MAMA MKWE AMEVUNJA NDOA YANGU

  Рет қаралды 25,033

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 197
@homeandaway2811
@homeandaway2811 3 ай бұрын
Mtangazaji MZURIIIII black beauty, very beautiful young woman ❤
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 3 ай бұрын
Mungu niekee mama mkwe wangu aishii maisha marefuu...Napenda tangu anipokee mpka leo miaka 10 ndoa yangu anaipigania sana😂😂😂😂😂isivunjike ila niseme ukweli mwanae ni pasua kichwaaa jamanii
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 2 ай бұрын
Hongela sana
@frankkessy1260
@frankkessy1260 2 ай бұрын
hongera umekutana na mtetezi
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 2 ай бұрын
C cho chote ila ni msemo unasema. NDUGU MTAMBILE USIMKALILE!
@TeddylameckTeddy-q5o
@TeddylameckTeddy-q5o 2 ай бұрын
Nilijua mwisho wako utaandika hivyo Mimi napendwa na mumewangu hatar ila mama mkwe pasua kichwa sasa kakutana na mm msukuma haaa ataomba pooo
@VictoriaZakaria-d3n
@VictoriaZakaria-d3n 2 ай бұрын
Mpende sana huyo ndiyo Mama yako
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 ай бұрын
Duh nimekumbuka yaliowai kunikuta😅 weee huu mziki uusikie kwa mwezio usihombe yakukute😂😂🤣🤣
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 3 ай бұрын
Huwezi kuishi kwa wakwe ukawa comfortable hata siku moja, ndo maana hata maandiko yanasema tutawaacha wazazi tutaambatana wenyewe tu. Mimi ndo siwezi upuuzi huu
@rajabhassan5665
@rajabhassan5665 2 ай бұрын
Lakini wazazi wako wakija kwa mumeo utawafukiza
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 Ай бұрын
​@@rajabhassan5665 Kuwafukuza sasa hicho ni kitu kingine tena, kwanini niwafukuze?
@ETt-r3e
@ETt-r3e 2 ай бұрын
Pole sana dada hayo ulopitia mimi pia nilipitia dada mimba ilitoka kwasabu ya tress na baada ya hapo niliachwa na huyo mwanaume na asaiv nipo na maisha yangu
@tausishabani263
@tausishabani263 3 ай бұрын
Nyie mnaosema huyu dada anamdomo hayajawakuta, mie niliolewa mkwe akaja kuugua kwangu hataki kulala kwenye chumba cha wageni anataka kulala sebleni kichwa anangalizia mlangoni maneno ndo usiseme wajuruo wakajazana kwangu yani nimajungu hatariii, nilipo choka niliaga naenda msibani nikaondoka mpk leo sijawahi kurudi napambana na maisha yangu toka niondoke now ana mke wa5 nani miaka 4 tu nyie ndoa mandugu ndo wanafarakanisha ndoa, kaa mbali na ndugu wa mume waje kutembea tu
@mickeyshaka
@mickeyshaka 2 ай бұрын
😅😅😅😅 yote ni yote ukweni pachungu panaitaji moyo ila mimi nataka no ya mganga sasa niwarekebishe wakwe😂😂😂
@starlily07
@starlily07 3 ай бұрын
Anaongea kama Munalove, sauti hadi kithembe😂😂
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Namshukuru Mungu, mama mkwe wangu alinipenda,ananipenda mpk leo mimi ni mzee , ananichukulia kama binti yake wa kumzaa... huyu hata kama kumjibu mumewe asingemwambia angemuoa mama yake, mh!..hapo hapana binti
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 3 ай бұрын
Pole Sana mwanangu , ila mm nilikuwambia kuwa hao watu wanatqbia mbaya sana shuba miti ao😂😂😂😂😂
@LinaLema-c1m
@LinaLema-c1m 3 ай бұрын
Kwa haraka haraka na ww mswahili sana unapenda maneno sana
@sophsoph4740
@sophsoph4740 3 ай бұрын
Kwakwer hata mim nimeliona ilo
@petypaty-o6o
@petypaty-o6o 3 ай бұрын
Heee😂
@HanipherHassan-i4d
@HanipherHassan-i4d 2 ай бұрын
Familia ya mume wanamtihan bas to mimi nilipata mkwe mpele saana msakin hakuongea ilikuwa shida mkwe mdogo na watoto wake weee nilivyo kuja kuondoka nikawa mzuri eti mtoto wao ndo mbaya hawa watu sijui huwa wanataka nn😂😂😂
@fatmamansour676
@fatmamansour676 3 ай бұрын
Nyie mnosema anamdomo ombeni yasiwakute
@missp-dv6qd
@missp-dv6qd 2 ай бұрын
Wewe ukasikilize chumbani kwa mama.mkwe wako unatafuta nini
@missp-dv6qd
@missp-dv6qd 2 ай бұрын
Huyu nae mmbea ndo.mana maneno.yanamfuata anatafuta mwenyewe
@devothaanthony8174
@devothaanthony8174 3 ай бұрын
Mimi kwenye ndoa hiyo sikai hata mwezi khaaa! Dada una moyo
@JanethMollel-wk5th
@JanethMollel-wk5th 3 ай бұрын
Tena moyo wa chuma loo!
