JAZAQALAHU HAIRA SHEIKH MSELEM SHUKRAN KWAKISA.HIKI KWANI SIMULIZI ZA KUROGWA KIPENZI CHETU MTUME MUHAMMAD SWALALAHU ALAY WASALAM TULIKUWA TWAJUA KAROGWA TUU BILA KUJUA ALIYEHUSIKA NA NJAMA HIZO ALLAH AZIDI KUTUPA SIHA NA AFYA. SOTE PAMOJA UZIDI KUTULETEA VISA ZAID
@salummzee97392 жыл бұрын
Allah akbar ,Hasida huwa karibu yk huwa hatoki mbali, mfano huu Allah amrehemu Mtume Muhammad s a w na wazee wetu waliotangulia
@abdulhida82912 жыл бұрын
Masha Allah shekhe, Jazzaka Allah kheri. Darsa zuri mno
@saidkitula49822 жыл бұрын
Shekh mselem Allah akuifadhi
@SalfaniMimi8 ай бұрын
Mashalwah Alwah Akuhifadhi
@yunussalim2652 жыл бұрын
بسم الله أرقيك من كل شيئٍ يأذيك من حاسدٍ وعينٍ الله يشفيك
@tindambaraka23572 жыл бұрын
JAZAAKALLAH KHEYR SHK MUSSELEM,NAKIPENDA KWA AJILI YA ALLAH S.W
@saidkitula49822 жыл бұрын
Allah akuifadhi shekh mselem tupate elimu
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
MASHALLAH SHEKHE SUBHANA LLA WALIHAMDULIL LAILA HAILLAH ALLAH AKBAR KWA UWEZO WAKE MTUME WETU AKAPOA 🤲
@husseinkazungu51012 жыл бұрын
MashaAllah shukran sheikh
@masoudiddytoto45372 жыл бұрын
Shekhe hotuba mzuri sana maashaallah
@ZainabuMwambashi8 ай бұрын
Mashallah
@kizzstarnly13022 жыл бұрын
Jazakallahufih ya shekhe.
@MuhabeshUbwaali11 ай бұрын
Masha allh
@masoudiddytoto45372 жыл бұрын
Maashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Subhaanallaah! Subhaanallaah!
@allybin082 жыл бұрын
Subhanallah
@leylaamour98042 жыл бұрын
Subhaanallah
@millenniumoiltanzanialimit12652 жыл бұрын
Rabbana nfaana bimaa allamtana
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Mtume wa mungu harogwi bn huyo nimwongo hakuna uchawi juu ya yakobo🥱🤣🤣
@khamiskhamis3165 Жыл бұрын
Wew una ukweli gani juu ya hili tulia bwege wew dawa ikuingiye sio sheikh wa mchongo uyo
@BaredanBaredan Жыл бұрын
Ww mjinga kwenda zako
@WaziriOmari-f3h3 ай бұрын
Unabisha Nini wakati anachosoma hapo ndio anatafsiri we ni mpuuz mkubwa
@tasnimoman20462 жыл бұрын
Shukran
@mwemeziernest51952 жыл бұрын
Hata mkimuunga vipi mudy hawezi kuungika
@shamesalimsita24562 жыл бұрын
Aslm.alkm naam swali langu Inshallah Huyo kijana sliyemtumikia.Mtume aitwaje...?
@WaziriOmari-f3h10 күн бұрын
Ni myahudi lkn jina hakumtaja
@prochesernest54392 жыл бұрын
Duuuu kurogwa kubaya anaulizwa VP wakezako akajibu nimeisha waingilia wote wachawi walimkata Network akawa asomeki anywhere zikanyonyoka shekhe hii usingeiweka kwenye mtandao mbaya hiyo Allah akuwaona wakati wanapanganga kumlonga kipenzi wake mbora Asante sana shekhe m
@abuukabanga37932 жыл бұрын
Mikataba ya makubaliano aliyo fanya mtume wetu s.a.w na wasiyo waislam aifanani na hii katiba ya Tanzania
@drmussa12202 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pnvEdoCwds1sndU KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO *#*#*#*# kzbin.info/www/bejne/pnvEdoCwds1sndU
@bonnymwajombe7792 жыл бұрын
Shekh Muhammad àlikuwa mtume wa mungu, swali nguvu za gizi zilimwingiaje?
