KISA CHA DEREVA MKONGWE KUTOLEWA BATOLA NA BOSS WAKE KISA HESABU INASIKITISHA SANA ,FUATILIA MKASA HUU.
Пікірлер: 105
@shebbythespyro53936 ай бұрын
Raha sana kusikiliza stori zake na ni kweli kabisa sio utani anachosema
@GodenBMDaniel6 ай бұрын
Mkongwe anatupa Raha sana 🎉🎉🎉
@fashionhack65776 ай бұрын
❤ sitori nzuri sana
@luisojr34806 ай бұрын
Dereva mkongwe Miyeyusho Sana 😂
@ChuriAlfredАй бұрын
Huyu mkongwe Angekua mtangazaji ingekaa powa sana
@ScopionScopion-zj9cd4 ай бұрын
mzee unatufurahisha sana bn mgosi wakanya
@user-ce5fm3su3k6 ай бұрын
Nzuri sana kaka
@aliabdalla25986 ай бұрын
Nakubali mkongwe hope siku moja tutakutana barabarani, mwanzo nikiwa na mzigo wa wa kupeleka uganda nikipishana na lory za tz huwa naziangalia vizuri kama ni wewe nikupigie honi usimame
@ramadhanitwahili68376 ай бұрын
Daaah mimecha kweli eti feni za mbowe chuwichuwi😂😂😂.
@luisojr34806 ай бұрын
Daaa dereva mkongwe miyeyusho sana 😂
@ibrahimmohamed19946 ай бұрын
Ukiwa tanboy wa dereva mkongwe huwezi boreka.
@kelvinjackson74566 ай бұрын
Miwani kama Doctor wa Mikojo😂😂
@YuhanAbas5 ай бұрын
Master master
@mohamedhamissihamim70556 ай бұрын
Ooh baba mkongwe ningeomba cku ukivuka burundi muyinga apa mukoni kabla hujafika njia panda ya ngozi na kitega usimame nikusalimiye.nakaa hapa karibu na beria ya zamani
@bakarimakota-ei8sw6 ай бұрын
Noma sana mkongwe
@Antelius-ew6it6 ай бұрын
Nakubali mzee
@RasulyMohamed-xe1mw6 ай бұрын
Mtafute na Cha upepo dereva wa Mabasi ya Shabib
@Presentermediake4576 ай бұрын
Nahitaji kumfanyia interview dereva mkongwe
@koroboi00696 ай бұрын
Dereva mkongwe bigup kutoka voi
@mosessamali52466 ай бұрын
mashallah
@user-rg6mh9jk8y6 ай бұрын
Namkubali san dereva mkongwe kutoka Burundi💪
@user-tx1nj7yj7c6 ай бұрын
Mashaallah
@user-vm4zq7kf4e6 ай бұрын
Hapo kwenye taa za fuso umeongea ukweli
@captenndunga67456 ай бұрын
"mama regina mpe hela yake uyu" mzee miyayusho kweli uyu... Feni het kopta ya mbowe sio poa.
@user-we3or9ol4o6 ай бұрын
😂😂😂😂, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@EggyLuoga-kv9xx4 ай бұрын
Nimemuona mtu kama huyu leo kapita dum au nimemfananisha maana napenda story zake🤣
@albertlokoya79374 ай бұрын
Mzee mkongwe umetisha
@user-cd9nk8yz2h5 ай бұрын
Huyo mzee mkongwe ape kazi za kusimamia madereva wenzake ili nasaha zake ni mzuri .serikali ya tanzania imuandike kazi
@nelsonnikodem11006 ай бұрын
🎉🎉🎉mkongwe 🎉🎉🎉
@alexbulimo6 ай бұрын
Mzee mkongwe waa....
@IsayaEliasi-lo1ly4 ай бұрын
Nzuri sana mkongwe
@tinnahagustinolyelu42476 ай бұрын
Jamani nimecheka mpaka nimelia aaaa
@godfreymutugi467219 күн бұрын
Mkongweee,,,,master,,,,😂
@geofreymongi54036 ай бұрын
Kwani huyu mkongwe hajawahi kuajiriwa na mwarabu au muhindi mbona misemo yake inamaanisha wachaga ndio waajiri wake
@yahomeshopllc59506 ай бұрын
MA TRUCK DEREVA TUJUANE HAPA, LAKINI USA 🇺🇸 HAYO MAMBO HAYAPO MKONGWE,AFRICA MA TRUCK DRIVER WANA RAHA YAHO KWELI.
