Mash Allah tabarak Allah feeq, Jazzak Allah kheri shekhe wetu Mola akupe elimu nyingi Zaid umri na afya ilituendeleekunufaika inshaallah.
@silvergibson265611 ай бұрын
Masha Allah sheikh wetu,nakupenda sana...Allah Akupe kheri......
@neemaahmada261911 ай бұрын
Masha Allah mashekhe WETU ALLAH awlipe kheri inshallah
@mohamedamiri459711 ай бұрын
Mashaallah mazazi ya mtumi swalla Allahu alayhi wasallam yapingwa ajabu na wanaojiita waislamu lakushangaza sana Jambo hilo
@hafswanaaman291111 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mungu akupe kheri akupe umri twawili
@saumusalimuhassan249911 ай бұрын
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher inshallah,, Nakupenda kwaajili ya Allah shekhe Othman Maalim 🙏
@kaidiSaid-ot9nl11 ай бұрын
Allah akupe umr .kher na maghufira ukiigizo chema huhangaiki na ria Bali kuzindua
@kaidiSaid-ot9nl11 ай бұрын
Wazungu kuaminika maka ni history inaetafsiri mapinduzi ya uislam kutolewa hijazi na kuingia tahidi tatu
@hawasafiki52211 ай бұрын
Allah awadumishe umoja wenu na elimu zenu zizidi kutunufaisha .
@AlhajiMswaki-de3kb11 ай бұрын
Wallaah shekh Othman nishekh wakuigwa
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh11 ай бұрын
Mashallwha shekhe
@a.85611 ай бұрын
Jazakallah khayran
@ummusulaish558611 ай бұрын
JazakaLlahu kher
@rizikibakari359811 ай бұрын
Mashallah mashallah 🙏
@abubakarbakari704211 ай бұрын
Masha Allah
@jaliangaluma282611 ай бұрын
Maaashaalah
@mubirirashidi11 ай бұрын
Mashaaallah ❤️❤️❤️
@hawasafiki52211 ай бұрын
Mashallah kuna mazingatio makubwa hapa ila kwa watu wenye akili.
@AhmadMfaume-te8xn11 ай бұрын
Mashaallah,,,,
@jumamohamed480811 ай бұрын
Mashaallah
@Ahmadasshii-raazy888811 ай бұрын
رضي الله عن اساتذتنا وشيوخنا
@selemankishema578011 ай бұрын
Mnajua masheikh kuna wakati mnajichanganya saana sasa sheikh othman wewe mbona haunaga msimano yaani wewe multipurpose mungu atuongoe jamaa do!!!
@ayoubrashid839211 ай бұрын
Hivo kuwa yeye hana msimamo .....hiyo level hiyo nadhan utakufa huifiki
@abubakarmustwafa-lg8fe11 ай бұрын
Daaaaah,hivi watu wengine Mbona mnatafta madhambi kwa nguvu?!!Ebu kuweni na inswaf,mtakufa vibaya kwa hizo tabia na mambo ya hovyo...Kama mkeo kakushinda kumtawala msmamo huna,unaulizia msmamo kwa mtu aliyekuzidi sabini elfu Marat?Mwenzio hadi mkeo anamkubali,umebaki wewe tuuu😄😄😄hiyo inaonyesha ni jinsi Gani hufai kwa nafsi yako na kwa wengine pia hufai.Acheni husda,mtakufa Nazo hizo
@kaidiSaid-ot9nl11 ай бұрын
Msimamo UPI?
@abouswaleh737511 ай бұрын
Amiiiiiiin
@أبوفيصل-د3ش11 ай бұрын
Sijaona historia yyte ya kusoma hapa zaid tu alipokuw ana miaka 10 mwaka 83. Kisha akakaririshwa Nyimbo za kuimba Na Ametuimbia hapa. Duh!sas historia ipo wap ya Kusoma kwake.
@saba-gv3mj11 ай бұрын
Ww ni hasidi mungu atakushinda ila ww usijifananishe na sheikh othman malim amelimisha wengi
@أبوفيصل-د3ش11 ай бұрын
@@saba-gv3mj ametuelimisha kwa Visa vya urongo.Hyo sio Elimu. Haya niletee Darsa zake japo kitabu Bulughul maraam.mlango wa Twahara!????
@saba-gv3mj11 ай бұрын
@user-qe8xp6ii1u ww zako za ukweli ni zipi huyo si kassim mafuta wakutaka sifa ki historia ametuilimisha ww wataka kusema visa vya mtume s a w na maswahaba ni za urongo wacha chuki na uhasidi ww wahabi toa ww visa zako za ukweli siku yakiyama utajikuta mwenye hasara mungu akuongoze ww na sisi heshimu mashekhe utajuta na hao mashekhe zenu wanao wabandikiza chuki
@abouswaleh737511 ай бұрын
@@أبوفيصل-د3شHAWAWEZI KUKUELEWA HAWA AKHY ISIPOKUWA MTU ALIYEKAA CHINI AKAISOMA DINI YAKE NA AKAIFAHAMU KAMA WALIVYOIFAHAMU MTUME WETU NA SWAHABA ZAKE. MWENYEZI MUNGU ATUTHIBITISHE SISI NA WAO KATIKA ELIMU SAHIHI YA "AMESEMA ALLAH NA AMESEMA MTUME, WAMESEMA MASWAHABA" NA HAPO NDIPO PALIPO NA ELIMU LAKINI WENGI KATIKA WATU HAWAFAHAMU HILO NA NDIYO MAANA UTAKUTA WANASIFIA HATA WENYE KUFUNZA VISA AMBAVYO HAVIJATHUBUTU.
@tanzaniaonmzamiloon862711 ай бұрын
@@أبوفيصل-د3ش wew nikenge kwasababu hujui unachokisema unafuata mukumbo andika mawaidha ya Othman maalim utayapata yote
@mishaalabdallah00111 ай бұрын
Hahahaha vituko hivi,sasa Tarikh ya kusoma kwake iko wapi hapa?Yaani aliacha raudhwa Markaz Nur ama n vp?...jamani musiandike vichwa ili kuvutiya watu waview,mcheni Allwah.
@pavillioncry524111 ай бұрын
Maulid hayana shaka Kwamba ni haramu Vyenginevyo Tupe dalili Hatutaki maneno
@mafiatv547911 ай бұрын
Acha usenge mbwa wewe, haramu babako na mamako walokuzaa
@harunaramadhanimzule11 ай бұрын
Jaman achen matus huku
@husseinsaid802111 ай бұрын
Leta Dalili toka kwenye Quran na Sunna
@mafiatv547911 ай бұрын
@imsimbe hana dalili aitoe wapi? kubwa ataleta kullu bidaatun dhwalala, na hy hadithi yenyewe hawajaielewa vzr
@mirembesumayah11 ай бұрын
@@mafiatv5479kaka huo ndo uisilamu kweli ? kama hulidhiki na hayo omba dalili ila sio matusi jamani tujifunze kuwaheshimu masheikh wetu hata kma wamekosea tuwakosoe kiheshima IshaAllah