No video

King Crazy GK Ft Pauline Zongo - Nitakufaje (Official Video)

  Рет қаралды 132,977

East Coast Team

East Coast Team

8 жыл бұрын

King Crazy GK Ft Pauline Zongo - Nitakufaje (Official Video)

Пікірлер: 194
@user-jk1lo1ly8c
@user-jk1lo1ly8c 3 ай бұрын
Bado tupo 2024
@happinesssanga4097
@happinesssanga4097 2 жыл бұрын
Ambao tumekuja huku baada ya kumuona Pauline zongo like kama zote
@AngelAngel-sy6my
@AngelAngel-sy6my 2 жыл бұрын
🙋
@francisc.mwinami9916
@francisc.mwinami9916 5 жыл бұрын
nan anajua atakufaje? kama ujui bac ungana na gk shusha like yako
@judebenjamin6805
@judebenjamin6805 2 жыл бұрын
Certified BANGER...2022 & still listening 💯🙏🏿 the message ...
@Salim-gaming244
@Salim-gaming244 5 жыл бұрын
kama bado unaskiliza hii ngoma 2018 gonga like
@samwelmevukori7586
@samwelmevukori7586 5 жыл бұрын
Hakna ubishi GK N legendary Wa Hip Hop Bongo.Nakuheshimu sana Brother! Nataman urud tena kwenye music maana tumekumis sana.Much love
@HamisHuka
@HamisHuka 2 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema 29/5/2024
@hongoabui7627
@hongoabui7627 5 жыл бұрын
Wahenga wenzangu hebu tujikusanye hapa kwa mwana wetu kigugumizi.... ❤️❤️❤️❤️
@groryaidan7386
@groryaidan7386 3 жыл бұрын
😂 😂 😂
@owenmutale8686
@owenmutale8686 2 жыл бұрын
😂😂🙌
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@michaelkahisha8324
@michaelkahisha8324 3 жыл бұрын
Gk alikuwa anajua kutunga nyimbo zinazodumu. Ckiliza huu wa Nitakufaje, Ama zangu ama zao, sauti ya manka, tutakukumbuka daima milele.
@magatizongo4661
@magatizongo4661 5 жыл бұрын
Biti Kali,flow Kali.Dah! Hii ngoma itapoa siku ya binadamu kupata jawabu LA Kifo chake lasivyo itakuwepo maisha yooote!!!
@allyfatma7359
@allyfatma7359 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ndilanajunior
@ndilanajunior 6 жыл бұрын
Atari yani mi nasikiliza tu ad leo ngoma bado zinaishi
@mangapmanga1539
@mangapmanga1539 3 жыл бұрын
Nani yupo hapa anaangalia nyimbo hii sabb ya kuondokewa na Baba yetu mpendwa magufuli.
@allyfatma7359
@allyfatma7359 3 жыл бұрын
Mm kilichonileta hapa ni sauti ya huyu binti.pouline zongo.alikuwa wa Moto Sana muda wake🙌🔥🙌🔥🙌🔥🙌2021
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 2 жыл бұрын
Hata mie dear ndo alonileta huyuhuyu Pauline Zongo
@allyfatma7359
@allyfatma7359 2 жыл бұрын
@@salamanauthartanzania6301 hatari.
@collinfrolian7933
@collinfrolian7933 2 жыл бұрын
Nmerudi kuicheki ngoma hii baada ya kuiona Hali ya Pauline zongo du! Maisha haya
@NaseebLugusha
@NaseebLugusha 2 ай бұрын
legend nyimbo zenye meseji kama hivi hazipo tena kwenye music wetu dah RESPECT KING CRAZY GK
@Ann-vr7ti
@Ann-vr7ti 2 жыл бұрын
Nipo hapa kumjua Pauline zongo after kuona vile anateseka sasa hivi...dada Pauline wacha madawa na pombe na uombe Mungu,yote yatapita
@THREE_ANGLES_MESSAGE.
@THREE_ANGLES_MESSAGE. 2 жыл бұрын
Me too
@eliabeliud490
@eliabeliud490 3 жыл бұрын
Kama umekuja apaa baada ya interview ya mirad Ayo gonga like apa
@dennischeyo1302
@dennischeyo1302 3 жыл бұрын
R I P Joseph pombe magufuri 😭😭😭
@khamisijuma1980
@khamisijuma1980 2 жыл бұрын
😐😐😐
@allymbaya6411
@allymbaya6411 4 жыл бұрын
Hizo ndio nyimbo ukisikia msanii katunga na kuimba ndio hivi kitu kinamashiko miaka mingi mingi sio hivi vibwengo vya sasa hivi vinasifusifu viuno vya wanawake tu hakuna cha maana ushubwada mtupu!
