Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@alexpangani19446 ай бұрын
Hongera mh. Makonda unauchapa mwingi. MAMA najua kuchagua! KAZI IENDELEE!
@eligiusmutabazi38047 ай бұрын
Huyu mama ukiacha kuwa Ni msomi Ila Ni genius Sana aiseee anajua kujieleza,ana vielelezo vyote vya Madai yake Na Ni mtulivu Sana Hana papara kabisa yaani Hana mihemko Ila madini anayotoa kudai haki yake ndo wahusika wanabaki wanatetemeka Tu Kwa aibu...Makonda good work kaka mkubwa.
@barbarasara40337 ай бұрын
Wala hatoi chozi.....NI fact Tu
@EPALATA6 ай бұрын
@@barbarasara4033 yaani amenifurahisha sana..
@imanimbwiga90097 ай бұрын
Kitu kizuri kuhusu Mh Mkuu wa Mkoa, ni kuwa umejirekebisha sana kwenye utatuzi wako wa Migogoro, 1) UMEANZA KUHESHIMU MAHAKAMA 2). UMEJIFUNZA KANUNI NA SHERIA MBALIMBALI NA UNAZIFUATA 3). HEKIMA NA MAARIFA YAMEONGEZEKA SANA Nakupa maua Yako 🌺
@Cryptostarz246 ай бұрын
Umenena vyema brother amebadilika sana anahekima ya juu Mungu amsaidie
@hailedemmanuel956 ай бұрын
Big up sana Makonda naiona Tanzania mpyaaaaaaa mikononi mwako
@videralfred88895 ай бұрын
Na maombi yetu yanachangia kumuinua mh makonda
@highonebalo82897 ай бұрын
Mwalimu B!!!!! Kama una mume, basi ana kifaa cha nguvu; akatoe sadaka ya shukrani ya kipekee kwa Mungu. Aloo amepewa chombo cha nguvu. Watoto wako wana heri mamy!!! Umetulia sana hapo kichwani. Na Mungu amekupenda akahakikisha ni marufuku kuonewa. Akaleta mkombozi. Makonda Mungu akukamate vizuri sana mtumishi❤❤
@highonebalo82897 ай бұрын
Mama Samia please please please😢 Usituondolee huyu tunu wetu Makonda mamy plz. Wasiompenda wana chuki zao binafsi. Ila kwetu mama hii ni zawadi umetupa watu wa Arusha. Asante mama Samia Mungu akupe maisha mama❤
@Mima-cl2im7 ай бұрын
Watanzania wasiokuwa na sauti hudhulumiwa. Huyu ni mwalimu anaweza kujitetea. Watanzania wasiojiweza kujieleza hudhuluiwa na majambazi yanayoaminiwa na serikali. Kufutilia kasi ni kazi kubwa inayohitaji fedha. Watanzania wengi ni masikini sana. Makonda baba ni Mungu tu ndiye atakulipa kwa kusimamia haki.
@TegemeaFutemakatifu7 ай бұрын
Mungu Ambariki Lakini Kuna Mama mmoja Nesi alifukuzwa Kazi Dodoma baada yakushinda kazini akiwa anaumwa.
@mgosimkome92427 ай бұрын
Yaani acha tu, halafu kuna mpuuzi anasimama anasema Mh. Makonda anadhalilisha watumishi kwa style hii kweli watumishi wanafanyia watu, haya huyu ni mwalimu Haya wale wanyonge je. Mh Rais una kazi kubwa sana. Naomba ukuu wa wilaya na mimi nikusaidie kazi wananchi wako wanateseka Sana.
@mwanaidiabdalla52937 ай бұрын
Mimi nakuombea sna Mhe Allah akulinde hakika unatutetea wanyonge🙏🏽🙏🏽
@joseesiara90127 ай бұрын
asee huyu mama amepiga spana sawasawa, utulivu wa kutosha, mpangilio mzuri, lugha ya staha. Aloooohhh huyu teacher akifundisha hata uwe na kichwa kigumu vp unaelewa😂😂😂
@tanzcanmediatv44737 ай бұрын
Amesoma
@joseesiara90127 ай бұрын
@@tanzcanmediatv4473 mkuu kuna waliosoma lakin hata kujieleza tu ni kipengele.
