Hiyo kama imefanywa kwa utukufu wa Mungu ni sawa lakini kama ni kuonesha umma kuwa aliyekuwepo alikuwa hafai basi nuda utasema wapo wengi waliofanya kuwakomoa watumushi waanzilishi na mwisho wao haukuwa mzuri lakini pia kila mmoja anayo maoni yake tumeitwa kwa namna tofauti tusubiri muda useme
@StevenMwinamijr2 күн бұрын
Mungu akubariki mchungaji dustan kanemba.
@DeodatusPhabian2 күн бұрын
Mungu awainue zaidi awafanyie wepesi.
@basilisamsaka84693 күн бұрын
Ila mi nashauri mwache kujitesa Kwa kudhani mnashindana na mtumishi wa Mungu Magembe mwacheni Mungu amemtenga Kwa kusudi lk hasa nyakati za mwisho.
@StevenMwinamijr2 күн бұрын
Hayo ni mawazo yako hakuna aneshindana na magembe kwahiyo unataka watu wanyeshewe?
@basilisamsaka84692 күн бұрын
@StevenMwinamijr mbona hamkujenga toka miaka 50 iliyopita
@basilisamsaka84692 күн бұрын
@StevenMwinamijr TAG Kwa sasahakuna issue
@rehemamsami8000Күн бұрын
@@basilisamsaka8469nani aliyetakiwa kujenga!?
@DeodatusPhabian6 сағат бұрын
@@basilisamsaka8469 Ndugu zangu. Mungu sio wa Mtu Moja tusitegemee kazi ya Mungu itafanya na magembe tu. Hawezi kuhubili Dunia nzima. Kila mmoja anahaki ya kufanya kazi ya Mungu akisimama katika haki. Tusimtukuze sana mwanadamu. YESU YUHAI PIGA INJILI POPOTE ULIPO.
@safinatibanyendela18202 күн бұрын
Aaamen Baba mimi nakuamini, Mungu azidi kukutumia zaidi na zaidi
@newbornhaule3 күн бұрын
Mungu kazi zake hazicgunguziki wenda aliruhusu haya kasiiongezeke ko hapa nikukaza buti kuutafuta uso wa Bwana
@JoelinaPareso3 күн бұрын
Hongereni sanaa!! Nimefurahi saana, mungu aendelee kuliinua kanisa lake
@MeksoniModesta-iu7vo3 күн бұрын
Mungu akubariki sana mchungji kanemba
@alexnomba2 күн бұрын
Magembe sio kanembe usiharibu majina ya watu
@hannapatrick48173 күн бұрын
Amina amina barikiwa mch Kanemba 🎉🎉
@ElishaMasele-q6c2 күн бұрын
Uwe makini sana Mzee, ogopa sana kurithi make akiwa ana Mali na watoto, siku Moja unaweza fukuzwa kama mbwa
@annapius19433 күн бұрын
Hongela sana baba yetu dasitani kanemba
@PaulMwenda-w9v3 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤ maua yenu waumini wa majumba sita
@MeckMsea-cx1ct2 күн бұрын
Huyu mzee anaunyekevu sana ndo maana wamemweka hp kanemba mungu akubariki sana
@mangashajunior2423 күн бұрын
Hongera maghembe kuondoka kwako kumeamsha waliokuwa wamelala sasa.wanajenga kwa mfuko wa makao makuu...huo ndio uamsho aliotaka Maghembe majumba sita....
@chrisdeoglatias86653 күн бұрын
Ha ha haaaa, mpk atoke ndy utokee!!?
@PeterMathias-g2d3 күн бұрын
Hongera sana Mtume Magembe kwa kazi Yako nzuri Maduka sita,peekee Mungu atakumbuka utumishi wako,Hawa ni wanadamu usitegemee shukrani kutoka kwenye vinywa vyao zaidi ya majigambo haya,kwani hata kijiko wamechukua ulichotumia kwa ofisi,ila inaonekana mafundisho ya Yesu Sio sahihi kuhusu utu wa mtu.
