KIMENUKA MAJALIWA AKUTA UOZO AMSIMAMISHA KAZI INJINIA NA AFSA ELIMU/WEWE SIMAMA KAZI/FEDHA ZIKO WAP

  Рет қаралды 5,656

JAMBO TV

JAMBO TV

Ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 35
@drp3721
@drp3721 Ай бұрын
Hawana aibu Wala woga hapo Mh Waziri Mkuu asinge washushua ingekuwa imepita hiyooo.
@user-df5mj2ft4w
@user-df5mj2ft4w Ай бұрын
Kulipa kodi kunauma ukisikia taarifa iz
@gasperaroni5751
@gasperaroni5751 Ай бұрын
Hapo waziri mkuu umenigusa piga kazi wezi wakubwa hao yanashiba bila jasho mungu akubariki
@christophermbuga9623
@christophermbuga9623 Ай бұрын
Hiyo imepita hiyooooo!! Ukirudi ulikotoka maisha yataendelea kama kawa
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re Ай бұрын
Hizo kazi Mh. waziri mkuu ni za ndugu na hao wasimamizi haziwezi kuwa sawa.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
Mmmmmmmmmh nchi ngumu sanaaaa hiiii hakuna mwenye uchungu na mali za umma
@elysetv1107
@elysetv1107 Ай бұрын
Madawati ya mlingoti hayo 😊😊
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Wameshapiga hao utafungaje dirisha bioa fiber? Kisheria ni lazma kufunga wavu mbu
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Ай бұрын
Mmmhhh hapo sasa.
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Watengeneze ya mninga ndo yatadumu
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Ай бұрын
Alafu inawezekana raisi anakuwa na malengo mazuuri kabisa ila watendaj wake Sasa kipengele alaf kiiila kitu wao hupewa buuure buure kabisa lakin ndio hao hao wezi duu naumia sana moyoni alaf jela imejaa wezi wa kuku na tv na redio
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 Ай бұрын
Aliyetangulia mbele ya haki atajiteteaje?? Wanamwangushia nyumba mbovu marehem
@anastazialushika
@anastazialushika Ай бұрын
Mpaka afike waziri agundue kunamapungufu kwa hakuna watendaji walio chini yake? Hivi ndio Tanzania
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Viti vyenyewe vinachanika mbao mlingoti hiyo
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Ай бұрын
Yani tukiangalia na kuyasikia haya sisi wananchi tunazid kuchoka , na tunaelewa ni namna gani hela zetu zinapigwa na watumishi na chaajabu hawachukuliwi hatua, mama kasema atakuwa chura, inauma sana.
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 28 күн бұрын
Madirisha ya madarasa design yake nadhani wiremesh hazitakuwi kwa sababu za usarama wa wanafunzi pindi majanga yatokeapo
@rendiman2878
@rendiman2878 Ай бұрын
uchaguzi umeanza eeeh, mliliwa wapi siku zote hela zinaliwa. Hizi sengeli hazitakoma huku Tanzania bila ya kuwaondoa hawa watawala kwenye madaraka na kuweka timu mpya
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba Ай бұрын
majariwa na mshana lazima mlishagongana kona,maana haiwezekani miaka yote mnamfilisi na majanga kibao
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Limenenepeana hadi linaongea kwa shida
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Ай бұрын
Awa ndio shabib mbunge anasemaga wanamsifia mamaanaupiga mwingi kumbe wao ndio wanaupiga mwingi
@drp3721
@drp3721 Ай бұрын
Viongozi ngazi ya Wilaya hawasimamii ipasavyo wanaogopa muhali kukosoana.
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Hao wezi kwanini hawafungwi mtu akina kuku police mageleza wamejaza masikini tu tumewachagua mulinde wezi?
@dastankalinga442
@dastankalinga442 Ай бұрын
Njoo na huku wsziri mkuuu
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it Ай бұрын
Naitaji kuja hukum yao
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Ай бұрын
Anatamani kumpiga hata vibao
@alexmwesiga3603
@alexmwesiga3603 Ай бұрын
PM unasumbuka na mafundi RC Yuko hapo, we angaika na RC, kazi yake ni nini, kusoma risala?
@HemedyLukindo-y9h
@HemedyLukindo-y9h Ай бұрын
Hayo yote mkuu wa mkoa hakuyaona hadi waziri mkuu alipofika,Mh Rais inabidi wakuu wa mikoa na wilaya wawe wanatuma maombi ya kuomba kazi pamoja na wakurugenzi wa halmashauri haiwezekani P.M ndio akaguwe kazi ya viongoz wa chini anamaana asingeenda ilikuwa imeisha hivo hivo .
@jumamingwenya2659
@jumamingwenya2659 Ай бұрын
Ni rais ajae!
@mwigambachristopher1976
@mwigambachristopher1976 Ай бұрын
Daah poleni sana ,hapa kutakuwa na shida ya Mfumo.
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p Ай бұрын
Huo ni msala
@oskakayombo9335
@oskakayombo9335 Ай бұрын
rais ntarajiwa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Serikali za Africa bila kufanya maamuzi ya kuwanyonga hadharani Mafisadi kama ilivyofanya China mtatufanyia usanii tu. Wizi ni mkubwa mno mnamsifia mama anaupiga mwingi.
@robe661
@robe661 Ай бұрын
Nimetoa machozi,
@flaviankiria8251
@flaviankiria8251 Ай бұрын
Wanatuibia mnoooo
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Ай бұрын
Pia wanashiria wa jamhuri wachunguzwe maana wao hushundwa kesi
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,6 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 8 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
WAKILI JEBRA KAMBOLE AELEZA KILICHOTOKEA UCHAGUZI TLS
18:52
JAMBO TV
Рет қаралды 2,7 М.
KAULI YA RAIS SAMIA KUHUSU FIDIA YAPINGWA VIKALI
8:52
JAMBO TV
Рет қаралды 388
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН