NI BALAA!! MASHA LOVE APIGANA NA JIMMY MAFUFU MBELE YA HAJI MANARA, ASKARI AINGILIA KATI

  Рет қаралды 140,431

Manara TV

Manara TV

Жыл бұрын

Usikose kutazama Manara Tv kupata Habari zote kwa Uhakika zaidi

Пікірлер: 837
@emmanuelsiwale155
@emmanuelsiwale155 Жыл бұрын
Nimecheka mpaka nimepasuka jino ama kweli Kuna watu wanapendana uyu wivu uyu nae wivu 😅😅amazing Sana mafufu na mashalove mungu awape miaka 100000 wote
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Jino lipi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hee nilikuwa sijaangalia na mimi jino langu lishapasuka hahahaaa
@joycechaz2840
@joycechaz2840 Жыл бұрын
😀😀😀nimecheka sana jimmy anampenda sana masha na anawivu balaa😂 sema tu masha mwenyewe akili zake anazijua mwenyewe
@user-vf2vy6dl4t
@user-vf2vy6dl4t Жыл бұрын
😅😅😅😅
@purple7217
@purple7217 Жыл бұрын
😂😂😂
@nunketenkamu1402
@nunketenkamu1402 Жыл бұрын
MANALAAAAAAA MANALAAAAA KWA HII UMENITOA STRESS ZA MIAKA YOOOOOTE😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ashaomary5745
@ashaomary5745 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rukiasalum2248
@rukiasalum2248 Жыл бұрын
Ndugu yangu ya Mungu mengi mimi siku moja nilimkuta huyu baba anajitamba istgarm na mke wake anatutangazia mganga mtu asimguse mume wake mafufu atamuua nikatia neno kuhusu mashalove jamaa akaniblock sasa leo nacheka hapa sina mbavuu
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 Жыл бұрын
@@lydi791 maaha love bonge la cheche
@mohammedathman5816
@mohammedathman5816 Жыл бұрын
Mjomba manara kwa mara ya kwanza umeniacha hooii much love from Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥
@mihambomahona8129
@mihambomahona8129 Жыл бұрын
Duuuuh jaman mafufu mmekutana wote nyau na paka
@Ohhvio
@Ohhvio Жыл бұрын
Ila jimmy gentleman 👌😍kachukua glass kaficha chini ya kiti👌👌 anajua hasira zetu wanawake za hapohapo😂
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Жыл бұрын
The Big Interview👍 Nimemaliza Stresi zote kwa kicheko🤣🤣🤣
@WikundaSA
@WikundaSA Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 THIS IS BEST INTERVIEW OF ALL TIME
@leilaadamu4817
@leilaadamu4817 Жыл бұрын
😂😂
@rahmamazengo17
@rahmamazengo17 Жыл бұрын
😀😀😀😀 Masha we kiboko
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Жыл бұрын
Hii ni interview kali ya milele iliowahi kutokea 😂😂😂😂
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 Жыл бұрын
Hapa nimeelewa kitu Jimmy wivu unamuuwa wallah
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 Жыл бұрын
Ni kweli Jimmy anaona wivu
@iddyshaban9677
@iddyshaban9677 Жыл бұрын
Kabisa
@ssdd647
@ssdd647 Жыл бұрын
Usishangae ikawa kiki
@user-oq2wp8oh1f
@user-oq2wp8oh1f Ай бұрын
Haji umekoma
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
😂😂😂😂Masha kaona Kuna waamizi Anajishauwa kama anaweza kupigana kweli.
@billysavage9746
@billysavage9746 Жыл бұрын
Sema brother Mafufu unamaneno sana yani wasije waka jikany’aga warembo unaletea shobo masela
@carenbryton1606
@carenbryton1606 Жыл бұрын
Kha hadi dunia ije kusimama tutaona mengi Mungu atusaidie sana
@MrsgloryPacian-yl2qr
@MrsgloryPacian-yl2qr Жыл бұрын
Jimmy anampenda Masha ndio maana wivu kibao.anaumia Sana kumbuka akiwa karibu.