@sawanjema48893 күн бұрын
Huku kwetu magembe hayupo mbona kazi ya mungu inasonga mbele?acheni uchonganishi
@pastormichaelkayombopendec249721 сағат бұрын
Mnahangaika bure fanyeni kazi ya Mungu mashindano hayampendezi Mungu
@AnociathaChuwa-cb5nk2 күн бұрын
Ahsante MUNGU kwa maisha ya mtumishi wako Magembe uliyemtumia kkufanya kazi yote hii Mkono wako wenye nguvu uendelee kuwa pamoja naye!! Ukamtumie sawa na mapenzi yako na kusiwe na lolote la kumzuia kwa JINA KUU LA YESU CHRISTO Roho mtakatifu ukamfariji popote moyo wake ulipoumizwa kwa JINA LA YESU CHRISTO
@ShukuruMveyange2 күн бұрын
Magembe ameacha kazi zuri
@bintalmasi23932 күн бұрын
Amen
@jacklinefideli-nm4so3 күн бұрын
Mbarikiwe sana kwa utumishi mzuri
@michaelrweyemamu10683 күн бұрын
Kazi ya Mungu na iendeleee
@samwelmatemu88733 күн бұрын
Poleni sana..mpeni Mungu haki yake
@tabithalucas18313 күн бұрын
Utukufu kwa Mungu wetu na azidi kulitetea kanisa letu zuri la TAG.Mungu azidi kumtumia mtumishi wake Mch.Kanemba ,hakika ni Mchungaji mzuri sanaaa.
@PGM201793 күн бұрын
@@tabithalucas1831 Mnoooooo ana busara, hekima, mnyenyekevu na tabasamu kama Yesu alivyokuwa na upendo wa watu
@zachariangoyo64953 күн бұрын
Hakuna mwenye kanisa kanisa nila YESU pekeee
@fastonsambo-du4rd2 күн бұрын
Uzuri wa kanisa lolote ni viwango vya kanisa hilo na siyo jina la kanisa
@godsonishengoma5378Күн бұрын
@@zachariangoyo6495 na kanisa lenyewe s jengo bali m2 mwenyewe!
@MeckMsea-cx1ct2 күн бұрын
Mungu akubari kanemba wew nikiongozi unaye mjiwa mungu
@RuthRhobi4 сағат бұрын
Hongera sana kwa kujua lililokusudi la Mungu
@RuthRhobi4 сағат бұрын
Hongera sana kwa kujua lililokusudi la Mungu
@piussimtala51113 күн бұрын
Heri wamtumainio Bwana!
@PetroLogani3 күн бұрын
Mumshukuru magembe amewaamsha usingizini
@JeremiahMwalukosya3 күн бұрын
Nimempenda sana huyu mchungaji natamani angekuwa mchungaji wangu
@johnmmasi44823 күн бұрын
Hakika Bwana yupo kazini na hayo pia ni matokea ya uamsho.usiogope,kazi iendelee
@byesigwafabian92553 күн бұрын
Mnajifurahisha tu Mungu atawaacha mbakie na dini tu lakini wakovu utaondoka. Soma habari za Kanisa la Sarmina na Leodekia! Mungu hafanyi kazi za ushabiki bali moyo uliyo vunjika na pondeka! Moyo wa toba ili Mungu aachilie Rehema na fadhili! Lakini kuendelea kushangilia kuondoka kwa Mchg Moses Magembe mtapigwa tu BWANA wa majeshi!
@sawanjema48893 күн бұрын
Unaombea mabaya ikusaidie nini?wivu wanini?kama unataka kuhamia hapo Nani kakukataza?
@sawanjema48893 күн бұрын
Tag huijui vizuri
@sawanjema48893 күн бұрын
Kama magembe ameondoka wewe ulitaka wafanye nini kama kweli unamjua mungu,
@sawanjema48893 күн бұрын
Hakuna aliyemfukuza ameondoka Kwa hiari yake
@wilbertmpupua15473 күн бұрын
@@byesigwafabian9255 Unajua mnashangaza sana, hivi kuondoka kwa Mch Magembe ndio T.A.G iwe dini?au ndio Mungu asiwepo kwa sababu Mch Magembe ameondoka? lakini mnatakiwa mjue, Mungu atabaki kuwa Mungu,na Mungu ametupa Neno lake linalotuongoza namna ya kufanya ili Uamsho utokee,na hiyo ndio strategy yetu.
