No video

MAAJABU MSIKITI WA MAJINI ULIOPO MAKKAH SHEIKH RUSAGANYA ALISWALI NA WATU VICHWANI MWAO ZINAWAKA TAA

  Рет қаралды 160,196

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

• MAAJABU MSIKITI WA MAJ... #KHIDMATV #masjidaljinn #makkah #sheikhhashimrusaganya
‪@KHIDMAONLINETV350‬
#facebook @khidmaTV
#instagram @khidma_tv
#tiktok @khidmatv1

Пікірлер: 791
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 10 ай бұрын
Namshukuru MUNGU kwa Masihi aliyeniokoa na kunifanye mwanawe. Hii imani ya majini Ee Yehova,.tuepushe nayo. Amin amin amin 🙏
@mundhirfauz
@mundhirfauz 10 ай бұрын
Kwani jini hajaumbwa na mungu
@raymrash
@raymrash 10 ай бұрын
@@mundhirfauz ishu sio kuumbwa! Ishu ni kwamba majini ni malaika waasi!
@user-em3uf8wz6r
@user-em3uf8wz6r 10 ай бұрын
Majini si malaika . Malaika wameumbwa kwa Nuru na majini wameumbwa kwa Moto
@raymrash
@raymrash 10 ай бұрын
🤣🤣🤣
@simonmahinya2223
@simonmahinya2223 10 ай бұрын
​@@user-em3uf8wz6r tofaut ya moto na Nuru ni nn? Moto ni nn na Nuru n nn palipo moto patakosa Nuru?
@raymrash
@raymrash 10 ай бұрын
"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;" 1Timotheo 4:1
@hamzaabeid
@hamzaabeid 10 ай бұрын
😂😂😂ona huyuu kondoo
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 10 ай бұрын
Ndo mitume yenu feki kina Mwamposa wanao wauzia udongo
@omaar5693
@omaar5693 10 ай бұрын
​@@mangulimanguli3974doh hiyo si saizi yake
@animamichael3968
@animamichael3968 10 ай бұрын
Kuna majini na mashetani
@raymrash
@raymrash 10 ай бұрын
@@animamichael3968 maadam ni "roho"..hatupaswi kuyasikiliza. Na Kuna maslahi gani kuyatetea majini!?
@rallyscosmeticandgasaccess4839
@rallyscosmeticandgasaccess4839 10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atuepushe mabaya atulinde na mema pekee insha allah
@arbabhijjabshop3076
@arbabhijjabshop3076 10 ай бұрын
Mashaa Allah Allah akuhifadh shekh wetu hii story imejua kuwapanikisha upande mwengine . kuna somo kubwa sana nimeliona.
@sarahabdullatif8556
@sarahabdullatif8556 9 ай бұрын
Chakushangaza majini niwaisilamu na mkristo nae anasilu nakuwa mwuisilamu Asante Yesu kwakuniita kwako najivunia kuacha uisilamu nakuwa mkristo
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 9 ай бұрын
Hongera unatumia jina gan fb au insta
@shasha12-y2h
@shasha12-y2h Ай бұрын
astaghfirullah muombe mungu akuongoze
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 🇰🇪 💚💚💚
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 10 ай бұрын
Shekhe majini ni waasi wa Mungu na walilaniwa na kusikiliza kroani ni sawa kwa maana si kitabu cha kukupeleka mbinguni Ila jina pekee la Yesu kristo ndo njia ya uzima wa milele na bibilia pekee ndio kitabu ambacho kinauzima wa Roho
@luluelia-yo2rg
@luluelia-yo2rg 9 ай бұрын
Ujui unako enda walaunapo toka jitambue
@shamisfahiye9628
@shamisfahiye9628 9 ай бұрын
Aise 😀 Imani gani😢
@SamuelKhadija
@SamuelKhadija 5 ай бұрын
A you normal
@allymwatima5401
@allymwatima5401 4 ай бұрын
Hivi wewe unajua wewe ni nani? Na je jini ni nani? Nini tofauti ya jini na shetani? Shetani ni nani? Ukiweza kujibu kwa ufasaha maswali haya bila shaka utakuwa umefunguka sana
@hassanisaidi5422
@hassanisaidi5422 4 ай бұрын
Km malaika wapo walioasi na wema yaan wale wa Mungu ikosekane majini?Malaika wengine walimuasi Mungu wakapigana na malaika walio upande wa Mungu ,maandiko yanasema hvyo tena ya biblia,Sasa kwnn na majini wasiwe wema na waovu
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 10 ай бұрын
Mashallah mashallah Allah ndie muumba wa kila kitu hkn aliwezeza kuumba hata sisismizi
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 10 ай бұрын
Shekhe hakuna jini mwema kama unawaamin Utaenda nao motoni Kubali leo kumpokea bwana Yesu krito kuwa bwana na mwokozi wa maisha nawe utaiona Pepo ya kweri
@headboy7768
@headboy7768 9 ай бұрын
Kwa vigezo ama elimu gani ama wadhania tu
@SamuelKhadija
@SamuelKhadija 5 ай бұрын
We wajijua uwawapi adi unajudge mwenzio mungu pek ee ndo anajua n nan atakae enda motoni n n nani atakae enda peppni
@linkenkenya9174
@linkenkenya9174 10 ай бұрын
Jesus Christ is the author and finisher of my faith
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
imani ni kitu cha ajabu sana,love you Jesus❤
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 4 ай бұрын
Kama wewe unavyo amini
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Waislam ni waajabu sana akija shafii wote wanamuunga mkono kwamba shafii mkweli,akija mbogo wanageuka na kuanza kimsifia
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 10 ай бұрын
Allah humasali allaa Muhammad wallah Ali Muhammad
@omanmct135
@omanmct135 10 ай бұрын
Nampenda sana uyushekh kwaji yallllah❤❤❤
@Gemen.