@AbdallaMgalilwa-bc2mj6 ай бұрын
Niambie ndugu
@mirajimohammed7776Ай бұрын
Mambo vp broo
@khadija2113Ай бұрын
NAKUELEWA SANA BA MKONGWE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-zo9xg9gx7j6 ай бұрын
Mkongwe kama mkongwe
@EnitaKabaga3 ай бұрын
,,,😂😂😂stor nzuli naenjoy
@fredkangethe74976 ай бұрын
Wewe mkongwe pumzika juu ya ukongwe
@user-vy6st5ki2v5 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭
@olivajohn9301Ай бұрын
Cheka tu chukueni huyu jamaa😅
@paulnalami64 ай бұрын
Dereva Mkongwe😅😅, Noma sana unaongea ukweli ndani ya utani
@olivajohn9301Ай бұрын
Jamaa ana akili nyingi sana
@shamsahamdan32746 ай бұрын
Mkongwe hiyo unayofanya hapo ni biashara GB zimeisha
@andrewpasianus55896 ай бұрын
Et mtoto anasalimia shkao😂😂😂
@Laizer3Ай бұрын
Mzee vitukoo
@user-lt1bi5nr1x6 ай бұрын
Upo sawa mzee mwenzangu udereva umeingiliwa sikuizi
@zaidymalifedha57466 ай бұрын
Mayo mayo 113 mkongwe😅😅😅
@godlistenJohn6 ай бұрын
11:35
@shakiranguyu99436 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-mp4yt7ps5q6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 kkkk ukweli mwingi
@user-we3or9ol4o6 ай бұрын
😂😂😂😂😂WEWE UMELAAANIWA🤣🤣🤣🤣💯👍
@captenndunga67456 ай бұрын
Acha husda tamaa sio kizazi mzazi wivu haujengi
@amosimbwana65502 ай бұрын
Zao kutoka mtaan kwangu pangamlima muheza tanga namjua vzr
@imansylvester7686 ай бұрын
Unaijua Rusumo wewe unaijua K9 ok karbun Ngara mtajua 😅
@user-ym1se6ju6i5 ай бұрын
Miwani Kama daktari wa mikojo😂😂
@user-ui1qs9yl1nАй бұрын
huyu sio dereva tu ni mwalimu pia
@pezasally82046 ай бұрын
Huyu jamaa ana story kali san
@user-ty8hu5gh4h6 ай бұрын
Mbavu zangu 😅😅😅😅
@OmanOman-dd5qk6 ай бұрын
Wakina baba manka hao wanizetu hao bamkongwe wewe n'a wachaga
@simonanthonykayombo69136 ай бұрын
Koi mchukue huyu mzee
@user-jb2vp8rt7z5 ай бұрын
Mkongwe wewe mshenzi sana unatuvunza mbavu
@Satier476 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😅❤🎉🎉🎉🎉🎉
@delfinkaawe40165 ай бұрын
😂😂 eti helikopta ya mboe 10:40 min
@mainakijangwa80135 ай бұрын
😂😂😂mwana bonde😂
@olivajohn9301Ай бұрын
😅😅
@user-vb5ig3nw6i6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@user-nk4oq4ek9y6 ай бұрын
Mzee ana viswaili uyo
@MwanaPolo5 ай бұрын
😂😂😂😂 Mafundi waah
@user-eb2gw5ic2q6 ай бұрын
Jamaa namukumbali
@user-xs5td6pw9l5 ай бұрын
Babu unaniuwa nakubal
@user-tx1nj7yj7c6 ай бұрын
Ndo icho tunasamani kusiki
@gilliardgodfriend57456 ай бұрын
😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🫠🫠🫠🤣🤣
@eugenewekesa-zw3gd6 ай бұрын
Huyu jamaa huwa anafanya kazi saa ngapi
@captenndunga67456 ай бұрын
Naye anajiuliza we unafanya kz saa ngapi mana kutwa mtandaoni kumfuatilia.
@Gerald-hq5km6 ай бұрын
@@captenndunga6745😂😂
@user-fn4db9zw4e4 ай бұрын
😂😂😂
@Jishushe.na.ujikute57896 ай бұрын
I'wesh ipo siku ntamuona Mzee Huyu nnazawadi yake aisee yani 🤔🤔😂😂
@NajmaSaid-hw4mv6 ай бұрын
Hata mm na mpango wa kuonana na huyu
@user-ez8kk2yd6i6 ай бұрын
@Jishushe.na.ujikute5789 garage yake jangwani mtafuteni au kutumia namba za muandishi utamfikia kiurahisi.
@monamaskari21756 ай бұрын
😂😂😂😂Jamani NA jikuta nacheka2
@khalidmsongolo66746 ай бұрын
😂😂 , Aisee mkongwe
@sofitanzanian9556 ай бұрын
Batola au bastola muwe mnahakiki vichwa vya habar zenu
@captenndunga67456 ай бұрын
Umeelewa hujaelewa?
@sofitanzanian9556 ай бұрын
@@captenndunga6745 ujifunze kiswahili mpuuzi we
@sofitanzanian9556 ай бұрын
@@captenndunga6745 Atalugha yko mwenyewe inakushinda mjinga mmoja we uwe unahakiki.unachokiandika utakuja andika matusi naupuuzi wako huo
@sofitanzanian9556 ай бұрын
@@captenndunga6745 hiloo halijui kuandika
@sofitanzanian9556 ай бұрын
@@captenndunga6745 ushaleft group nini mbona umekuja foshi