4606
@daudic.mpinga4606 9 ай бұрын
Hata Mimi nilikuwa najiuliza sana kuhusu hii sherehe ,,,je vipi kuhusu kufunga ndoa na kuvalishana Pete na kufanya sherehe ya ndoa hii iko sahihi kibiblia?? Tafadhali naomba majibu nahitaji kufahamu
@ridiajofrey8276
@ridiajofrey8276 9 ай бұрын
Aston mbaya kutoka congo aliyechukuliwa akaoneshwa vyumba 153 vya kuzim alisema sikukúu ya Christmas ni ya kishetan
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 10 ай бұрын
Lazima tuheshimu Ujio wake
@OswardAudax
@OswardAudax 10 ай бұрын
Watu hawasikilizi neno bali kuhukum u tuu, msikilize vzr kisha utaelewa
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 10 ай бұрын
ISAYA 9:15-16 Mzee Mwenye kuheshimiwa ndiye kichwa na nabii afundishaye uongo ndiye mkia. 16. Kwa maana wawaongozao watu hawa ndio wawakoseshao,na hao walioongozwa na watu hao wameangamia. ------------------------------------------------ Tafakari, chunguza mandiko huu ni wakati wa kuijua kweli, mwenye akili ataelewa na mjinga atazidi kuwa mjinga tu.
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 10 ай бұрын
SIKiA WEWE, sherehe zinatungwa na wanadamu, Toka zamani watu walikuwa na sikukuu mbalimbali walikuwa wakisherehekea, mfano krismansi inamaana kubwa na ndio Miongoni mwa sikukuu isio ya zamani lakini, inathani kubwa sana kwa kuwa waumini wa yesu, kuliko sikukuu zote na sikukuu unayoiamini ya mwaka mpya
@Lissarams
@Lissarams 9 ай бұрын
Lazima nmsikizishe mamangu nikirudi nyumbani
@lovenessaloyce3285
@lovenessaloyce3285 10 ай бұрын
Ndio maana wasabato hatusheherekei pasaka,xmass
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 10 ай бұрын
Yeremia 52:31 Kisha katika mwaka wa 37 tangu Mfalme Yehoyakini wa Yuda alipopelekwa uhamishoni, katika mwezi wa 12, siku ya 25 ya mwezi huo, Mfalme Evil-merodaki wa Babiloni, katika mwaka alioanza kutawala, alimwachilia huru Mfalme Yehoyakini wa Yuda na kumtoa gerezani.
@creopatrajoshua
@creopatrajoshua 10 ай бұрын
Imani zimekuwa nyingi hivyo mungu huwajua walio wake kama kuxherekea cku ya kuzaliwa yesu n dhamb na n makosa namin mungu atatuhukumu iyo cku na kwa sababu dhamb zote biblia inasema n sawa bac mungu atatuhukumu kwa hilo lakin tuache kuingilia na kutafxiri maneno kwa namna tunavoelewa wenyewe
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 10 ай бұрын
Wanao mpinga wote Mtumishi wa Bwana,Neno la Mungu linasema; YOHANA 8:47 Yeye Aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu hivyo ninyi hamsikii kwakuwa ninyi si wa Mungu. By Robert
@Sema_TZ
@Sema_TZ 10 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@elmasroj9712
@elmasroj9712 9 ай бұрын
Hapo umenena, nakusihi umgeukie Bwana wa sabato, maana ni Sabato pekee ndio haitambui krisimas, mapambo ya mwili na mengine mengi unayoyahubiri
@janemujuni
@janemujuni 10 ай бұрын
Kwanza nampongeza sana aliyechagua tarehe 25/12 iwe X_Mass ningemjua zawadi ya boxing day ingemhusu,Yaan Mungu ameziumba siku halafu Eti inatengwa siku ya kumwabudu shetani!!!???Yaan kwa kweli hapo Paschal umechemka,
@Absakindande
@Absakindande 10 ай бұрын
Nenda kasome
@halimambaga61
@halimambaga61 9 ай бұрын
Sawa lakin elewa Christmas ni sikukuu tena ni siku ambayo ndugu jamaa na marafik hukaa pamoja na kuomba na kupatana na kuondoa tofauti zao kwasababu ni mwezi wa kufunga mwaka acha ujinga wa kuhubir usichokijua😊
KWANINI UNAFANYA MAPENZI  NDOTONI? EV PASCHAL CASSIAN
50:22
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3,7 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 25 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 346 М.
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:37
| VOL.10 CHAPTER 01B | AGANO LA DAMU YA YESU | MWL. TENGWA |
2:19:27
M A N E NO
2:25:16
SAUTI YA SHANGWE GOSPEL MINISTRY
Рет қаралды 61
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 66 М.
OGOPENI UMOJA HUU NI HATARI EV PASCHAL 🇹🇿 CASSIAN
38:41
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 11 М.
CASSIAN AWAEKA WAZI MACHAFU YA PIDIDI NA DAIMONDO EV PASCHAL CASSIAN
43:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 49 М.
frère Jérusalem David          PARTIE 2    QUI EST L'ANCIEN DES JOURS?
59:40
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 25 МЛН