JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@SamsonLubeleje9 ай бұрын
Samsoni tanasio Lubeleje
@neemamasudi798810 ай бұрын
Kaka Makonda nakupenda naroho moja, kabi hadi namkumbuka Baba yetu Magufuli. From Congo to Sweden.
@LinusKyando10 ай бұрын
MAKONDA ANGEKUWA HAKIMU AU JAJI KILA MTU ANGEPATA HAKI YAKE,EXCELLENT
@happynesbaemuhappynes881310 ай бұрын
Kabisa
@steveprosper408410 ай бұрын
Hakuna judgment public tena mbaya zaidi siasa
@ebeni_mitimingi10 ай бұрын
Angekuwa kama Judge Frank Caprio
@domymerinyo816510 ай бұрын
Hizo ni siasa wala hakuna kitu,angetoa maelezo kwa wakuu wa mikoa na wilaya kufuatilia
@KelvinMtavangu-ow8yo10 ай бұрын
MHESHIMIWA MAKONDA HUU UTARATIBU UFANYIKE WALAU MARA MBILI KWA MWAKA KWA NCHI NZIMA. ILI SERIKALI IWAJIBIKE IPASAVYO KWA WANANCHI. OMBI MAALUMU PIA KWAKO MH. RAIS DR SAMIA SULUHU HASANI.HUU NI UTARATIBU MZURI SANA. MUNGU IJALIE TANZANIA.
@amedeuskimario889510 ай бұрын
Mara tatu ndo mambo yatanyooka
@eligiuselias446910 ай бұрын
@@amedeuskimario8895😂🎉
@tanzcanmediatv447310 ай бұрын
No iwe rotation akishamaliza mikoa yote apumzike miezi 2 amze kule alikoanzia ili ajue maagizo yametekelezwa kwakweli nchi itakuwa mchakamchaka
@anselmimarandu229310 ай бұрын
Mungu akulinde daimaaaaaaaa
@hamishassan67849 ай бұрын
Mh. Makonda kutokana na ubora wa kazi unayoifanya naona kama unge mshauri Mh. Mwenyekiti wa chama kiwepo kitengo maalumu ndani ya chama ambacho kitambulike ndani ya katiba ya chama na kiwezeshwe ili kiwe endelevu kwenye kuendelea kuifanya kazi hii kwa kweli aliyoinzisha Rais/Mwenyekiti wa chama nawe ukawa mtekelezaji wakwanza mwenye ubunifu mkubwa mno katika kuendea CHANGAMOTO mbalimbali za wanannchi, maana nachelea kama yeye akiondoka na wewe ukiondoka bado watanzania watarudi kulekule na hivyo kuiono haki yao kama ihsani kutoka kwa viongozi kwani kila mtu huwa na utashi wake. Hongera sana Mama Samia Hongera sana Makonda Hakika huwa unanipa tumaini jipya kila mara nikusikiapo
@salcle970210 ай бұрын
Hao jamaa wa aridhii wahuni sana tanzania nzima
@moxasaidi339810 ай бұрын
Kuna yule aliekuwa mkuu wakati wa magufuli alidhulumu sana
@KabwikaIbrahim-ld8vf10 ай бұрын
Unaendelea kufanya vizuri Mr.Makonda Mola akubariki,pia Rais wetu Mama Samia Hasan Suluhu
@ullujaffariyohani11869 ай бұрын
Kwa kweli na albu kubwa Sana hawa viongozi wengine kazi Yao ni nn mpk matatizo ya wananchi wananchi yanakuwa mingi kiasi hiki wavivu wa kufanya kazi lkn wana nguvu ya kula pesa za Miradi 😢
@Azikiwe-qi6jd10 ай бұрын
Jamani watanzania wenzangu, kwa huuu utaratibu hatutafika popote, hiii ni dalili, mbaya kwa ustawi wa nchi yetu, hili ni dhihirisho kuwa taasisi, za nchi hususan zinazohusika kutoa haki zimefeli kabisa, au hazipo kabisa, haiwezekani, mtu mmoja ndie awe anatatua matatizo ya wananchi wote milioni 65, haiwezekani. Atachoka tuuu. Tunataka taasisi zinazohusika kutoa haki, zifanye kazi yake, kwa maaana Kuna watu wameajiriwa huko, wanakula mishahara alafu haki hazitendeki. kwa mtindo huuu hatufiki ndugu zangu. There is a serious systemic failure. Watanzania tunahitaji mifumo inayojiendesha sio kwa mtindo huuu
@taseleli918110 ай бұрын
Tunaanzia hapo huko kwingine tutafika,kwanza tujue yaliyomo ili wanaofanya wajisikie vibaya
@faumahona576910 ай бұрын
Kama siyo makonda hayo madudu tungeyajulia wap ?