@danielkitina1861
@danielkitina1861 Ай бұрын
East coast team 🔥🔥
@DotoSoza
@DotoSoza 27 күн бұрын
Huyu mwamba Mimi ninamkubali Sanaa,Yani huniambii kitu 😅😅😅I
@yaassinriziki3204
@yaassinriziki3204 3 жыл бұрын
Utazikwa home sweet home, Mbeya.
@kabuamudi5126
@kabuamudi5126 6 жыл бұрын
dah nakumbuka mbali gk ngoma kama imetoka jana
@essaualbert5347
@essaualbert5347 5 жыл бұрын
muziki wa sasa shida tu, hauna uhusiano na hisia kama hizi ngoma2018 still watching...
@annastaziamdala7283
@annastaziamdala7283 Жыл бұрын
Gwamaka kaigulani nilikuwa nawe moa 1999 u r good
@godluckkessy9666
@godluckkessy9666 6 жыл бұрын
Daah kitambo sana
@douglasndeki8346
@douglasndeki8346 6 жыл бұрын
Swali la muhimu kuliko yote yupo wapi pauline zongo
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Aseeeeee
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 3 жыл бұрын
Yupo anaumw aseeh
@erirocharz5375
@erirocharz5375 3 жыл бұрын
daah anaumwa uyu dada , af kama vile anatumia poda ivi
@mzeewakazi2439
@mzeewakazi2439 7 ай бұрын
Hii nyimbo hina swali sku zote kichwani mwangu
@ommyathumani7264
@ommyathumani7264 5 жыл бұрын
Hadi leo bado inabamba kwel zaman ndo kulikuwepo na mziki
@allykazoa8324
@allykazoa8324 4 жыл бұрын
Amini man
@jumahaji2454
@jumahaji2454 5 жыл бұрын
Untill 2019 it's hit song ever still listening up 😂😂☝✌👊
@aminakunja277
@aminakunja277 2 жыл бұрын
Namuangalia Pauline jaman wa kusaidiwa uyu Dada jaman😭😭😭
@abdulally7435
@abdulally7435 5 жыл бұрын
2019 who's listening?
@johnmachele509
@johnmachele509 9 ай бұрын
Ipo siku huyu jamaa atakufa na hii nyimbo itapigwa katika mazishi yake.
@SilajiHamani
@SilajiHamani 8 күн бұрын
Oooo.ninomasana.g..knikukubrisana
@SilajiHamani
@SilajiHamani 8 күн бұрын
Ninimo.sAna.wazeengomakitambo.mzazi.
@Fingolee
@Fingolee 3 жыл бұрын
Hii Corona sijui kifo kitatutukutia wapi.R.I.P wote waliotangulia tuliobaki tunajiuliza tutaondokaje
@samsonbukuku17
@samsonbukuku17 11 ай бұрын
acha uoga wa maisha fala wewe
@afandechanel1507
@afandechanel1507 3 жыл бұрын
Nasema hivi good music doesn't have expair date
@user-cu4er9oy2q
@user-cu4er9oy2q 5 ай бұрын
Gwamaka kaihula
@mohamedoman9344
@mohamedoman9344 3 жыл бұрын
Nyimbo hii unanikumbuka mbali sana kweli big up sana kweli my brother crazy GK
@agwasuhemedy6692
@agwasuhemedy6692 2 жыл бұрын
2022 still am listen good and feeling music😢
@hassaniyahaya5936
@hassaniyahaya5936 5 жыл бұрын
GKY Nime kubali san ngoma kali
@andrewvedastus6958
@andrewvedastus6958 5 жыл бұрын
I just feel good and bad when i listen, good song!
@chichimloli5926
@chichimloli5926 2 жыл бұрын
Same me like you ,
@evakipale9333
@evakipale9333 4 жыл бұрын
Aisee ilikuwa raha
@octavianmushi928
@octavianmushi928 5 ай бұрын
2024 still banger
@worldwide9207
@worldwide9207 3 жыл бұрын
Ni siri ya mungu mwenyewe
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 4 жыл бұрын
2020, anyone?? tbh GK one of the best rappers Tanzania got endowed with
@jocefstephen2475
@jocefstephen2475 3 жыл бұрын
Brother cha ajabu tunaomboleza ukimya wako sasa cjui ukifa itakuwaje...
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 2 жыл бұрын
Uyo Jamaa Alouliwa Apo Nilokutana Nae Dodoma Akawa Mwanangu Sana Daah🤣🤣
@HamisHuka
@HamisHuka 2 ай бұрын
Jamaa gani tena
@bonifacelutumo1196
@bonifacelutumo1196 Жыл бұрын
