FUATILIA SIMULIZI ,MATUKIO ,MIKASA NA MAAJABU,HAPAHAPA HABARI JAMII DIGITAL
Пікірлер: 272
@philipmbithi89797 ай бұрын
huyu jamaa !!! much love.. muulize stori za MLIMA KIU.
@geofreyngero94497 ай бұрын
Karibu huku KENYA 🇰🇪 kwetu tukupe kazi kufunza madereva jinsi kuwa makini barabarani ❤❤❤
@nanaritho68507 ай бұрын
Nampenda sana huyu baba
@lovvy8547 ай бұрын
Derevaa mkongwee anafurahisha zaidia Sana Mwenyezimngu akuhifadhi mze wetuu
@hildandumbalo58277 ай бұрын
Kweli huyo brother anachekesha sana amebarikiwa acha kazi ya udreva fanya comedy uko vizuri😂😂😂
@maryamadam56227 ай бұрын
Kweli anafaa kuwa comedian mzee. Ana busara nyingi pia
@user-xv9me9lm6g7 ай бұрын
😂😂😂😂😂uko sawa comedy seriously old gentleman
@user-bg9cr4pn2p7 ай бұрын
Sana anafaaa
@halimasalim39856 ай бұрын
😂😂😂kweli
@SerafiniSimon7 ай бұрын
Baba mugu akupe afya njema maisha mwako
@cynthianganga93997 ай бұрын
🇰🇪 big up mzee wangu Chanel iko juu ,Babu wazinguwa sana NAKUPENDA bure🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ellvinkerubo63657 ай бұрын
Mzee huko safi sana kazi ni kazi Baba karibu 🇰🇪💪
@sarahkinyashi6213Ай бұрын
Jamani wapeni mikataba nao wanateseka njianii, Mungu wanyooshee mkono 🙏🙏🙏
@user-ki3td8es1d7 ай бұрын
Dereva nkongwe napenda story zako,niko Kenya nakula miraa nakupata uhondo kutoka kwako inshallah 👍💪🇰🇪
@user-po3qj8gb7e7 ай бұрын
Kweli dereva mkongwe cc madereva tunajilahisisha sana mm nikigoma nataka mshahara au mkataba we unaenda je ? App uthamani wa dereva hautokuwepo madereva tuamkeni jamani
@gibsonjosephat63527 ай бұрын
Huwa napenda sana stori za huyu mwamba. Buchoki kusikiliza.
@beniardajuna25807 ай бұрын
Mwamba ana story za kufunza pia comedy ndani hatariiiii hongera Sana habari jamiii digital❤❤❤❤❤
@carlitosjatila65296 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-cp9rr3sw6z4 ай бұрын
😂😂😂
@user-sq9si8wy8d7 ай бұрын
Dereva 😂😂 Salut Sana Amos kutoka burundii uyoooo ni jeshii ongeraa saanaa
@user-if1pz4nm4u7 ай бұрын
Hetiiii "nakuamini derevaa lala nayo 😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣 mwisho nikamupeana tutaonana baadaye chumba cha kizaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😅😅😅😅" nime chekaaa yangu yote. Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪, Dereva mkongwe...
@nashnene63267 ай бұрын
Japokuwa ana furahisha sana lkn anachozungumza kina mantiki
@user-ty8hu5gh4h7 ай бұрын
Dah dereva mkongwe unanifanya niangalie hii interview mpaka mwisho maana hapa nacheka balaa
@philipmbithi89797 ай бұрын
brooooo😅😅😅 kusafisha quatalogi ... weka mzuzu!! much love from Kenya mkongweeee... 😂😂😂😂😂
@abuuuyaynah88017 ай бұрын
Nmependa kilio hicho
@user-rg8fq8fc3k7 ай бұрын
. 😅😅😅😅ni serious ama
@user-qk4lx4hg7g7 ай бұрын
Kweli dereva apewe mikataba maana nikazi ya hatari sana na nikazi kama kazi nyingine
@YuhanAbas7 ай бұрын
Master Master Aina mbili za watu ambao uhai wao uko mikononi mwao 1-Madereva 2-Wanajeshi
@ashuraathumani14546 ай бұрын
Namabondia pia tunapopanda ulingoni tunarzi maisha yetu
@user-bn5ig5vj6g7 ай бұрын
Sana baba mkogwe nakupa zaruba ya arere
@idrisahmed12207 ай бұрын
Nakubari baba liver! Kazi kazi
@chizenboyka89767 ай бұрын
Dereva na nusu 😅 mzee nakukubali sana much love from kenya🇸🇸
@ruthgitau63747 ай бұрын
Hiyo sio bedera yetu🇰🇪ni hii.