@Azikiwe-qi6jd10 ай бұрын
@@faumahona5769 duuu, kazi ipo, ndugu yangu, mtanzania mwenzangu, sidhani kama umeelewa nilichokiandika, iko hivi, naomba nikueleweshe hii nchi ina watu zaidi ya milioni 65, hawa ni watu wengi sana hatuwezi kumtegemea mtu mmoja atatue changamoto za watu milioni 65, haiwezekani. Ndio maana Kuna umuhimu wakujenga mifumo na taasisi zinazojiendesha sio kumtegemea mtu mmoja, binadamu maisha yake ni ya kitambo tuu hayana Diamante yana pita kwa haraka sana, sasa kwa mfano ikitokea makonda akatoweka ghafla tunafanyaje sasa, muwe mnaangalia mbele kidogo
@justinekyando955810 ай бұрын
Wewe fara
@Azikiwe-qi6jd10 ай бұрын
@@justinekyando9558 lugha ya kiswahili hakuna neno "fara" unatakiwa kusema "fala" sio fara. Unaweza kufanya marekebisho, utasikilizwa
@TuzoTuzo-xi9xm7 ай бұрын
Mungu Akubaliki mama yetu laisi mungu akutuze na akupe balaka na Avya njema
@johnchungwa-ei7xj10 ай бұрын
Watumishi wa selikali wanakitesa chama
@HamisSaidi-h3u10 ай бұрын
Dah! Nakwenda kuchukua card yangu ya chama CCM oyeee
@umsulaiman746810 ай бұрын
Makonda nakupenda unatetea wa tanzania Mungu akuhifadh usiwape fursa kwa kudhulumu wanyonge
@moiseszachariasmoisesmoises9 ай бұрын
ningekuwa mtanzania,ningependekeza,mh makonda angepata kira ya uraisi toka kwangu😅
@abcxyz374010 ай бұрын
GSM walitaka kumdhulumu nyumba Makonda🎉🎉🎉🎉
@AllyGibu-cz2vo10 ай бұрын
Uje unipe story hiyo ndugu kumbe gsm walitaka kumdhulumu Makonda
@SamsonLubeleje9 ай бұрын
Mungu akujalie maisha mema uzid kusaidia tz
@suleimansultan333310 ай бұрын
Safi sana makonda
@ramadhanzenj911110 ай бұрын
MAKONDA MDOGO WANGU UISHI MAISHA MAREFU PIGA KAZI
@Cosmasi-x2g10 ай бұрын
Mungu akulinde Kwa kuwatetea wanyonge
@elizalutiga628710 ай бұрын
Hawa watu ni Wahuni sana Aridhi kumeoza.Hongera Makonda
@maimunakassim84139 ай бұрын
Hongera mdogo wangu poul makonda
@MartinRastaRasta10 ай бұрын
Makonda mdogowangu umevaa viatu vya mjomba Magu....hongera
@MatikoMarwa-s6r10 ай бұрын
Makonda unafaa sana Tena sana
@MasterMaster-l5d10 ай бұрын
Piga kazi mzeeee
@selebitende316210 ай бұрын
Mhe Rais tunakupongeza sana Kwa kunteua makonda kwa nafasi hii ombi letu wanyonge aongezewe ulinzi na tunajua atapigwa fitina sana ila ikumbukwe yupo na sisi wanyonge na Mungu atakulinda ww mhe Rais na Makonda
@KaburuKimath-eu5nf10 ай бұрын
Mimi nahamiya c c m
@GilbertGombeye10 ай бұрын
Sawa mheshimiwa Makonda uko vizuri kwakuwasaidia watu kupata haki Yao na sisi 77 hotel tunaomba tulipwe jameni Makonda utukumbuke 77 hotel arusha
