Shekhe wangu kishki Allah akupe furaha katika maisha yako nawale wote walio changia kwahili Allah awalipeni kheri inshaalah ❤❤❤❤
@mnolamanyendi49569 ай бұрын
Shekhe wetu Tanzania tu nakupenda tunakuwamini wewe ni mkweli mwenyezi mungu akakuweke pamoja na mtume Muhammad s a w
@hussainmasoudsubhannallah37869 ай бұрын
Allah awazidishie kheri wanaojali wasiojiweza
@user-bw7ve8ce3q9 ай бұрын
Mashaallah mwenyezi MUNGU awazidishie kheri wote waliotoa na Sheikh Kishik inshaa allah
@bentybenty23439 ай бұрын
Masha ALLAH. ALLAH awalipe wote walio changia na awajaalie pepo ya Fridaus inshaAllah ❤❤❤🤲🤲🤲
@hanifaalhanif63929 ай бұрын
Allah akulipe kiongozi wetu sheikh wetu akuzidishie kheri na baraka katika kila ulifanyalo na asikulipe Allah ispokua ni mwisho mwema na pepo firdausi iwe ndio makazi yako InshaAllah
Shekhe kishki mwenyezi Mungu akulipe kila lakher mashallah tabaraka llah
@miishhassn9 ай бұрын
Subhanallah 😥 allah akulipe kher wew na watu wako shekh kishk
@khadidjasuleiman80069 ай бұрын
Wenyezimungu akuzidishie Sheikh Nurdin 😢hakika wew ni number one 😢 Subhanallah 😭😭
@AssinaMsafiri-ud5so9 ай бұрын
Ya Allah wajalie wote walie jitolea kumsaidiza huyu Kaka mlemavu Namimi namuomba Allah Anijalie uwezo niweze kuwa saidia walemavu wajane wazee na watoto mayatima😭😭😭😭
@abdillahmachemba55979 ай бұрын
Kishki ni mmoja tu... Tutakuwa mashahidi mbele ya Allah kwa kazi unayoifany
@RamadhaniRudonongo-rg7oc9 ай бұрын
Maa shaaa Allah nimependa maneno yako kaka tuko pamoja
@siriyangu47249 ай бұрын
Mashallah kila unapo weka furaha kwa mwezako Allah nawe atakufuraisha alhamdulilai 🤲😭machozi ya kuraha
@yusroman16269 ай бұрын
Manshallah manshallah; tabaraka Allah shekhe Allah akulipeni Kila la kher akukinge na shali za dunia akuzidishie ulipo toa🎉🎉🎉
@user-rn8rp3uv3f9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ MaashaaAllah Shekh Allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye manufaa na sisi sote na akupe moyo huo huo ❤❤❤❤
@bentybenty23439 ай бұрын
Amiin Thumah Amiin
@zainarashid10249 ай бұрын
M. MUNGU awalipe kheri wote walioshiriki kufikia lengo hili
@khalidimzamiru94069 ай бұрын
Allah akup umri mref sheikh kishk inshaallah
@bimkubwaali59519 ай бұрын
Mashaallah Allah akulipe Jannatul Firdaus inshaallah . Sheikh kishki hakika ww ni miongoni mwa mawalii wa Allah Allah akuwezeshe zaid n.a. zaid
Mashaallah nakupenda kwajili ya Allah inshaallah allah akuifadhi
@muhamedniho65009 ай бұрын
Manshallah sheikh Allah akulipe kila lakheli
@ashooraashoora11809 ай бұрын
Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah mwenyez Mungu akupe furaha na utulivu wanafsi afya njema nakuongee mara dufu ili uzidi kusaidia na wengine Jazzakumllah Khery
@myunaniniahmad64639 ай бұрын
Mashaa الله Mashaa الله Mashaa الله. Shekhe kishki الله akulipe pepo ya daraja la juu iliyoko chini ya arshi. Yani hata hatujui tukuombee dua gani ambayo ni kubwa kuliko zote.
