KIMENUKA!! MASHA LOVE AMMAINDI JIMMY MAFUFU KISA MIMBA/ HAJI MANARA AINGILIA KATI KUMALIZA UTATA

  Рет қаралды 127,006

Manara TV

Manara TV

Күн бұрын

Пікірлер: 623
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Mashaa sio mkubwa ni kweli ❤😊miaka 27 ni sahihi kabisah ❤️
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Kweli Masha ni mdogo
@sarahsimon8060
@sarahsimon8060 Жыл бұрын
atajua yy
@muniraally1277
@muniraally1277 Жыл бұрын
Ni muongo tuuu
@zawadmohammad2682
@zawadmohammad2682 Жыл бұрын
ata Kama niuongo mtupu ikiwa mdogo wake mai anahio 27 yeye atakupa mingapi wasanii waache uongo
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 Жыл бұрын
Manara bro we ni shida sana ... Yani Kila unachobuni kinaenda sanaaaàa 😀😀😀😀😀
@ladymzana4511
@ladymzana4511 Жыл бұрын
Mimi nimependa kipindi chako kaka Hajji, ni furaha,vichekesho😅😅😅 na kujifunza pia kama Jimmy anajua Masha ana mzazi mwezie doctor Kumbuka bado wana mahusiano ya kimapenzi lakini akamfata Masha na kukubaliana kuwa wapenzi''' Pia Jimmy ana mke na familia lakini anamsaliti mkewe basi ndiyo maana Mungu kampiga na kitu kizito.
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Жыл бұрын
Wanatuchosha wakitoka hapo wanaenda kudinyana... Jimmy anampenda sana Masha love mume wa mtu anakiri mbele za watu maneno hayo ya tuachane ni wazi alimpenda...sema Masha Kitasa nangai sana
@yasinomary2147
@yasinomary2147 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@salomegomano1788
@salomegomano1788 Жыл бұрын
Sikuwah kujua Masha ni mpole hivi she is humble
@happinesswilliam2948
@happinesswilliam2948 Жыл бұрын
Hawa wanapendana sana sema mashlove tu chetu ila Jimmy anampenda sana
@TumainiMaseta
@TumainiMaseta 6 ай бұрын
Usijitetee mafufu,kama unajua anawanaume wengi ulianzaje kulala bila condom
@mvfff7224
@mvfff7224 Жыл бұрын
Leo imegundulika nimecheka sanaa duu fufu leo kawa mpole anampenda sana Masha 🎉😂😂😂 duu bonge la comedy
@mulumederwasifa4801
@mulumederwasifa4801 Жыл бұрын
Unajishusha eshima kabisa wewe Jimy mafufu
@sophiajason9341
@sophiajason9341 Жыл бұрын
Eti nimelala mara mbili
@issanjukwai1632
@issanjukwai1632 Жыл бұрын
Kipindi kizuri shida kpensi tu
@Fetty-i1v
@Fetty-i1v 9 ай бұрын
@@issanjukwai1632Shida kipensi kweli 😮
@aeshamrange6540
@aeshamrange6540 Жыл бұрын
Iyo mimba ya nani ya kwako awe koma wee jimi mafufu 😂😂😂😂😂
@minanitheophile3583
@minanitheophile3583 Жыл бұрын
Mpaka Mutangazaji anakosa lakusema ana ishiwa big up Haji manara TV
@janewilliam8195
@janewilliam8195 Жыл бұрын
nimecheka sana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 Жыл бұрын
Wababa muwe mnajiheshimi Mafufu na umaarufu wako wote heshima yako malizia na familia umejiaibisha Bora hata angekua mwanamke mwingine lakini makontena ya maziwa looooo!!
@africandarling6925
@africandarling6925 Жыл бұрын
Manara umetuweza Leo dooo utazani comed🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋😋jinsi wanavyo jikanyagakanyagaaaaaaaaaaa
@uwasedjami3500
@uwasedjami3500 Жыл бұрын
Part 2 jaman Nayapenda haya mambo 😂from Rwanda
@djaahdjaah3658
@djaahdjaah3658 Жыл бұрын
Afu mafufu anaonekana anampemda sana mashalove😆😂😂😂😂
@chichiereyh
@chichiereyh Жыл бұрын
Sana yan wanapendana hawa 😂
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Kweli wanapendana
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Noma sanaaa kmbe ad umekir ushalala du atar kwelkwel jmy anafurahisha
@patricialuande9540
@patricialuande9540 Жыл бұрын
😂😂😂😂ka Hajji...yaani i m dying kwa kucheka....who are these guys??