@abdulnaseermrisho43422 жыл бұрын
Manabii wote walipatwa na Mitihani kama namna nyie mnavyo amini Yesu alipigwa Misumali kisa zambi zenu na alichezea kipigo cha mawe
@shaibhasan92332 жыл бұрын
Nikwer ni mtume wa mungu,, lakin ni binadamu kama mim na wew, ndio maan waliweza kumloga,, hapa tunafundishwa kua mtume hakuwa malaika Wala hakua na nguvu za kiungu,,
@MuhammadALI-uc4jg2 жыл бұрын
MITUME YOTE AKIWEMO MTUME MUHAMMAD LAZIMA WAPEWE MITIHANI KWA SABABU UYO NI BINAADAM NAKINA POTEKEA KITU KAMA ICHO TUNAPATA FAIDA .BAADAE NAFAIDA ILOPATIKANA NIKUJA KWA IZO AYA ZA KUJIKINGA NAUCHAWI.
@allyjumarashid60952 жыл бұрын
ALLAH KAREEM
@idrisaomari4342 жыл бұрын
Shida yetu ni uelewa wetu wengi ni mchache,mtume alipewa mtihani na akaletewa tiba ili tujifunze kitu hebu tuwe waelewa
@ahmadzubeir33632 жыл бұрын
Machozi yangu jamani! Walimroga Rasuulallaah!!
@ukhtyrayyan78842 жыл бұрын
Ndokwanza leo mujue eeee tatizo hamsomi historia ya mtume wenu watu husoma maulidi
@hawahassan16232 жыл бұрын
I missed him
@abubakarnassor8280 Жыл бұрын
Qur'Inasema tumekumbeni mkae Je!mnadhani hatutakupeni Mitiani ilo ni somo wazee Shida yetu ni uelewa wetu wengi ni mchache, mtume alipewa mtihani na akaletewa tiba ili tujifunze kitu hebu tuwe waelewa.
@fratelltutiilaudatosi41532 жыл бұрын
Huyo muyahudi angefaa ndiyo akawa mtume
@mohamedhamismagoraonlinetv4592 жыл бұрын
Kafiri mkubwa wewe.
@omarbilali95292 жыл бұрын
Kwa kipi ambacho unaona kingemfanya akawa mtume?
@paulmushi24282 жыл бұрын
Kwani Muhamadi hakufunuliwa na Mwenyezi Mungu kuwa huyo kijana anatumiwa na Mayahudi? Mbona kuna Aya zinasema wakeze hata wakimsema katika jambo lolote Mwenyezi Mungu atamjulisha!!
@theanonymous.67412 жыл бұрын
Angejuzwa hili jambo lisingetokea, nasi wafuasi wake tusingepata Funzo na pia ilikua ishaandikwa litokee ili hizi Sura zishuke. Allah ndie mjuzi zaidi.
@yusuphj23572 жыл бұрын
@@theanonymous.6741 umejibu vzr
@sultansallah87722 жыл бұрын
Umejibiwa naww tunakuluza... Yesu nae hakujifunulia akamjua yule msaliti alimbusu kweny paji la uso..
@kidumikarenga76672 жыл бұрын
Yanayofanyika kwa muhammad ndio tunayoishi nayo sisi. Ulozi upo na Tiba zipo. La kujifunza ni je tujikingeje, pia tunapopatwa na ulozi tujitibieje nk. Hayo ni muhimu kwa kuwa itatuepusha na shirki
@MuhammadALI-uc4jg2 жыл бұрын
HUYU ANAPEWA MITIHANI KAMA BINAADAM NAVILEVILE LIMEKUJA HILI KUNA SABABU MAALUM MBELE LENGO LAKE PIA KULETWA HIZI AYA ZA KUJIKINGA NAUCHAWI
@kasimmohamed82252 жыл бұрын
Tumepata mafunzo inshaallah
@allymussa78692 жыл бұрын
Wewe unauliza mtume Gani anarogwa na mm nakuliza mungu ga ni anatundikwa msalabani?
