Hivi huyu mtu kuwa kiongozi, itakuwa Tatizo kubwa Lissu una bwabwaja sana. Tulia kama wenzio
@vincentjohn2041Күн бұрын
Wewe tulia wacha wenge
@mangashajunior242Күн бұрын
Mlinde kura zenu kama mnavyolinda wakati wa chaguzi kuu...wataiba tu mkilala na takukuru wajipange...
@MwakaHappyКүн бұрын
Aibe ila atakiona cha moto wsla usihofu baba tupo wengi nyums yako ukiona vipi hama ila usiende ccm au anzisha chama chako tupo wengi sana tunakutii kisa cha kungangania wakikuuwa baba maelfutupo nyuma yako tunaondoka na lisu
@BibiJamyКүн бұрын
Kimbe kilasiku unasema CCM kwako kumeza
@samwelmatemu8873Күн бұрын
Aibe kuru kwa ajili ya mjinga huyu
@S.AlmahrouqyКүн бұрын
Tuwache hofu muda utaamua
@ladislausriwa7768Күн бұрын
Wajumbe wako wangapi hata ķuongeza kura zikizidi idadi ya wajumbe itakuwaje?