Rais Magufuli LIVE Clouds360 | Atoa Maagizo Makali Stendi Mpya Dodoma

  Рет қаралды 187,932

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 жыл бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli amezungumza kuhusu stendi kuu ya Nane Nane Dodoma

Пікірлер: 334
@Richiemagessa
@Richiemagessa 4 жыл бұрын
Safi sana hongera kwa clouds 360 kwa kuzijali kero za wananchi pia hongera na pongezi nyingi kwa mheshimiwa Rais JPM kwa kufatilia kwa ukaribu kero za wananchi wako kwa wanao kufatilia wanajua hukuanza leo kupiga cm na kutoa maelekezo mbali mbali hongera sana mheshimiwa
@herimallya3385
@herimallya3385 4 жыл бұрын
I feel pride of my motherland🇹🇿🇹🇿asante Rais wangu..MUNGU akubariki.
@e.m.e.m5949
@e.m.e.m5949 4 жыл бұрын
Kama umemuona Askari mtiifu 🤣🤣🤣,gonga like
@mariamtegele8606
@mariamtegele8606 4 жыл бұрын
Saaaana hii ndio nidhamu magufuli mbele kwa mbele
@e.m.e.m5949
@e.m.e.m5949 4 жыл бұрын
Kama umemuona Askari akifanya maombi,gonga like
@adammakoye4198
@adammakoye4198 4 жыл бұрын
Ebwana!! Mkurugenzi uko safi sana hongera bro ww ni mchapa kazi unaipenda Dodoma ww ni mzalendo wa Dodoma ww geneus. Karibu Kondoa mjini.
@geofreybahema5118
@geofreybahema5118 4 жыл бұрын
Alemwonaa mwambaa ana kiparaaa mwenyee hamsha hamsha ka mzotee zen akaduwaaa baaada ya kuskiaa wapgaa debee awatakiiii likes kwangu tafadhaliii note ni yule wa nyuma ya mkurugenz
@leonardmanyanza1058
@leonardmanyanza1058 4 жыл бұрын
Voice of Tanzania mfariji mtetezi msimamizi mtoa matumaini kiongozi mwenye msimamo thabiti am proud of you my hero rais kipenzi cha wote
@hashimuissa4811
@hashimuissa4811 4 жыл бұрын
#aliemuona kamanda mwenye nidhamu..👮👮 gonga like
@v_i_p1109
@v_i_p1109 4 жыл бұрын
😂
@shabanikidaba9856
@shabanikidaba9856 4 жыл бұрын
Nakbali
@mhebhoamoskisimple2095
@mhebhoamoskisimple2095 4 жыл бұрын
Huyu magufuli ni tano Tena.Mungu awe nawe.tutakuchagua kwa hasira kuanzia mbunge.diwani vyote chukua tu
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA. kzbin.info/www/bejne/hIO7qZlvrLCimdU
@agnessamuel8514
@agnessamuel8514 4 жыл бұрын
Atawale tu jmn mpka mwisho wa maisha mm ananifurahisha sana
@MuslimChannelTZ
@MuslimChannelTZ 4 жыл бұрын
Mimi anitawale tu siku zote! Huyu rais wangu
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 4 жыл бұрын
5/5 stand sio kwa ajili ya matajiri tuu bali ni kwa watanzania wote ikiwemo maskini 💪 JPM tunae raisi wakujivunia
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Hivi JPM analala???anafatilia everything...i take off my hat 🎩 to this man
@friminrogasian6159
@friminrogasian6159 4 жыл бұрын
Kwel kwel
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Me too same question
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Alisema hua ana soma hadi comments. Mzee jiwe 😂
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 жыл бұрын
@@bjzee1981 😂 noma sana hii
@Jitu_Lisilofikirika.
@Jitu_Lisilofikirika. 4 жыл бұрын
@@bjzee1981 bwana bwanaaa
@Audilover6000
@Audilover6000 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Rais wetu Mpendwa unayewajali sana wanyonge. Tunaendelea Kukuombea.