@mghazamghaza3361
@mghazamghaza3361 Жыл бұрын
Hajj weka bodyguards ..kipindi kitamuu sanaa tuu
@gracealbin8247
@gracealbin8247 Жыл бұрын
Masha bhana,wanatakiwa wachange Kodi 😀😀
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 Жыл бұрын
Mguu wa kulia wa manara unadeka sana jmn unakaa juu juu tu unamtesa mguu mwenzie😀
@enjobw5682
@enjobw5682 6 ай бұрын
Nipeni na Mimi like 😢/2024
@ibrahimufande
@ibrahimufande 3 ай бұрын
Za shingapi unataka?
@pettymsungu6420
@pettymsungu6420 Жыл бұрын
Ahaha🤣🤣🤣🤣 Tumesha jua, Nyie kumbe mnapendana🤣🤣🤣
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Pole sana jamani, Mungu akuimarishe
@tatianamonga492
@tatianamonga492 Жыл бұрын
Awa watu wana pendana saaana mno❤😂😂😂
@saumumasha4900
@saumumasha4900 Жыл бұрын
Part tu masha acha Kona nyingi😂😂😂
@ImaniJordan-re3un
@ImaniJordan-re3un Жыл бұрын
Hahaha hwa watarudiana nipo hapa nimekaaa🤣🤣🤣🤣mafufu anampenda
@mariamsephu3042
@mariamsephu3042 Жыл бұрын
As aleikum kaka manara samahani mimi nilikuwa naomba kazi za kusafisha
@faridamohamed8322
@faridamohamed8322 Жыл бұрын
Hii interviewe iwekwe part 2 jaman😅
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Hatimaye mafufu sasa hb anamjua mashalove,,maana alituambia hamjui hyu anayeitwa mashavu🤣🤣🤣🤣
@rukiasalum2248
@rukiasalum2248 Жыл бұрын
Yaani manage asantee sanaaa hakika umeifanya siku yangu imekuwa ndefu
@bakarimohammed2796
@bakarimohammed2796 Жыл бұрын
MAFUFU bado mzigo anautaka huo😂😂😂
@mvfff7224
@mvfff7224 Жыл бұрын
Ihi lazima Haji uirudie part 2 3. 4
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo Жыл бұрын
Mafufu anampenda Masha 😅😅
@ayshaabubakary3082
@ayshaabubakary3082 Жыл бұрын
Namuonea huruma mwanamke mwenzangu kuwa mwenye mume Mafufu
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 11 ай бұрын
Wote mnapendan masha na jimi munajuana ni ubishi tu .
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 Жыл бұрын
Uyu jamaa anampenda Sana masha
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Kumbe Ni kweli jamani!!!!¡!
@manasa2449
@manasa2449 Жыл бұрын
Masha umendeza ulivyojistiri
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
Mafufu bado anapenda masha
@didahog
@didahog Жыл бұрын
Mmh mafufu anampenda masha tena sana
@latifamchekenje6718
@latifamchekenje6718 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiiih nimejua kucheka jamani kha
@georgejumaa9672
@georgejumaa9672 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Watanzania aisee nyie mnatesa sana mitandaoni 😂😂😂😂😂
@catherinemasiga6666
@catherinemasiga6666 Жыл бұрын
Mafufu ukishindana na masha utaibika mwanamume haongei sana
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Masha love endelea kumpa hako kamjaa chini ya tumbo😂😂😂😂😂
@Makole17Makole17
@Makole17Makole17 Жыл бұрын
Sasa manara nawe umevaa nini😂😂 cjapend😢
@nesmoskanyuto6715
@nesmoskanyuto6715 Жыл бұрын
Mafufu unasema kuwa ni mtumishi wa Mungu, kwani hujui ulipokuwa unalala hata kama ni mara moja, huoni kama ulifanya kosa, kwanini usilale kwa mkeo...Kubali hiyo mimba tu, maana isije kuwa yako na mtoto akapata Roho ya kukataliwa...kubali mimba
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Manara shikamoo jimmy anasema kwako nimelala mara mbili😂😂😂😂 interview bora kabisaaaa
@EvaInnocent-nd2vg
@EvaInnocent-nd2vg Жыл бұрын
Ahahaaaaaaaaaaaa khaaaa jamn uyu si alikataa huyu ahahahaaaaa nimecheka mim jamn harafu wanapendana hawa 😂 😂 😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@annalyimo4824
@annalyimo4824 Жыл бұрын
Mungu atusaidie Sana sisi wanawake
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Жыл бұрын
Changudoa huyo
@ngejejemashubi4213
@ngejejemashubi4213 Жыл бұрын
Hawa wanaigiza hakuna kitu hapo wahuni hao
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Wote ni malaya hao kaka Manara
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py Жыл бұрын
Masha love wanaumee 2😂😂😂
@saidsipemba2375
@saidsipemba2375 Жыл бұрын
Hongeren kwa kutuibia mabando yetu kwa maigizo yenu,,Mwenye Tv chale ma wagen wake wote machale
@thomasmeza3800
@thomasmeza3800 Жыл бұрын
😂😂😂machele dabo 3
@justinefelix4544
@justinefelix4544 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 et chale dar Ila kweli chale🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jessysembuyagi24
@jessysembuyagi24 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 eti chale😂😂😂😂😂😂😂ila chale hiv alifanyaga nn had akawa chale😂😂😂
@mosule9262
@mosule9262 Жыл бұрын
Manara hongera Kwa tv Yako ,lakin jitahid kuvaa vizur hiyo pensi ni fupi Sana sio sahihi Kwa muislamu kuvaa nguo ya hivo ,wallahu aalam .