@Gemen. 10 ай бұрын
The thief comes only to steal and kill and destroy. I came that they may have life and have it abundantly (John 10:10)
@wangechiwachira3560
@wangechiwachira3560 4 ай бұрын
Halleluya
@user-ib8vb4kh3f
@user-ib8vb4kh3f 10 ай бұрын
Tunakupend. San shekh rusagany kw ajil ya Allah mashaallah mungu akubarik amin
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 10 ай бұрын
Mnampenda kwa kuwadanganya
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
Mnampenda kwa uongo wake hapo hakuna lolote analoongea la maana ni ushetwani tu na makafiri na siku ya mwisho nyie wote waislamu ambao hamjakili Yesu kristo kuwa bwana na mokozi wa maisha yenu na mtatupwa jehannam kwenye tanulu la moto wa milele.pona yenu ni kumkiri Yesu kiristo mwana wa Mungu aliye hai ndipo mtauona ufalme wa Mungu
@user-ce4ec5vc7j
@user-ce4ec5vc7j 10 ай бұрын
Makafiri mnateseka kutokea wapi? 😂😂😂
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
@@user-ce4ec5vc7jtuwaulize nyie makafiri watumwa wa warabu
@georgealoyce4849
@georgealoyce4849 10 ай бұрын
Aisee nimemsikiliza sheikh vizur kabisa nimepata jibu kuwa mbingu ya wakristu na waislam ni tofauti, hata Mungu wa wakristu na mungu wa waislam ni tofauti. Yesu wewe kweli ni BWANA.
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni kwer mbingu ya wakristo ni tofaut na ya waislam. Sababu mkristo na muislam hawaabudu Mungu mmoja... .... Muislam anaabudu Mungu mmoja asiefanana na chochote hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anae fanana nae. Quran 112:1--, na kuamin mitume wote walio tumwa na Mungu maana hao ndo njia ya kwenda kwa Mungu Quran 2:285.... .......... Wakristo, wanaabudu Mungu aliegawanyika mara tatu 1..... Mungu baba, aliemtuma yesu 2.... Mungu mwana, yesu mwenyewe 3.... Mungu roho mtakatifu, msaidiz wa yesu.. Mungu ambae alizaa. Zaburi 2:7 , Matendo ya mitume 13:33 , waebrania 1:5 , 5:5 Mungu ambae anafanana na mwanadam hadi sura. Mwanzo 1:26 ...
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 10 ай бұрын
Kabisa Ndugu
@SamuelKhadija
@SamuelKhadija 5 ай бұрын
Akuna mungu wawakristo wala waislamu mungu n mmoja sema Imani tofauti za kuabudu
@georgealoyce4849
@georgealoyce4849 5 ай бұрын
@@SamuelKhadija rafiki angu fatilia vizuri Mungu katika Jina la Yesu ni tofauti na mungu wa kislaam na ninakataa Mungu wang na wako sio mmoja ila mungu wa muhamad (allah) sio Mungu wa kweli na pia napinga mungu wako sio Mungu wang mana wang namjua jina lake anaitwa Yesu ambaye ninyi mlikataa
@killianjohn4794
@killianjohn4794 Ай бұрын
@@SamuelKhadijaInaonyesha kabisa huna ufahamu hata ule wa kawaida kwa hoja tu. MUNGU wa Wakristo anaitwa JEHOVA na mungu wa waislam anaitwa allah. Ni tofauti kabisa. Wala issa bin mariam sio YESU KRISTO. Hio kusema MUNGU wetu na mungu wako kuwa ni kitu kimoja ni upumbavu uliopitiliza kwakua una linajisi Jina ya JEHOVA kwa kumfananisha na sanamu!
@salmamfaume1073
@salmamfaume1073 2 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤❤
@Saki930
@Saki930 7 ай бұрын
Maashallah Barakallah fiqum shekh hawa wanaoandika matusi na dharau hawajui ila Allah awape faham
@aminaabdallah8728
@aminaabdallah8728 11 ай бұрын
MaashaAllah
@saudaumar3354
@saudaumar3354 10 ай бұрын
Shekh mimi nimekuelewa naijua quran pia Kuna surat jinn wasokuwa waislamu hawajui history ispokuwa wajua u hawisi tu shukran
@saudaumar3354
@saudaumar3354 10 ай бұрын
Uchawi ndio wanajua wakirsto hawajui majini walikuja kwanza duniani waulizie sio kukosoa jambo usilolijua kuuliza siujinga
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
​@@saudaumar3354Hii dunia Mungu alimuumbia Adam na kizazi chake, Mungu hakuumba majini,kabla ya hapo walikuwa malaika huko mbinguni baada ya kumuasi Mungu ndipo yakatupwa Dunia baada ya kushindwa vita baina ya mikhael na jeshi lake dhiidi ya Lucifer(shetani)akiwa na jeshi lake.koran imekuja juzi imekuta vitabu vya zamani vikieleza ubaya wa shetani,majini na mapepo lakini cha ajabu amekuja Muhammad mtume wa waarabu na Hadith za uongo na kupata wafuasi wengi kwa lengo la kuwapeka jehanamu
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 9 ай бұрын
Mimi niliwahi kuambiwa waislamu wanasali na majini nikakataa Kumbe ni kweli. Kwa sababu hii Mungu tunayemwabudu wakristo ni tofauti kabisa na Mungu wanaomwabudu waislamu
@wangechiwachira3560
@wangechiwachira3560 4 ай бұрын
Pia nimeshangaa
@JumaGwae-qw2qk
@JumaGwae-qw2qk 2 ай бұрын
Imani yenu ya kikristo ni shortcat uislamu ni imani pana huyo jini anaekuchefua kuwepo kwake kunaonesha ukuu wa mungu kwani hakuna kitu kilicho jiumba kila ukionacho na ukisikiacho jua kimeletwa na mungu wa isiaka na yakob
@shasha12-y2h
@shasha12-y2h Ай бұрын
ni kweli tuna mungu tofauti..nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 10 ай бұрын
Mashallah mafundisho mazuri yenye mazingatiio
@AbubakaryMfaume-mw2vl
@AbubakaryMfaume-mw2vl 10 ай бұрын
Allah akutunukie pepo
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 8 ай бұрын
MashaAllah
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 10 ай бұрын
MashaAllah ❤
@omanmct135
@omanmct135 11 ай бұрын
Mashallllah
@DelightfulPenguin-wk4kv
@DelightfulPenguin-wk4kv 6 ай бұрын
Mashallah tabaraka Allah
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 10 ай бұрын
Hii kali ya mwaka,majini ni waislamu kumbe,
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Shida ni elimu. Wakristo wengi hawajui meng sababu hawafundishwi. Majin wapo wazur wanyenyekevu kwa Mungu, na wataingia pepon (2 Mambo ya nyakat 18:18-21) , pia wapo wabaya kama tulivyo binadam hata yesu alisema (waefeso 6:12). Soma hiyo halaf uniambie hilo pepo lilikuwa mbingun linamnyenyekea Mungu lilikuwa pepo gan?