@daudimichael73382 жыл бұрын
Mbona Allah aliahidi kumlinda mtume? Ilikuwaje sasa akalogeka kirahisi?
@MuhammadALI-uc4jg2 жыл бұрын
AHADI YAKE YA KUMLINDA IKO PALEPALE VIKO VIKO VITU LAKINI KAMA BINAADAM LAZIMA APEWE MITIHANI ILI KIONEKEKANE KIWANGO CHA IMANIYAKE NAPIA HUA NISOMO KWETU NAMNA GANI UISHI YANAPOKUTOKEA MATATIZO KAMA AYO NA UYATATUE VIPI NA KULINDWA KUKUBWA NIKULINDWA NAKUEPUSHWA NA MADHAMBI ASIFANYE NA PIA KUEPUSHWA NA ADHABU YA MOTO HUKO AKHERA.
@MuhammadALI-uc4jg2 жыл бұрын
MIMI NAULIZA HIVI INAKUAJE KWA WAKRISTO HUENDA KANISANI NAHUJA WAACHUNGAJI MBALIMBALI PAMOJA NA AO MNOWAITA MITUME .HUJAKUKUOMBEENI MADHAMBI YENU DHAMB GANII HIZO TENA WAKATI YESU KAONDOKA NA DHAMBI ZENU
@deathrow80042 жыл бұрын
KUNA KULINDA KWA WATU WASIKUDHURU NA KUNAKUPEWA MTIHANI MOLA MUUMBA ILI IPATIKANE SABABU NA MAFUNDISHO KWA WAHUSIKA. ➡IKIWA YESU ALIWAULIZA WATU WA HERODE MBONA MTAKA KUNIUA MIM MTU NA WAKRISTO WANAAMINI YESU NI MUNGU KWANIN YESU ASINGEWAVURUGA WALE ASKARI WA HEROD? WAKATI YEYE NI MUNGU?👂🏻
@ukhtyrayyan78842 жыл бұрын
Naaa Alimlinda nasi pia Allah anstukinda nahalitupati hadi yeye atake but pia kuna majiaribu au mithani kama nimuislam au binadamu lazma utajaribia tu pia hapo pamepita hekma kuwa nasie pia tuamini shirk zipo mahasidi wapo nawabaya wapo il nakinga zipo jamani kwani kila ugojwa unadawa zake
@fratelltutiilaudatosi41532 жыл бұрын
Mtume gani anarogwa
@hajimasoud72102 жыл бұрын
Je mungu wenu mbona aliuliwa
@alimohamed47122 жыл бұрын
Kurogwa na kuuliwa Bora yupi
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Mnaswara.
@ahmadmzoa742 жыл бұрын
Kama mna itakidi kuuwawa Yesu. Vipi ushangae kurogwa.
@fratelltutiilaudatosi41532 жыл бұрын
Yesu aliuuwa ili Mimi na ww tupate kuokolewa halafu baada ya kuuwawa siku ya tatu akafufuka
@paulmushi24282 жыл бұрын
Wakati Muhamad ameathilika na nguvu ya uchawi kiasi alikuwa hajui vitendo alivyokuwa anavitenda zilishuka Aya ngapi na zipi katika Quran yake?
@vintandaudi18912 жыл бұрын
Inasikitisha het mtume korogwa, huu ni msiba
@ukhtyrayyan78842 жыл бұрын
Msiba gani hapo usojua dini
@nassorsharifu98372 жыл бұрын
Msiba mkubwa ilikuwa siku mungu yesu alipouawa msalabani
@khamisjihadi98332 жыл бұрын
Ikesha watu wengne hawaamini kuepo kwa uchawi wakat ushahidi kama huo
@ukhtyrayyan78842 жыл бұрын
Naaam uchawi upo ila hukupati ila Allah akundikie ila uchawi upo ndomaa zikaja aya zakubadilisha uchswi nahasadi
@abubakarikisuju802 жыл бұрын
Huyu mbona ni professor musa asad
@nyehungeitsupportltd85462 жыл бұрын
Mtume wa Allah arogwe?! Mtume anaeshushiwa wahy arogwe?! Mm nafsi yangu inakataa. Angerogwa nabii Mussa kwanza na hao hao mayahudi.