@zebedayokatamaduni96767 ай бұрын
Safii
@hamisijuma32767 ай бұрын
RIP j
@angellomarcel56777 ай бұрын
Huyu Mama ni Mwalimu sawia haswa
@eliuskivuyo65216 ай бұрын
Mwl Beatrice ni nondo kweli kweli,big up sana mh Makonda,watu wanadhulumiwa sana
@MamboleoPeter7 ай бұрын
Mwalimu wewe ulikuwa mahiri kazini kwako ndio maana vilaza hawajakupenda
@J_Pabloescobar08067 ай бұрын
Kabisa mkuu Mwalimu asingekua na pesa nae ingekua shida ila kajiimarisha vizuri yani
@ziadasalimu17307 ай бұрын
Huyu mwalimu ana uwaredi mno Hali ya juu na ndio mana wanamchukia @@J_Pabloescobar0806
@shaabanikabwe34377 ай бұрын
Hakuna mkamilifu Duniani Binafsi nafurahishwa sanaa na kazi ya Mh Makonda, kazi ya kusimamia Haki ni kazi ngumu sanaa hapa Duniani. Dhulma ni miongoni mwa vitu vinavyo fanya umaskini kuongezeka katika familia zetu. Ukidhulumu haki ya mtu na ukaona ni sawa sawa mpaka mwisho wa maisha yako hapa Duniani basi uwe na hakika kua na kizazi chako kitabaki kwenye laana ile ile ulio acha umetenda Duniani. Tujitafakari halafu tuchukue hatua, hakuna m'babee juu ya mgongo wa Ardhi. Kama tunapenda vizazi vyetu kwa ujumla basi tuanze sisi wenyewe kua watenda na wapenda haki kwa wenzetu. Mh Makonda kazi yake nzuri sanaa na ni ngumu sanaaa. Lakini kama waifanya kwa dhati ya moyo wako Mungu anasimama na wewe daima.
@emmanuelreuben18637 ай бұрын
Uyu mada ni mtu smart sana, mama samia muone mpe kiti anajua
@wilper63187 ай бұрын
Akili za huyu mam angu mwalimu ni kubwa sana, nimesikiliza mpk nimelia, naomb Mungu akutunze RC MAKONDA, nimelia sana.
@danielmakundi76126 ай бұрын
Najiuliza tu swali la msingi endapo sio kwa utashi na uchapakazi wa Mh. Makonda kuja na hizi Clinic za kusikiliza kero za wananchi wake, kwa kuzunguka kote huko hadi Ikulu bado hakupata stahiki zake. Bila hizi Clinic angekuja kuzipata haki zake mwaka gani? Lord have mercy!😢 Salute to you Mheshimiwa Paul Christian Makonda, Sir🫡
@MenelusCzar7 ай бұрын
YAANI VIKAO VYA MAKONDA HATUITAJI HATA KULA JAMANI ❤❤❤❤
@kdeghtnzanea71877 ай бұрын
Kabisa unajikuta hata njaa huihisi kabisa
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
😅
@witnessmaliki1036 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479😅😅😅
@witnessmaliki1036 ай бұрын
Kabisaaaa yani😅😅😅
@WamburaNelson7 ай бұрын
Mh. Paul Makonda upo vizuri sana. Mungu akusimamie.
@kassidpandu8667 ай бұрын
Mkuu wa Mkoa Arusha anafanya kazi nzuri sana japo ana maadui wengi
@rehemaphillingsonmlawa42067 ай бұрын
Mama mwl hongera upo vizuri saruti kwako.miaka mingi kwako
@VailethMwaipungu7 ай бұрын
Barikiwa Makonda
@izorajula79696 ай бұрын
Salute you madam fight for your right teacher
@FatumaSuleiman-ti7vq5 ай бұрын
Hongera ALLAH akulinde.
@mbwitajohn84967 ай бұрын
PCM(Paulo Christian Makonda) wewe ni jembe na unasimamia haki ya wanyonge kweli kweliii. Nimesikiliza hii kesi kwa zaidi ya saa moja na chai sijanywa tangu asubuhi mpaka sasa. Nakutabilia kuwa kiongozi mkubwa sana mbeleni katika nchi yetu. Mwenyezi Mungu akusimamie.
@erickpique24376 ай бұрын
Mama anajua kupangilia maneno big up to her
@hailedemmanuel956 ай бұрын
Hekima imeongezeka sana God bless you RC Makonda
@AlAl-sd9pl7 ай бұрын
Safi Sana mwalim beatrice umejua kujieleza vizur
@baloz89747 ай бұрын
Nimsomi na amekuwa akifuatilia haki zake taratibu kiutaalamu
@MrKhatibu7 ай бұрын
Kumbe hizi kazi za serikali zina mitihani katika kutekeleza mambo ya haki. Alhamdulillah nawashukuru wote walioniwezesha kuto pata ajira serikalini maana nadhani ningekuwa Miongoni mwa wenye kubatilisha ya haki kuwa batili.
@marymaula92316 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda Mungu akutie nguvu sana. Najua yako mapungufu ya kibinadamu, tunakuombea Mungu akusaidie pale kwenye mapungufu na akuzidishie hekima kijana.
@Jemss-k3m6 ай бұрын
Mweshimiwa makonda mungu akulinde uwendelee kuwasaidia wanyonge
@ankoanko-zz7it7 ай бұрын
Makonda wewe MUNGU wangu azidi kukulinda nawatu wabaya.
@DM.22007 ай бұрын
Ukisikia wakati wa Mungu ni sahihi ndo hii 🙌
@baloz89747 ай бұрын
Mama samia alikuwa jinsi yakukerekebisha arusha ndio akamuona makonda anafaa kuwasaidia na kutoka kero za wanaarusha. Dada ni intellectual and intelligent enough she knows her rights according to employment status .
@PrudenceMwakyoma-oz5ic7 ай бұрын
Kweli your president,she is brighter.
@husseinbakromar58657 ай бұрын
mungu aibariki tanzania kwa hikma na busara za viongezi ningeomba hata kenya munganishe iwe nchi moja ya mungano wa tanzania ili viongozi waige mifano bora kizungu mingi na wananchi maskini ndie anae umia
@maryamabdallah31407 ай бұрын
Wao hawatoweza kukupenda daima!!! lkn Mungu na sisi tukikupenda inatosha...!
@Mariam-zh4bf6 ай бұрын
Kweli kabisa wajina
@zitongwang62787 ай бұрын
Hongera Sana mama mwalimu , nimependa utulivu wako na jinsi unavojieleza , wakati WA Bwana umekuja Kwa wew kupata stahiki zako zote, Mungu mbariki Raisi samia suluhu hassani Kwa kumteua Makonda na kumpeleka Arusha , Makonda ana nafasi yake pekee peponi ..., Anawafuta watu wengi machozi , anasimamia haki za wanyonge, Mungu aendelee kumlinda huyu Baba milele Daima. 💛💚💛💚 CCM oyee ..., Yani binadamu Kwa kuonea binadamu wenzao NI shida kweli , ningekuwa huyu mama ningeshakufa Kwa presha ILA Mungu ana makusudi yake Kwa kweli , HAO waliomtungia uongo wote ili asimamishwe KAZI, kushushwa daraja na kukosa stahiki zake Mungu atawalipa Tu 😫
@jeannentibitigure55156 ай бұрын
Tunakutumainia Baba 🙏🙏
@alexbayingana78797 ай бұрын
Makonda wewe jamaa ukipata watu wa kukusuport tutafika Mbali kiukweli kama sii roho mbaya za watu basi tunaweza fika nchi ya ahadi, ALLAH awe nawewe aameen