@MohaMmed-hb6zt9 ай бұрын
Mashallah hallah akulinde shekh wetu
@user-ic7iw2dh7o9 ай бұрын
😢😢 AllahuAkbar mpaka nalia Allah awalipe woote waliofanikisha hili
@Amina-tw4iw9 ай бұрын
Mashaallh shekh kishki mwenyezimung akupe umlimlefu wanyemanufaha na akujaalie jannatulfirdaus tunakupend san
@allynasoor-km1vq9 ай бұрын
Mashallah shekh kishki Allah akulipe kila la kherri kw mchango ulioutoa
@asiahamis78939 ай бұрын
Masha Allah taballakallah allah akufanyie wepes usirud nyuma shekh kishk wallah namuomba Allah akufanyie wepes jannah iwe ndio makaz yako
@ziadamaulid90899 ай бұрын
Sheikh kishki Allah akulipe kheri
@mdmohammed94119 ай бұрын
Maasha allah. Allah awalipe kheir wot walio changia kwa hili pamoja na Sheikh kishki. ALLAH AKBAR
@hanifaalhanif63929 ай бұрын
Mashallah Allah akulipeni kheri mnayo ya fanya ni makubwa mno❤😊❤❤ na awahidhi pia
@mapishiyetumazuri23129 ай бұрын
Yani huyu shekh sina lakusema namuombea mungu ampe afiya njema na mwesho mwema nampenda sababu ya mungu
@bintsalimalbimany2879 ай бұрын
Alhamdulillah Mashallah Kilio chafuraha😭😭😭😭😭😭 Mashallah Alhamdulillah Inshaallah Allah akubarik Kaka angu Eeh barakallah Fiik Sheikh Burdiin na wote waliochangia Nataman namim nengekuwa mmoja wao kwa japo kidog jaman😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲😢
@nareensaleh49579 ай бұрын
Mashaallah allah akulipe kila lakheri yani nimelia 😢
@mariamhamisi5989 ай бұрын
Mashaallah sheikh nduridin kishik wetu shukuran kwa msaada wako allah akuzidishie Umr mrefu na mwisho mwema tunakupenda kwa ajili ya allah sheikh wetu sheikh nduridin kishik :na watu waliotoa allah awazidishie kila lenye kheri ndani yao allah awazidishie Umr mrefu na mwisho :❤❤❤❤
@ggv8669 ай бұрын
Allah akujalie kila la kheri Sheikh wetu ..
@RahimaMct-ik8mr9 ай бұрын
😢😢 mashallah tabark rahman shekh Allah akuihifadhi hapa dunian
@fatumakushonda42779 ай бұрын
Mashallah tabarakkallah 🥰😘 kijana ameniliza 😢 machozi y furaha hayo😢❤
@mauajumasaid93519 ай бұрын
mashaallha tabaraka llha
@rashidjuma19699 ай бұрын
Mashaa Allah mungu atufanyie wepesi
@fabssaleh72739 ай бұрын
BARAKALLAHU FIIKUM. MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
@akhuumpweche.79359 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH 💖
@salmanassor87329 ай бұрын
Mashallah tabaraka Rakhman ❤
@user-ue2sd1mk6y9 ай бұрын
Masha Allah sheikh
@shariffali-pu4wj9 ай бұрын
maasha allah
@salumuabdallah51639 ай бұрын
Allahu Akbar Allah amlinde Sheikh wetu
@tobosha32369 ай бұрын
Ma sha Allah Tabarakallah, Shekh Kishki Allah akulipe kila jema wewe pamoja n washirika wenzako kwa hili
@user-bi3nn7kk6q9 ай бұрын
Maashaala Allah kupe umri mrefu wenye her ishaala
@aishahazary40979 ай бұрын
ALLAH ajaalie na kizazi chako shehe Kishki kiwe na moyo wa huruma na uaminifu kama wewe.
@hadijamandanje61899 ай бұрын
Amiin amiin ya rabialamin
@bentybenty23439 ай бұрын
Allahumah Amiin
@KudraIsmail9 ай бұрын
MASHAALLLAH❤
@mohamedoman93449 ай бұрын
Mashalllah mashalllah mashalllah mabrouk
@user-xb3nf9dq8k9 ай бұрын
Sheikh nurdin kishki Allah akuhifadhi
@comrademlewaisavile3369 ай бұрын
MashaAllah nimebubujikwa 😢nimeguswa ALLAH akulipen sheh kishik na wale wote waliochangia.nilichojifunza kwa uyo kijana moja karidhika na maisha yake sio mtu mwenye kulalamika na hali yake.apo kuna funzo kwa sie ambao tuna kila kitu lakn tuna lalamika Alhamdulillah 👏🏻✍️
@fatmahussein60859 ай бұрын
Mashaa Allah, Allah akulipe kher nying sheikh Nurdin na wote walohusika katika jambo hilo la kher malipo yao watayakuta kwa Allah Azza wa jalla
@Naw899 ай бұрын
ALLAHU AKBAR Allah akuhifadhwi na killa sharr kwa rehma zake pamoja na familia yako yako sheikh wetu Hakika wewe ni mja ulie chaguliwa na Allah kua msaada kwa wengine Allah akuzidishie
@dottohami9 ай бұрын
Masha Allha Allha awalipe kila la kheri timu mzima ya kishiki tv 😘
@saidihamisi98237 ай бұрын
Mashallah , sheikh kishki allah amjaaliye mwisho mwema , na Allah amhifadhi fiy Dunia wal'akhera
@hshshsshjdjejjejejejej98239 ай бұрын
Masha Allah jazzak la kher 🥰 🥰
@ramashwaaibrama10789 ай бұрын
Maashaallaah maashaallaah ❤❤❤
@ggv8669 ай бұрын
Mashaallah Allah Akbar
@zainabumartin95209 ай бұрын
Allah atawalipeni duniani mpaka siku yakiama
@user-ph3ck4mi9b9 ай бұрын
Maa ShaAllaah ALLAAH akulipe khery nyingi shekhe wetu.