@upendogreutert199
@upendogreutert199 2 ай бұрын
@@JanethMollel-wk5th😂😂😂😂😂
@asfarsham1468
@asfarsham1468 3 ай бұрын
Kiupande wangu sijaona ubaya wa kuwa ndo afanyiwe mada mamamkwe (ni ile mentality tu ya watanzania kuwa mamamkwe lazima apakwe matope). Nimefurahi muandishi alipomkomalia, akajibu kuwa kama wangekuwa hawakai pamoja wangekuwa wanaelewana uzuri. Hapo tatizo ni UMASKINI na KUKALIANA sio mamamkwe jamani. Tuwapendeni mama wa waume kama sisi tunavotaka wifi zetu wawaone mama zetu kuwa ni watu wazuri. Alamsik
@faidhasaid9605
@faidhasaid9605 3 ай бұрын
Huyu dada mzuri sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 ай бұрын
Aise imeniradhim niangalie mbaka mwisho mhhh pole sana malkia wa nguvu
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
Mganga tena🤣🤣🤣🤣 Basi mamkwe alkua mwanga Ndo mana hamkuelewana
@Seurisailepu
@Seurisailepu 3 ай бұрын
Kwenye safari ya bichi😃😃😃😃
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Wanawake karibu wote wana roho mbaya (isipokua mama mkwe wangu) na hizo roho huonekana zaidi akifikia kuwa mamamkwe😢 namaanisha , hivyo kila mwanamke akishakuza wanae wa kiume wakifikia kuoa wafe ili waolewaji wasiwakute...
@SemwaiyahAlly
@SemwaiyahAlly 3 ай бұрын
Ishi mbali na mama mkwe ,mawifi na mashemeji utaenjoy life ... *Sisi ni mama wakwe watarajiwa jifunze kukubali mwanao aanzishe maisha yake na ampendae *tafuta cha kufanya ili wakwe wasione kama mtoto wao anakutunza zaid kuliko wao *weka mipaka katk ndoa yao sio kila mtu anaingilia ndoa yenu anavyojiskia *jifunze kusulihisha ugomvi wenu wenyew usishitaki ukweni
@AshuraHemedi-w5o
@AshuraHemedi-w5o 2 ай бұрын
Kumbe we mgangaa ❤❤❤❤❤
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 3 ай бұрын
Uliyataka ukae na mkwe siopoa hao watu wanachoyo walio wengi nishida
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc 3 ай бұрын
Mimi niliachika hivyo hivyo .mume wangu afanyi kitu mpaka amwambie mama ake nilikaa mwaka mmoja tu ..
@rajabhassan5665
@rajabhassan5665 2 ай бұрын
Safi sana ndio inavyo takiwa
@missp-dv6qd
@missp-dv6qd 2 ай бұрын
Yani nioichokiona ni kwamba jamaa kaoa anakaa home kwahiyo huyu dada kakuta ndo utaratibu. Sasa mnakaa kwa mama manake wote watoto haijalishi nani anatoa.hela. mama kashazoe kupanga wanapika nini ila mngehama mkaenda kupanga kwenu wewe ungekuwa mama mwenye nyumba na kupanga budget zenu
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 3 ай бұрын
Mama mkwe wangu ananijali sana mpaka naona ninamsumbua, sipo comfortable kabisa.