@user-zz1yn1tp8i
@user-zz1yn1tp8i 10 ай бұрын
Hata mchawi na wezi wana mnyenyekea mungu lakini watabaki kuwa wakosefu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 10 ай бұрын
Majini ni Viumbe wa MUNGU ' lazima na wao wamuabudu MUNGU' ivyo lazima waende Mskitini kuswali' Kwa sababu ndio kwenye dini' ya haki'. Waende Kanisani kufanya nini?
@yusuph1547
@yusuph1547 10 ай бұрын
​@@SalamaNauthar😂😂😂 hujui hujui
@angolina1768
@angolina1768 10 ай бұрын
Sisi Wakatoliki tunasala hii ya Nasadiki, Katika kipande cha mwanzo kabisa huwa tunasali, Nasadiki kwa Mungu Baba Mwenyezi Muumba wa Mbingu na Nchi Na vitu Vyote Vinavyoonekana na NAVISIVYOONEKANA, sasa sijui hata kama baadhi ya katoliki au Wakristo wameshawah kujiuliza hivyo visivyoonekena nini sasa ndo hao Majini hawa viumbe wapo kabisa na wanaokana kwa yule Mungu aliyemjaalia kuwaona na si mara kwa mara huwa wanatisha sana ila kwa sisi tuliyoishi nchi za Kiarabu baadhi yetu tumeshawaona sana na hata katika ndoto wanatokea sana kwa hiyo alichokisema Shehe Rusaganya ni kweli na kipo Wakristo Wenzangu tuache kubisha hovyo
@omanmct135
@omanmct135 11 ай бұрын
Subhanalllah
@user-tb5jr2ug2x
@user-tb5jr2ug2x 8 ай бұрын
Maa shaa ALLAH. ❤
@maxwellssemakula1565
@maxwellssemakula1565 10 ай бұрын
Huyu anasifu mapepo wachafu ambao Bwana yesu kristo aliwahukumu motoni
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Majin wabaya, waongo wataingia motoni, majin wazur, wakwer wataingia pepon... 2 Mambo ya nyakat 18:18-21
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni elimu tu ndugu zetu hamna. Malaika hawakosei, wangekuwa wanaasi basi vita mbingun visingeisha. Majin yameumbwa kwa moto, yanakosea pia yanatenda mema (mazur na mabaya, waongo na wakwer) 2 mambo ya nyakat 18:18-21
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Wap yesu kasema mapepo wote wataingia motoni ❓❓❓
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 3 ай бұрын
Dua yarabi waislam Kwangu
@FahmiyTafro-fx3dj
@FahmiyTafro-fx3dj 9 ай бұрын
Masha Allah
@AliBuya-nv3ym
@AliBuya-nv3ym 2 ай бұрын
mashsa Allah
@user-eu5fl5fb1w
@user-eu5fl5fb1w 8 ай бұрын
Mungu atusaidie kbsa
@DamasEmanuel-gw7lj
@DamasEmanuel-gw7lj 8 ай бұрын
Jamani mungu hachangamani na majini 9:28
@JESUSCHRIST19941
@JESUSCHRIST19941 10 ай бұрын
Waislamu huwa wananichekesha sana na story zao za uongo😂😂😂😂
@arbabhijjabshop3076
@arbabhijjabshop3076 10 ай бұрын
we mkweli umefika wapi kua na nidhamu ya dini za wezio hasa ktk vyombo vya habari
@user-ce4ec5vc7j
@user-ce4ec5vc7j 10 ай бұрын
Makafiri huwa wanateseka na mambo ya waislam. 😂😂😂
@JESUSCHRIST19941
@JESUSCHRIST19941 10 ай бұрын
Muhamedi ndiye kafiri aliyeoa mtoto wa miaka 6,😃😃😃
@JESUSCHRIST19941
@JESUSCHRIST19941 10 ай бұрын
@@user-ce4ec5vc7j makafiri ni nyie na mtume wenu aliyeua watu na kuoa mtoto wa miaka 6, 😃😃😃
@user-ce4ec5vc7j
@user-ce4ec5vc7j 9 ай бұрын
@@JESUSCHRIST19941 Kafiri ni yule anaesema binadamu ni Mungu na anafungisha ndoa mashoga! 😅😅😅
@user-kt8cf4nj2v
@user-kt8cf4nj2v 5 ай бұрын
Ndiomaana hii dini yakiislam tunaikataa hii sio dini ya mungu, bali niyashetani
@NgarigariOmari
@NgarigariOmari 3 ай бұрын
Allah akuongoze Mnapo jibiya ma suali msiwe mkisahau kuwa Qur'aan ipooo Wewe Nani kuhakikisha umeona jini Wewe kama Sule tuu Mungu anawaona. Waogaaa wa majini wakubwa
@robertmwangiotieno6183
@robertmwangiotieno6183 10 ай бұрын
Jooni kwangu nyinyi wote muliwo lemewa na mizigo Nami Nitawapumzishi,asema Bwana
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni kwer mbingu ya wakristo ni tofaut na ya waislam. Sababu mkristo na muislam hawaabudu Mungu mmoja... .... Muislam anaabudu Mungu mmoja asiefanana na chochote hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anae fanana nae. Quran 112:1--, na kuamin mitume wote walio tumwa na Mungu maana hao ndo njia ya kwenda kwa Mungu Quran 2:285.... .......... Wakristo, wanaabudu Mungu aliegawanyika mara tatu 1..... Mungu baba, aliemtuma yesu 2.... Mungu mwana, yesu mwenyewe 3.... Mungu roho mtakatifu, msaidiz wa yesu.. 1+1+1=❓ Mungu ambae alizaa. Zaburi 2:7 , Matendo ya mitume 13:33 , waebrania 1:5 , 5:5 Mungu ambae anafanana na mwanadam hadi sura. Mwanzo 1:26 ...