@NIKODEMMWAHANGILA-v5w3 күн бұрын
Hongereni sana tena sana huyo ni Bwana
@EliusMugisha2 күн бұрын
Mungu tusimamie
@cornelfrancis57203 күн бұрын
Sikutarajia kuona wanashindana kwa kujenga majengo. Hata makanisa ya ulaya yalikuwa na majengo tena mazuri kuliko hilo walilojenga lakini yaliishia kuwa kumbi za cinema kwa sababu uamsho haukuwepo na watu waliacha kwenda makanisani.
@hurumakisingaernest12932 күн бұрын
Hoka yako haswa ni nini?!
@lucypangahela560313 сағат бұрын
Waombee wasimame sio kuwabeza
@basilisamsaka84693 күн бұрын
Mary uko vizuri
@ElishaDaniel-ps9og2 күн бұрын
Mungu azindi kulionekenia Kanisa la T a g kwa zoruba hii na aiponye miiyo iliojeruhika
@nehemiakalinga65292 күн бұрын
MUNGU awabarikii
@LispafulgenceSimon-rs1zg3 күн бұрын
Pole yenu
@propKibaliКүн бұрын
Ni vema kusaidiwa na mtu, lkn shida ya mwanadamu ni pale ambapo baada ya kumpa mtu msaada anakuwa hatarajii kuona aliyemsaidia anapita njia iliyo nje ya matakwa yake hata kama anakosea. Pamoja na yote Mungu mwenye kumilki nafsi zetu awatunze mpaka Yesu atakaporudi!
@Yusuphrevocatus-g3v3 күн бұрын
karibuni kwa mchungaji magembe
@AmenMushi-j2j2 күн бұрын
Mungu aonaye siri upo
@tygadaclassic34883 күн бұрын
Magembe yupo busy na injili??
@MeshackKabelege2 күн бұрын
Uamsho analeta Mungu na si mwanadamu. Anamtumia mwanadamu aliye mchagua kuueneza.
@SonOfJesus-w2l2 күн бұрын
Watu watesema mengi baba, lakini mwamini YESU hatakuacga. TAG nikanisa zuri bhn hakuna asiyejua hlo
@byesigwafabian92553 күн бұрын
Kwani mnashindana na nani? Wapendwa acheni vijembe fanyeni kazi ya Mungu. Yesu hakuwahi kurumbana na wanafunzi wake au na mtu yeyote. Walipo muuliza wewe ndiwe Kristo Mfalme wa Wayahudi jibu ni wewe wasema! Sasa sisi tunawashangaa hayo mnayoshindania! Mtume Paulo alizuia mabishano yasiyo ya lazima!
@wilbertmpupua15473 күн бұрын
@@byesigwafabian9255 Kwani wamesema wanashindana?
@erastomwambeje99203 күн бұрын
Aaah aiseee
@EdwinMtokambali3 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ElishaMasele-q6c2 күн бұрын
Mme muona Mungu au mimeona jengo? Mungu haonekani kihivyo ww uudanganyae uma
Ko kujenga nyumba sita ndo kurudi kimwili!! Dahhhhhhhhhhhhhhh!! Mnapenda saana kuwanyooshea watu vidole
@CharlesMbunda-og5tn2 күн бұрын
@JoelinaPareso Msitende neno lolote kwa kushindana (WAFILIPI 2:3). Mwenye macho haambiwi, TAZAMA! Na mwenye masikio akisikiliza kinachoendelea, moja kwa moja anaona jinsi mnavyojaribu kushindana na Mchungaji Magembe!!