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Jaman m nampenda sana huyu Rais wangu hv muheshimiwa ulikuwaga wapi?
@djmeza411a58
@djmeza411a58 4 жыл бұрын
Atanamimi najiulizaga kwanini atukumupata zamani
@mudrikkabubakar8136
@mudrikkabubakar8136 4 жыл бұрын
Na ndo maana napenda kumsikiliza kiongozi wetu Maana katika viongozi wenye Akili🤔 #Afrika basi huyu No,1 hongera sana
@missmwayway4704
@missmwayway4704 4 жыл бұрын
M/mungu azidi kukutia nguvu katika uongozi wako Rais wetu🙏🙏🙏🙏
@jamaa2760
@jamaa2760 4 жыл бұрын
Safi JPM,,, Sisi maskini tukishukia stendi kuu ya Dodoma, tuwezee kununua maandazi ya 100, au 200, tununue wali maharage wa 1500, wenye hela nyingi waende hotelini kununua vya elfu10
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 4 жыл бұрын
Man of People ☺️☺️☺️
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA. kzbin.info/www/bejne/hIO7qZlvrLCimdU
@karimmsosa4262
@karimmsosa4262 4 жыл бұрын
Magu genius amemkwepa swali la mtangazaji.
@adelinaadoloph5311
@adelinaadoloph5311 4 жыл бұрын
Hongera mh Rais, mkurugenzi,na clouds fm
@kingnicky2568
@kingnicky2568 4 жыл бұрын
Ila mzee Magu ww noma.... sanaa.....nakubali sana 😂😂😂😂😂😂😂respect sana
@gervasjustn2842
@gervasjustn2842 4 жыл бұрын
Jamani stand ni Kwa ajili ya watanzania wote,matajili na maskini, hongera sana Rais Magufuri.
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA. kzbin.info/www/bejne/hIO7qZlvrLCimdU
@kalundemalale8837
@kalundemalale8837 4 жыл бұрын
Safi sana sana kwa kujali wananchi
@weremamwita9740
@weremamwita9740 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema. Tunakushukuru kwa rais wetu mpendwa rais JPM.
@talikisiomlegehe7733
@talikisiomlegehe7733 4 жыл бұрын
Wa ilangamoto ikweha kwa sasa nipo mafinga Tz Namshukru nawapata mubashara kabisa CLOUDS360 muweke reapet jioni
@horrormoviesgang867
@horrormoviesgang867 4 жыл бұрын
Mzee wangu umepita Rais Magufuri uishi maisha marefu sana✊✊
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 4 жыл бұрын
Yani wewe ni Rais wa maisha utake usitake😂😂😂😂😂💪
@franceyaraby4342
@franceyaraby4342 4 жыл бұрын
A man of the people save demand. Of his people.God bless Tanzania
@tatunaheka4265
@tatunaheka4265 4 жыл бұрын
Uongozi wa mh rais Magufuli unajidhihirisha wazi kuwa "uongozi ni karama " hakika M/Mungu aendelee kukutetea,akukinge na kila baya ili uendelee kuwapambania watanzania na Tanzania
@alfredlaurent1728
@alfredlaurent1728 4 жыл бұрын
Rais wa waTanzania wote,Mungu akujalie afya njema,maisha marefu uendelee kuwatumikia waTanzania na kutuletea maendeleo na Tanzania iendelee kusonga mbele.
@deogratiasgabriel8555
@deogratiasgabriel8555 4 жыл бұрын
Hongera rais wangu magufuliiii miak Mia naneeeee
@kimwerionlinetv5574
@kimwerionlinetv5574 4 жыл бұрын
The President of Africa
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Daah huyu ndiye Rais, wa Dunia nzima
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 жыл бұрын
Wajasiriamali tushindwe wenyewe sasa. Kila support ya kuinuka awamu hii ya tano zipo, ni kuchagua sekta tu ya kupiga kazi. Mungu akubariki Sana Mhe. Rais Magufuli.