@user-nb2ql7zw3i
@user-nb2ql7zw3i 8 ай бұрын
Subhanallah,Hata kuandika hujui
@kitaakitaa6633
@kitaakitaa6633 10 ай бұрын
Hakika ipo siku itawafaa walio amini
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni kwer mbingu ya wakristo ni tofaut na ya waislam. Sababu mkristo na muislam hawaabudu Mungu mmoja... .... Muislam anaabudu Mungu mmoja asiefanana na chochote hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anae fanana nae. Quran 112:1--, na kuamin mitume wote walio tumwa na Mungu maana hao ndo njia ya kwenda kwa Mungu Quran 2:285.... .......... Wakristo, wanaabudu Mungu aliegawanyika mara tatu 1..... Mungu baba, aliemtuma yesu 2.... Mungu mwana, yesu mwenyewe 3.... Mungu roho mtakatifu, msaidiz wa yesu.. Mungu ambae alizaa. Zaburi 2:7 , Matendo ya mitume 13:33 , waebrania 1:5 , 5:5 Mungu ambae anafanana na mwanadam hadi sura. Mwanzo 1:26 ...
@user-ee9xn2yg4o
@user-ee9xn2yg4o 10 ай бұрын
Majini ni malaika walioasi mbinguni wakatupa duniani baada kushindwa vita huko mbinguni: ufunuo 12: 7
@MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud
@MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud 10 ай бұрын
Uko sahihi
@husseinmejja8041
@husseinmejja8041 10 ай бұрын
Someni ndugu zangu jini ni mwengine na malaika ni mwengine jini kaumbwa na Cheche za moto malaika kaumbwa kwa nuru binaadamu kaumbwa na udongo jini anakula anaenda chooni ana tamani na kuna wakike na wakiume wanazaana ila malaika hawazaani wanaumbwa tu hawali wala hawanywi na hawana jinsia wala matamanio nawala hawatendi dhambi ila majini na binaadamu uumbaji ni tofauti ila mengine yote tunafanana ila wao tu hawaonekani na mungu kawapa nguvu na viumbe vyote hivyo kaviumba mungu
@mundhirfauz
@mundhirfauz 10 ай бұрын
Mungu kaumba malaika majini na binaadam
@mundhirfauz
@mundhirfauz 10 ай бұрын
Jini aliemuasi mungu ndo anaitwa shetani
@goldenpdy7313
@goldenpdy7313 10 ай бұрын
​@@mundhirfauzalafu akawaje wakajikuta hamjui mungu mpka uyu mtume aje kuwahubiria😅
@fanuelingalawa6160
@fanuelingalawa6160 10 ай бұрын
Afadhali shehe umesema ukweli majini yapo msikitini umemaliza utata
@raymrash
@raymrash 10 ай бұрын
😂😂😂...kumbe msikitini kuna majini
@user-zq7pz9xz9u
@user-zq7pz9xz9u 10 ай бұрын
Wakristo tujiandae yesu yuko mlangoni maana yaliotabiriwa yote yametimia
@AnnoyedJasmine-ht2om
@AnnoyedJasmine-ht2om 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@monicahnguta135
@monicahnguta135 9 ай бұрын
Sasa nimeelewa yule anaitwa Gabriel wa kumlazimisha Mohammad kusema ni Jini. Hivi mtume wakuombewa badala ya kuwaombea wafuasi wake hivi inaingia akilini kweli. Kristo wakumbuke uwaombee kwa Baba.
@davidmagesa6773
@davidmagesa6773 10 ай бұрын
Ndugu zangu mbona waisilamu mbona mafundisho yenu ni Yakishetan Njoo kwa Yesu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni elimu tu ndugu zetu hamna. Malaika hawakosei, wangekuwa wanaasi basi vita mbingun visingeisha. Majin yameumbwa kwa moto, yanakosea pia yanatenda mema (mazur na mabaya, waongo na wakwer) 2 mambo ya nyakat 18:18-21
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni kwer mbingu ya wakristo ni tofaut na ya waislam. Sababu mkristo na muislam hawaabudu Mungu mmoja... .... Muislam anaabudu Mungu mmoja asiefanana na chochote hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anae fanana nae. Quran 112:1--, na kuamin mitume wote walio tumwa na Mungu maana hao ndo njia ya kwenda kwa Mungu Quran 2:285.... .......... Wakristo, wanaabudu Mungu aliegawanyika mara tatu 1..... Mungu baba, aliemtuma yesu 2.... Mungu mwana, yesu mwenyewe 3.... Mungu roho mtakatifu, msaidiz wa yesu.. 1+1+1=❓ Mungu ambae alizaa. Zaburi 2:7 , Matendo ya mitume 13:33 , waebrania 1:5 , 5:5 Mungu ambae anafanana na mwanadam hadi sura. Mwanzo 1:26 ...
@madubimabombe25
@madubimabombe25 10 ай бұрын
Ajab! Ila natahadharisha kwamba, katika Biblia, hamna ushahidi kwamba majini wako na nafasi mbinguni. Biblia inasema asiyemwamini na kumpokea Yesu moyoni mwake na kuishi maisha ya kumtii Mungu basi, hukumu itapofika mahali pake ni kwenye ziwa la moto. Lakini namshkuru huyu shehe kwa kuthibitisha kwamba wanamuabudu mungu mmoja ila siye yule sisi (wakristo) tunayemuabudu. Shehe, mpokee Yesu uepuke adhabu ya Mungu.
