JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@Nagmah-gf4lp10 ай бұрын
Makonda hongera kwa bidii na kazi njema
@estellemwai540210 ай бұрын
Makonda katika ubora wake 💯❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@IsayaPaul-qq2li10 ай бұрын
Makonda piga kazi baba mungu akubariki
@RobbyMukonjero-rp5gt10 ай бұрын
Magufuli anerudi,that is very good
@angelanaftael796510 ай бұрын
Mama yangu ametumika miaka 30 ya enzi ya nyerere hadi mwinyi, aliambulia m3, na amekufa kwa depression alisumbuliwa na ofs zote kuanzia elimu, waziri mkuu hakuna kitu
@JeremiahMwakanyamale10 ай бұрын
Mimi nashangaa sana,, hayo ndio matatizo yaliopo ndani ya serikaliyetu,haikuonekana mkiyatatua muda wote!! Saizi Kuna Nini?? Tulishajizoelea siye..hizi mbwembwe zakujifanya mmekuwa wema saizi,nikutupumbaza2 watanzania nabaada yahapo kunakitu nyuma ya pazia...acheni kufanya viinimacho.mnayakujibu Kwa mungu.
@Misheckkazilist-cv2hb10 ай бұрын
Kweli😢
@ReginaldAplonary10 ай бұрын
Nakuona ukifika mbali sana mkuu
@joycekalago53210 ай бұрын
Makokonda anajibu amina kwakweli anabarikiwa sana
@jumakubili151210 ай бұрын
Tanzania tuweke wizala ya malalamiko na wazili wake awe makonda maana wataanza wanaonewa sana na sehemu ya kupeleka malalamiko Yao akuna, alikuwa mwenda zake na Sasa ni makonda.
@astrinomgesi-np5xv10 ай бұрын
Barikiwaa mkuuu
@mungholomakalanga895810 ай бұрын
Yesu wa Ekaristi aendelee kukuongoza Sema kweli daima fitina kwako mwiko
@AndulileNdasalama10 ай бұрын
O 5:11o 6:32ko
@AndulileNdasalama10 ай бұрын
Pm
@AndulileNdasalama10 ай бұрын
Ol P Okk😅 op L😅
@edisonpeter389410 ай бұрын
Halafu unakuta mpumbavu mmoja anasema makonda asiendelee kusikiliza watu. Safi sana Makondaaaa
@mayaally251210 ай бұрын
Analiwa yule mama na mapaka
@ruqaiamohammed34510 ай бұрын
🤣🤣🤣🙌🏿🙌🏿🙌🏿@@mayaally2512
@aminielabraham10 ай бұрын
Makonda angalia mbele usiangalie pembeni kwanza Mtangulize Mungu, na umalize na Mungu hatakuacha 3:28
@DicksonIgnas-pq1rj10 ай бұрын
Yule mama namashakanae kama anafasi yoyote selekalini wamuondoe hafai kutumikia wana nchi mfungo nao wawe paka
@onelovetz793510 ай бұрын
Tuko pamoja apamdanie wananchi makonda oyee
@ruzindazajonas850610 ай бұрын
Hivi? Kama kiongozi anakataa kulipa watu pesa yao na ni mali ya sarekali sio ya mfuko wake, anakua na lengo gani kama sio rushwa.
@neemanziku540310 ай бұрын
Mama Samia huyu makonda ni mtu muhimu ktk Tanzania tunataka viongoz bora kama Makonda
@israelmhada728510 ай бұрын
Yupó poa xana
@MwanaishaSiri5727 ай бұрын
Kabisaa
@mwanamwendy926510 ай бұрын
Safi sana baba
@clrarasekuza5 ай бұрын
Mungu akutunze kwa dumu ya Yesu
@lucaschipanga446610 ай бұрын
Kaka makonda juwa watanzani Wana kuamini wasaidie wanyonge mungu atakuripa kwakira njambo
@robertnkaragano29810 ай бұрын
FANYA KAZI comrade MAKONDA!! Aisee nakutabiria mbali sana
@OmanOman-dn6dj7 ай бұрын
Baada ya Arusha nimerejea kufatilia yote hadi dar makonda nimeona utakuwa rais baadae
@godwimmkolomi89889 ай бұрын
Uyu mwamba apangiwe utalatibu mzuri zaidi ili awafikie watu wengi anaweza kulinda nakutafuta kura nyingi kwa wakati mmoja na peke yake uyu jamaa ni jeshi la mtu mmoja ni mbunifu anakipa heshima chama aongezewe uwezo na mbinu zaidi huu ni ubunifu zaidi
@aminielenock205010 ай бұрын
Nakuombea kwa mwenyezi MUNGU akulinde sana mkuu ❤
@philemornmutta159710 ай бұрын
Mnawapangia watu walime nini kwani mnawajua mahitaji ya familia zao kweli hii siyo sawa.mnahisi kama angepandisha Mori km Masai kingetokea nini?
