Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu.... nakupenda kwa ajili ya Allah
@mariambakari2783 жыл бұрын
Mungu akuweke tujifunze mambo mema ,
@QueenMuniiza4 ай бұрын
عليه افضل الصلاة والسلام على رسول الله صل الله عليه وسلم ❤❤❤❤❤❤❤❤
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Nakupenda kwaajili ya Allah sheikh Othman Maalim, Allah akutangulie katika kila lenye khery, akupe umri mrefu, Afya njema na kila unapoteleza Allah akusahilishie na Allah akupe mwisho mwema wa kauli thabit na pepo iwe makazi yako milele, nakupenda sana shekhe wetu na nafurahia uhai wako na uwepo wako, shukrani Jazzakallahu sheikh Othman Maalim, Allah anikutanishe pamoja na wewe peponi Ameeen yarab👏.
@yusufbaishe35274 жыл бұрын
Amen
@mariambakari2783 жыл бұрын
Mashaall mungu ukupe afya na umri mrefu
@mussajangwa91066 жыл бұрын
Sheikh othman maalim Allah akupe umri mrefu wenye baraka Bnafs napata faraja kwa darasa zako sheikh
@aishajeaninejeanine89346 жыл бұрын
shukrani sheikh wetu napenda sans mawaidha yako nimejifunza mengi Allah akubariki
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Jazzakallahu khery sheikh Othman Maalim, shukran Allah akuzidishie khery nyingi.
@kingelkindy29204 жыл бұрын
جزاك الله خير الجزاء الشيخ عثمان بن معلم 🌹🤲🌹
@QueenMuniiza4 ай бұрын
الله اكبر ولله الحمد ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@zayyatiyussuf95666 жыл бұрын
Sheikh Othuman Allah akujalie umri mrefu afya njema akustili na kila shari Allah akujalie shahada iwe kauli yako ya mwisho pepo ikawe makao yako in shaa Allah Shukran Allah akujalie kheri in shaa Allah
@abdullahishareef55776 жыл бұрын
zayyati yusufu Amiin Amiin na sisi wote Allah atujaalie na atunusuru
@faizasaid82625 жыл бұрын
zayyati yusufu amiin kwawote inshallah
@faizasaid82625 жыл бұрын
zayyati yusufu H B yupo huku😁
@zaynabsalimzaynabsalim18576 жыл бұрын
Shekhe Othoman Allah akujaze kheri
@safiaothman10984 жыл бұрын
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan Sheikh Othman Ma'alim kwa Darsa lenye Mafundisho na Mazingatio Makubwa sana.
@mimamkassy65634 жыл бұрын
JAZAKALLAHu kheir mwenyezi MUNGU akulipe kila la kheir.
@IshakaFaki-kl4tc Жыл бұрын
Allah akukipe kheri maalim na awalipe kheri nyingi wazazi wko
@alimohamedalisaid70406 жыл бұрын
Mashallah my brother nice darasa mungu akubarki akupe afia ameen thuma ameen
@friesinger09636 жыл бұрын
Shukraan za Dhati kwenu KTV Tz ONLINE pamojaaa na sheikh wetu sheikh Othman Maalim , kwa kuweza kutuunganisha pamojaa ... husuusani sio tuliokuwa nje ya Nchi ,... Baarak Allah feykum
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Shukran wajazaka Allahu heri hakika shehe katika haya Kuna mazingatiyo makumbwa kwa wa nao mcha mwenye zimungu Allah a tujalie tuweni wenye kisikia na kufata inshaallah
@islamicswahilidaawahajege83416 жыл бұрын
Allah akupe afya na umri mrefu sheikh wetu Othman Maalim . Ameen ya Rabb
@mamoulovecherry51214 жыл бұрын
Allah akutulidie sheik wetu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ahymokash96406 жыл бұрын
Shukran shekhe
@adiliissa49834 жыл бұрын
Allah akujalie afya njema shekhe Othuman Maalim
@saumuabdullahi57036 жыл бұрын
Barak alahuma yaa Allah
@QueenMuniiza4 ай бұрын
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
@salehsuleimanmbaruk26454 жыл бұрын
Thnx my maalim
@hamisiabdallah43104 жыл бұрын
Allah aendelee kukupa umri wenye manufaa kwako na kwetu pia InshaAllah 🙏🙏
@Mamake64 жыл бұрын
MashaAllah Jazak Allah khyr 🙏
@najma.nimejionanatokwanama82936 жыл бұрын
shukran sana
@QueenMuniiza4 ай бұрын
عليهم السلام ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@taabohosain38496 жыл бұрын
Jazzakallah khayr
@abdullahmchasa89883 жыл бұрын
Wallahi daawa imeingia moyoni. Ni chakula kizuri cha roho
@hamisiabdallah43104 жыл бұрын
Jazaqallah Sheikh
@safiaabubakar11206 жыл бұрын
Mashaa Allah
@mwanaidwallu13295 жыл бұрын
Mashallah jazakallah hayla
@fatumajuma8676 жыл бұрын
nakupenda cna jamaa yangu
@chausikuhussein92222 жыл бұрын
Mashallah
@famitoissanawanda62955 жыл бұрын
Mpaka raha
@abdifathmuhiyadin34962 жыл бұрын
جميل جدا.
@FahadNassor Жыл бұрын
Maashaallah
@abdullahnassor95045 жыл бұрын
Shukran
@bakarifaki75924 жыл бұрын
Mqshaalwa
@samamussakibwana57034 жыл бұрын
Marshallah
@adiliissa49834 жыл бұрын
Masha Allah
@friesinger09636 жыл бұрын
Maoni yangu kwenu KTV Tz , haipendezi kuwekaa vitu kma vyaa kumtajaa Allah kisha mkaaaziaa na music na kumaliziaa na music .... maoni yangu tu
@aliyomar91405 жыл бұрын
شكرا
@kibahasrall73876 жыл бұрын
Mashaallah
@adamzdamz65926 жыл бұрын
Questions plz regarding nabii Musa. A nabii Musa aliishi Miaka mingapi na alipo fariki dalili zipi zilijitokesha baadae after kifo chake kama vile Mtume wetu Muhammad sws. Madina kungara mwangaza au nuru,
@hamzahassan2734 жыл бұрын
🤲
@aishaarusha8944 жыл бұрын
0stadhi
@ameirothman8052 жыл бұрын
mashaa Allah mupo vizuri ila tuna taka kuona na ule mchezo wenyewe tuwone