@headboy7768
@headboy7768 9 ай бұрын
Shehke abamuabudu yule aliyeumba mbingu na ardhi Jua na mwezi na nyota Na shehe pia yuamtambua Yesu kama mtume was Mungu muumba na yesu ni mwanadamu Kwa hiyo shehe yuko karibu na yesu kukushinda wewr
@user-lq6cy1dy1g
@user-lq6cy1dy1g 9 ай бұрын
​@@headboy7768x
@khalidomar9917
@khalidomar9917 9 ай бұрын
Kabisa hawa wenye kumuabudu yesu na wale wanaoabudu masanamu hawana tafauti
@raniahAbdul
@raniahAbdul 8 ай бұрын
Sheikh amwache Mola wa ardhi , na arsh tukufu amuabudu mtu alozaliwa na mwanamke ambaye alikuwa tu mjumbe wa Allah . Nyie kwa ujinga wenu mnamuita mwana wa Mungu .? Mungu Hana mtoto hajazaa Wala hajazaliwa na ametakasika na huo upuuzi wenu mnaomzulia
@user-ke2pq3yf4z
@user-ke2pq3yf4z 8 ай бұрын
sheikh anamwabudu shetani jina lake jingine ni Allah...@@headboy7768
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 10 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@user-zm4it9es7f
@user-zm4it9es7f 22 күн бұрын
In the name of Jesus Christ 🙏🏽
@user-hp1im5ek4r
@user-hp1im5ek4r 9 ай бұрын
Masikini hii ndo elimu mnapeana msikitini poleni sana ndo maana mm najivunia kuwa mkristo
@user-nb2ql7zw3i
@user-nb2ql7zw3i 8 ай бұрын
Ww hauwezi kuipata hiyo elimu .Ila walimu wenu wanaujua ukweli
@SamuelKhadija
@SamuelKhadija 5 ай бұрын
Kwt ulitumwa usikilize ama mlikua mkisubiria sheikh aongee ndo mpate Cha kuongea
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 10 ай бұрын
Huyu mtu hajui kuwa majini ni malaika walioanguka / walioasi , pepo waovu (fallen angels / devils). Hakuna majini wema. Elimu unayoifundisha humu ni upotofu uliokithiri.
@johnbundala7596
@johnbundala7596 10 ай бұрын
Makamanda wansubiri swalaaaa😄😄😄😄😄dah hatari sana.najivunia saaaana kua mkristo.
@officialkamdudu
@officialkamdudu 9 ай бұрын
ukifa ni mkristo we ni jehannam bila kuhojiwa. usije ukasema hukusikia
@nomamatata754
@nomamatata754 4 ай бұрын
​​@@officialkamdudu aiseee tunawaombea mwijue nuru ya kweli
@officialkamdudu
@officialkamdudu 4 ай бұрын
@@nomamatata754 wewe unaijulia wapi nuru ya kweli wakati hujui ni Mtume gani alikua Mkristo na Mungu gani alileta ukristo ?
@jjtm164
@jjtm164 10 ай бұрын
Majini are fallen angels, demon's
@officialkamdudu
@officialkamdudu 9 ай бұрын
tafuta maarifa acha kufuata mkumbo
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Jini... Maana yake ni kischoonekana ni kiarabu. Kwa kiswahili fasaha ni pepo ....... Kama ilivyotumika kwenye bibilia
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc 10 ай бұрын
Alhamdu li Jesus ! Kweli Quran ni kitabu Cha majini ! Ndo maana Kuna sura ya majini ndani yake ( Yan Surat jinn), na majini wametoa Aya zao ndani kuhubiri uislamu. Ukisoma pia Sunna, unapata Muhammad karogwa na kukaliwa na mashetani mpaka hajui kasema nini au katenda nini karibu mwaka mzima ( tena akiwa mtume wa Allah), Ina maana hata Allah alishindwa kumlinda mtume wake. Njooni kwa Yesu mponywe
@athmanyusufkea3405
@athmanyusufkea3405 10 ай бұрын
Kwayo una maana kuwa Yesu wakati akisulubiwa Mungu alishindwa kumsaidia???
@JESUSCHRIST19941
@JESUSCHRIST19941 10 ай бұрын
Amina
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc 10 ай бұрын
@@athmanyusufkea3405 uliza kitabu chako ndo ujue kua Allah wako alimsaidia au la ! Maana korani ( Quran) 3:55 inasema Allah amempaisha juu ISSA kwenda kwake alipo ( kwenye kitu Chake Cha enzi). Na Quran 4:157 inasema ISSA hakufa Bali Allah wako aliwaletea picha kama anasulubiwa huku yeye amamnyakua juu mbinguni kumnusuru na wayahudi wasimuue, na yuko hai mpaka Leo wakati Muhammad wako ameozea kaburini, na Allah alishindwa kumuokoa mtume wako mpaka akauliwa kwa simu na Binti wa kiyahudi, kama kisasi baada ya kuua familia yake. Jiulize, kwa nini Allah hakutaka kumuokoa Muhammad kama kweli ni kipenzi Chake, na badala yake akamuokoa ISSA asiuawe na kumpaisha kwake huku jamaa yako funza wanamtafuna na mkizidi kumuombea kila siku !?.
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc 10 ай бұрын
@@athmanyusufkea3405 wewe inaonyesha ni mmoja wa wale wavivu wa kudadisi na kutafiti ukweli kwenye vitabu, umekua jahil usiyetaka kujua jambo kwa ajili ya nusura ya nafsi yako, umekalia ushabiki tu na kuwasikiliza viustadhi visivyokua na elimu.
@FatmaSalim-lk2wd
@FatmaSalim-lk2wd 9 ай бұрын
Ww ni kafir na utachomwa ktk moto wa jahannam unapotosha watu
@omanmct135
@omanmct135 10 ай бұрын
Rusanganaya mashalllllah❤❤
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
ukiristo raha ❤️
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 2 ай бұрын
ACHENI KUHUBIRI VITU VIZIVYOELEWEKA, KAZANIENI MAADILI VIJANA WANAHARIBIKA LAKINI MMEKALIA MAJINI MAJINI....HAYATUHUSU
@precioussao7065
@precioussao7065 10 ай бұрын
Jamani hii ni hatari sana.tafsiri ya majini no malaika walio mkubali shetani na wakalaanika na Mungu na kuitwa majini.leo huyu sheikh anatuambia wapo majini wazuri na majini wabaya?nimeamini kumbe ndio maana mnafuga majini.jamahi dini ya kikristo na uislam ni vitu viwili tofauti.huhu sheikh anasifia majini?mama wee!!!!!!!!
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni kwer mbingu ya wakristo ni tofaut na ya waislam. Sababu mkristo na muislam hawaabudu Mungu mmoja... .... Muislam anaabudu Mungu mmoja asiefanana na chochote hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anae fanana nae. Quran 112:1--, na kuamin mitume wote walio tumwa na Mungu maana hao ndo njia ya kwenda kwa Mungu Quran 2:285.... .......... Wakristo, wanaabudu Mungu aliegawanyika mara tatu 1..... Mungu baba, aliemtuma yesu 2.... Mungu mwana, yesu mwenyewe 3.... Mungu roho mtakatifu, msaidiz wa yesu.. Mungu ambae alizaa. Zaburi 2:7 , Matendo ya mitume 13:33 , waebrania 1:5 , 5:5 Mungu ambae anafanana na mwanadam hadi sura. Mwanzo 1:26 ...
