Рет қаралды 6,020
Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla.
Katika kipindi hiki utafahamu namna unavyoweza kufaidika kiuchumi kwa kuanza kufuga samaki kwa kutumia njia ya vizimba kwenye bahari au maziwa yaliyopo hapa nchini.