@dianafyondi9048
@dianafyondi9048 4 жыл бұрын
JPM jamani mungu azidi kukupingania. Kuna watu wengine kila kitu nikupinga tuu. Tukutane mwezi wa 10😀😀😀😀😀😀😀😀
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA. kzbin.info/www/bejne/hIO7qZlvrLCimdU
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Diana huo mwez wa kumi wakat wa kukutana unipitie tukamuwakilishe JPM
@barakarobert7003
@barakarobert7003 4 жыл бұрын
Mwez wa 10 tutawanyoosha 😁😁
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Tuchinje kabisa mwezi 10 fyekelea mbali sukuma nnjee
@nurumaumba713
@nurumaumba713 4 жыл бұрын
Huyu no zaidi ya rais hata Kama uchaguzi bado but tayari kashashinda
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Duhhhhhhhhh!! Hadi raha, Rais anaongea na watu Wa kawaida, Gooood saaaaaanaaaa%%%
@damianmachira7535
@damianmachira7535 4 жыл бұрын
Uyu no Raid wa Peke. Stend nyingi abiria wanasumbuka na kusumbuliwa sana. Big up president. 👏
@damianmachira7535
@damianmachira7535 4 жыл бұрын
Sorry, nimemahanisha, ndo Rais. Cyo no rRaid
@hassankissakakissaka2031
@hassankissakakissaka2031 4 жыл бұрын
Rais wa wanyonge safi san
@saidimazengo9934
@saidimazengo9934 4 жыл бұрын
Safi Sana mh.rais Magufuli.
@rahelmasiga1503
@rahelmasiga1503 4 жыл бұрын
Hiki chuma Cha chama tawala hakina mpinzani Jembe letu latosha wengine mnajisumbua tu
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 4 жыл бұрын
Sasa umpe kura mwingine unatafuta nini?
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 4 жыл бұрын
DAH SHUKRAN SANA !!!
@tajaelmichael227
@tajaelmichael227 4 жыл бұрын
Clouds media mnafanya kazi nzuri God bless you
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Mashallah, uyu Rais ni kiboko 😘
@mathayodundo5433
@mathayodundo5433 4 жыл бұрын
Magufuli ulikuwa wapii? Kwanini nchi haikukujua mapema? Mungu akutunze
@charlesking8252
@charlesking8252 4 жыл бұрын
Safi sana my President Magufuri
@olboruimaley96
@olboruimaley96 2 жыл бұрын
Dah! Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi baba, naumia sana nkiona pcha ako au jna lako latajwa nahc km naota vle kuwa haupo naci tena baba😭😭😭😭😭.
@applemakasi216
@applemakasi216 4 жыл бұрын
Ujumbe ushawafikia wanojifanya wanapiga madebe stend, wakapigie majumbani kwao😀😀😀
@JOHN16verse33
@JOHN16verse33 4 жыл бұрын
Ha ha haaaaa🤣
@issayamshana3750
@issayamshana3750 4 жыл бұрын
Hahahhaha hapa kaongea nondo
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Afande kakunja mikono utafikiri rais yupo hapo😂😂😂🤛
@peternichoraus5983
@peternichoraus5983 4 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha dah watu mnafatilia sana duh na nimemuona hata mm
@juliustarimo1257
@juliustarimo1257 4 жыл бұрын
Kumbe na wewe umeona. Kana yupo kanisani vile
@martinchege500
@martinchege500 4 жыл бұрын
Hiyo ndio heshima sio lazima uonyeshe hata kama mkuu wako....
