Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@ezekielmirambo87048 ай бұрын
Professional and competent engineer, congrats sister!
@maingwamaingwa98878 ай бұрын
Huyu ndo mwanamke super wangu wa mwaka 2024 very strong very talented very smart very important very education big brain mwanmke wa nguvu so biuty fully achana na wapaka poda dada nimekupenda bure by the way makonda nae ni binaadam
@ndetiefredielmushi99788 ай бұрын
Uko vizuri saaaana Dada Mungu akujalie uende juu zaidi Waziri wetu Mtarajiwa❤❤
@samuelemmanuel34008 ай бұрын
Dada yupo smart 🙌🏽 kajibu kwa facts, Ameku outsmart mkuu wa mkoa dah🙄
@MichaeliSimwinga-fd1fo7 ай бұрын
Your the best makonda God bless u
@geoffreyanundatv98368 ай бұрын
Mkuu Umejibu huyo dada vibaya, dada mwenyewe Mrembo na anajielewa sana.pole dada na hongera sana kwa kazi nzuri
@salminasalim56307 ай бұрын
My opinion is that we as strong females we have to avoid crush to males na hiyo ndio suluhisho peke yake maana yeye alikuwa akiulizwa alikuwa anacheke cheka kwa nini hii ndio CRUSH 💯 NA NDIO MAANA ALISEMA HIVYO MSITAFUTE CHA KUSEMA WACHA MH AFANYE KAZI MPENI USHIRIKIANO. ACHENI WIVU.
@NeemaSamson-ti8pc8 ай бұрын
Pole dada umejibu vizuri sana, pia umejitahidi kuwa mpole na mwenye busara
@AlphonceJumanne-y1y8 ай бұрын
Makonda the big brain 🎉
@piuskusenge-jf2ob8 ай бұрын
Huyu Mwana Dada Engineer anafaa kabisa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri, mtulivu kweli kwenye kujibu maswali, hana panic, yuko calm. Safi sana
@GeofreyKalo-ot3we8 ай бұрын
Makonda usiwe mkali sana utaharibu
@evertheobald18118 ай бұрын
Pia kuongea sana nako ni tatizo
@mamboshepea88888 ай бұрын
@@GeofreyKalo-ot3we Bila ukali bongo hii inakula kwako!!! Sishangai wanaotaka uzembe uendelee maana asilimia kubwa hawajielewi!!!
@tiffanymo94538 ай бұрын
Good questions Mh Makonda ,well done
@upendosanga92058 ай бұрын
Engineer nimekupenda unajiamini na hoja zako safi
@lulumatawalo78058 ай бұрын
Hakuna mkamilifu,anafanya mengi mazuri ya kusaidia wengi.Hiyo weakness moja isiwe sababu ya kucrash mema yake mengi .Asiye na udhaifu hata kidogo na awe wa kwanza kumpiga mawe!
@davidmogaka70557 ай бұрын
Kabisa
@jaziramwimbo91457 ай бұрын
SAHIHI kabisa.Mungu amlinde usiku na mchana Mh: MAKONDA
@ajuwazaglodim76458 ай бұрын
Ingenia yuko safi, mzee wangu Makonda amejaribu kumugombeza lakini kajikwamuwa. Huyu dada anastahili na yuko makini.
@nassercurtis95798 ай бұрын
Huyu dada ni msomi kweli na ana punch si kidogo, ametoboa maswali kwa kujiamini mno, na uzuri toka awali aligundua pesa isingetosha, hongera dada muhandisi.
@ndetiefredielmushi99788 ай бұрын
Jamaaani tujitahidi kuheshim fani za watu, Dada jipe moyo haya ni maisha tu hongera unajitahidi.