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 3 ай бұрын
Shukuru sana MUNGU maana sio rahisi kumpata mama mkwe wa hivyo
@fatmamansour676
@fatmamansour676 3 ай бұрын
Hongera Sana sie tunaopitia mtihani huo tuongee dua
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
OGOPA KUOLEWA NA MWANAMME MTOTO WA MAMA.YANI LIWE TOTO LA MAMA AU BAKHILI.OGOPA😂😂😂😂
@zayhimid
@zayhimid 3 ай бұрын
Kuishi na mama mkwe sio kazi rahisi jmn mm Nina shangazi yangu alikuwa anaishi na mkwe wake akawa anamfanya kama mfanyakazi wa ndani mwisho wa siku yule wifi yangu alichoka akaamua kuondoka na kumwambia mumewe kama unanitaka hama kwenu tupange..basi babu akamsisitiza kaka yangu binamu aame na akaama kwa Sasa wanaishi kwa Amani ila shangazi yangu anamchukia mkwewe
@OmanBahla-d2p
@OmanBahla-d2p 2 ай бұрын
Dada yangu wa pili yalimkuta daaa ila baba yetu alimuweka ndani shemeji yetu na siku hiyo dada yangu alimudabisha mkwewe lkn mashallah mpaka Leo karibu miaka 27
@EvaWaziri
@EvaWaziri 3 ай бұрын
Sisi watanzania karibia nusu yetu,ukisikia ugomvi family inakaa pamoja chanzo ni chakula hivi ni kwann
@cdeleo9336
@cdeleo9336 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 umaskini
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 3 ай бұрын
Tunaopenda tuwe na mabwana wasio na mama gonga like😄😄😄😄😄😄😄😄
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
Mm wakwanza
@happinessemmanuel6336
@happinessemmanuel6336 3 ай бұрын
hii comment kama una mme asione utaachika wallah
@Jasminadamu
@Jasminadamu 3 ай бұрын
Natamani leo kesho ila sina namna😂
@BakariKibauri-qh7gf
@BakariKibauri-qh7gf 3 ай бұрын
Vip kuhusu kaka yako akimuoa mwanamke anaeyeomba mama mkwe wake awe amekufa ambae ni mama yako kiufupi tusiwaombee wazaz wetu dua mbaya bali ni vema kuelimishana sisi kama vijana kama umeolewa mshaur tu mme wako mkapange huko muishi maisha yenu
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂Tupo wafe mama mkwe
@mwanamnyika4085
@mwanamnyika4085 3 ай бұрын
Wanaume wa hivyo wapo pole kipenzi chetu
@didah4really93
@didah4really93 3 ай бұрын
Kwenye safari ya beach 😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 2 ай бұрын
hahaaa
@HareneKipande
@HareneKipande 2 ай бұрын
Wakati mwingine nawaza niheri niolewe na yatima kuliko hao wa mama wananyasa sana
@SophyClement-fu4ec
@SophyClement-fu4ec 3 ай бұрын
Yaani nachukia Sana mama mkwe duniani walaaniwe nakaa kwangu lakini ananifata kwangu nakunitukata ety nimemkalia mtt wake jmn
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 2 ай бұрын
Mwambie kumkalia Muhimu😅😅bila hivo hamtoboi
@deusdedith
@deusdedith 2 ай бұрын
Mama wakwe wengi wao sio n a mawifi na mashemeji sket ni ovyo wanakalia kuvunja ndoa za wenzao na wakati za kwao ovyo
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
WANAWAKE TUJIKIMU KIMAISHA AFU NDIO TUOLEWE
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 3 ай бұрын
Mume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe na mke ataacha baba na mama ataambatana na mmewe✍️so dada wewe ndo uliyataka kubaki ukweni ili🤷‍♀️but pole😂😂😂
@Kikungwi
@Kikungwi 2 ай бұрын
Hao ni Wakurya malinbukeni. Hapo dada hujaolewa. Hao ni wale watu wanaopenda ku bull wenzao. Hiyo familia ya ovyo sana. Wakurya hawajui kupiga magoti. Tafuta ndoa dada sio hapo. Kuna mama wa Kikurya huwa na roho cheusi kama masizi. Kaa mbali sana wanaweza kukudhuru.