Nitakufaje 😂,Hawa wasani wangekuepo adi Leo mziki ungekua mbali
@solesterjulius8767
@solesterjulius8767 2 жыл бұрын
Tuliokuja baada ya da Paulina zongo kutufokea tujuane🤣🤣🤣🤣
@devismariki5188
@devismariki5188 3 жыл бұрын
🇰🇪2021 bado najiuliza nitakufaje....nipe Likes mingi kwa GK...
@hardfreygodfrey3163
@hardfreygodfrey3163 5 жыл бұрын
Here 2019 still watching
@fanuelmulumba9976
@fanuelmulumba9976 4 жыл бұрын
Hardfrey Godfrey 2020 and forever
@godwinjonas4818
@godwinjonas4818 5 жыл бұрын
Ngoma kali sana inakumbusha mbali Gk
@Same-ol5ll
@Same-ol5ll 4 жыл бұрын
One of those best songs of all times
@NdunduTv
@NdunduTv 3 жыл бұрын
Waliokuja baada ya rais wetu kufariki 2juane
@gwakisamwashambwa6041
@gwakisamwashambwa6041 4 жыл бұрын
Mziki mzuri enzi na enzi
@ramadhaniomary8751
@ramadhaniomary8751 6 жыл бұрын
Aiseee hii nazaid ya mziki
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 3 жыл бұрын
Waliokuja hapa baada ya kuona interview ya Pauline Zongo tujuane
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 5 жыл бұрын
Duh! Huu wimbo unahisia sana yani!
@Ganzaboke
@Ganzaboke 2 ай бұрын
Huyu jama mupaka sasa sija wayi kuona ama kusikiya anaye Chana kumuzidi
@peterkharled4158
@peterkharled4158 Жыл бұрын
2023 Ngoja bado naiskiliza
@dicklackmgiye7893
@dicklackmgiye7893 5 жыл бұрын
Noma sana ngoma hizi watu walikuwa nanaumiza vichwa that's why it still arrive
@zushjef6529
@zushjef6529 6 жыл бұрын
pauline zongo uko wap
@kaonekacavin6002
@kaonekacavin6002 3 жыл бұрын
Yupo alipata ajali,now yupo ila bado cyo poa kiviile,,nenda global tv iko interview alifanyiwa pale,,its getting sad😢
@kennyandola
@kennyandola 7 жыл бұрын
naaaaam!!!!
@scocheztv9326
@scocheztv9326 3 жыл бұрын
Tunao angalia 2020 like
@ibramtibila7029
@ibramtibila7029 4 жыл бұрын
Nakubali East Coast team
@majaliwajob1808
@majaliwajob1808 6 жыл бұрын
Mlikuwa mnaimba nyimbo za kuelimisha lakin mzik wasasa du
@langwenyacharlie6767
@langwenyacharlie6767 4 жыл бұрын
Tumpikeni kwa Aman ndugu na jamaa na Marafiki
@jonathanishenyagwa6174
@jonathanishenyagwa6174 4 жыл бұрын
Hawa ndio wasanii
@fabianimbilinyi651
@fabianimbilinyi651 5 жыл бұрын
Nyimbo zilikuwaga zamani
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 жыл бұрын
Hicho kigugumizi ni usanii tosha👏
@amanimustapha8136
@amanimustapha8136 6 ай бұрын
Best of the best kutoka kwa GK ✌️
@emmanuelvedastus5218
@emmanuelvedastus5218 2 жыл бұрын
I came here after seeing Pauline's drug addiction video
@THREE_ANGLES_MESSAGE.
@THREE_ANGLES_MESSAGE. 2 жыл бұрын
Me too
@yakawechikoli7595
@yakawechikoli7595 2 жыл бұрын
Also me too
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 4 жыл бұрын
Daaaah 😭😭😭😭 mziki urithi wenu, East Coast dira yenu
@fanuelmulumba9976
@fanuelmulumba9976 4 жыл бұрын
Nameless Nameless Noma sanaa
@arafatramadhan6153
@arafatramadhan6153 Күн бұрын
16/08/2024 Here we go
@allyaally8164
@allyaally8164 2 жыл бұрын
😭😭😭 noma.sana Yan daaaah
@noahb2009
@noahb2009 3 жыл бұрын
Wangapi mmekuja kuangalia baada kifo cha Dmx
@abubakarymsuluzya2195
@abubakarymsuluzya2195 2 жыл бұрын
Pauline zongo😭😭
@andersonkaligogo1970
@andersonkaligogo1970 4 жыл бұрын
Much respect bro kazi ilikuwa poa
@anicetmpawenayo3046
@anicetmpawenayo3046 3 жыл бұрын
King crazy gk u are one of the best bro
@monicaballucci324
@monicaballucci324 Жыл бұрын