@brunidamadege374710 ай бұрын
Ccm hoyeeee sijawahi kuwa mkereketwa nikiwa na kiongozi kama huyu nitajikuta tu nimevaa nembo🎉🎉🎉🎉🎉
@mataypanga526210 ай бұрын
Makonda hoyeeee
@masamakijames783710 ай бұрын
Hivi ndani ya ccm watakatifu ni Samia na Makonda tu?Viongozi wengine mko kundi gani?Mbona kila mkoa aendako Makonda ni shida ambazo hata shetani anaona aibu kutendea wanadamu ilihali viongozi wengine mpo!
@brunidamadege374710 ай бұрын
Tunataka hakiyetu,tunataka haki yetu,tunataka haki yetu.
@brunidamadege374710 ай бұрын
Tanzania, Tanzania Tanzania. Nchi yangu nakupenda maana Mungu amesaza watu wakusaidiana naye Mungu.
@EricTrillz10 ай бұрын
YAANI NI AIBU KUBWA MADUDU YANAYOENDELEA NCHINI.
@DuduMagau-sm3pd10 ай бұрын
MAKONDA ULIYOSEMA HAKIKA YANATOKA MOYON KWAKO MUNGU AKUBALIKI SANA, HAKUNA KIONGOZI MWENYE MOYO KAMA WAKO WAKUSHAURI WANANCHI USHAURI MZIRI, UBALIKIWE SANA
@RamadhaniSuru10 ай бұрын
Piga kaz mkuu 🎉🎉🎉chukuwa na maua yako
@ramazanisongolo725810 ай бұрын
Nikushukuru mh. Makonda kwa yote unayo yazungumza kila kukicha mimi nafatilia ziyara zako una stahili kuhitwa MTETEZI kwa maana hiyo MAHAKAMANI akuna haki ni kweli kabisa
@radhiambwana335310 ай бұрын
Tunashkur Mhe Rais kwkumteuwa huyu Mwenez
@kyaro594510 ай бұрын
Makonda sema ukweli. Wew ulienda kujenga kwenye kiwanja cha Mwarabu wakakuonyesha ujeuri. Hati uliitoa feki na waarabu wakajaa na hati safi..
@GilbertGombeye10 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda 77 hotel arusha tunateseka kwakudai haki yetu ya madai yetu Makonda njoo Arusha jameni we twafa njaa mafao 77 hatujalipwa Mungu
@IsayaSosolo-nx8zk10 ай бұрын
Wanaichi mnashangiria matatizo waliyo tengeneza haohao CCM kweli tunawajinga wengi,
@hashimishengoma46755 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@wilbatnyato46798 ай бұрын
Kweli nenda mahakamani km walivyokwambia
@edwardmkwelele10 ай бұрын
MTANZANIA HUYO mlipeni
@innocentlegos45309 ай бұрын
Matatizo mengi yameletwa na hao hao viongozi wa ccm,Unafanya kazi nzuri ila umekosa nguvu yakutoa suluhisho hapo kwa hapo,Mama anajua Magufuli kila alichokuwa akitutendea sisi wananchi,Mama ajitokeze,tumuone akitoa maamuzi ya kututetea sisi wananchi,mtu akiwa na hatia ya kupora ama kutumia pesa ya serekali vibaya atumbuliwe na pesa zirudi,Hii ya makonda ni kutuziba macho tu maana mshajua uchaguzi uko karibu,Makonda kaa hivo hivo ikikaribia wagombea kujiandikisha,chomoka ccm,jiunge na chama chochote,ikulu moja kwa moja.