@MatridaBenny10 ай бұрын
Mungu akusaidie mkuu utafika mbali. Upo kama magufuri mungu fundi kwakwer
@FadhilaMwidini8 ай бұрын
Fundi kweli kweli anatoa analeta Allah akutunze
@SophiaSenkoro10 ай бұрын
Hongera makonda Kwa kazi nzuri unayoyafanya na mama
@TegemeaSanga-d6r10 ай бұрын
Hapo kazi tuu mtu wa Mungu.
@geraldmakalala609110 ай бұрын
Makonda anafaa kuwa Rais kabisa
@LilyMwalugaja3 ай бұрын
Serikari. Mngelitazama hili. Hao watendaji. Hawana kazi. Yoyote. Ila mwenye kiti wa mtaa ndio anathamani. Kubwa sana na. Anastahiri. Kupewa mshahara.
@MurulaAhmadi6 ай бұрын
NARUDIA TENA MHESHIMIWA MAKONDA MWENYEZI MUNGU AKUPEMAISHAMAREF
@StellaGurusya10 ай бұрын
Naomben jaman namba za makonda Mimi pia nimsitaaf
@NemerikaIekoko6 ай бұрын
Pole makonda utakiwa upewe mkoa wa tanzani
@IsaiahWanjala-wg5tv2 ай бұрын
I shoder how u u can cut down maize food but anyway congratulation makonda for what your doing god bless u
@nashonkibayayu377610 ай бұрын
Nakushukuru mheshimiwa mwenezi C.P. makonda.maelezo Yako no darasa Bora.
@fuhuruffelix56829 ай бұрын
Kiongozi bora sana
@syliveriuszaverius23476 ай бұрын
MUNGU akutunze mkuu 👏👏
@MkayulaDavid10 ай бұрын
Makonda weye noma aisee
@SaidHassan-wz1px10 ай бұрын
Unafaa Kua Waziri Mkuu amini Kaka mm nakuombea San
@liverpoolfootballclub99856 ай бұрын
Mwenyekiti wa CCM uko vizuri
@FadhilaMwidini8 ай бұрын
Ila Makonda unawasikiliza watu san hogera kaka
@franktibwita22810 ай бұрын
Makonda piga kazi binafsi nakupenda mwambie rais nampenda sana ila kama unaweza naomba mtaji million 5 nifanye biashara naitwa frank tibwita Frome mwanza
@rashidisaidi853510 ай бұрын
Njaa izo
@madam-florensialutego10 ай бұрын
Namuona Rais wa mwaka elfu 2031
@ElizaMolle9 ай бұрын
Makonda mungu akuzidishiye miyaka uzidi tu kuwateteya wanyonge
@MurulaAhmadi6 ай бұрын
MIKUU WA MKOA ARUSHA MAKONDA MUNGU MAONO YA HEKIMA KWA KUTUA MATATIZO YA WANANCHI KWA UTURIVU MWENYEZI MUNGU AIBARIKI KHEKIMA ZAKO
@ExplasiaNgasoma10 ай бұрын
Uje na mkoa wa DSM tunateseka
@atugonzalugemalila51429 ай бұрын
Ninachokiona mnazunguka mbuyu lkn kinachotutesa ni katiba leo hii chama kinafanya kazi ya serikali
@kgmbara310910 ай бұрын
Kama namwona rais makonda
@aminimushi694510 ай бұрын
Hao ndio wateule wa Rais,tatzo hilo lipo wilaya nyingi watu wanahamishwa,watu wanastaafu kwenye Halmashauri hizi hawalipwi haki zao.