Iwas in primary 😂😂😂when this song came out ...ithink was in third grade or smthn
@hamisishabalala_sneper6991
@hamisishabalala_sneper6991 5 жыл бұрын
Naicheki hapa 30/3/2019
@judithpaul9013
@judithpaul9013 6 жыл бұрын
Jmn zaman zirud tu
@manenoadam2883
@manenoadam2883 4 жыл бұрын
Km unaangalia hii 2020 gonga like hapa
@mwinyitoreira2339
@mwinyitoreira2339 3 жыл бұрын
Ntakufaje cjui 2020
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 3 жыл бұрын
iwanna go to heaven
@jumazubeir5787
@jumazubeir5787 3 жыл бұрын
We will meet Inshallah
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 3 жыл бұрын
what ever I die but still my dream is going to heaven
@judebenjamin6805
@judebenjamin6805 2 жыл бұрын
Yes sis, that's the goal👉🏿1 Corinthians 9:24 Know ye not that they which run in a race run all, but one receiveth the prize? So run, that ye may obtain
@eliaskashuku3831
@eliaskashuku3831 3 жыл бұрын
Nitakufaje ...Listening gain d again .Still 2021😍🎧
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 4 жыл бұрын
Dmx..wa bongo
@fanuelmulumba9976
@fanuelmulumba9976 4 жыл бұрын
emmanuel judas Dmx wetu huyu
@andrewvedastus6958
@andrewvedastus6958 4 жыл бұрын
Just great creativity, big up!
@frankemanuely4461
@frankemanuely4461 3 жыл бұрын
Hii naikumbuka sana 2021 mungu tusaidie
@mtosimbakwetu130
@mtosimbakwetu130 3 жыл бұрын
Nimemkumbuka xna uyu Broo
@patrickbro2249
@patrickbro2249 3 жыл бұрын
Duuh kitamboooo
@mumbayeashata993
@mumbayeashata993 4 жыл бұрын
2020 gonga like ya nitakufaje
@odiliamathias5424
@odiliamathias5424 2 жыл бұрын
Naitaza 2022 kama na wewe utitazama weka like apo
@damianmichael1768
@damianmichael1768 6 жыл бұрын
Long time sanaaaaaa
@honestymwangoka3307
@honestymwangoka3307 6 жыл бұрын
Axant gk
@cartoonmc2595
@cartoonmc2595 Жыл бұрын
Talented Gk...
@gillymunisi5316
@gillymunisi5316 7 ай бұрын
2024 🔥
@officialdon1922
@officialdon1922 3 ай бұрын
2024
@burudatv751
@burudatv751 2 жыл бұрын
Muziki mzuri,mziki unaoishi,dec2021 furesh tu naenjoy
@jumajuma2726
@jumajuma2726 4 жыл бұрын
Nitakufaje lini wapi saa ngapi daaah kikubwa zaid mwisho mwema MUNGU atuifadhi na tupate mwisho mwema
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 5 жыл бұрын
Old is gold 🥇
@ramadhaniamani1760
@ramadhaniamani1760 2 жыл бұрын
Good music lives forever
King Crazy GK  - Sauti ya Manka (Official Video)
4:12
East Coast Team
Рет қаралды 130 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 3,3 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 59 МЛН
WATUNZA MISINGI:TUTAENDELEA KUBISHA
4:39
Watunza Misingi
Рет қаралды 8 М.
Barua (feat. Daz Nundaz)
5:26
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 112 М.
BIG CHAWA FT KING CRAZY GK
12:07
BIG CHAWA
Рет қаралды 48 М.
MWANA FA FT LADY JAYDEE ALIKUFA KWA NGOMA
8:51
COCO MEDIA
Рет қаралды 212 М.
rama d ft Muajanja Saplayaz  kuwa na subira Official Music Video
4:10
maujanjasaplayazofficial
Рет қаралды 185 М.
roho saba - nakupenda hiphop.flv
4:48
kaloka64
Рет қаралды 294 М.
AyoTV Crazy GK XXL Interview 4 August 28 2013
3:45
Millard Ayo
Рет қаралды 32 М.
King Crazy GK -  Sister Sister (Official Video)
5:42
East Coast Team
Рет қаралды 116 М.
Mandojo na Domokaya  - Dingi (Official Video)
5:45
Domokaya
Рет қаралды 518 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 3,3 МЛН