Ubarikiwe sana sana mch Swai nimeona kiongozi wa namna hiyo anapohubiri anamabodigadi anaheshimiwa na washirika kuliko wanavyomweshimu Mungu hii ni mauti na nimpentekoste
@jeromepetrododomatunawapat3654 Жыл бұрын
Mungu akubaliki mtunzahazina kwa some la uongozi was kibiblia kweli viongozi wengi wamekuwa madkiteta
@haningtonkabuta9387 Жыл бұрын
We are humbly following the training!
@PenielNnko-w2k Жыл бұрын
Mpendwa mhazini mkuu umesema kweli. Viongozi wengi ni vikwazo. Madikteta,walafi, wabaguzi sana. Ila Viongozi wazuri wanaleta mafanikio makubwa.
@jeromepetrododomatunawapat3654 Жыл бұрын
Mtumishi hata kwetu mahoma makulu karibu na mji wa serikali mchungaji kafungua kanisa Sasa viongozi wanamkataza
@jeromepetrododomatunawapat3654 Жыл бұрын
Mimi nimshirika wa TAG natumia nafasi hii kuomba msaada kwako hapa mahoma makulu Kuna mchungaji kafungua kanisa la TAG ila viongozi wanamkataza