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Manara mshike ivyo ivyoo, sikuogopii😂😂😂🤣🤣🤣 we Jimmy weeee huo ndo wivu sasa ulonao kwa masha 👌😜😃😃😃😃
@marthaadammakatobemwakatob4246
@marthaadammakatobemwakatob4246 Жыл бұрын
Nimecheka mpaka machoz🤣🤣🤣 Masha unapiga kichwa unaanguka mwenyewe , nawe mnyakyusa utikupilika ugwe halafu wanapendana hao
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 Жыл бұрын
Loo ramazan yote allah atupe mwisho mwema nitakutandika na maziwa yangu jamaani masha hm
@everlynkimaro40
@everlynkimaro40 Жыл бұрын
Hizi kiki hizi🙌🙌🙌🙌
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Жыл бұрын
😂😂😂😂nawapenda sana nyote nimecheka sana ❤❤❤
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
🤣🤣
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Mimi ni Mama hapo Masha anamponda sana Mafufu hapo yataisha nawatakaa sawa kabisa🤣🤣❤️🔥🙏🙏🙏🙏
@omarymasanja4587
@omarymasanja4587 Жыл бұрын
Sikiliza vizuri utasiki masha anamuita mafufu baby😂🙌
@ashazuber6548
@ashazuber6548 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Жыл бұрын
TV namba 1
@naymar8823
@naymar8823 Жыл бұрын
Nilichogundua ni kuwa jimmy Bado anampenda sana Masha😂🙌
@rashidywandwi1543
@rashidywandwi1543 Жыл бұрын
Manara utakua umetukosea heshima sana mwendelezo usipokuwepo👌👼
@umubyeyisandra
@umubyeyisandra Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mvfff7224
@mvfff7224 Жыл бұрын
Nitampiga kichwa uy😅😅😅 wakat umeshikwa !! Masha love oyeeeee❤
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
😂😂😂😂kampiga kichwa 😂😂😂
@wardatwaha3334
@wardatwaha3334 Жыл бұрын
😅😅😅😅eti nitakupiga Tama la maziwa Masha bhana
@1salema1
@1salema1 Жыл бұрын
The best interview ever
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Et niachane nimmalize hyu,jmn masha una mbwembwe sasa utamuweza mwanaume jmn
@Suzylovette
@Suzylovette Жыл бұрын
Tunawataka tena jamani ebu walete tena kwa interview😄😄😄😄😄😄
@faridamohamed8322
@faridamohamed8322 Жыл бұрын
Hii interview sitaman hata iishe jaman hakuna part 3
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
😂😂
@hassanndayishimiye4753
@hassanndayishimiye4753 Жыл бұрын
Manara aliye kufungiya anafanya sis tunapata raha kabisa
@khondwanijere1643
@khondwanijere1643 Жыл бұрын
Esmar yuko singer
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Nyie hii manara TV imevamiwa Hadi camera zimevunjika SASA tungoje jina kusikia Tu JB katajwa nikagundua tunachezwa ni filam hii💯💯💃💃🔥🔥
@maryamhilal9820
@maryamhilal9820 Жыл бұрын
Jimmy unawivu wewe😅😅 alafu hao unaowatag si wana wake zao jamani😅
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 Жыл бұрын
Wanawake walojaatele ukenda kutafuta vichaa mtu unamkewo kazieno umalaya tu munawazalilisha wakezenu mtu kaka ndani katulia munapita mukiangaikatu nawawake wasojielewa wacha yakukute
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
Maxha😂🤣😅 kaxhindwa kufurukuta kwa mwamba😂
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂yani nimeipenda iyi mpaka imenitowa stress ya mwarabu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@matekerekurwijira1576
@matekerekurwijira1576 Жыл бұрын
Manara nilikuwa nimekukataa kutokana na shobo zako lkn kuanzia leo nimekukubali tena , hii blog umebuni sana