@JoelinaPareso2 күн бұрын
@@CharlesMbunda-og5tn Huo ni uelewa wako, watu wamejenga nyumba ya ibada, hapo mashindano yako wapi!! Kungekuwa na nyumba alafu wao wanajenga nyingine hapo sawa!! Jitahidi usiwe na chuki bila sababu!! Hao wate wanafanya kazi ya mungu, mungu amtumie kila mmoja kwa kiwango chake, tusiwe wahukumu sisi
@CharlesMbunda-og5tn2 күн бұрын
@@JoelinaPareso Sina chuki na TAG, maana imeandikwa, Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Ila ukweli ndio huo. Kama ni ujenzi moto moto, ulipaswa kufanyika hata kabla ya Mch Magembe kujitoa! Sura ya mashindano iko wazi, hata kama unatetea dini kupita Yesu!!!
@PeterMgaya-l5h3 күн бұрын
Chochote kitakachofanyika majumba sita baraka zinamwendea magembe
@innocentkalalu55032 күн бұрын
Mh
@apostleagnes57692 күн бұрын
Kazi kubwa ipi wewe dada 😂😂 TAG BHANA MNAJUA KUJIVUNA ASEE
@filberthenrick2 күн бұрын
Asiyeshukuru kwa kidogo hata akipewa kikubwa hawezi kushukuru
@NeemaMathias20212 күн бұрын
unavyoona nikama kinachofanyika nikumukomoa magembe nataka niseme Magembe kaokokaa sana na kutoka kwake ni pigo sana kwa kanisa la TAG na huu mwangwi utasikika kwa muda mrefu na yawezekana hapo ndoo taa ya wokovu ndo hiyooo inayoyoma kama kile alichokuwa anapinga magembe kisipotendewa kazi we jua litakuwa kanisa kama makanisa yakawaida sana mnayoonaga kama yamepoa.
@patrickmbigirwaКүн бұрын
Jamani mimi ni mkongo kusema kweli Magembe ameokoka kweli kweli hata ukitazama anavyo hubiri na kuliya juu ya watu wanavyo muacha Mungu hautashinda uko najiuliza maswali au kuwa na mashaka na Mtumishi wa Mungu huu ameokowa wengi kila mahali kwenye dunia hii naangali naendelea tu kutuokowa injili yake nikama ya Moses Kulola tu nani mwengine mtumishi wa Mungu tunaye kama Magembe African?? Uyu amechaguliwa na Mungu hata akakubali kuacha yote ya kanisa lake TAG juu ya kumufanyiya Mungu kazi jamani iweni macho wakati huu tunao shauri yenyu
@MassaweMeshack3 күн бұрын
Mungu atafuti majengo ata kesho amieni lingine nisawa kujaza maji kwenye gunia nikazi bure tuu
@PGM201793 күн бұрын
You people mbona mko negative sana. Kwa nini mmeruhusu shetani kuwaingia kiasi hicho? Ni heri mnyamaze msiendelee kuwa kinyume na TAG maana hata nyie mnafahamu fika kuwa ni kanisa la Bwana Yesu.
@PGM201793 күн бұрын
mbona magembe huko muda mfupi why anapambana kujenga saizi na akiwa huku miaka yote yupo Magodown ya TBA? Wee huoni hilo tatizo braza? au nyie ndio mlikuwa kikwazo katika juhudi za miaka 13 ya moto wa uamusho sasa Bwana ameamua kung'oa mwenyewe magugu
@rehemamsami80003 күн бұрын
@@PGM20179 umemjibu vizuri sana sawa na upumbavu wake
@wearemalinda51473 күн бұрын
@PGM20179 Mali alizoziacha Pst Magembe thamani yake huwezi kulinganisha na ujenzi wa jengo, ila wachungaji wa TAG wanapaswa kujifunza hata wao wanaweza kuondolewa bila kitu, leo hii Askofu Mtokambali anaweza kumuondoa mch. Kanemba na kumpeleka kwingine akaanze huduma bila kujali umri wake na investment aliyoiweka hapo, il mchungaji i ufanikiwe TAG ni lazima uwe rafiki/ chawa wa viongozi wa juu. His ndo main reason Askofu Mos3s Kulola alijitoa na Kwanzaa EAGT.