@shaabanialrashidy9672
@shaabanialrashidy9672 Жыл бұрын
Haji mtoto wa mjini
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 9 ай бұрын
Masha mbn aupo serious jaman na maisha darasa la sita na darasa la saba kweii
@latipharamadhani7576
@latipharamadhani7576 Жыл бұрын
Hawa awawezi achana wanapendana kweli na watapeana mimba sana
@mwabakabwe9733
@mwabakabwe9733 Жыл бұрын
Mbavu zangu jamaaaani 😂😂😂😂😂😂kumbuka njoo uku 😂🤣🤣🤣🤣
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Hahaha interview tamu ila fupi jamani natamani kuendelea kuangalia
@shabanisada7630
@shabanisada7630 Жыл бұрын
Tunaitaji number 2
@mishikalama5448
@mishikalama5448 Жыл бұрын
Jimmy😂😂anaongea akimwangalia Masha kiuoga😂😂😂cz akili za Masha wakat wowte za change😂😂😂
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Жыл бұрын
Akuna mimba. Masha acha. Kumuomgopea bba wawatu
@kivaradaudi3892
@kivaradaudi3892 Жыл бұрын
Hongera kwa ubunifu wa kipind
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Жыл бұрын
😂😂😂nawapenda nyote
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
Huyu JiMM Mafufu hajielewi mbona ulikataaga kama hawukupendana naye?? Mm jamani yajayo yanafurahisha😮😮 MASHA sema kweli hawuna mimba una danganya KUMBUKA uko wapi mke wako leo mtazichapa kumbe ungaliki😂unaenda kwa masha?? Mmm
@mghazamghaza3361
@mghazamghaza3361 Жыл бұрын
Masha kiboko yao.hit and run
@maimunashaban4932
@maimunashaban4932 Жыл бұрын
😆😆😆😆mecheka kwa sauti kubwa kwenye kuchanga kodi aseeh🙌 ety kwann tuschnge mm na kumbuka, Alf sijuh mke wa jimmy anajisikiaje Jmn akiona hivi
@judythasiko8648
@judythasiko8648 Жыл бұрын
singali jamani 😂😂😂big up Manara more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mulumederwasifa4801
@mulumederwasifa4801 Жыл бұрын
Hana mimba
@mulumederwasifa4801
@mulumederwasifa4801 Жыл бұрын
Wewe unajiita mutumishi wa mungu unahaibu kabisa 😭😭
@syliviaademba7709
@syliviaademba7709 Жыл бұрын
Jmn jmn hivo mke wa jimmy mafufu huko anajiskiaje 😢😢😢😢😢😢😢 wanaum hawa
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Itakuwa movie inakuja😂😂😂😂
@anthonylugoi6269
@anthonylugoi6269 Жыл бұрын
Interview safi kabisa Bugatti 🔥🙌😂😂
@josephnjau9544
@josephnjau9544 Жыл бұрын
Manara Leo umepatikanq😂😂😂ety kwnn umwagie ndanii
@eleteriushaule2693
@eleteriushaule2693 Жыл бұрын
Mwanzo ulkataa kazi ipo🤣🤣🤣🤣🤣
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 Жыл бұрын
Hiyo mimba ni ya nani!?ni ya kwako!!!!aaaah we koma weee!!!!!!!hatari sana!!!!
@Ambagaye
@Ambagaye Жыл бұрын
Uswahilini kuna mambo! Niliwahi kuishi Manzese Uzuri miaka ya themanini.
@albertmchopa4786
@albertmchopa4786 Жыл бұрын
Manara umetuweza.......😂😂😂😂😂
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Jamani Dar salama huko kuna mambo
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Жыл бұрын
Yani acha tu huku Kuna mambo sana mtu anasema kabisa huyu ni mwanamke wetu tuchange Kodi.....
@ScolaRobert-qk7gc
@ScolaRobert-qk7gc Жыл бұрын
Nimecheka sana aisee
@miriammacha7261
@miriammacha7261 Жыл бұрын
Aisee maisha plus
@MichaelJohn-xh4kf
@MichaelJohn-xh4kf Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 manara shikamooo big up niko paleeee na subiri party 2😅😅😅
@annadaudi3114
@annadaudi3114 Жыл бұрын
Nimecheka jamani Ila mbona Kama bado mnapendana
@mdmohammed9411
@mdmohammed9411 Жыл бұрын
Aaah jimmy ww si ulisema humjui kabisa masha. Sasa Leo uli kubal kama masha alinogewa akashika mimba 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@syliviaademba7709
@syliviaademba7709 Жыл бұрын
Ndio hapo sasa alimkana sasa sjui huyo mkewe huko nyumbn 😢😢😢😢😢😢wanaume hawa 😮😮😮
@michaelmisago3671
@michaelmisago3671 Жыл бұрын
😂😂nimecheka sana kipindi kitamu manara fundi ila wote wanapendana hao watarudiana tu
@allybin08
@allybin08 Жыл бұрын
Eti kumbuka kavaa t-shirt yangu 😄 🤣 😂
@cjafugekhasan7777
@cjafugekhasan7777 Жыл бұрын
Awa bado wanapendana sana
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Wasichana wakiislamu aibu , Uzinifu allah atustiri
@tinabapemacho8650
@tinabapemacho8650 Жыл бұрын
Hakika nime injoy sema fupi bwana ila hongera manaratv muna tulisha vitu vitamu tuna injoy kwenye swaume
@abbyck2858
@abbyck2858 Жыл бұрын
Ila wanaume daàaaaahhh nilikuw namuon Masha Kam anatafut Kiki Leo nimejuw kumb Jimmy muong alikataa katakata
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Mashalove kajtuliza km sio yeye vile kkkk
@fathatsaid367
@fathatsaid367 Жыл бұрын
Haa mzigo bado nautakaaa😂😂😂😂
@lovirinaa
@lovirinaa Жыл бұрын
Kuwa na wanaume wengi sio ujanja ni kutojieshimu na umalaya tu
@manasa2449
@manasa2449 Жыл бұрын
😂😂😂😂 oyo mimba ya nani we kama jimmy
@mrsab303
@mrsab303 Жыл бұрын
Masha I like it😍😍😍😍😍
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 Жыл бұрын
Manara kazi yako ya kwanza umeanza na umbea ukizingatia mwezi utajua kwamba wewe huwezi kutengwa na umbea yani hakuna cha kukutenga na umbea
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Hii intaviu sisi wambea tunaomba part 2 Ahahahaaa
@azamajid9530
@azamajid9530 Жыл бұрын
😅😅😅 nimecheka hasi machozii wanapenda haooo😅
@pendocharles1566
@pendocharles1566 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣hivi hii ni kweli jaman mbona pambee mafufu huoni kama ndiyo umejidharirisha sana na mkeo sjui kama Kuna maelewano nfani
@mikaelimombelwa5871
@mikaelimombelwa5871 Жыл бұрын
😅😅Nicheke tu mana mambo ni mengi
@evepaul5377
@evepaul5377 Жыл бұрын
Wallah nimecheka
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 Жыл бұрын
Nimependa Masha ni mkweli
@selmesaid7405
@selmesaid7405 Жыл бұрын
Manara wacha nikupe coment yangu mic you
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Жыл бұрын
Mashaaa amependez Kwa kanz
@riccoidd-ln6nn
@riccoidd-ln6nn Жыл бұрын
😀😀😀😀 hii ni comedy bila Chenga kkkk
@hyy4114
@hyy4114 Жыл бұрын
😂😂😂kodi wachange na kumbuka
@hodaneymujib6621
@hodaneymujib6621 Жыл бұрын
Manara umewasha moto
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 6 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 15 МЛН
NALI NKUKUBYEKO OLUBALE? THE #INSPECTOR.
9:26
Gitta Charles Official
Рет қаралды 76
DEG DEG: ABIY AXMED OO GUUL TAARKIIKHI AH LA HOYDAY! | DFS?
30:19
BRIT SOMALI TV
Рет қаралды 59 М.