@wahidkombokhamis4330
@wahidkombokhamis4330 4 жыл бұрын
Angekuwa anachezea simu mngesema anamdharau rais, binaadam kazi jamani
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
Sauti tu ya mh rais ikombali lakn vire anatoa heshima 🤣🤣 hadi raha jmn
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 4 жыл бұрын
Allah azidi kukulinda rais wangu
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 4 жыл бұрын
Aisee haitatokea ndani ya nchii hiii kumpata rais kama huyu huyu ni rais wa wanyonge kiutekelezaji sio kimaneno ongera saana muheshimiwa rais hapo sio heshin wakizoea migambo kupga wananchi masikn mungu mungu mungu ikiwezekana azid kuiongiza nchi hii bila uogaa
@ktvbongo
@ktvbongo 4 жыл бұрын
Tunaahkuru mheshimiwa.wew umeletwa na mungu kutukomboa taifa lako. Ambao tulikua tunaishi ktk nchi yenye utajiri Wa kutupa pasina kutambua. Sasa tunaona nchi unavyoijenga. Mungu akupe nguvu uzidi kufanya makubwa zaidi lakini pia miaka 10 haikutoshi@ Mimi nakuombea
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 4 жыл бұрын
Sijawahi kujuta kukupigia kura Baba, Magufuli wetu Mungu akulinde Baba yangu
@jimuabdul6816
@jimuabdul6816 4 жыл бұрын
huyu askari yuko makini hataki kucmuliwa
@wahidkombokhamis4330
@wahidkombokhamis4330 4 жыл бұрын
Ndio inavyotakiwa
@yusufjuma3773
@yusufjuma3773 4 жыл бұрын
Safi saana
@sokonifarmfresh8818
@sokonifarmfresh8818 4 жыл бұрын
Hahaha
@titomhagama5545
@titomhagama5545 4 жыл бұрын
Magufuli upo vizuri sana kiutendaji
@maiyasiraji878
@maiyasiraji878 4 жыл бұрын
Nice mweshimiwa rais
@jamesdaudi9750
@jamesdaudi9750 4 жыл бұрын
MHE Rais sina neno juu yako wewe ni genius.
@elizabethkkerubokerubo6421
@elizabethkkerubokerubo6421 4 жыл бұрын
Nimefurahi sana maghufuli baba wa watu nikiwa kenya mungu akubariki sana tena sana ...maisha marefu baba
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 4 жыл бұрын
Safi sana Mkurugenzi na mtangazaji Safari ninyi ni wapiganajii
@jordanclassic7849
@jordanclassic7849 4 жыл бұрын
Mungu akubaliki kiongozi wetu kwa damu yesu amina
@selector728
@selector728 4 жыл бұрын
Siyo akubaliki sema akubariki
@othmanal-nabhany9243
@othmanal-nabhany9243 4 жыл бұрын
Nakukubali Rais wetu Mungu akuzidishie iiman tunataman na Zanzibar tupate rais kama ww
@gideonkalumbu2603
@gideonkalumbu2603 4 жыл бұрын
Rais kama huyu Afrika ni Menta pekee barani Afrika aliyebaki akijua Africa is for Africans.
@machaelmabula1373
@machaelmabula1373 4 жыл бұрын
Wanasayansi wa nchini mnafanya nini hebu chukueni sampo kwa huyu mtu mkatuzalishi wa kinamagufuli wengi maana hii nchi inawahitaji miaka 300
@mdadamzur4861
@mdadamzur4861 4 жыл бұрын
Piga keleleeee kwa raisi wetu weeeweeeeeeeeeee barikiwa sana kiongoz wetu mdog wake na nyerere
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Clouds No. 1
@wilsonmalaji4133
@wilsonmalaji4133 4 жыл бұрын
Mungu ampe kuona mema JPM ni kwel wapiga debe ni kero hasa maeneo ya stendi
@rehemakaberege8119
@rehemakaberege8119 4 жыл бұрын
Salute nyingi kwako baba yetu hauna mpinzani tena
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 4 жыл бұрын
Alazimishweeeeeee tuuuuuuuuu
@silyadamian5708
@silyadamian5708 4 жыл бұрын
Sengeremax Leo 😂😂😂
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 4 жыл бұрын
Hamnaaaa namna atake asitakeeee alazimishweeee tuuuu
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 4 жыл бұрын
Alazimishwe full stop
@machaelmabula1373
@machaelmabula1373 4 жыл бұрын
Mpaka kufa alazimishwe tu
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 4 жыл бұрын
Kulazimishwa sio mjadala tena bali ni lazima
@mjombamjomba1887
@mjombamjomba1887 4 жыл бұрын
Kazi nzuri Mkuu Mungu akubariki kila leo
@kafukukalimbatila915
@kafukukalimbatila915 4 жыл бұрын
Nimeipenda hiii🙏🙏
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Kura zote za ndio kwa JPM jamani msirudie kuchagua hao wengine wasio na mwelekeo hawana diraa JPM oyeee
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 4 жыл бұрын
Afande ni kama haamini kuwa ni Rais anaongea😂😂😂
@edgerelkana5138
@edgerelkana5138 4 жыл бұрын
😂😂😂
@alexramadhani4082
@alexramadhani4082 4 жыл бұрын
Asante saaaana Rais wetu mpendwa JPM Ukae miaka 💯
@fatumamcharo3929
@fatumamcharo3929 4 жыл бұрын
Chukua mitano ✋tena magu uiongoze Tz!!