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur3 күн бұрын
@@PGM20179limeshaoza tag sio lile aliloanzisha Moses kulola uzinzi,watu wanapata mali za wizi kidhulumu wanakuja kutoa sadaka, wanawake vinguo vifupi, bongo fleva style imeingia tag kwenye sifa, rap music imeingia tag uchafu wa kila aina umo humo
@ImmkulathaIsaac3 күн бұрын
Kanisa alilokuwa anatumia mch Maghembe limeenda wapi?
@sawanjema48893 күн бұрын
Hakuwa na jengo,alipanga godauni
@estermathias83543 күн бұрын
We acha uongo ww Yan ajenge shule afu ashindwe kujenga kanisa duh@@sawanjema4889
@GodfreyPeter-r1m8 сағат бұрын
Lilikuwa la kukodi
@filimonmpinge6039Күн бұрын
Majumba magar yote tutaacha hapahqpq duniani
@emmamwambete22102 күн бұрын
Ni jambo zuri kujenga kanisa, ni mojawapo ya matumizi ya fedha za sadaka, inaonyesha fedha za sadaka zipo TAG. Ni vizuri sasa makanisa yote ya TAG yenye majengo yasiyovutia nayo yakapewa fedha za ujenzi kama ilivyofanyika majumba sita
@dassustephen7312 күн бұрын
Mmemfukuza Moses Maghembe huyo itawaletea shida sana
@makutimalubu23 сағат бұрын
Sababu za Moses Kolola kuhama TAG ilikuwa Uamsho na anguko la ubujiko la roho. Makuhani wetu Hawa wamekuwa wakipambania matumbo yao na kujivunia mabatizo ya maji mengi, matoleo mbalimbali ya sadaka , kujijali binafsi na Hali utakatifu ukidorola makanisani. Enyi wakuu wa makuhani kumbuka mtatoa hesabu mbele za Mungu maana kwenu mnatuchanganya tuu
@mangashajunior2423 күн бұрын
Ni uamsho wa Maghembe asingeondoka wakuu wa masinagogi wasinge achia pesa...😅😅😅😅😅😅
@rehemamsami80003 күн бұрын
Ni kweli huo nao ni uamsho,maana imefanya jengo lijengwe ,kusali kwenye magodown kumeisha
@teveliblt453 күн бұрын
Kumbe shida ilikuwa pesa
@deogratiusdaffi15483 күн бұрын
Unayempa hongera hakuweza jenga kanisa kwa miaka ishirini na nane aliyokaa majumba sita hivyo alikuwa ni mtu wa kutangatanga
@wilbertmpupua15473 күн бұрын
Nadhani hujui taratibu za Kanisa la T.A.G, Kanisa la T.A.G ujenzi wa Majengo ya Makanisa ni suala la Kanisa husika,hilo jengo linalojengwa na Makao Makuu ni kutokana na kuwa, walikuwa wanasalia kwenye magodauni ambayo yamerudishwa kwa wamiliki wake,kwa hiyo ilibidi HQ watoe fedha za ujenzi huo ili Washirika wasikose mwelekeo
@mangashajunior2423 күн бұрын
@wilbertmpupua1547 ndio hio uamsho
@filberthenrick2 күн бұрын
Mtizamo mtu ni wa mtu. Maana kuna watu hawawezi kufikiri chanya, maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Kikubwa usilazimishe mtazamo wako uwe mtazamo wa ulimwengu mzima.
@patrickmbigirwa2 күн бұрын
Nyiye hamjuwi ku comment mjengo tu inakua eti uamusho hamjuwi uamusho kabisa.... waebrania wala jenga mijengo mizuri sana kuliko haya ila Yesu alisemaje kuhusu makanisa yao muwe macho
@moyojubeki63302 күн бұрын
Hamna watu hapo
@CalistusTitus-s5o2 күн бұрын
ili kanisa limeshakuwa la kidini siyo tena la uwokovu, mapokeo ya wanadamu yamekuwa mengiiiii na udunia umeingia ndani ya kanisa
@ChristinaKembe2 күн бұрын
MICHANGO YA MAGHEMBE ndo mnajengea
@rehemamsami8000Күн бұрын
😂😂😂utakosa mbingu wewe endelea kusema uongo
@ChristinaKembe2 күн бұрын
UAMSHO NI KUJENGA magengo???
@mathiaspeter3972 күн бұрын
JENGO KUBWA SI JAMBO LA MAANA! KANISA SIO JENGO!
@johnnsembele44012 күн бұрын
mbona magembe ana wafuasi wengi kuliko nyinyi sasa
@mathiaspeter3972 күн бұрын
TAG MKO KIFONI, IMEKUWA DINI TU KAMA KATOLIKI
@DerickNdasalama-s9n3 күн бұрын
Hamna kitu apóoo
@pastorpetermageta68332 күн бұрын
Huo ni uamuzi wa MUNGU, wala sio mtokambali
@ElishaMasele-q6c2 күн бұрын
Anae weza kumwamsha mwingine ni yule aliye macho, Kuna aliye macho hata aeneze huo uasho?
@YussuphJonas2 күн бұрын
T,A,G NANZURI KWA WASHILIKA NA WATOTO WAWA CHUNGAJI WALIO KARIBU NA MAASIKOFU ILA SISI AMBAO WAZAZI WETU WALIKUA CHINI NBWAKAFAA HATUUONI UZURI WOWOTE NIKELOTUU MSISIFIE DINI SIFIENI YESU HALAFU MAJENGI HAYA ENDI MBINGUNI, T,A,G YA MIAKA ILA UTOTO MWINGIIii
@frankmfuse69903 күн бұрын
Kwahiyo ndo namna ya kuzima sakata la magembe
@MICHAELTARMO3 күн бұрын
Acheni uhuni wa kuficha ushaifu wenu
@geofreymilinga29653 күн бұрын
Kwaiyo Magembe miaka 50 kumbe akujenge kanisa la kueleweka
@GodfreyPeter-r1m8 сағат бұрын
Viongozi wa aina yake huwa hawaleti maendeleo kwa maana ya material, wao ni roho za watu na pesa kwa ajili ya familia zao!
@JOSHUASAMWEL-m7v2 күн бұрын
Mimi ninavyojua kanisa Huwa linajengwa na washirika na TAG husaport ukiomba msaada
@basilisamsaka84693 күн бұрын
Yaani kanemba umekuwa mkubwa yaani mtu mzima,nakumbuka tulikufanyia harusi yk na binti Mery wa Mzee salaka pale kawe na ni tunda la mchungaji Lukindo
@mangashajunior2422 күн бұрын
@@basilisamsaka8469 na lukindo pia alivurugwa TAG akaondoka kuanzisha uamsho kupitia huduma yake gospel assembly na kazi inasonga mbele...
@basilisamsaka84693 күн бұрын
Ndio mjue mchungaji Moses Magembe ni mtumishi wa Mungu mkubwa
@IsaacLameck-nz8yr2 күн бұрын
Kwani magembe alibomoa lile kanisa la mwanzo ????
@rehemamsami8000Күн бұрын
Jalijawahi kujengwa
@GodfreyPeter-r1m8 сағат бұрын
Halikuwa la TAG, lilikuwa la kukodi
@marympochela79033 күн бұрын
Nadhani wamehama majumba sita si kwa sababu mfuko wa jimbo umetema la, ikumbukwe kwamba majengo yale si ya TAG, mfano, ukiomba mahali kwa uaminifu wako ukapata kibali,kisha ukaondoka eneo hilo, kwa vyovyote vile ni lazima wenye majengo yao watayahitaji maana wewe uliyejiaminisha kwao haupo tena hapo, inawezekana ndicho kilicho tokea.
@GodfreyPeter-r1m8 сағат бұрын
Hujakosea
@basilisamsaka84693 күн бұрын
Kwani walikuwa hawana jengo wakati wa Magem be?
@GodfreyPeter-r1m8 сағат бұрын
Inaonekana mama amesema walikuwa wanasalia kwenye majumba ya serikali, kwa vile aliyeyaomba kwa niaba ya TAG ni mzee Magembe kabla ya kuondoka aliyakabidhi
@EricTrillz3 күн бұрын
MAKOFI KWA MWANZILISHI WA MAJUMBA 6.MUNGU AKAENDELEE KUMUINUA KTK KUFANYA KAZI YAKE.