@dorahmushi-we6ts10 ай бұрын
Makonda 🙏🙏
@IbrahStaneliy-g7s10 ай бұрын
Safi sana
@petermarco865610 ай бұрын
Ccm ni wasanii sn wameona waanze na hili la makonda kujifanya anatatua matatizo binafsi kama vile magufuli lkn hana uwezo,ni kurudisha japo matumaini yaliyopotea lkn hamna lolote
@machilafaustin947310 ай бұрын
Kwa upande wako unaona hao watu hawasaidiwi
@mussakeston57686 ай бұрын
Ukiona huwez kutoa coment acha
@RobertKatende-l6w10 ай бұрын
Daaaah Makonda hana tofaut na Hatati maguful
@EmmanuelGabriel-xq5ym7 ай бұрын
Makonda nimekukubali.nmekutabiria mbali sana unasaidia wana nchi
@zainabumohamedy69885 ай бұрын
Safi Sana makonda.
@nishaabdula501510 ай бұрын
Mwenyekiti ni mtu mzur mana ni mkweli tena wnafyeka adi nyumba
@DanielSamatembo-ks3vl8 ай бұрын
Viongoz hawana akli ao
@athanassimbila260310 ай бұрын
KUMBE HAYATI MAGUFULI AMEACHA MITUME NA MASHAHIDI.MUNGU NI MWEMA.
@gaagwasaugustino258410 ай бұрын
Ngoja uchaguzi uishe mwakani uione hiyo mitume Tena ? Wananchi mnadanganywa sasa hivi uchaguzi ufanyike muiunge mkono ccm kisha mwendelee kulia kilio Cha mbwa kwa migao ya umeme,maji, mafuta vitu bei juu! n.k. sasa ngoja mdanganywe vizuri hamsomi nyakati ccm ilishasoma nyakati ndiyo sababu imekuja na Makonda sasa hivi na hizo ndiyo njia za kuivusha ccm kwenye uchaguzi! Wananchi amkeni tumkatae shetani ccm na wafuasi wake wote uchaguzi ujao! Mbona hatatui kero ya umeme,maji,bei juu za vitu au mnajidanganya wakirudi ndiyo maisha yatashuka ghalama?! Subirini uchaguzi uishe mwakani uone hali ya maisha itakuwa mbaya zaidi ya hapo! na huyo Makonda anaweza kupewa nafasi nyingine hiyo akapewa KAUZU mwingine ambae nae atandana na mfumo wa ccm shida za Wananchi zitazidi zaidi ya hapo! Tumuombe Mungu aipumzishe ccm kwa Amani.
@allymmahmudhassan7 ай бұрын
😊zero
@riazshaikh85777 ай бұрын
Sasa makonda malizia basi sh ngapi hiyo fidia, maana huo ni mgogoro mwengine
@liverpoolfootballclub99856 ай бұрын
Mkuu wa wilaya ana sauti ya mahaba
@naomicharles544410 ай бұрын
😅😅Tunaenjoy sana kua na watu kama.jpm wasiwasi wetu wasije wakakupeperusha kama Baba etu JPM
@alphoncekagezi495010 ай бұрын
Ndg Watumishi na watalaam hawaheshimu viongozi wa chama .
@petermarco865610 ай бұрын
Ukitaka kuamini hana uwezo,Mh Bashe ameshawataja viongozi wa juu wanaoweza kuingilia issue ya sukari yaani bei elekezi, ama kumshauri,hayupo
@IsiraeliMolly-o3z9 ай бұрын
Hello 🤩❤❤❤❤❤❤
@petermbuma905610 ай бұрын
makonda umelalamikiwa sana na wananchi je hizo kero mnazitatua???au mnafanya mambo kisiasa???
Mungu akutunze baba wewe.Namkumbuka Magufuli pia alituruhusu wanyonge kutoa hoja zetu kama unavyofanya.
@KafugeFrancis-be8qp10 ай бұрын
Piga kazi mwenezi
@alphoncekagezi495010 ай бұрын
Uchunguzi ufanyike wakati team ya wahusika wakikaa pembeni na wasiwe ofisini kwa vyeo vyao viwekwe pembeni.Walichotenda ni unyama na sheria ya makosa ya jinai ifuate mkondo wake.