@bukobatalentsnanimkali9423
@bukobatalentsnanimkali9423 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kasura kake kamefanana na raisi Kwa mbali😂😂😂
@raziunaabdalah5592
@raziunaabdalah5592 4 жыл бұрын
Hahaaaaaa
@aishasmoni5881
@aishasmoni5881 4 жыл бұрын
Masha Allah
@elickjosephy29
@elickjosephy29 4 жыл бұрын
Safi mheshimiwa rais unastaili pongezi
@stephanosimkoko630
@stephanosimkoko630 4 жыл бұрын
Nani Kama Magufuli jamani? Mungu mjalie Rais wetu maisha marefu.
@shabanikidaba9856
@shabanikidaba9856 4 жыл бұрын
Pride of TZ president bnafsi namwelew sana baba WA TZ. Baba pitia na singida stand biashara zfanyke ndani ya stand na sio nje Viongoz wa mikoa mingne wajifunze hapaa
@richardchawenda9612
@richardchawenda9612 4 жыл бұрын
Asante baba mungu akubariki
@marymfugwa847
@marymfugwa847 4 жыл бұрын
Huyo asikali yupo makini kusikiliza!
@danieljumanne3643
@danieljumanne3643 4 жыл бұрын
Dah kumbe rais anafuatilia vyombo vya habari dah respect sana
@felicianamassawe9881
@felicianamassawe9881 4 жыл бұрын
Huyu ndiye Rais wa wanyonge Mungu akupe miaka 100
@sameermilo2492
@sameermilo2492 4 жыл бұрын
Safi sana Raisi Wetu Magufuli . Mungu akuzidishie Hekima , busara na Upendo kwa wote 🇹🇿❤️ . Viva JPM 💪🏼
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 жыл бұрын
God bless you presida
@laurentmbakile9389
@laurentmbakile9389 4 жыл бұрын
Hila clouds kufa sio leo wala kesho forever
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Hila !!!!????
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 4 жыл бұрын
Not hila hila ni kitu kingine tofautisha Ila na hila.
@laurentmbakile9389
@laurentmbakile9389 4 жыл бұрын
Sawa
@hassanmwaihojo8261
@hassanmwaihojo8261 4 жыл бұрын
Kunywa pepsi ntalipa
@paschalmashimba3584
@paschalmashimba3584 4 жыл бұрын
Safi sana. Jpm present of Tanzania
@danimwiruki4766
@danimwiruki4766 4 жыл бұрын
Safi sana Clouds 360
@leonidaskalumuna8350
@leonidaskalumuna8350 4 жыл бұрын
Tunaomba pia sehemu ya ofsi za kukatia tiketi ziwe chini na waweke mabango ili iwe rahisi ,kule juu wagonjwa na wazee na walemavu wanapata shida sana.