@wamburasungura68128 ай бұрын
Huyo dada hajazalilushwa ila kashindwa kujieleza Kwa sababu ya wizi wanao ufanya wanasababisha wananchi huku chini tuna pata shida Kwa ujinga Wa hao wajinga walio pata nafasi wanaitumia vibaya kutesea wananchi
@flova70228 ай бұрын
@@wamburasungura6812ukipewa siku kusimamia ujenzi uttaelewa kuwaa umekosea kutyp
@petromgaya17468 ай бұрын
Qddq wewe embu jitambue basi 17:38
@juliusabdul-cc9wn7 ай бұрын
tunaitaji kiongozi kama makonda, tumeajili wote kwanzia raisi mpka mwenyekiti, ahsante mama kwa zawadi hii ya makonda
@gabrielkyando26328 ай бұрын
Shida wabongo tumekalili sanaa wanaona kila viongoz wa mladi ni wapigajiii,, sio kwer huyu dada yuko vizuri ana confidence haogopi sijui mkuu wa mkoa!! Anajiamini
@MnyamaTolu-kd5ct8 ай бұрын
HAWA WANAOSHANGILIA NASHINDWA KUELEWA VICHWA VYAO VINAFKIRI NN NAVINAUWEZO WAKUSMAMIA NN kiukweli nmeumia sana dada usifunjike MOYO Mungu yupa1 naww.
@hoseasteven62418 ай бұрын
Mdogo wangu Grace hongera sana kwa ujasili na kuwa competent kwenye field yako
@GibsonNtamamilo8 ай бұрын
Amekuwa jasiri kujibu utumbo. Imeundwa kamati ya uvhunguzi utasikia majibu nyiebmko mbali na mradi. Hii shule inawaramba wote.
@LucianSanga-q8j8 ай бұрын
Mwalimu Uko vizuri sana una sitahili sana hongera sana
@jaywi56818 ай бұрын
Mhe. Makonda kuhoji kwako kumesaidia kupatikana kwa ukweli juu ya changamoto ya wataalamu waliopo Wizarani kufanya makadirio ya kiwango cha chini ukilinganisha na gharama halisi za ujenzi wa Mradi. Matokeo yake miradi inashindwa kukamilika na kuonekana wasimamizi wamekula fedha. Hongera sana wanaokubeza wameangalia upande mmoja tu.
@epifaniamilinga28488 ай бұрын
Makonda yupo vizuri.kilichomponza.kuingiza maswala ya uzuri mm Nina mke.siyo.haiba ya uongozi.
@phoebembwambo27636 ай бұрын
😂umeumia nn
@epifaniamilinga28486 ай бұрын
Uwazavyo ww.kwangu ni ushauri
@HADSONPAUL8 ай бұрын
Dada hongera umejiitaid sana maana maswali ya Mh makonda ni moto sana
@MohammedDaudIsmail8 ай бұрын
Dada huyu very intelligent kabisa
@vedastusmdapo38378 ай бұрын
Makonda Yuko vizuri saana,naomba tu awe mvumilivu asikate hoja ya mtu hasa watumishi katikati ,anawatoa kwenye hoja wanaingia woga.Injinia Dada naomba apandishwe cheo huyo nimempenda.
@lightwilliam44438 ай бұрын
😅dada kampa mrejesho huo muuliza maswali,kampigapiga na vingereza vya kikazi muuliza maswali hoi umbea wote kwisha.ndio maana anakuuliza kwa hasira mwenyewe hajielewi😂😂😂 safi sana dada eng.
@JennipherGabriel-rx6jc7 ай бұрын
Huyu dada naamini alilia sana jamn pole ndo maisha tujitahidi kufanya kazi jamn
@annemateo29997 ай бұрын
Daaaaajh najuta kuagalia hii leo Brother Makonda this isBig Noo, muombe msamahaa huyu dada kama unampenda Mungu
@PILIMALIBICHE8 ай бұрын
Hongera, Hongera sana Mh, Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mungu akupe maisha marefu. Kazi iendeleee.
@nanguniMtaita-hz4zt8 ай бұрын
Itabidi tupige kura kwa Baba Mungu muumbaji, maana wajinga ama waliopachikwa pakacha la upumbavu nao ni wengi. Kura yenyewe iwe hivi " Wanaosema Mungu ampe Makonda maisha marefu na Wanaosema Mungu ampe Makonda chango la tumbo Afe tusimuone kelele zake za kinafiki kama Mwenda zake, tumuachie mwamuzi.
@FatumaTupa8 ай бұрын
Pole Dada izo ni changamoto tu za kazi
@LucyNgowi-m5z8 ай бұрын
Da!we acha hakuna kazi rahisi kwakweli
@IsaacMatiku8 ай бұрын
Naamini kabisa hata makonda alimkubari huyu Eng dada,Makonda unafanya kazi nzuri na safi sana.