@ramamtanga34822 жыл бұрын
Na mimi nakuuliza ni mungu gani anatundwikwa msalabani na kugongwa misumari
@allymussa78692 жыл бұрын
Hakuna watu wapumbavu kama nyinyi wakiristo
@prochesernest54392 жыл бұрын
Duuuu karogwa mtume je wahaiy ulikuwaje Sasa au ndo hiyo sura ya majini ikasuka akakutanao wakasilimu majini wakawa wakawa ndugu zake mtume haya bwana
@erastomushi65252 жыл бұрын
Mtume wa uongo huyo. Anarogwaje kizembe hivyo,,. Hapana uchawi juu ya manabii wa Mungu aliye hai.
@mohamedhamismagoraonlinetv4592 жыл бұрын
yamefanyika ili kutufunza sisi. kwani Ayubu aliumwa Mungu alikuwa hawezi kumponya? na ile hadithi yenu feki issa kutundikwa msalabani hata tukisema tuwakubalie kuwa ni kweli je Mungu hakuweza kumchomoa kwenye hiyo misalaba mnayosema.
@mohamedsleman31372 жыл бұрын
P
@fratelltutiilaudatosi41532 жыл бұрын
Kuna haja gani ya kuwa mtume kama mtume analogeka
@makysonshirazy882 жыл бұрын
Kwani mtume ni nani? Tuanzie hapo kwanza.
@ngushy87982 жыл бұрын
Sbri ufe utaend kumjua uko unakokwenda
@kibwanasuleiman83252 жыл бұрын
kisa cha uongo wa dhahiri..mtume hakua dhaifu kiac kwamba uchawi uwe na nguvu kumliko..hali hio inadhihirisha nn
@shafiiismail11852 жыл бұрын
Kasome hacha ubishi
@samxx4112 жыл бұрын
Asirogwe kwani mbona kafa, hayo ni mafunzo sheikh, Kuna vitu Mungu anatufunza kupitia mitihani iliyompata mtume, mbona alipigana vitani na alipigwa, alipigwa mawe na kadha wa kadha. Unajuwa wenzetu walijasahau kama hivyo hadi kumwita Mungu kwa kuona hana udhaifu. Soma kaka elimu ya qurani na hadithi
@abdulnaseermrisho43422 жыл бұрын
Sikia hii kilaza,uwongo gani sasa hapo umesemwa,Rudi kasome Majinun mkubwa
@mirajisalehe7422 жыл бұрын
Ina maana huyu nabii alikuwa hajui kuomba Kwa jina la Yesu Kiristo mwana wa Mungu aliye hai? Bora tumfuate tu Bwana Yesu masihi aliye mkuu.
@abdulwahidkhamis66842 жыл бұрын
Kwan uyo bwan wenu nae alkwa hajui kuomb ata akaekwa msalabani na kuuliwa(kwa imani yenu)
@yusuphj23572 жыл бұрын
@@abdulwahidkhamis6684 nakunywa chai nasubr ajibu
@yusuphj23572 жыл бұрын
@@abdulwahidkhamis6684 umejibu vzr
@nailamohd76932 жыл бұрын
@@abdulwahidkhamis6684 😃
@haridyhillaryndembo19462 жыл бұрын
Yesu hakujua hata msimu WA matunda aliwahi kuulani mti mtini wakati Wa kiangazi kisa alikua na njaa alipoutikisa mti na haukudondosha tunda Ata moja akatoa laana ya Bure mti ukalaaniwa mkuu gani huyu hajui msimu WA matunda ubao ukimkaba😀😀
@SalfaniMimi8 ай бұрын
Mashalwah Alwah Akuhifadhi
@jamilahkatib93422 жыл бұрын
Shukran
@drmussa12202 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pnvEdoCwds1sndU KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO *#*#*#*# kzbin.info/www/bejne/pnvEdoCwds1sndU