@solomondanny-150710 ай бұрын
Hapa kuna tatizo la mawasiliano baina ya Ardhi na TANROADS. Ardhi na TANROADS wana sheria zao.
@AminaRamadhani-gx8yr10 ай бұрын
Jamani hii nchi ni uonevu, makonda atasisi ni wahanga tupo moshi umasikini ndio unatunyamazisha,
@plumbingtanzaniaplumber75709 ай бұрын
Yani serikari inawauzia wananch maeneo ambayo sio wanawatapeli wana nch kumbe wao serikari ndio wanaosababish migogoro
@AminaRamadhani-gx8yr10 ай бұрын
Makonda simamia hilo mpaka haki itoke, wezi wakubwa hao
@sesilianjala330610 ай бұрын
Jamani namimi ninataka haki yangu makonda nitakutafuta aki
@domymerinyo816510 ай бұрын
Kipindi hicho tanroad walikua hawajapima hiyo barabara sehemu nyingine wanaonea watu
@DanyNgailo10 ай бұрын
Viongoz wa halmashaur mjitahid kufany kazi kwa haki jaman mnampashida mama samia jaman kuwen na uwelewa
@janetymatola663910 ай бұрын
Sauti ya Makufuli inasikika pia nami nahitaji unisaidie
@ilynpayne749110 ай бұрын
12:45 Kwahiyo ishu ya mbowe ilikua hakuna kesi 😅
@DeusMbalamwezi-h7t10 ай бұрын
Hayo unayo sema ofisini wanarindana hawa tendi haki kama hio
@nelsonnyamle10 ай бұрын
Kwa mantiki hiyo mheshimiwa makonda mahakama zetu hazitendi haki
@noelbryson784010 ай бұрын
MRUFISHIE GSM NYUMBA YAKE..
@ngambikomsu6410 ай бұрын
Ujue ni jinsi gani CCM haistaili kuendelea kuwa nadarakani shida zote hizi ni zao la serikali ya CCM.
@adamimis9 ай бұрын
Wafukonyoe hao wapumbavu kisomo Awana kichwani Alafu wanawekwa katika viti vya huongozi😂😂😂
@AminaRamadhani-gx8yr10 ай бұрын
Ataizi mahakama nizakuchuzwa azitendi haki
@Tatoo-b1c10 ай бұрын
Hiyo ndio tabia ya ardhi hivyo ndivyo wanafanyia wananchi
@smallscaleminingsupplies967010 ай бұрын
Sasa kama ye analalamika mwananchi wa kawaida itakuaje, mahakama ajui ilipo
@nishaabdula501510 ай бұрын
Ss kwnn mlimpa na akajenga alafu mbakuna kubomowa na hamtaki kuwalipa mmeona ipo ktm barabara bc mngewalipa iki wawapishe lkn si kublmowa tu alafu mnawaacha wna angaika mnasumbuwa sn wnanchi nyie nakuonea hy ni makosa yenu inabidi muawalipe
@hailinhelen467510 ай бұрын
niki9na hivi naweza sema wenye haki hawqpewi na wasio na haki wanapewa mzigo wa dhambi kubeba kesho siku ya hisabu kunakazi ninavohisi washika bedera za motoni ni wengi
@faustinombilinyi98099 ай бұрын
Kwa nchi ilipofikia sahiz inahitaji rais km makonda kabisa hata akiwa atalipa visasi atalipa kwa wakubwa huko huko ila wanyonge tutakuwa salama haiwezekan nchi imekosa mwelekeo kabisa sahiz
@MasterRegan10 ай бұрын
Simchezo
@HamisSaidi-h3u10 ай бұрын
Anasema alimilikishwa kipindi hiko kwani haikua Serikali??