@yusuphmakhahala6570
@yusuphmakhahala6570 Жыл бұрын
Brother Manara piga interview na hawa kwa mwezi mara 20 tupate uhondo😂😂
@maryamhilal9820
@maryamhilal9820 Жыл бұрын
😂😂😂
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 Жыл бұрын
😅😅😅hhhhh
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Aki
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@hazimamohammed1340
@hazimamohammed1340 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zuhurazuh516
@zuhurazuh516 Жыл бұрын
Mm sipendi Kucoment ila nimeelewa kuwa Masha Anajutia Kuwa na Mafufu ila Mafufu anampenda Sana Masha Pia Ako na Wivu mnoo juu ya Masha Hvy tu tu Ndio mana Mara Kumbuka Mara JB Mara hv hvy tu yaan
@chrissthedon3863
@chrissthedon3863 Жыл бұрын
Hapana we huoni masha anasema awez kuachwa
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
😂😂😂😂 ila Masha na mafufu wote akili zawo zinafanana
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 6 ай бұрын
Alafu hawa ndugu
@yoramswagala6715
@yoramswagala6715 Жыл бұрын
Manara mshike vivyo hivyo Wala simuogopi😂😂😂😂
@jamalamon5846
@jamalamon5846 Жыл бұрын
Hapo mm nimecheka sana
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
Hahahaha huyu Dada amenichekesha jamani
@Kevworx
@Kevworx Жыл бұрын
Jimmy nakubali mzee baba ila uliuvamia mtumbwi wa vibwengo mzee uliyakanyaga sikiliza ushauri wa Shamsa Ford
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga Жыл бұрын
Masha anasema ana wanaume zake wanajielewa yaani sio mmoja. 😂😂😂 Dah kweli wanaume tunapigwa mshikaki🔥🔥🔥
@jumamnyampanda6133
@jumamnyampanda6133 6 ай бұрын
😂😂wakutosha
@arafatmiraj9926
@arafatmiraj9926 Жыл бұрын
Umeweza sana ,manara
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Bro Haji Manara interview ijayo tunaomba umuite Rushaynah ufanye nae mahojiano itapendeza sana..😅
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dianerditto
@dianerditto Жыл бұрын
😀😀😀🤣🤣🤣🤣
@naymar8823
@naymar8823 Жыл бұрын
Mbona kodi inaisha kesho kutwa unanifanyia jeuri🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@peternyambo1439
@peternyambo1439 Жыл бұрын
MANARAAAAAAAAAA DAH! OK BRAZA HAPA UMEUA MCHANA NA USHAHIDI UPO!
@yussuphnassoro3434
@yussuphnassoro3434 Жыл бұрын
Anae subili rushaina na manara kuojiwa kama ivi gonga like
@chichiereyh
@chichiereyh Жыл бұрын
Jimmy anampenda sana masha😂😂🙌🙌🙌🙌
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Жыл бұрын
sana 😂😂
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
Masha ndy anamuelewa jamaa xana
@mwajabujumanne9025
@mwajabujumanne9025 Жыл бұрын
N vle tu masha hana akili
@asmahomary4052
@asmahomary4052 Жыл бұрын
jimmy amelowa Kwa Masha na ana wivu hatar🤣🤣
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Жыл бұрын
Ndio
@iddimparange1006
@iddimparange1006 Жыл бұрын
Noma sana
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Жыл бұрын
Masha anampenda sana mafufu hayupo tayari kuachika
@nunuuali5316
@nunuuali5316 Жыл бұрын
Haya toweni hio filam itakuwa nzuri
@adamsilumbe8356
@adamsilumbe8356 Жыл бұрын
Hii manara TV haina muda mrefu kufungiwa. 1) inakosa maadili 2)mahojiano hayo na kurushiana maneno machafu. 3)manara mwenyewe badala ya kusuluisha ndio anazidi kuchochea 4)pia kutaja majina ya celebrate wasiohusika pia ni makosa. Namengine mengi. TV hii isipokua na maudhui mazuri bro manara utaikosa hii online TV yako