@ruqaiamohammed3457 ай бұрын
Ameen 🙏🙏
@abdallahbashiru11527 ай бұрын
Well done Makonda kazi yako njema❤❤Mungu akulindee na wabaya wote wasiopeda haki
@PrudenceMwakyoma-oz5ic7 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde tusaidie
@athumanimapande83947 ай бұрын
Makonda level ya ukuu wa mikoa kashapita na uyu mama mwalimu namuona ana kalama ya uongozi zaidi ya ualimu uyo mwalimu mtazameni mpeni nafasi ya uongozi
@mashramadhani19897 ай бұрын
MAWAZO YAKO SAWA NA YANGU MAMA SAMIA AMUANGALIE MAMA ANABUSARA NA UWEZO MKUBWA
@jumamdoka78677 ай бұрын
Makonda ni level angalau za uwaziri mkuu
@Abdul-zx9vn6 ай бұрын
Yeees
@JumaNada7 ай бұрын
Huyu mh.atairudisha heshima ya CCM, ARUSHA, KONGOLE MH MAKONDA, Mungu amekuleta kwa makusudi Mkoa wa ARUSHA
@sebmalunde59457 ай бұрын
Huyu Mama yuko Smart Sana anastahili hata kupewa nafasi kubwa zaidi anaweza kuwa msaada kwa wengine. Wanambania kwa sababu ya uwezo wake kichwani......that's my take
@hamisijuma32767 ай бұрын
Wanamna hii hawatakiwi KBS kwa sbb n vichwa, hata viongozi hawawapendi sbb n wakweli wanataka haki. Na maono ya kazi,
@angellomarcel56777 ай бұрын
DADEKI huyu Mama anafaa kuwa Kiongozi Big up sana kwa huyu Mama
@loner_wolf7 ай бұрын
Mama kaonewa sana , kanyimwa haki ya kupata elimu ni dhambi kubwa sana aisee . umri alitakiwa apate masters umesimama na sijui kama kunamtu anayeweza kurudisha nyuma wakati . non of them can pay her time . sorry madamme teacher , I ❤ you😊
@thomasmbolonzi6 ай бұрын
Mimi ni mkenya nampongeza huyu kiongozi wenyu
@stefanomasolwa89795 ай бұрын
Huyu Maman Mwalimu nampenda kweli kweli yani anaongeya neno kwa Neno tena ustarabu handi Raha
@kazaulachibali7 ай бұрын
Revolutionist dear madam May Almighty God protect you and make you healthy
@Mima-cl2im7 ай бұрын
Kwa kazi anayoifanya Makonda Nape na wengi waliokuwa wakimukashifu waone haya.
@baloz89747 ай бұрын
Exactly na kura hawapati tena arusha ,kazi yao kupinga maendeleo
@susananyasani65266 ай бұрын
Super Mheshimiwa Makonda huyo Mama allipwe haki yake kama kawaida asante
@GfgGgh-v5z7 ай бұрын
Maa Shaa Allah huyu mwl Beatrice nimempenda yupo makini sana na anajua kujieleza hongera kwako mama Allah azidi kumuinua Mh Makonda ❤
@oliviaseth46527 ай бұрын
Mimi nilifukuzwa kazi, nikashinda kesi, nikarudishwa kazini, nikaajiliwa upya, ili nikose NSSF zangu. Sasa hivi niko juu
@joycelaura46117 ай бұрын
ulinyimwa NSSF kwa nini fatilia ni haki yako
@makoyelwango60487 ай бұрын
Majitu yamejaa laana spiritual of evils
@JacquelineMahumbe6 ай бұрын
Glory to God
@godfreymagessa7867 ай бұрын
This is what we want big up mwl na mkuu wa mkoa be blessed sana till the end of time
@Christopherjohnkaira7 ай бұрын
Rais wetu hongera,san bro
@JacquelineMahumbe6 ай бұрын
Mama nimekupenda na hongera kwa uvumilivu, Mungu akupe maisha marefu.