@fredkangethe74977 ай бұрын
@@ruthgitau6374aaah... Chombo kimeniweza?!
@FredSantos-ks4ni7 ай бұрын
@@ruthgitau6374msho Kenya hatuna bendera kama hio
@farhannahkulishwaburekunam53607 ай бұрын
Tena bahati ya yako mama retina angekukata n kimundu usije ukaingia tena nyumba ya mchaga wakati unadaiyana naye bora mwambie unipolar nilip kwetu tanga utaona unaondoka atakuletea mwenyewe
@shilakodeni28536 ай бұрын
Dereva mkongwe anatisha sana kwakuchekesha
@muhamedjaffar56537 ай бұрын
Uyu jamaa anatoa somo kwa wenye akili.maneno yake mazito.serikali wazingatie
@ayoubomary93367 ай бұрын
Salute cosovo babu
@mbeguofficial66467 ай бұрын
Nashindwa kucheka kwa sababu anachokiongea NI kitu serious sana!!!
@yahomeshopllc59506 ай бұрын
MIMI NI TRUCK DRIVER 🇺🇸 USA HIZI STORY ZOTE NI KWELI KABISA. I WISH UNGEKUA USA NJOO UNGEPATA RAHA YA HIYO JOB.MUNGU AKUPE NGUVU ZAIDI TENA.
@stevenfumbi95665 ай бұрын
Brother mambo vipi?? Me ni driver wa malori nitafutie connection ya udereva wamalori Canada nauli na pasipoti ninayo
@uwimana6533Ай бұрын
Tulia usije kutapeliwa iyamini nafsiyako tu na wazaziwako 😂😂@@stevenfumbi9566
@user-ig9ls1bs2z6 ай бұрын
this guy is more of a comedian than a driver😂😂😂😂😂 akifika thika kenya aniambie😂😂
@anthonymutuku18794 ай бұрын
Mimi my mum hupenda kuniambia nakuamini Babu lala nayo hata Jana ameni ambia hivoo😂
@user-ys9zj4dq9j7 ай бұрын
Uyu n dereva kwel au Comedian😂😂
@patrickrukuba33147 ай бұрын
Jamaaa uko vizuri
@muhinabakali73777 ай бұрын
Duu Dachi chamaneno mengi nakubali
@charlesolomi95147 ай бұрын
Ya kufungia mwaka hii😅😅😅👏👏
@user-nt3re5fp4z2 күн бұрын
Kalibu RWANDA
@gervasmabizle87667 ай бұрын
Khaaaahaha mkuu umetishaa
@iddimngazija19577 ай бұрын
Huyu ndo kosovo,akikaa kijiweni lazima akusanye kijiji kwa story zake
@habibuhabibu97287 ай бұрын
Yesi kumbe unamuelewa
@fredkangethe74977 ай бұрын
@@habibuhabibu9728hatari kwa story huyu
@bongo24.7 ай бұрын
Ila huyi mwmba ananifurahisha sana😅😅😅😅
@user-ix3in2xx1xАй бұрын
Muzee salama Naitwa Bonaventure Rwanda upande wa mustu Nyungwe
@jumahalifa64367 ай бұрын
HUYU MZEE NI COMEDIANI MKUBWA SANA WASANII WA COMEDIA MWANGALIENI HUYU MASTER KWAJICHO LA 3 ANAKITU
@isayacharles28507 ай бұрын
😊 mzee unani furaisha sana, serikali ya ccm mpeni akira awe mwalimu mkuu wa madereva 🙏
@FikiriMloka-ft3yf7 ай бұрын
Kwa uzoefu wake wengi watafaidika akipewa hiyo kazi ya kuwa mwalimu mkuu wa madereva.