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Leo ndo nasikia mkristo anasema tofaut na wakristo wenzie kuhusu majini. Huyu anasema malaika waliomoubali shetan wakaungana nae. Wenzie husema ni malaika walioasi wakawa mashetan. Sasa hapo nani yupo sahihi. Malaika hawakosei, wangekuwa wanaasi basi vita mbingun visingeisha. Majin yameumbwa kwa moto, yanakosea pia yanatenda mema (mazur na mabaya, waongo na wakwer) 2 mambo ya nyakat 18:18-21
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 10 ай бұрын
Kwa maana hii jinsi Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee Yesu Kristo afe kwa ajili yetu na kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Mungu amezaa na mwanadam? 😢..... Mungu anatamaa? Na aliowaumba...😱🙊
@AyshaHamza-yd7so
@AyshaHamza-yd7so 10 ай бұрын
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu.... Hiyo hapo waefeso 6:12 .. mbona haileti maana unayoileta wewe.
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Mimi nipo kwa ajili ya kuweka mambo sawa...... Majin ya kikristo yapo mengi sana na yanawasumbua wadada weng wa kiislam, na wanaume pia, ndo maana wadada weng wa kiislam wanaoingia kwenye din ya kikristo huwa wanaperekwa na mapepo kanisan wanaombewa linamtoka, huyu mtu sahau kurudi msikitini.....Shida ni elimu. Wakristo wengi hawajui meng sababu hawafundishwi. Majin wapo wazur wanyenyekevu kwa Mungu, na wataingia pepon (2 Mambo ya nyakat 18:18-21) , pia wapo wabaya kama tulivyo binadam hata yesu alisema (waefeso 6:12). Kula chuma hicho 💥🔫
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
@@AyshaHamza-yd7so ww, hyo waefeso 6 : 12. Inaonesha hata yesu alikuwa akitambua kuna mapepo wabaya, na wazur. Wangekuwa wabaya wote bas angesema mapepo tu. Sio hapo tu sehem nyingi yesu alikuwa akiombea mapepo wabaya (marko 5:13, marko 5:8, marko 1:26. Nk Mathayo 12:45
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
@@AyshaHamza-yd7so YESU alisema kushindana kwetu si kwa nyama , juu ya wakuu wa giza na mapepo wabaya. Neno pepo wabaya inatosha kuonesha kuna mapepo wabaya. Kisha ukisoma (mambo ya nyakat 18:18-21) hapo utaona kuna pepo mzur yupo mbingun pepon, akitumwa kaz na Mungu, akajibadilisha na kuwa pepo mbaya, pepo wa uongo, kama tulivyo binadam tunaweza kuwa wema pia wabaya,. Malaika hawez kujibadilisha kuwa mbaya hata siku moja maana yy yupo kwa ajili ya kutii amr ya MUNGU. Ndo maana Mungu akaumba binadam na majin akawapa mtihan wanaweza kutenda mema na mabaya, kama wakikosea wataingia motoni. Kwa nn Mungu asiache malaika tu?. Mbona akaumbwa binadam na majin? Hyo inatosha kuonesha Malaika hawakosei
@user-bs1hd1um1z
@user-bs1hd1um1z 10 ай бұрын
Wakor( 1)_10_20 mungu WA biblia ametuonya Didi ya kushilikiana na mashetani
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Shida ni elimu. Wakristo wengi hawajui meng sababu hawafundishwi. Majin wapo wazur wanyenyekevu kwa Mungu, na wataingia pepon (Mambo ya nyakat2 18:18-21) , pia wapo wabaya kama tulivyo binadam hata yesu alisema (waefeso 6:12). Soma hiyo halaf uniambie hilo pepo lilikuwa mbingun linamnyenyekea Mungu lilikuwa pepo gan?
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 10 ай бұрын
​@@RamadanPaulunasema shetani ni mbaya apo apo ni mzuri huu ni msiba mzito sana nuru na ngiza avikai pamoja
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 10 ай бұрын
Ukisoma.historia ya majini utajua kweli Mungu ni Mkubwa jini ni wakubwa sana ila wanaweza kukaa space ndogo mno
@user-hw3wn8ms6j
@user-hw3wn8ms6j 10 ай бұрын
Ukisema ni wakubwa sanaaaa, usisahau kusema wanauwezo wa kuwa wadogo sanaaaaaa #😂😂
@raymrash
@raymrash 9 ай бұрын
😂😂😂
@lilhydon452
@lilhydon452 10 ай бұрын
Nyie someni hayo yote ila Siri ni Yesu
@lewiskims8890
@lewiskims8890 10 ай бұрын
Hakuna usilika kati ya Mungu na shetani
@yohana1242
@yohana1242 10 ай бұрын
Tafautisha jini na shetani mungu kaumba binadamu na majini ili wamuabudu yeye shetani ni jini ila anaitwa shetani kwasabab kamuasi mungu kwaio wema na wabaya hao hao majin kam huelewi ten ww sjui binadam gani
@yohana1242
@yohana1242 10 ай бұрын
Kwaio unatak kusem shetani na majini wamejiumba mwenyewe fikiria kwa makini hii ni dunia na itafika mwisho wake kwaio hakun ambae kajileta hapa duniani sote ni wa mungu na kwake tutarejea
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Shida ni elimu. Wakristo wengi hawajui meng sababu hawafundishwi. Majin wapo wazur wanyenyekevu kwa Mungu, na wataingia pepon (2 Mambo ya nyakat 18:18-21) , pia wapo wabaya kama tulivyo binadam hata yesu alisema (waefeso 6:12). Soma hiyo halaf uniambie hilo pepo lilikuwa mbingun linamnyenyekea Mungu lilikuwa pepo gan?
@cuteahlam8282
@cuteahlam8282 10 ай бұрын
Assalam alleikum sheikh naomba utuelezee kuhusu maulidi INA faa ama ni kusoma maulidi
@gigimarco2592
@gigimarco2592 10 ай бұрын
Mtume Muhammad alikuja kimajine jine,hakuja kihalali
@user-fm4dk1ox3t
@user-fm4dk1ox3t 11 ай бұрын
Shekhe njoi mtwara
@christophermushendwa9514
@christophermushendwa9514 10 ай бұрын
Waislam hawanaga akili…. Uwaza ushirikina na ujinga ujinga tu
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 10 ай бұрын
Hii ni kali ya mwaka shehe atangaza rasmi kuwa majini ni waislamu n'a wataenda Mbinguni,n'a msikitini wamo,huo ni uongo majini ni viumbe walio laniwa hawawezi enda Mbinguni MDA au hawana neema tena ni viumbe wA kuzimu.