@malcomketer82627 ай бұрын
Smarter madam deserve her money
@Mariam-w9s3b7 ай бұрын
Nimegundua Arusha kwanini watu wanauwana tatizo kubwa ni Mali na wadhurumiwa na walio kwenye mamlaka stahiki hawatendi Haki icho ndio chanzo cha mauaji
@kazaulachibali7 ай бұрын
Revolutionist dear madam May Almighty God protect you and make you healthy.Mpatie Huyo kaka yetu Paulo huu mstari kutoka Kwenye biblia ;Yeremia 22:3
@MoshiAthumani-de4ed7 ай бұрын
Aisee ww Makonda ni mtu na nusu,...hongera sana...Mungu akusimamie ktk kuwajibika kwa wananchi wako
@apollohugo7 ай бұрын
. Hongera sana RC sasa nakukubali. 2.Nakuomba kama mtenda haki "Msimamie mwl.Betrice apate haki yake ya elimu(master degree)ambayo hii ilikuwa ndoto yake lakini manyangwau wakamkatili. 3.Tutaomba urejesho mkuu(kiwanja kipo mtoni?) 4.Tunakuomba umuombe kazi kwa Mheshimiwa rais,Dr.mama yetu mpendwa Dr.Samia Suluhu Hassan. Mungu akutangulie mkuu kwasababu mwl.Betrice anakitu kichwani chakueasaidia wa Tanzania kama ulivyo wwl. Asante.
@GodfreyChaula-cy4ct6 ай бұрын
Nakukukubali sana makonda. Piga kazi. Watazania wengi sana tunanyanyaswa sana. Na tunaumizwa sana.
@FlorenceNgabo6 ай бұрын
Kuna watu duniani kuna ..... duniani mungu mlinde makonda na watu duniani
@petromkunda79786 ай бұрын
Dahaa ni mwanamke kanikosha sana natamani ningekuwa mm haloooo dahaa mungu yupo wahuni wachache wanadhurumu haki ya watu
@nicksonmori5 ай бұрын
Huyumama yuko vizuri sana apewe hata uongozi
@marymaula92316 ай бұрын
Aiseee, wewe mama nimekupenda sana, wewe ni mwalimu mzuri. Unajiamini, una uwezo wa kujieleza, hata ukimfundisha mwenye cognitive disability lazima apige hatua mbele
@SelemaniAlly-p8z5 ай бұрын
Heri tumbo lililokubeba na matiti uliyoyanyonys mungu akutunze baba
@sarkodiejr2547 ай бұрын
Madam Beatrice knows her rights, she came prepared,justice for Mwalimu BEATRICE
@abdulykibingo24366 ай бұрын
Hapo kwenye kiwanja kuingia mtoni ila hii arusha pole sana mweshimiwa kwa kazi kazini kunakazi aiseeee
@BigZhumbe6 ай бұрын
Yaani kiwanja kimetumbukia mtoni, hadi mama ameamua kujicheka 😂😂😂😂😂😂
@drkefa7 ай бұрын
God bless mkuu wa mkoa iazi nzur
@EnidFisher-p1r7 ай бұрын
Mama I applaud you- you are a roll model for TZ women!👏🏾👏🏾👏🏾🙏🏾✌🏾💯❤️
@hazibonplatformafrica96177 ай бұрын
Mwl.Beatrice ni mpambanaji sana MUNGU amsimamie.