@mariodattany7 ай бұрын
Kabisa
@suleimanmatege38997 ай бұрын
😂😂😂 strong driver salute to u old man
@allysaid71087 ай бұрын
changamoto zipo nyingi dereva mkongwe, askari wetu wa barabarani wanatusumbua sana
@user-xg9nz3xw3d6 ай бұрын
Nakubali sana mzeee hyo
@agnesjohn93827 ай бұрын
😂😂😂😂😂 eti nawaambia ndugu wa marehemu msilie mpaka nifike umeniua mbavu we mzee aki aise pole sana
@mufamozmufash16610 күн бұрын
Actors L 2024 model 600 Ngoma kubwa
@user-bl5ck9xm3p4 ай бұрын
Nakwamiini baba lala nayo na chombo ishashinda
@empirecreators34887 ай бұрын
Huyu baba twampenda sana kweli huku Kenya. Weka account yake tui_surprise bana
@fredkangethe74977 ай бұрын
Kaaabisa
@dennardleonard12286 ай бұрын
UBARIKIWE MZEE
@user-si9bm1cn9z7 ай бұрын
Much love 😂😂😂 uyu mzee from mbeya
@mtolela127 ай бұрын
Mtangazaji sura unakaza sana interview ni nzuri ila wito wako si uandishi badilika
@shomamootv49837 ай бұрын
Mzee muuni uyu 😂😂😂Ila anayo ongea n kwl asee
@dogomashomboz12717 ай бұрын
Safi Sana ba mkongwe
@user-ln7qp9uk6b7 ай бұрын
Huna baya mkongwe mkojani, mobimba,joti na comedian wooote mwangalieni mwezenu hana pa kuazia
@khadija2113Ай бұрын
❤❤❤❤UKO VIZULI KAKA
@user-sg9kz1fc6s7 ай бұрын
Uderere kali ya mwaka😂😂😂
@sarahkinyashi6213Ай бұрын
Mungu AKUTUNZE jamanii🙏🙏🙏🙏♥️♥️
@husseinmwedi71257 ай бұрын
Nakubal mkongwe maneno yako nisawa
@user-jx4rx6jy6y7 ай бұрын
Haki kipaji anacho baba huyu nimelia na kucheka mana uko vizir 😅😅😅😂
@maysaghjii50587 ай бұрын
😂😂😂
@mushimalik73547 ай бұрын
Mzee huchoki kumsikiliza 👊
@user-jx4rx6jy6y7 ай бұрын
@@mushimalik7354 hakika anaongea ukweli mtupu ameniliza kisha ananichekesha halafu sasa anakutaja sana kwetu morogoro nimefulahi pia
@azammussa20002 ай бұрын
Hahaha ba mkongwe ungekuwa komedi ingekuwa poa sana
@VeronikaMathias1998-tr7pv6 ай бұрын
Umetisha faza serekali iliangalie ili lamalipo ya dereva dereva anamchango mkubwa ndani yachii
@anushkabarvat39247 ай бұрын
Hapa laazima unenepe ya allah
@keithnicholas46676 ай бұрын
watching From Dar es salaam huyu jamaa ni comedian 100%😅😂😂
@humeidabolfida59557 ай бұрын
Huyu mzee ni noma😂😂😂😂
@abdallahantony95247 ай бұрын
Jamaa anajua sana nampa maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-zv7mt2sn5h7 ай бұрын
Hongera❤
@ChesangKiprop5 ай бұрын
Master!..Master!..
@user-xg9nz3xw3d6 ай бұрын
😂😂😂 mzeee mungu akulinde sana unani vunja mbavu mzee
@fahadfahmy7 ай бұрын
Story zahuyu jamaa nampa saluti sana anajua
@khamisathman71716 ай бұрын
Tumsapoti huyu dereva ana kipaji, alafu anaongea kweli
@josphinenduta20116 ай бұрын
Nakupenda bure dereva mkongwe
@agnessima50327 ай бұрын
Maana sina hata kisu cha mkunjo...😂😂😢😢❤❤
@eddyedduu69122 ай бұрын
Wakenya tuna kupenda sana bro, huwa nacheka sana.
@user-ty2kc5jy7sАй бұрын
Mbona mm sijawahi kumuona hata akiwa njiani anasukuma chuma interview zote yupogo tu mtaani
@justincostantine96627 ай бұрын
His so funny😂😂😂😂
@MisheckSiame-si1yo7 ай бұрын
Asee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@oliverwhite16766 ай бұрын
Nakukubali dereva
@ndayisengaamissi61027 ай бұрын
Mzee unaongea MANENO ya MAKKAH kabsa , ubarikiwe🎉
@yonakatoto40677 ай бұрын
Alafu huu unyanyasaji wa madreva uko Tanzania tu. Hata nchi za jilan Kongo na Zambia wanalipa vzr sana.
@ibrahimakumu90127 ай бұрын
Ni kweli kabisa baba..barabarani kuna mambo
@haji3527 ай бұрын
dereva au delele
@anthonymutuku18794 ай бұрын
My mum loves tiktok about this driver hata Jana ameni ambia lala nayo😂