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
Shemeji hyo noma Ka mwanamke😂😂😂😂
@madammbago9787
@madammbago9787 3 ай бұрын
Bwana weeee me bora niskie mama mkwe kafa naiman ndoa yng itakuw saw lakn wakwe wa xx ndo wanatufny tuonekane wabay wana midomo wana wivu bdala ya kudeal na waume zao wanadil na watt wao wa kiume sijui wana mapepo gan ukinunuliwa dera anaona wiv ukipew hel anatka na yy apewe uchonganish xx mwanae hakosei ww tu ndo mkosaj ahhh wallah bora nipate yatima wang tufarijiane kuliko mwanaume mweny mama
@ZuhuraHamadi-py4cu
@ZuhuraHamadi-py4cu 3 ай бұрын
Huyu dada hana baya lkn hakuwa sehemu sahihi
@ValeriaYoke
@ValeriaYoke 3 ай бұрын
Mimi ni mkurya pia ....kosa lako wew ni kuruhus mama mkwe akutawale na hao mawifii..ulitakiwa ukatae mazoea..yaan ulitakiwa uwaambie hutaki mazoea kweny ndoa zakooo...mim wakurya nawajua vzr japokuwa sijaolewa ila naona Jin's tunavyoishii..yaan unakuta hat mtu ndoa yake immemshinda anajiburuza kwao tuuu..hapo anatak akuharibie hata yakoo
@AffectionateFountainPen-kk1mx
@AffectionateFountainPen-kk1mx 2 ай бұрын
Ogopa san mwanaum anaepelekwa pelekw n familia yake kam lobot😂
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 2 ай бұрын
Akili zangu Bora nimeolewa Europe hakuna extended family nisingeweza hizi drama
@ZahraLyene
@ZahraLyene 2 ай бұрын
Allah awape kauri thabiti wakwe zangu
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 3 ай бұрын
Huyo bwana amuoe mama yake au dada yake kwa kuwa wamezaana watakuwa na adabu walizofunzana.
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 2 ай бұрын
Kabisa
@madammbago9787
@madammbago9787 3 ай бұрын
Wakwe washenz sana mm nliplk kes kumbe nasemw nyuma yana wapumbav sana
@LinaLema-c1m
@LinaLema-c1m 3 ай бұрын
😂😂mtu ana kutoa unamaliza mwaka ajui kwa mama tako😢😢😢
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 ай бұрын
Mume ndie mbaya, mama ndio akapata njia ya kudhalilishwa huyu msichana
@WelimaAdonias
@WelimaAdonias 3 ай бұрын
Mama yang ameolew na wakurya lkn mashangaz wang na Bibi yang awap ivyo
@Hapygideon
@Hapygideon 3 ай бұрын
Wahanga tujuane😂😂😂😂sasa nyie mnaokurupukia ndoa mnatamani hadi waume wa wenzengu kitawarambaa
@asmahabdallah1402
@asmahabdallah1402 3 ай бұрын
Wahanga tujuaneee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Hapygideon
@Hapygideon 3 ай бұрын
@@asmahabdallah1402 ndoa hizi🤔🤔🤔🤔
@annajoseph9955
@annajoseph9955 3 ай бұрын
Mim mama mkwe wangu ni rafiki angu hakua na baya ,, endelea kupumzika mama angu
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 3 ай бұрын
Mimi jamani cwapendi ndugu wa mume wote, hata wakifiwa c endagi micba Yao
@Emmy-w2c
@Emmy-w2c 3 ай бұрын
Wananongwa mnooo
@queenlinda255
@queenlinda255 3 ай бұрын
Pole wengi wako ivyo
@upendogreutert199
@upendogreutert199 2 ай бұрын
@@queenlinda255kwa kweli ndugu wa Mume hizi tabia ni kila mahali sio TZ
@Roqua-hs3qf
@Roqua-hs3qf 3 ай бұрын
Umeyataka😂😂😂😂😂
@upako4598
@upako4598 3 ай бұрын
Dada ndugu mzuri I Ukiwa mbali yalinikita
@agnesignas4398
@agnesignas4398 3 ай бұрын