@HenrickNyahi8 ай бұрын
Dada ni moto sana popote ana kaa huyu hajakubali kutingishika hata alipotingishwa dadeki nimeipenda sana hii Japo mwamba nae fresh anapambania wananchi Japo sikuona kama dada Kuna alichozingua kias Cha kumwambia maneno Yale ya mchumba sijui na nn
@HASSANBAKARI-q9c8 ай бұрын
DADA SMART SANA
@WillyKasala2558 ай бұрын
Mheshimiwa piga kazi,usiwasikilize hawa wasojua lolote zaidi ya kupinga haki za wananchi zisitimizwe upo sahihi kuhoji swali lolote maana huo ni wajibu wako ndani ya mkoa kwa masilahi ya Watanzania@kazi iendelee👍
@saidakiwale92278 ай бұрын
Jamani sijapenda kabisa maneno ya Makonda huyo dada yupo kikazi hizo kashfa za nini huyu dada nae anamumewe mzuri tu unadhalilisha siyo powa
@williammakali17598 ай бұрын
Siyo lazima uyapende
@steynjohnr59308 ай бұрын
Huyo dada pia ni mwananchi anayefanya kazi kwa jasho na kodi yake ndiyo imekuweka wewe mkuu wa mkoa hapo so you need to talk to her with respect. No human being should be embarrassed like this, this guy is not a leader, what lesson are you giving to the younger generation?
@rehemamapuga57898 ай бұрын
Yaani nmeumia na kumhurumia sana huyu dada
@HUSSEINALLY-b7f8 ай бұрын
Huyu dada safi sana.Mungu amjaalie
@JaneLaizer-tb6zl7 ай бұрын
Dada pole. Kwa kukwazika but upo vzr congratulation
@eliaskangabo7798 ай бұрын
Makonda hongera sana kwa ufuatiliaji huu,watu wanafanya kazi kwa mazoea wanafikiria ulaji na siyo kazi
@amaninyekele50028 ай бұрын
Kwenye mahojiano hayo umeuona ulaji??
@mamboshepea88888 ай бұрын
@@amaninyekele5002 acha kutetea uovu😯
@GetuSwai-k6t8 ай бұрын
Safi sana dada umejitaidi ❤❤❤
@margaretjoseph65018 ай бұрын
Big up Engineer
@rehemamapuga57898 ай бұрын
Daaah!! Nimemhurumia huyu dada jamani 😢
@gaudenciamallya97798 ай бұрын
UKISIKIA “MWANAMKE NA NUSU” (Harmonize” NI HUYU INJINIA. KEEP IT UP MAMA UNAWEZA!
@RamadanPaul8 ай бұрын
Jamaa awe raisi basi❤❤
@AK-rd5zr8 ай бұрын
😂😂 hapa Makonda ameomba poo….. mdada ako safi sana kitaalamu. Amesoma na amenyooka.
@husseinshabani33068 ай бұрын
Boc anafanya kazi nzri sana. Ila hapa kama binaadam na nikijana alikengeuka. Maybe totoz lilimkomfuse. Si unaona anamashauzi ya kibinti lazima udenda ukutoke.❤😂
@elizabethkikoti72658 ай бұрын
Makonda nakufatiligia Nakupenda ila kwa kumkejeli huyu dada sijapenda sio vizuri unakoelekea kwa kuwajeli watumishi wa kazi tutakuchukia ghafla
@@KhmsNsr sio kwamba simpend makonda nampenda sana tena sana mpk mb zangu zinaisha kumuangalia yeye na jerry slaa tatizo linakuja unatakiwa kutumia kauli nzuri hyo kauli me binafsi sijapenda nimeumia kwani angemfokea kawaida tungelalamika kauli hyo y huyo dada alivyomwambia siyo vizuri tusijisahau sana ndo mn hata yy badae Alijua amekosea kusema vile huo ndo ukweli inauma sana unavyodhalishwa mbele za watu
@ALEXLOTAN7 ай бұрын
Safi sana makonda Niko Mombasa jamani nawafuatilia sana
@Godlove-yh5pp8 ай бұрын
Hongera sana mdogo wangu Grace, keep it up with calmness
@lilylema52928 ай бұрын
Dada hongera kupambana na hiki chuma sio kazi rahisi. Bright with brain. Mm ningeshazimia
@NoreenMbowe8 ай бұрын
Makonda umemdhalilisha huyo dada sio poa
@livingstonekabantega8 ай бұрын
Injinia hongera Kwa ujasiri
@devisshirima67808 ай бұрын
Yani ninamuona makonda kama Rais wa Arusha, yani najihisi kama nipo kwenye nchi iitwayo Arusha ambapo Rais wake anakagua maendeleo ya wananchi wake !! Yani ukuu wa mkoa ni kazi ndogo sana kwako unastahili kuihudumia nchi nzima kwa mamlaka kamili isiyo na kizuizi. Ninamuomba Mungu siku moja nimshuhudie Amiri Jeshi mkuu anayeitwa Paul Christian Makonda !! Viva Baba viva
@johnmbatta98728 ай бұрын
Makonda, unakubalika. Chapa kazi, baadhi ya watumishi wa serikali wamekuwa siyo waaminifu.