@mamaibra38179 ай бұрын
Masha Allah
@user-wn5ns8xb9f9 ай бұрын
Mashallah tabarak rahmani
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
Al hamndulilah Allah akulipe sheikh
@SalmaSalma-zv1bh9 ай бұрын
Allah awajeni kheri kila alietoa kwa ajili ya mja wa mungu,Allah ajalize awalipe kheri na awajalizie walipotoa na walipopunguza inshaallah
@user-zt3et5kl5m9 ай бұрын
Yaraab mjalie shekehe wetu umri mrefu na umjalie janatulfirdaus😢😢
@tanzaniaoman64239 ай бұрын
MwenyenziMungu akuzidishie shekhe Kishiki daah mpk machozi yamenitoka hata cjui kwa nini
@saumusanjiama69919 ай бұрын
Mashaallah mashaallah Allah awalipe kher
@user-qi9dn7fi6t9 ай бұрын
Jazakallahu lihaira alhamdulillah Allah awaifadh wote walio shiliki ibada hii alhamdulillah maashallah
@user-mq6lu2po3y9 ай бұрын
Mashallah kilemba kimefunguka ghafla
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv9 ай бұрын
Mwenyezi mungu akuweke shekhe kishik
@abdallahantony95249 ай бұрын
Maashallah Allah atufanyie wepesi Kwa sote inshaallah
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv9 ай бұрын
Nawe shekhe kishik mwenyezi mungu akulipe kheri
@user-so9id8rp3u9 ай бұрын
Masha Allah,Allah awajaze kheri duniani na Akhera
@ggv8669 ай бұрын
Ameen
@a.8569 ай бұрын
Jazakallah khayran
@khadidjasuleiman80069 ай бұрын
Mashallah tabaraka llah 🥰❤️❤️
@zaitunisinamenye17999 ай бұрын
Mashaa Allah, tabarakallah
@mwnab16979 ай бұрын
Mashallah Allah awabariki wote inshallah
@kutailass66719 ай бұрын
Maa shaa Allah
@ramadhanisalum83219 ай бұрын
Sheikh kwa haya unayoendelea kuyafanya...ALLAH akuandalie yaliyo Bora zaidi huko akhera
@Samsungjprime-ww9ve9 ай бұрын
Mashaallah
@oman1oman1799 ай бұрын
Manshallaah
@user-mt5qu8lu7c6 ай бұрын
Mungu akuzindichiye sheh wetu
@salimaslalaamalekumwardah13189 ай бұрын
الحمدلله😢❤
@mrsab3039 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
@sharifuabumuhsin75899 ай бұрын
Mansha'allah Sina rakusema Ila tungekua nama cheikh kama Hawa sijui tungekua tunafika wapi sharifu kutoka burundi
@asalkhan91689 ай бұрын
Allah atawaletea
@aminamohamed99559 ай бұрын
Maashaallah Allah awalipe wote mlio mchangia huyu kijana jamani machozi yanitolika namuombea dua watakao simamia hyo bajaji wawe wa aminifu😢😢
@abuubabamzazi9 ай бұрын
Sheikhe kishk mungu akubariki sana
@salimrajabu46889 ай бұрын
Sheikh kishki huna baya ❤❤❤
@bentybenty23439 ай бұрын
Masha ALLAH
@azaniasaidi939 ай бұрын
Mashaa'Allah 😢
@fay96879 ай бұрын
Bakwata wako wapiii waumini wanateseka ndio kazi yao au wanashiba matumbo yao Tu subhanallah mtaenda kuulizwa.kishki na timu yake Allah awalipe