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Mimi nitawapa doz mpaka muerewe maana hata kitabu chenu hamsomi ila mwakalilishwa na wachungaji wenu tu. Shida ni elimu. Wakristo wengi hawajui meng sababu hawafundishwi. Majin wapo wazur wanyenyekevu kwa Mungu, na wataingia pepon (Mambo ya nyakat2 18:18-21) , pia wapo wabaya kama tulivyo binadam hata yesu alisema (waefeso 6:12). Soma hiyo halaf uniambie hilo pepo lilikuwa mbingun linamnyenyekea Mungu lilikuwa pepo gan?
@IzihakaFihirini
@IzihakaFihirini 10 ай бұрын
@@RamadanPaul umesema ulikua mchungaji je hukusoma kama ulisoma kipi ulielewa nin au nawew ndio mwezi mchanga wainjili ila nikwambie kamwe huwezi kumaliza neno la Mungu
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 10 ай бұрын
​@@RamadanPaulunafunga Nini mbona unayatetea sana 😂😂😂😂 kama awa wataenda Mbiguni basi ata shetani ataende katika uzima wa milele awa ni mamlaka waliyo kaa katika upande wa shetani walipo pingwa na Mikaeli wakafukuzwa pamoja awa ni washirika wa iblisi kama wataenda Mbiguni basi ata shetani ataende
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 8 ай бұрын
Fundisha tawhid sheikh maneno hayo hayajengi zaidi ya kuwapotosha na kuondoa katika imani watu walio na imani ndogo na kutoalika wengine katika dini, kwa kweli sijajua ulipo yatoa hayo. Kweli Wahabi wanajua uislam.
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 9 ай бұрын
Sitaweza kua na ndugu na majini mpaka kiama, kwahiyo nyumbani kwenu yapo majini mpaka msikitini mna swali nao😅
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 10 ай бұрын
Yani uislamu mpka majini mnayasifia ?
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Majin wazur ni haram kumuingia mtu, hayamuingii kabisa, ila majin wabaya humuingia mtu na kumtesa, na hayo ndo huwa ukiomba dua ya kutoa
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni elimu tu ndugu zetu hamna. Malaika hawakosei, wangekuwa wanaasi basi vita mbingun visingeisha. Majin yameumbwa kwa moto, yanakosea pia yanatenda mema (mazur na mabaya, waongo na wakwer) 2 mambo ya nyakat 18:18-21
@KhalfanOmar-pb8eo
@KhalfanOmar-pb8eo 9 ай бұрын
Kila mmoja Imani yake amini unavyo amini lkn Malaika majini na binadamu ni viumbe tofauti binadamu na majini wanautashi lkn Malaika hawna utashi kwa hio Toka wameumbwa hawajawahi kumuazi Allah
@tonyjames6658
@tonyjames6658 10 ай бұрын
Nashangaa wa Kristo tunavyowachukulia majini..kutokujua ni moja ya viumbe vilivyoumbwa na Mungu
@livanofficialkenya
@livanofficialkenya 10 ай бұрын
Kwani shetani nikiumbe wa nani
@moodyhassany8928
@moodyhassany8928 10 ай бұрын
Uwongo akuna jini wala pepo tambua jini ni sifa ya mtu ambaye anaitwa na mungu tokana na sifa yake au sehem yake ila sio kma shekh anavowadanganya
@moodyhassany8928
@moodyhassany8928 10 ай бұрын
😂😂😂😂 shekh anatupiga smana za uwongo ukitafakali sura al jinni na ukihisoma tafsiri yake utajua mungu alikuwa anawalenga wakina nani?na tatizo mashekh Qur an imeshawatupa kazi uwongo tu
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 10 ай бұрын
​@@moodyhassany8928ujinga ni mzigo mbaya soma ndugu uelewe historia binadamu kabla ya kukumbwa walikuwa wakiishi viumbe gani hapa duniani!?
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Malaika wangekuwa wanaasi, wanakosea kama binaadam, bas kila siku Vitabu vya Mungu vingekuwa vinabadilika, na vita mbingun visingeisha, maana hata jibril (Gabriel) uzalendo ungemshinda angeasi..😂. Malaika wameumbwa kutii amri ya Mungu sio kukosea
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula 10 ай бұрын
Sheikh Umeongea Vizuri Sana !,. iLa Mimi na Swali Nataka Kujua kwa Kuwa Mwanzo Nilikuwa Sijui !, Swali (1) ivi Majini ndio Malaika ?, Umesema Kuna Majini Wa Kike pia , Swali (2) je Majini Wanazaa ?, (3) Swali ivi wale Majini Walio Tupwa na Mungu Baada ya Vita Kule juu Mbinguni Ndio Hao unaowaongelea ya kuwa Wengine TunaSali nao , ? Maana Walitupwa china pamoja na Shetani Ambae ndie Boss Wao !, Swali (4) je kwako Sheikh hii iko Sawa Kidini KuSali Pamoja na Majini Pamoja na Kwamba hatuwaoni ?, Bila Shaka Umesema wako Majini Wengine Wazuri Wengine Wabaya ,.!, Lakini hawa Wote hatuwaoni !, Swali (5) je Hao Majini Wabaya Kidini Tunawafikiliaje ?, . Amin
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
.... Hakuna uhusiano kati ya watu na Majin Zaid ya kufanya ibaada tu...... Mtu kufuga na kutegemea Majin ni halamu mwenyezi Mungu amekataza kwenye QURAN..... Quran 6:100 Quran 72:6 ....... Majin sio malaika, majin ni viumbe vilivyo umbwa kwa moto zaburi 104:4 QUR'AN 55:15... Malaika hawakosei wangekuwa wanaasi basi vita mbingun visingeisha maana hata Gabriel angeasi...... Mbingun hakuna vita mjomba..... Majin wazur ni HARAM kabisa kumuingia mtu, ni sawa na mtu kufuga majin, jinni mzur akikuingia tayar huyo kashakuwa mbaya hata kama anakuamlisha kufanya mema, baadae lazima akuharibu,,,,,,, Na watu hawajui kama kuna Majin (pepo, spirits) wazur, sababu hawaonekan, wanaosumbua watu ni hawa wabaya, na ndo maana watu wamekalili kuwa mapepo ni wabaya wote... Ni mpaka usome ndo utagundua...