@valenakomba768610 ай бұрын
YAANI VIONGOZI WA TANZANIA NI WAONEVU , WANYANYASAJI TENA WANAZAMBI SANAA. YAANI HAWAJALI KABISA BINAADAMU WENZAO. TANZANIAAAAA, HALAFU TUNAJISIFU ETI TUNA AMAAANI?😮
@geophureysamsoni50337 ай бұрын
Mkuu wa mkoa mzima kaongea uongo kazi yake huyo rushwa tuu
@AminaRamadhani-gx8yr10 ай бұрын
Asante mkurugezi wewe ni kiongozi wawanachi
@GraceMhoja-zc7yg10 ай бұрын
Mungu mlinde makonda
@alphoncekagezi495010 ай бұрын
Uonevu mkubwa na ubaguzi unaofanywa na viongozi kupandikiza chuki miongoni mwa watanzania.
@salumjumaruhaga251310 ай бұрын
Zambi kubwa sana kuharbu chakula hiyo ni laana
@jakobongwara303810 ай бұрын
Sasa kunausiana Nini? Nakufyeka mazao mnaingiza siasa uonijinga
@AwaziRajab10 ай бұрын
Eti Sifa Unazitaka Bwana Mdogo Sasa Kila Kiongozi Akiwa Mfukoni Kwa Mtu Itakua Na Faida Ipi Tanzania Kuwa Na Viongozi Wenye Kusema Wanafata Shelia Za Nchi
@lizybabymgaywa803510 ай бұрын
Yaani hii nchi jamani Sasa hivi watu wanafanya kampeni, lkn sisi hatujui
@JeremiahMwakanyamale10 ай бұрын
Kampeni zinapigwa,na hakaka stile kakusikiliza shida za watu wamefaulu maana watanzania wengi ufahamu mdogo sana,,,shida wamezitengeneza wenyewe alafu wanakuja eti kusikiliza..du! Siamini kamawatu wanaweza shabikia haya yanayoendelea.
@kassimmuktarymurji424210 ай бұрын
Makonda piga kazi hayo ndio matatizo ya watanzania pamabana na kero za wananchi zimezidi sana jaribu kwa kadiri ya uwezo Mungu atakujaalia utamvuka mtihani wa mama Samia rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania
@adelinelyaruu303610 ай бұрын
Kero kero kero.
@awetumtengera114710 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AwaziRajab10 ай бұрын
Mabosi Wa Viongozi Ni Wananchi Sasa Wananchi Ndio Wamepata Msemaji Wao Alie Upande Wa Kotekote
@ashuramhandoashuramhando679810 ай бұрын
Hii Tanzania watu wanaumia sana kwa kuonewa sijui itaisha lini naona dawa ni Makonda Mungu akulinde Baba
@JeremiahMwakanyamale10 ай бұрын
Subili uchaguzi upite,kama utayaona hayo. Mwamba alikuwa magu2 wengine wanatuonesha viinimacho,wajisafishie njia,kuweni na macho jamani watanzania!
@estarmara17310 ай бұрын
Tunaomba huyuuu miaka kumi ijayoo
@MaAmal-gv3qs6 ай бұрын
Makonda kiboko mfano wa magufuli.
@peninashungu663310 ай бұрын
Mpaka nyumbani kwake
@AminaRamadhani-gx8yr10 ай бұрын
Awajato hongo awaviongozi bana dah
@salumjumaruhaga251310 ай бұрын
Makonda juuuu zaidi
@gefreymtalo561310 ай бұрын
Kama eneo ni la mtu alipwe hilo eneo Lao ili liwe la manispa kwa ujenzi Wa huo mji
@GilbertGombeye10 ай бұрын
Tatizo ni serikali inataka kutawala chama tatizo ni serikali
@rehemanziku496210 ай бұрын
MUNGU akutunze baba makonda uishi miaka mingi
@ShedrackDamiani10 ай бұрын
🎉🎉
@AzhadSaid-j1t10 ай бұрын
Big makonda namama kizimkaz
@ChezamPilla-z6t10 ай бұрын
Ccm Ina madudu sana piga kazi makonda
@monicamwita786510 ай бұрын
Tunaomba namba ya Makonda
@petermboje583910 ай бұрын
Makonda twanga kazi
@astrinomgesi-np5xv8 ай бұрын
Mwamba sana
@TengoElias4 ай бұрын
🎉😢😢❤
@AminaRamadhani-gx8yr10 ай бұрын
Wanasahau kwemba uyouyomwananchi ndio wamewawe(a madarakani
@GraceMaro-wz4bu6 ай бұрын
Mtetezi wa wanyonge
@nishaabdula501510 ай бұрын
Ss ndo mfyeke simngeacha wavune alafu mkazuiya wasilime