@Umut-d7o8 ай бұрын
huyu jamaa ni genius
@isayakalinga64758 ай бұрын
Huyu mama anaongea vizuri sana jamani anajua kufafanua Mambo
@tausikiyabo63028 ай бұрын
Injinia hongera huko vizuri sanaaaaaa unafaa kapandishwa cheo hongera hongera
@LeonilaBerikali8 ай бұрын
Congratulation professional eng.
@bensonmhone48228 ай бұрын
Madam Mhandisi has nailed it. Very composed
@StanleyMalundo8 ай бұрын
Sema Ngoma imeenda droo,nipe nkupe in short sijajua imeishaje kwa kwel
@SHIJADAVIS8 ай бұрын
Wapendwa tutumie lugha, nzuri. Haijalishi mtu unamzidi kazi.
@NeemaSamson-ti8pc8 ай бұрын
Kabisa
@missarepafra39737 ай бұрын
Ulimi huteleza na ikitokea yafaa kuomba radhi
@RAJABUSAIDI-n3s8 ай бұрын
Makonda mungu akulinde unafanya kazi. Naomba siku moja uwe mkuu wa mkoa wa Tanga
@officialdalinaatz.8 ай бұрын
Awe raisi
@franciskassanga79998 ай бұрын
ukiwa mtaalam, unatakiwa kutoa majibu manyoofu, sasa watendaji wengi wana majibu ya siasa, Dada anaulizwa, mil 400 za ziada zinatoka wapi? sikiliza jibu lake,...blaaa blaaa nyingi, hapo ndipo Mh. Makonda anapokerwa, maana anahitaji jibu nyoofu, mfano alitakiwa kusema...tutafanya funds raising event kupata mil 400, ...Jambo lingine la msingi, wao kama wataalam + kamati ya Ujenzi walitakiwa kukaa kikao, kuandaa muhutasari wenye hoja za kusema mapema kwamba makadirio yaliyofanyika na TAMISEMI hayana uhalisia, so mradi hautaweza kukamilika kwa wakati wala kwa ubora ambao umetarajiwa sababu ya mfumuko qa bei, so way forward wapatiwe ongezeko la pesa ama maelekezo ambayo yatawaongoza kutekeleza mradi kwa budget iliyopo ambayo ni pungufu. ! (Tupeni kazi, tuchape kazi !!)
@GeofreyKalo-ot3we8 ай бұрын
Hujamwelewa huyo dada kajitahidi sana kujibu
@paulpaschal47988 ай бұрын
Sure hajaelewa
@paulpaschal47988 ай бұрын
Binafsi mkuu wa shuke na engineer waamejtahd sana gharama zao zipo secified kuna mrad mtu anakutajia ghrama had maini yana cheza mwl mkuu anasema gharama ambazo taasisi za serikali zinadhibitsha kwannza mkuu wa shule kajjtahid kuongonza waliomzd elimu
@barikimollel78908 ай бұрын
@@GeofreyKalo-ot3wehamna Kitu Huyo Dada kilaza
@stevenmrama31238 ай бұрын
Umeongea vizuri nyongeza ni kwamba ukishaona umepewa kazi ambayo mwisho wake unaweza kupokea lawama unapaswa uiandikie tamisemi barua ya aina ya mapungufu kwenye budget yao waliyotoa ,huku ukibainisha changamoto ya kimanzingira .mfano gharama ya ujenzi dar ni tofauti na shinyanga , mwanza,Arusha ,moshi.kutokana na mazingira ya kijiografia.sasa wataamu wetu .awaendi zaidi .
