#24hrslatestswahilibongomovies #africanmovies #latestbongomovies Aforevo Title:Kisa Cha Mpemba
Пікірлер: 75
@nurumwinyi7969 ай бұрын
❤masha llah mke mdogo mzri na tena anajistiri vzri
@1czay8 ай бұрын
Ila mke mkubwa ana gubu mno😂😂😂 to much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-qn3st2wj1l9 ай бұрын
Hogereni mlipangilia vizuri sana anafaa sana kwa kuelimisha jamii
@khamisjuma37609 ай бұрын
Kwa kweli iko vizuri ubaya upo kufananiza kisa cha mpemba mpemba gani huyo anaye pelekeshwa
@roudhamahmoud7637 ай бұрын
Mashallah mola awabariki nimependa sana igizo
@biashaqtr-xd2mf8 ай бұрын
Inshallah tunaomba part 2film nzuri sana.
@zulachama10679 ай бұрын
Michezo ya kitanga hiyo,mnaeza iko vizuri ❤.
@user-hf4ei8sg4w8 ай бұрын
Jaman mm nilikuwaga siangaliag bngo move lkn hapa mmeniweza ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@doreenmsafari29458 ай бұрын
Movie nimeipenda sana mke mkubwa walai kaniacha hoi❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@rahmasuleiman93348 ай бұрын
Hapo ndo nnapompendea Siyawezi ❤❤
@asyasuleiman20977 ай бұрын
Mutabaki na mateso waswahili kwa kukataa sheria za Mungu,wake ni wanne,waacheni waume waoe wastiri wenzenu
@antoniamushi85328 ай бұрын
❤🎉muwe mnatoa taarifa mnapo owa
@priscilladama86867 ай бұрын
Bb mkubwa 😂😂😂😂😂maneno ka chiriku😂😂😂😂❤❤❤❤
@EsemaNikye-xp3kj8 ай бұрын
Aposawa mwana mk ana dekezwa
@aishahaisha39098 ай бұрын
Nzur sana
@user-nb5iv5xi9z7 ай бұрын
Mh hatar sana
@Tumu-zr2ez9 ай бұрын
Uko sawa
@bushzerahamusic47624 ай бұрын
Nazkubali kazi zenu
@swahilihub76304 ай бұрын
"Ni kwa sababu ya kuungwa mkono na mashabiki kama nyinyi kwamba ninaweza kufanya kitu ambacho ninakipenda sana. asante adui ukiangalia kzbin.info/www/bejne/pJjQl6OhqdCnhsk
@SHARIFASEKA2 ай бұрын
@@swahilihub7630good job
@user-sb3bp9yz5v8 ай бұрын
Mke mkubwa safi san
@saidahmed96889 ай бұрын
good movie
@geturude-ce7tn9 ай бұрын
Huyu ndiyo siyawesi am❤❤❤
@HusnaMgunda6 ай бұрын
Good job
@swahilihub76304 ай бұрын
"Ni kwa sababu ya kuungwa mkono na mashabiki kama nyinyi kwamba ninaweza kufanya kitu ambacho ninakipenda sana. asante adui ukiangalia kzbin.info/www/bejne/pJjQl6OhqdCnhsk
@batalingayachristopher-ry5lv9 ай бұрын
Sauti ipo😂wewe ndio sim lako bovu
@hannan27938 ай бұрын
Nimerudi....wekeni mike vya nguo part zengine hatuskiiii plsss
@badalichauchau69838 ай бұрын
Mpemba noma
@user-ic8mc3bd8l7 ай бұрын
Good job ❤❤❤❤❤❤😂
@user-sd5ph2hz2u5 ай бұрын
❤
@swahilihub76304 ай бұрын
"Ni kwa sababu ya kuungwa mkono na mashabiki kama nyinyi kwamba ninaweza kufanya kitu ambacho ninakipenda sana. asante adui ukiangalia kzbin.info/www/bejne/pJjQl6OhqdCnhsk
@user-qe3rx2ok7z3 ай бұрын
Safi bi mkubwa
@geturude-ce7tn9 ай бұрын
😂😂😂😂😂ni siyawesi huwa nampenda sn
@SalumAli-dg6cs9 ай бұрын
Sauti aiko saw
@hannan27938 ай бұрын
C mke mkubwa Ana qubu ni mume ndio Ana makosa angemwambia nina mke wapili ajue ataishije....kosa mpemba.makaka mkiowa mseme ni hatari mwaeza kufanya mtu auwe😮
@fatmamuhammed97138 ай бұрын
Usisingizie kua huna faida ya kuolewa na mtu mweupe si umetafuta mbegu uzae mtoto mzuri
@dorcasmueni22908 ай бұрын
Nzuri ila mwanaume ako na makosa, hakuna mwanamke ambaye anaweza kuchekea hili lililofanyika hapa
@Ronaldo789437 ай бұрын
Mwanaume anamakosa saana