Jmn siku zote tujuwe ndoa ni ya Watu wawili. Hayo yote yalitokea kwa sababu ndoa ilikuwa ya mwanaume huyo, mke, mamamkwe, dada , na mashemeji. Shida iluanzia apo😢😢😢
@LinaLema-c1m
@LinaLema-c1m 3 ай бұрын
Ulifanya kosa kubwa sana kuondoka na mimba bila kuwaambia wenye mimba jua Kuna sehemu unakosea hata ww
@Kikungwi
@Kikungwi 2 ай бұрын
Anakuchukia kwa sababu mwanae alivyokuwa anakupiga mama yake mzazi alitaka uwe na ukaa tu hasa pale anapokuwa anakupiga…
@Jascaevaristo
@Jascaevaristo 2 ай бұрын
jamn Shemeji 😂😂😂😂
@NasraOmary-r8u
@NasraOmary-r8u 2 ай бұрын
niambie shemej
@missp-dv6qd
@missp-dv6qd 2 ай бұрын
Muiteni na mam mkwe mbalance story kwa maneno ya huyu dada inaonekana na yeye anashida
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 3 ай бұрын
Mwanaume ndo alikuwa tatizo, maana huwezi kumwachia mama yako hela ya kula na mkeo yupo, ukishaoa basi jua umekua sio kila kitu lazima mama yako akijue ndo mwanzo wa kuoneana wivu na akina mama mkwe mbona baba mkwe huwa hawatajwi sana kwenye hizi kash kash😅
@fatmamansour676
@fatmamansour676 3 ай бұрын
SSA kwangu Mie mpk Baba mkweo kaingia kati sahv wananichukia ajabu kosa wanatqkankiwaendesha watto wao wabkiume ila Mie nimegoma kuendeshwa awaendehse wanawe Tu
@frankkessy1260
@frankkessy1260 2 ай бұрын
kuna familia nyingine mama mkwe ndio sterling wa familia
@aishawhite1107
@aishawhite1107 3 ай бұрын
Huyu Dada mimi namuelewa Sanaaa maana hata mimi nilupitia hayo japo ni kwa mda mfupi Sana ila mama mkwe mimi kuishi naye hapana jamani
@rajabhassan5665
@rajabhassan5665 2 ай бұрын
Na ww ukishakua mama mkwe mwambie mapema mtotoako akuache
@NeemaseverineSerinesoka
@NeemaseverineSerinesoka 3 ай бұрын
Dada ana moyo huyu Mimi siwezi Yani ningeshaa move on siku nyingi
@ModesterPetro
@ModesterPetro 3 ай бұрын
Duuuh mama wakwnashida gan
@ggfffhii4706
@ggfffhii4706 3 ай бұрын
Ndio mana nilikubali mume hana mama dada baba wara kaka mana ningepelekwq police
@Fatmashilinde-nu4fj
@Fatmashilinde-nu4fj 3 ай бұрын
mwana ume alikuwa hana akili pia alikuwa na akili za kushikiliziwa na familiar pia hana musimamo kama mwanaume pia pole kwa kuvumilia siku zote mwanaume kushikiliziwa akili na familiar nishida
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 2 ай бұрын
Wenae mmbea unayatoa huku nayaleta kule ukiamua kuolewa kwenye family kubwa lazima uchunge mdomo saaa umeambiwa kitu narafiki wa shemeji tena unayamwambie mumewako basi kua namsimamo umbea mwingi
@maxmiliankoga2711
@maxmiliankoga2711 2 ай бұрын
Huyo dada Hana adabu kabisa Ndio maana alikuwa hatakiwi hapo huwezi kumtusi Mumeo hivyo
@NasraOmary-r8u
@NasraOmary-r8u 2 ай бұрын
ww ndio huna adab huwez kucomnt usenge ambao huujui kuma ww
@MarryGabriel-w8v
@MarryGabriel-w8v 3 ай бұрын
Wakurya bhana😂
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 3 ай бұрын
Sio watoto 2.hata huyo mama ndio mwenye makosa zaidi. aolewe na watoto wake. Mpuuzi mkumbwa.
@BonfaceNyamawi
@BonfaceNyamawi 3 ай бұрын
Sio mama mkwe wote wako ivyo
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 ай бұрын
Mamkwe hilo ni lichawi.