@user-co3yk5jl6b
@user-co3yk5jl6b 5 ай бұрын
Mungu akubariki kaka manara nimeongeza siku 😂😂😂😂😂😂 i love u masha
@barakamasai2397
@barakamasai2397 Жыл бұрын
Masha ravu
@mshindochanga902
@mshindochanga902 Жыл бұрын
😹😹😹 Esmah Yuko Singali
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Жыл бұрын
Ila Masha❤️🔥🔥🔥🤣🤣
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 7 ай бұрын
Yani
@magigemwita9880
@magigemwita9880 Жыл бұрын
Nimecheka sana duuu😂😂😂😂😂😂
@rhoidakalinga3043
@rhoidakalinga3043 Жыл бұрын
Mafufu bado anampenda masha mtu ukiwa umpendi uwez mwonea wivu
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 Жыл бұрын
Hawa wanapendana Sana tena Sana mungu awabariki
@christianmenas9528
@christianmenas9528 Жыл бұрын
Ni kweli mapenzi ya kweli ndo yalivyo. Wanapendana sana hawaa..😅
@alicekisanga8004
@alicekisanga8004 Жыл бұрын
❤❤❤
@MiliamNeneka-us5ks
@MiliamNeneka-us5ks Жыл бұрын
Yaan wanapenda wote 😁😁😁hawaaa wote awapinduki
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 Жыл бұрын
Blo ulikosea sana ivi hukuwaona wanawake unaibika mtandaoni ivi sema mapenzi upofu duu aibu hii
@puridangote2701
@puridangote2701 Жыл бұрын
Make kwanza ncheke🤣🤣😂😂😂😂
@edislauskambona6524
@edislauskambona6524 Жыл бұрын
Hii top interview
@shebbymazua8216
@shebbymazua8216 Жыл бұрын
Daaah😂😂😂😂😂😂😂mshike ivo ivo simuogopi daaah
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@myseramatamu7409
@myseramatamu7409 Жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃 hizi ndio interview za kuongeza siku jamaniiiii
@maryammaryam1560
@maryammaryam1560 Жыл бұрын
Masha love kawachanganya nama ziwa yake jamani nawe Masha love fanya uolewe kama wanakupenda kweli hao wanakuchezeya tu maisha fanya ujIkowe
@mwajabujumanne9025
@mwajabujumanne9025 Жыл бұрын
Mafufu 🙌🙌🙌
@happinessandrea2118
@happinessandrea2118 Жыл бұрын
Eti na huyu nae mume wa mtu,,,
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 Жыл бұрын
Mke wake anamtihani msito sana huyo mwanamke Kwa kweli daah!!
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Жыл бұрын
😂😂😂😂Manara mshike ivo ivo simuogopi. Masha leo🙄🙄🙄Esma yupo singal😅😅😅😅
@aminayafat6706
@aminayafat6706 Жыл бұрын
Mafufu a napenda masha bhn yote hayo yann😂😂
@amerjuma4574
@amerjuma4574 Жыл бұрын
Jamani nauliza hii action ni move au nikweli wapo serious?
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 ай бұрын
ZA COMEDY
@officialidakeys
@officialidakeys Жыл бұрын
Mafufu bado anampenda saana Masha anashidwa kumuacha ila tuuu ataki kusema ukweli Wanaume bhana Duuuuuh
@scollantandu2350
@scollantandu2350 Жыл бұрын
Mashaaaa jamani unaweza kupigana na mwanaumee 😭
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 makubwa kweli
@sidyhamza
@sidyhamza Жыл бұрын
awamachiiziiii awaaah wanapendanaa
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
myamba y juu kusini tupo apa
@maggiebrian2592
@maggiebrian2592 Жыл бұрын
Manara mshike hivyo hivyo simuogopi 😂😂😂😂😂
@bekokamendu7687
@bekokamendu7687 Жыл бұрын
Mkuki kwa Nguruwe, Hadji Manara nae apatanishwe na Rushayna live hapohapo Manara TV.
@kassimhashi49
@kassimhashi49 Жыл бұрын
Anampenda sana masha
@salehemsumi615
@salehemsumi615 Жыл бұрын
Hapo kati yao kuna mmoja anajuta kuwa na mahusiano na mwenzio.
@slaykingthestar4465
@slaykingthestar4465 Жыл бұрын
hela zako sasa tafuta zakooooo nawew ujifunze kutoa hizo elf tano tano😂😂😂😂😂
@mpozenzidavid4801
@mpozenzidavid4801 Жыл бұрын
Yanii iyi Kali saana manara uko juu
@stelayunami7779
@stelayunami7779 Жыл бұрын
😁😁😁natamani wangekuwa mke na mume ndo ingekuwa raha zaidi,,wamenifanya niongeze siku za kuishi walahi sijawahi kucheka hivi toka mwaka umeanza😁😁😁
@zenabali568
@zenabali568 Жыл бұрын
imagene😅😅😅😅😅
@ainsesseverest1136
@ainsesseverest1136 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂full comedy watu wanapendana zao😂😂😂
@annadaudi3114
@annadaudi3114 Жыл бұрын
Hivi mmeona alivo binuka na kiti hahahahaaa
@ohadyanderson4851
@ohadyanderson4851 Жыл бұрын
Pesa aliyopewa masha umeenda kiuhalali 😃
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
Duh kweli balaa
@superwomen6506
@superwomen6506 Жыл бұрын
Yani mshike hivyohivyo😄😄😄😄
@eunicephillip5347
@eunicephillip5347 Жыл бұрын
Hiii movie itakuwa kali sana
@nurumgunga750
@nurumgunga750 Жыл бұрын
Nimefurahi sana
@elizabethasajile9380
@elizabethasajile9380 Жыл бұрын
Mwamba wa nyanda za juu kusin si mchezo mashaa kasema hamuachi
@IssaNassir-tv6lh
@IssaNassir-tv6lh 5 ай бұрын
Hpa wengi haelewi huku kuhojiwa ni km ku shoot sinema ckuizi hpa yte ni malumbano ya kirongo n kiki tu video inatungwa watazamaji wengi hawaelewi mbn manara anachchea
@zaqiamhando6522
@zaqiamhando6522 Жыл бұрын
Hii couple tamuu😂😂😂😂
@superwomen6506
@superwomen6506 Жыл бұрын
Hapo kwa Jb 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@allymaliwata3583
@allymaliwata3583 Жыл бұрын
Masha kumbe kichaaaa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Dah Bora ungejenga nyumba Masha kuliko ulivyonunua gari,usingeteseka kulipiwa kodi
@maggiebrian2592
@maggiebrian2592 Жыл бұрын
Esma yupo singali
@kulatendaudi7671
@kulatendaudi7671 Жыл бұрын
Hawa wanapendana
@aziziabdulrahman3914
@aziziabdulrahman3914 Жыл бұрын
Haki Kawa mbeya mzeee
@husseinmjema85
@husseinmjema85 Жыл бұрын
Umetisha manara nimependa haya mahokiano
@aminaalphana2185
@aminaalphana2185 Жыл бұрын
Kumekucha singali haswa lkn masha jamani 😂😂😂😂
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 34 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
БУТЫЛКИ (смешное видео, приколы, юмор, поржать)
0:59
Натурал Альбертович
Рет қаралды 3,7 МЛН
Toothbrush Glove Hack !?
0:16
Dental Digest
Рет қаралды 10 МЛН
БУТЫЛКИ (смешное видео, приколы, юмор, поржать)
0:59
Натурал Альбертович
Рет қаралды 3,7 МЛН