@NavoMasegenya8 ай бұрын
Uongozi ni kazi hivi angekujibu na mimi nina mwanaume handsome ingekuwaje sasa nadhani hata mkuu amejutia tumsamehe bure sisi wanawake maana wanawake wote ni wazuri kwa namna ya uumbaji wa.Mungu
@kigwashokanyelele87218 ай бұрын
Safi sana Engineer
@prosperjuma9058 ай бұрын
Hongera dada hukupanic, wala hukuruhusu hasira. Una shule ya maana.
@StellaMwasha8 ай бұрын
Umeona ee huyo ni kiongozi kabisa
@dannysix44758 ай бұрын
Mh. uko sawa kabisa: sio mambo ya kuangalia sula ya mtu. Swali ulikuwepo.!! sikuwepo sasa unajibu nn.
@dorothmsuya16868 ай бұрын
Mh naona maneno yako yamekua makali kidogo! Mchmba tena jamani! Hapo anaongea kwa kujikaza! Wewe ni mtu mkubwa lazima mtu awe na kiwewe na ndipo anapoharibu! Msamehe bure huyu Eng wetu!😢😢😢
@stevenmrama31238 ай бұрын
Nchi unapaswa kuwa na viongozi wa namna hii Safi sana mhe makonda
@davidmogaka70557 ай бұрын
Makonda Ako sawa
@FransidismasiMaresi8 ай бұрын
Makonda 💯sijawahi penda siasa sas hiv kama unanifungua hiv
@ALLYSEMBUA-mz9zt8 ай бұрын
Safi
@lilylema52928 ай бұрын
Mwalimu umepambana hongera huyu jamaa ni moto
@HatibuHatibu-cd7hs8 ай бұрын
Aisee kwanza nimecheka...huyu jamaa ni mwanaume..ana maswali nondo
@telesphorymajumbi8 ай бұрын
Ni mkuu wa mkoa moja tu Mh. Makonda anae ongea na wananchi waka sana kujuwa na kutoa ufumbuzi wa shida zao bila kuingilia Sheria (maamuzi ya mahakama) fanya kazi Mh. Achana na wababaishaji hao na wakandamizaji tu. Etaga milimo wa ng'wa Mami.
@dastansimpanzye40198 ай бұрын
Daa! Kazi sana
@nasrahassan73468 ай бұрын
ingeneer yupo vizur dada mashaallah
@jumahalfani67898 ай бұрын
Sometimes viongozi tumieni busara mtu anjibu vizuri una intaract as if hukutaka hayo majibu...tuheshim kaz za watu
@saidisheha53668 ай бұрын
Majibu yapi hapo yaniumwache mtu ajiandae kudanganya. Chapa wafujaji wote
@DeusdeditMichael8 ай бұрын
Sababu ya Interaction haikuwa ufujaji bali maringo. Mm nimetazama hii clip, sioni maringo kuhusu huyu Engineer.
@dezruh8 ай бұрын
Hakika
@tausikiyabo63028 ай бұрын
Yes tena anamuongelea maneno yakukaraisha ila injinia kasimama vzr yuko vzr anamjibu kila kona
@YusuphLyatenga8 ай бұрын
Makonda anavuka mipaka mda mwingine
@samlutubija12298 ай бұрын
Makonda yuko sahihi na mama Engineer yuko sahihi
@josephmwinuka39828 ай бұрын
Kazi ipo hapa
@juliusdonard9338 ай бұрын
Vzur dada , hapoo n kaz kaz ,makondo anafanya kaz ajari n kwaidaa tuu usjar
@hermenegildempawenayo2798 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu, we nimtu mzima
@DandasiKundi7 ай бұрын
Raisi wetu mama Samia tunaomba utupe sisi wananchi wa mkoa wa pwani utupe makonda awe mkuu wetu wetu wa pwani angalao Kwa muda wa mwaka mmoja tu ili tusonge mbele namkubali sana ni mtendaji mzuri sana na ni mfuatiliaji Kijiji Hadi Kijiji atatupa maendeleo sana. Tunakuomba mama Samia.
@zayumar29558 ай бұрын
Safiii kwa mbaaaliiiii namuona Magufuli 😢💔mnaosema kadhalilishwa ni vile tumezoea kuona maneno makal kwa wanaume tu ila makonda piga kaz baba wamezoea kula pesa za wananchi❤️❤️❤️