@ETt-r3e
@ETt-r3e 2 ай бұрын
Hata mim yamenikuta jamani
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 3 ай бұрын
Huyo mama mkwe wako mchawi anatembea na mwanae. Ajapenda wewe kuwa na mwanae
@DevotaKatumba
@DevotaKatumba 3 ай бұрын
Du haya maisha anayapitia shoga yangu
@la-ry1ms
@la-ry1ms 3 ай бұрын
Huyu mwanamke ana kelele sana
@leilathydidy6058
@leilathydidy6058 3 ай бұрын
Kama wewe ni mwanamke Muombe Mungu akusaidie
@missp-dv6qd
@missp-dv6qd 2 ай бұрын
Ukioa toka nyumbani
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 3 ай бұрын
We ulianzaje kukaa ukweni koma
@PaulnaPeradus
@PaulnaPeradus 2 ай бұрын
Mmenikubusha mbali daaa isiombe
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 3 ай бұрын
Huyo mwanga na mwanga tena. Ana kuchukia kwa kuwa mwanae ni hawara yake
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 ай бұрын
Mwandishi na wewe mtoto wa mjini 😂😂eti MSUNGO maana yake nini
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 3 ай бұрын
Pole dada
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 2 ай бұрын
Shida ilianzia alipokataa wasipange Kwanini muishi ukweni?????
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 ай бұрын
HAKUKUWA NA MAPENZI APO,,ALAFU DADA SEMA UKWELI KUNA MAMBO UNAFICHA,,NA JAMAA NAE ALIKUWA 0
@NasraOmary-r8u
@NasraOmary-r8u 2 ай бұрын
Mengi sana kaka
@bakarimohammed9851
@bakarimohammed9851 3 ай бұрын
Ila Kuna watu wa ovyo duniani 🤔
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 3 ай бұрын
Hao wakurya wanatakiwa waoane wenyewe kwa wenyewe
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 2 ай бұрын
Hiyo haikuwa ndoa
@missp-dv6qd
@missp-dv6qd 2 ай бұрын
Sasa mganga unapataje tabu na mumewako
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 ай бұрын
Yaani nyumba ni yangu,halafu mbwa xile xitawale kwangu? Ningeyafukuxa km mbwa mbwajixi
@eunicembaga4976
@eunicembaga4976 3 ай бұрын
Kila mtu NI mama mkwe mtarajiwa tuwapende wakwe zetu jamani
@WitnessKimaro-sx3rj
@WitnessKimaro-sx3rj 3 ай бұрын
Mama mkwee hapn kwa kweli pole Sana yalishanikuta Kam hayo
@florakimaro-vw7qj
@florakimaro-vw7qj 3 ай бұрын
Sasa kama wewe ni mganga simfunge mama mkwe wako asikusumbue
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
MAMAANGU MKWE POPOTE ULIPO NAKUCHUKIA NDO MANA UMEPEWA VIJICHO VIDOGO KA MBEGU ZA UBUYU NA MIGUU MITENDE.WAZARI MIGUU MIWILI WAKO MMOJA.😂😂😂😂😂KANIHARIBIA NDOA YANGU😢
@leilathydidy6058
@leilathydidy6058 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@bijou5038
@bijou5038 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@veronicahlusekelo5205
@veronicahlusekelo5205 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 3 ай бұрын
😊😊😊😊😅😅
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 ай бұрын
OLEWENI NA WANAUME WASIO NA WAZAZI. HAIWEZEKANI MAMA MKWE AKUONE UNAMTAWALA NA KUMTESA MWANAE KISHA AKUACHE! UJINGA MTUPU. UKIOLEWA KUWA MPOLE ILI MAISHA YASONGE.
@AishaBakari-qc5to
@AishaBakari-qc5to 3 ай бұрын
Mimi ukweni kama akuna mkwe na wifi naishi lakinipakiwa na heka heka hapana😅
@Moha-l3c
@Moha-l3c 2 ай бұрын
Hee mganga... siwezi oa mganga weee Tanzania hapana hata wanawake wa Tanzania tunawaogopa sana wuee! Ukioa mganga siatakuroga 😂😂
@lukasimhesi9929
@lukasimhesi9929 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 3 ай бұрын
ndo maana mimi huolewa na mwanaume ana mama siwezi
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 3 ай бұрын
Wakati uwo ww Mama yako akiwa wapi Labda 😢Iyo niroho mbaya Mazazi wa mwenzio ni wako aijalishi ana mapungufu Gani km mume ana muheshimu mama yako kwann mama wa mume wako usimuheshimu Ndoa zinachangamoto sana sana ila msifike hatua ya kusema eti sipendi mume mwenye mama 😭😭 Mungu aendelee kuwatunza wazee wetu
@NeemaGrace123
@NeemaGrace123 3 ай бұрын
kuwa watu wana pitia mengi
@PendoOscar
@PendoOscar 3 ай бұрын
Dada utapewa mimba alafu uwachwe ndugu kua makin
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 3 ай бұрын
agemuoa mama yake.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН