Hongera Baba Askofu Mkamba. Kanda ya kusini hatutakusahu kamwe. Mafundisho yako yamenifanya kukua zaidi kiroho na kumuona Mungu sana.
@angumbwikeanangisye665514 күн бұрын
Mungu akubariki
@NeemaSunday-f3l13 күн бұрын
Wana bahati sana washirika wa Magomeni. Maana ameondoka jembe wamewaletea jembe tena. Bigeup kwa Baba yetu mpendwa Askofu Mkuu wa TAG pamoja na majembe yake matatu 3.
@gracelusulo555519 күн бұрын
Hongera sana sana mtumishi wa Mungu, Acha Mungu akuinue zaidi na zaidi. Nimebarikiwa sana kwa uteule wako.
@SimonMagesa-g4b18 күн бұрын
Hongera sana mtumishi nakumbuka mafundisho yako ukiwa na mama Robo ukerewe
@emmanuelrweikiza611719 күн бұрын
Mch: Mungu akubariki kwa kujibu kwa hekima kuwa unatambua maono ya mchungaji aliyeondoka na utaanza kuitambua kazi zilizopo sio kana kwamba hukukuwa na maono kabisa ubarikiwe sana umetulia sana
@michaelrweyemamu106818 күн бұрын
Kazi na iendeleee
@basilisamsaka846913 күн бұрын
Nnikwaambieni huyu Kwa nn hajapelekwa kwenye kanisa lenye changamoto,utakuta ni mchaga
@reginafrolence19 күн бұрын
Ubarikiwe
@williammwalyego453019 күн бұрын
M13MU!!! NIMEMSHUKURU MUNGU ALIYEHAI KWA MPANGO WAKE AMBAO NI KWA MAJIRA NA WAKATI. NISEME JINA LA BWANA LITUKUZWE KWA KAZI NJEMA YA UTUMISHI NA UJENZI WA UFALME WAKE!!! UBARIKIWE NA BWANA
@Shalom80318 күн бұрын
Mteule, atathibitishwa lini? Mimi nafikiri yeye ni full mchungaji tayari kwa kuwa hakuna kuthibitishwa. Ila toka Sumbawanga hadi Dar? Mambo mazito kabisa
@elizabethmiho957418 күн бұрын
Mpendwa ndivyo kazi zinazokuwaga .na sisi wa kwetu alikuwa anachunga kanisa dar wiki ilopita amehamishiwa mbeya
@erastomwambeje992018 күн бұрын
1.TAG kikatiba haina Mchungaji mteule. 2.Huwezi kumuondoa Askofu wa jimbo kutoka Jimbo moja kwenda Jimbo lingine. Kuna tatizo katika mfumo,unaachaje wito wako ? Kinachofanyika sasa ni centralization. Centralization haikubaliki katika Assemblies of God kote duniani. Ni swala la muda.
@peterelibarikingowi975315 күн бұрын
Fahamu wito Mungu amekuitia nini, Tumeitwa kwa huduma ya kichungaji na si Askofu, Askofu Ezekiel amechagua fungu jema. Kanisa hili ni zuri sana na linasimama na msingi wa kiutumishi ndani yake.