@halimasoud7 ай бұрын
Madame ❤❤
@halimasoud7 ай бұрын
Madame,umenikonga moyo
@strong85346 ай бұрын
Mama wa facts. Big up mom and RC Makonda
@CharlesNjunwa7 ай бұрын
Makonda nakutabilia uraisi miaka ijayo mungu akupe uhai 🙏
@hamzasuleiman96057 ай бұрын
Huyo kweli ni Mwalimu , maana yuko fasaha , ana uzoefu wa kutosha , anajiamin , hana woga wala papara , kiufupi ameweza sana 👐
@jameskileo9557 ай бұрын
Mkuu wa Mkoa ndugu na Kaka Yetu MUNGU akulinde na Akubariki Unafanya kazi kubwa na Helima kubwa mno
@annagustav62227 ай бұрын
Mh. Makonda natamani 2030 kama Mungu atakupa uhai uwe Rais wa JMT. Mungu akubariki sana..sana
@wilbroddaffi667 ай бұрын
Makonda is very smart
@happynescostat74207 ай бұрын
Ongera sana makonda, njoo kagera uondoe takataka kama zilizopo uko, Makonda oyeeeeeee
@godfreymrosso20516 ай бұрын
madam beatrice is very bright hadi raha
@MwitaMaloda-dh8gn7 ай бұрын
long live makondaaaa,you deserve more than that
@IsraeiMwankwasya7 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde akupe hekima zaidi
@evatimothy73827 ай бұрын
Yesu akutunze ❤
@JackMwita-ve8dj7 ай бұрын
Viongozi wengine muige kutatua migogoro ya wananchi kama makonda, mkuu wa mkoa nakupa heko Hongera sana na mungu akulinde
@sebmalunde59457 ай бұрын
Mamlaka za uteuzi vetting gani zaidi inahtajika, vichwa kama hivi sio vya kupoteza. Dah Hongera mhe. Makonda
@MichaelMaro-hj7yo6 ай бұрын
God bless you makonda
@stefanomasolwa89795 ай бұрын
Yani kweli watanzania sijawaelewa handi Mnasubi kila kitu kiwe kwe Mtandao njo Mnaonq vizuri asate Baba Makonda wanyooshe kabisaa
@barakaanthony1597 ай бұрын
Teacher umetisha
@sonimurat6 ай бұрын
Elimu mali sana, Beatrice she’s educated lady. Keep it up mama
@Kenya-m7z6 ай бұрын
Watu wanatesa watu, sijui kwa nini, ingelikua ni yeye sijui angesikia vip, makonda ubarikiwe Sana, na ujichunge Sana watazania wanakuitaji zaidi ya unavyo jihitaji, shukurani
@kaundavyoseena65147 ай бұрын
RC Makonda kwa hapo umenifurahisha. Keep it up. Uachane na kauli tata tenda haki. Basi.
@AldofNyankena7 ай бұрын
Mheshimiwa Kwann!? Huyo mama usimchukue akae kwenye kitengo Cha kusolve matatizo ya wananchi atakusaidia sana,.
@barbarasara40337 ай бұрын
Hatoi chozi wala hatafuti huruma ni. Fact Tu anatoa
@ernestgeorge84127 ай бұрын
Mungu akutangulie mh makonda kwenye kazi yako
@jescaandrew87637 ай бұрын
Makonda ubarikiwe sana sana nakupenda kakaangu jamani
@Nurdinimwakisale6 ай бұрын
Nashukuru mungu aku braza
@Nurdinimwakisale6 ай бұрын
Sahihi kabisa
@verombwambo37037 ай бұрын
Mwalimu chukuwa maua Yako nimekupenda bure
@Jayjas8106 ай бұрын
Mbona watu hupenda kudhulumu wengine bila huruma
@tatuali85387 ай бұрын
Hii ni wazi Tanzania mnyonge hana haki Tanzania ni nchi ya rushwa ubadhilifu unyonyaji kwa watumishi wa serekali. Mungu akujaalie Mh Makonda akulinde na akufanyie wepesi kwenye kazi
@makoyelwango60487 ай бұрын
Majitu yamejaa laana 😭🤗
@likimaro67 ай бұрын
Vitu vingine ni kutumia busara tu ndugu waajiri. Saa zingine funiko kombe mwanaharamu apite. Mnajitafutiaga matatizo kwa ubabe wa kishenzi. Safi sana dada kwa kupambana
@hadijamandanje61897 ай бұрын
Nia yao kuonyesha ubabe na vyeo vyao vilivyo na nafasi
@GwidoGomba6 ай бұрын
Makonda MUNGU akupe maisha marefu utusaidie sisi wanyonge. Tunaomba rais Samiha akuletee pia mara
@basumegheMbotwa7 ай бұрын
Beatrice Mungu akulinde wakupe na ulinzi
@kadechoabuu66356 ай бұрын
Makonda nakupa Big up
@gracesenzota65557 ай бұрын
Hekima na ufahamu,Mungu akulinde mtetezi wa wanyonge Mkuu wa Mkoa