@sarananyaro9089
@sarananyaro9089 4 жыл бұрын
Hakuna haja ya uchaguzi kabisa,umepita kabisa,endelea tena na tena,sisi tunataka raisi anayeongea na sisi namna hii
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 4 жыл бұрын
Safii. Magu
@yassinijuma4708
@yassinijuma4708 4 жыл бұрын
Hongera sana raisi wetu wa chama chama tawala tz daima
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
RAIS WA WATANZANIA WOTE ASIEJALI MASKINI NA MATAJIRI DA KAMA MARAIS WOTE WALIOPITA WANGEKUWA HIVI SIJUI TANZANIA INGEKUWA WAPI. MBALI SANA SANA . NI RAIS MWENYE UPENDO NA WANANCHI WAKE WA HALI YA JUU.
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 4 жыл бұрын
Vichura hapana nimemkubali raisi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Yaani mzee magu akili yako utasema zilikusanywa kutoka kwa viongozi uliowachagua zote ukapewa wewe sijui kwanini hawajiongezi kwa mambo madogomadogo kama hayo.
@abuusufian6506
@abuusufian6506 4 жыл бұрын
Ni Magufuli tu ♥️♥️♥️♥️
@CyimSky
@CyimSky 4 жыл бұрын
CHANZO CHA URAFIKI NI HISIA AU MASILAHI MAJIBU HAYA HAPA/ KUCHEZA GEMU KWAWA NA FAIDA. kzbin.info/www/bejne/hIO7qZlvrLCimdU
@ummyhemedy488
@ummyhemedy488 4 жыл бұрын
Piga kelele kwa rais wetu weuweeeeeee
@herimallya3385
@herimallya3385 4 жыл бұрын
Hakuna mwingine
@benjaminhabwendelo6606
@benjaminhabwendelo6606 4 жыл бұрын
Ni MUNGU tu alitujalia kukupatia Rais kama huyu kutoka Chato mwana wa Biharamulo
@ezekielpeter5377
@ezekielpeter5377 4 жыл бұрын
Magufuli atawale miaka 20 huyu ndie anaefaa
@pascalmstaarabu4372
@pascalmstaarabu4372 4 жыл бұрын
Sitaki NIONE watu WANGU wakipigishwa vichura!!!!! Jpm Kura zoooooote kwako
@kibajetihassan6218
@kibajetihassan6218 4 жыл бұрын
Mweshimiwa wewe bingwa napendekeza itengenezwe sanamu yako iwekwe sehemu nzuri Iwe ukumbusho Kwa watoto wetu tafazari mabingwa fikirieni iro
@marykibwana9413
@marykibwana9413 4 жыл бұрын
Najuta, kupoteza kura yangu 2015,nilichukia baadhi ya watendaji katika chama, Mungu anisamehe kumbe wapo watendaji wazuri hivi. Mheshimiwa Magufuli nisamehe, Oktoba kura yangu chukua kwa 100%.
@elderkogo2002
@elderkogo2002 4 жыл бұрын
Mi ni mkenya na natamani tungepata rais kama huyu.shujaa kweli kweli.
@abdulfatahalsisy400
@abdulfatahalsisy400 4 жыл бұрын
Huyu raise nampenda sanaaa
@burtonmahenge7709
@burtonmahenge7709 4 жыл бұрын
Nionavyo mimi, kwa utendaji wa kazi wa huyu mheshimiwa, na upekee aliouonesha katika mapambano dhidi ya Covid 19, kwa heshima aliyoionesha kwa Mungu, safari hii angeachwa kuwa mgombea pekee wa Urais ili dunia ijue kuwa Tanzania imeheshimu mchango wake kwa taifa.
BREAKING: JPM Awasweka Wenyeviti Ndani Hadharani!
17:33
Global TV Online
Рет қаралды 108 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 87 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 22 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 1,8 МЛН
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"
33:43
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1!
10:21
Global TV Online
Рет қаралды 475 М.
Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015
1:38:02
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 146 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 87 МЛН