@user-it8jb2np6x6 ай бұрын
Ukweli wanawake asili yao niwivu Na wivu ndio upendo.bila wivu no lav. Ila mwanamke mwenye kelele anakinaisha san.maan mapnz niutuliv wa moyo na akili kutulia. Ila mke mdogo anavutia san . Kama mim ningehama hata hiyo nyumba namuachia 2 kwani nin ban
@salahaljahury29077 ай бұрын
Fala huyu
@user-sb3bp9yz5v8 ай бұрын
Ndo mkome wake wadogo mjifundishe kabla hamjaingia kwenye ndoa muwachunguze wanaume kwanza
@khajumkhamis7910Ай бұрын
Mke wa pili wa babu Ali ni mke na anastahiki kuwa mke coz Kila sifa na sababu anayo ya kuwa mke
@user-qe3rx2ok7z3 ай бұрын
Wifi nae mnafki
@mamahidaya95668 ай бұрын
Ila mashemeji wanafiki jamanii yan anajua kila kitu lakn n kama hajui lolote😂😂😂
@user-qr7et3vl5z8 ай бұрын
Mpembaa jamani ndio Tania zao
@roudhamahmoud7637 ай бұрын
Hapo mwanamke hasidi umekoseya dada
@user-qe3rx2ok7z3 ай бұрын
Alekosea ni mume
@rahmasuleiman93348 ай бұрын
Tuwekane sawa sio sheria wane but ni ruksa 4 ni ruksa muislam kuoa 4 na atimize masharti km aya inavoeleza
@salahaljahury29077 ай бұрын
Huyu jamaa ni mpuuzi anaongeza mke halafu hajiamini hawezi ku handle hawa madem anaendeshwa tu mpuuzi anatutia aibu wanaume wa shoka
@user-uy7gk5lj3t8 ай бұрын
Huyo jamaa bazazikwelikweliwrhuuuuu!!!!!!
@JumaChapalama-pi1nj4 ай бұрын
wake wakubwa tatizo mazowea
@roudhamahmoud7637 ай бұрын
Wifi unaliya kama kaka pumbavu
@rehemapeter94307 ай бұрын
Ukwer ni mzur kuliko kupendelea kuficha mwambie tu ukwer
@nurumwinyi7969 ай бұрын
Hii familia ya mke mdogo iko na makosa japo mume hakuwaambia kama yupo na mke tayari,anefaa kukasirika ni mke mkubwa,uke wenza kazi😅😅
@Fear_Allah3948 ай бұрын
Asikasirike vp si w’ke wote wanaopenda kuolewa mke wa 2,3,4. Au unadhani ww kila mtu anapenda mashaka??? W’ke wenyewe wa sasa wengi washirikina na w’me ndio kabisa hawajitambui.
@user-sb3bp9yz5v8 ай бұрын
Hilo nalo neno
@bonysulemani8 ай бұрын
Sauti ni tatizo tubadilike zingatia location
@bonysulemani8 ай бұрын
Move za kibongo bwana kilasiku nikukoseya tuu tutabadilika lini?
@roudhamahmoud7637 ай бұрын
Mke mdogo mpole ila mume unamakosa piya
@user-je1zi7zb3h8 ай бұрын
Maskini babu ally pole mwaya ila wanaume mkioa semeni ukweli kwa wenzenu 🤔
@Ronaldo789437 ай бұрын
❤😢😮😅
@roudhamahmoud7637 ай бұрын
Wifi penda cheupe kama kaka fisadi weee
@MichaelLawei-nc6th8 ай бұрын
Mke mdogo ni mzul achanana nahuyo mkubwa anakawenge
@user-ly6qc3nh7c7 ай бұрын
Mkubwa ndo mzuri mtu chake
@user-do6wh4ok9e7 ай бұрын
Kwakweli Wana ume muwe wakweli
@AndrewMwenda-ib1mx8 ай бұрын
Njia ya mwongo ni fupi
@RoziDocta-cq6bb7 ай бұрын
Watu weupe mna nuksi kwanza kwanini
@user-wp9kc6xs3j7 ай бұрын
😂 vizuri .
@zainabdadu26678 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤
@fgg87947 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 balaaa
@user-je1zi7zb3h8 ай бұрын
Mke mkubwa mshari eti fizi zote sinatoka jasho🤔
@user-hm9nj9lx2t4 ай бұрын
😂😂❤😢😮😮😮😂😂😂😂😂
@nurumwinyi7969 ай бұрын
Ssa ulikua wataka ufiche mpaka lini,sheria ni wake wanne
@Fear_Allah3948 ай бұрын
M’ke mtu mzima yatima???
@fauziakarama85818 ай бұрын
Mke mkubwa ana maneno manyaufu sana kwa kutumia neno baradhuli kila wakati kumwambia mumewe na wakati anamtaka na anasema haachwi mtu sio vizuri kutumia neno (Baradhuli)