Majini hawa walikua ni wakiristo na walisilimu baada kumsikia MTUME kusoma QUR - AN
Пікірлер: 12
@miskyabdillah74518 ай бұрын
MaaAshaallah, Alhmdlh
@habibtihayati53118 ай бұрын
Mashallah tabarkallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MsangiBakari-lj5jy8 ай бұрын
Allah akujalie maisha marefu na mwisho mwema
@nuhukenny71838 ай бұрын
Shukran Sheikh wetu, nakufatiliya kutokea Oman 🇴🇲
@AndulHida-hs5py8 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri shekhe wetu.mola akupe elimu nyingi na Afya njema yenyemanfaa na wewe Ili tuendelee kunufaika inshaallah.
@mohamedS-yd9wh8 ай бұрын
Allah akuzidishie elim, hekma, busara na akupe umri mrefu wenye manufaa kwako na umma wa waislam na wenye akili ya kutafakari mambo
@dreammedical53418 ай бұрын
Mashaa Allah sheikh Allah s.w akupe umri mrefu wenye barka
@user-mr7nw8hp8p8 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu shekhe wetu uzidi kutuelimisha