@HamisLeo10 ай бұрын
Kwahyo G.S.M atapata cha moto et? Au tayari ameshairudisha nyumba ya makonda
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
Nachofrahi nikwamba madai ya wananchi yote ni halali naniyakweli
@salmaabdu501110 ай бұрын
Huku unguja tuko wengi tunozulumiwa na mahakama inakula rushwa tupu
@AlbatSimon-yq5ro10 ай бұрын
Huyu jamaaa kaja kuvizima vyama pinzani
@BarakaMaglaniLaizer8 ай бұрын
Unajikuta raisi kumbe ni maenge tu
@faridahalwaily8510 ай бұрын
Jamani mshukuruni mwenyezimngu na rais na makonda kusimamiya haki za wanyongee…kuweni na dhanaa njemaaa wachanenii kulaumiyaaaanaa…duniya mapitoo.
@marylukas683210 ай бұрын
Rais wangu kipenzi
@anselemmasirikali638410 ай бұрын
Wewe mwenyewe dhuluma ulitaka kuwadhulumu nyumba Gsm
@kiwangodaniel130210 ай бұрын
Makonda kumbe hii imeandaliwa. Upuuzi mtupu!
@Mundi-oz7os10 ай бұрын
Muwe na uhakika kuwa hawajawatalipwa
@AbrahamSekuza10 ай бұрын
Haya unayo fanya Makonda unaivua nguo CCM na serikali yako kwa ushauri wangu fupisha hii mihadhara yako
@damagambiti829210 ай бұрын
We mjinga kweli! Hivi ungekuwa wewe umetendewa dhuruma usingeongea upumbavu huo! We kama unaona nongwa kaa kimya!
@MubinaRoshan10 ай бұрын
Wewe kaa kimya hayakuhusu
@AllyGibu-cz2vo10 ай бұрын
Wewe ni mjinga kumbe nilijua una akili
@samwelsimon739210 ай бұрын
wewe kaa tayali zamu yako kama na wewe ni miongoni mwao
@KiongoziMwandamizi10 ай бұрын
Mbona kujiaibisha hvo😂😂
@BarakaMaglaniLaizer8 ай бұрын
Makonda wewe ni fala tu
@samwelnaal795210 ай бұрын
GSM kimekuramba😂😂😂
@chai_r10 ай бұрын
Nini anfanya hapo? Hiyo ni kazi yake? Sheria ne katibu inampa mamlaka ya kwenda barabarni kidifanya judge? Kupoteza muda mtupu
@LazaroJohn-k5u10 ай бұрын
Komed komed
@AmianaMavura10 ай бұрын
Watu wanakiu na wewe
@elizalutiga628710 ай бұрын
Daaaaaaaaah
@khadijabuberwa336210 ай бұрын
We
@robertphilip38510 ай бұрын
Ccm wanacheza na akili za watu ccm nikama shetani leo anakujahuyu anasema lake kesho mingine nakuja na utapeli wake watanzani msiposanuka na hi janja ya ccm utaisha kama wafuasi wa Kibwetere
@marymanoni553610 ай бұрын
Hachezi hata 😂😂😂 ww ndo unsjidangamya
@UfahamuwaKristo10 ай бұрын
Hapana Leo ndo nimegundua shida sio ccm shida ni watendaji tu sio waaminifu na sio wachapakazi
@hurumamsuya712210 ай бұрын
Kwamba watu hawasaidiwi?!!
@barackawithokiswaga268610 ай бұрын
Na wewe hebu peleka Upumbavu wako huko, kwahiyo unachotaka wewe ni kipi? Au wewe una uwezo wa kutatua hizo kero, basi tatua wewe tukuone! Kazi kujifanya wewe ndio mjuaji unataka nini wewe??
@Ernestlaiza10 ай бұрын
@@barackawithokiswaga2686wacha ufala tunataka katiba mpya