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 10 ай бұрын
Majini ni mapepo,,,
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
@@furahamwatwinza9560 ee ni kwer, kabisa
@jobuumwambelo2341
@jobuumwambelo2341 10 ай бұрын
Pili MUNGU hakuwatupa majini Bali majini waliumbwaa kama binadamu alivyoo umbwaa piaa kablaa ya kuishi binadamu hap Duniani majini ndiyo waliotanguliaa, na ukionaa binadamu anategemea majini basi amini kwamba amekufuru maana Mwenyezi MUNGU anasemaa wakutegemewa ni yeye tuu wala hana mshirikaa.
@mohammedketer7091
@mohammedketer7091 9 ай бұрын
Naomba kukujibu kwa niaba ya sheikh wetu huyu....mwenyezi mungu katika kuumba aliwaumba viumbe mbalimbali kwa hikma yake mwenyewe na kwa utaratibu wake....malaika waliumbwa kutokamana na nuru(mwangaza) na hawana umbile maalum na hawana sifa ya kumuasi muumba wao na wala hawana jinsia(ya kike au kiume) hawali chakula,hawanywi vinywaji na wala hawalali....majini nao waliumbwa kutokamana na moto na wana sifa kama zetu wanadamu...wanakula ,wanalala ,wanaoana,wanazaa...na kuna wale wanaomuomba Mungu sana na kuna wale waasi ambao wamekataa amri ya mola muumba...na kuna sisi wanadamu tumeumbwa kwa udongo(kwa hiyo majini c malaika)...shetani mwenyewe alikuwa mtoto mdogo wa kijini aliyenusuriwa baada ya wenzake wote kuangamizwa kwa ukaidi wao(utaipata kisa hii ndani ya Qur'an suratul baqarah)...huyo mtoto wa kijini(shetani huyu) kaishi mbinguni pamoja na malaika hadi alipolaaniwa na kurushwa duniani huku akiahidi Mwenyezi mungu kuwapoteza wanadamu ila kwa watakaokuwa imara ...hamna tatizo kabisa kusali pamoja nao maana hao pia wanamjuwa Mungu...kuna wale humcha Mungu na kunao waliokufuru na wanafanya bidii kuwapoteza waja wa Mungu....
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 10 ай бұрын
Hawa wanashirikiana na mapepo ahundred percent
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 8 ай бұрын
Mnachanganya neno la Mungu na majini😢😢😢😢
@safarsafari68
@safarsafari68 5 ай бұрын
Hajachanganya..majini wapo na wanaamuabudu Mungu
@zephaniafundikira
@zephaniafundikira 10 ай бұрын
Ufunuo wa Yohana 12:7-9 [7]Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; [8]nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. [9]Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Majini ni malaika walioasi MBINGUNI wakatukuzwa sambamba na baba yao ibilisi, na kazi yao kubwa ni kudanganya...Kama maandiko yanavyosema hapo juu. Ndiyo maana leo unaona yametumia uongo kuwaaminisha watu kuwa na yenyewe yanamwabudu MUNGU, udesi tu.. maongo sana
@NurdinMkina
@NurdinMkina 10 ай бұрын
Ndugu sisi wanadamu tumeumbwa kwa udongo JE MALAIKA WAMEUMBWA NA NINI
@samoramussa5336
@samoramussa5336 10 ай бұрын
Niajabu kweli mtu kumsifia jini?
@user-pr8ms8ry1d
@user-pr8ms8ry1d 10 ай бұрын
Jini kaumbwa kwa moto
@amanibwere3126
@amanibwere3126 10 ай бұрын
​@@NurdinMkinawameumbwa na NURU
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 10 ай бұрын
​@@NurdinMkinaShida siyo kuumbwa hii dunia tunayoishi alimbiwa Adam na uzao wake, majini hapa Siyo kwao
@user-io3qu5zs8m
@user-io3qu5zs8m 4 ай бұрын
Kuweni waalewa Kuna majini waliosilimu na kumkubali Mungu nakuwa wema na wapo waliokuwa wabaya na sis binadamu tupo hivyo hivyo wema na wabaya hukmu ipo siku ya qiyama, roho inapoanza kutolewa ndio utajua ipi dini sahihi Allah atupe hatma njema
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Nani kakwambia hivyo kwamba kuna majini wazuri,Yeye Muhammad aliwaona wapi wakati majini hawaonekani.Uzuri wa hao majini ulianza lini
@user-io3qu5zs8m
@user-io3qu5zs8m Ай бұрын
@@FridayMwassa kwanza jirekebishe sio unamwita Muhammad, Bali ni mtume Muhammad( s.a.w). Ni mtume hubashiriwa kila kitu kupitia Malaika au ndoto. Kwa mfano watu wa nabii nuh walioangamizwa si walikuwa binadamu! waliangamizwa kwa ubaya wao na waliokuwa wema walipata rehma kutoka kwa Mola wao
@profs.a5412
@profs.a5412 9 ай бұрын
Aya ipi inasema majini wema wataingia peponi? Kama Kuna muislam Msomi anijibu
@HamadHamad-oy7mp
@HamadHamad-oy7mp 8 ай бұрын
Sheikh wetu kaelezea vizuuuuuuri ila naona comments za wasiokuwa waislamu ambazo sizielewi NAWAOMBA msicomment haya mambo yana wenyewe bwana
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 10 ай бұрын
Ama kweri hii dini na ina wafuasi kabisaa motoni kunawahusu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni kwer mbingu ya wakristo ni tofaut na ya waislam. Sababu mkristo na muislam hawaabudu Mungu mmoja... .... Muislam anaabudu Mungu mmoja asiefanana na chochote hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana anae fanana nae. Quran 112:1--, na kuamin mitume wote walio tumwa na Mungu maana hao ndo njia ya kwenda kwa Mungu Quran 2:285.... .......... Wakristo, wanaabudu Mungu aliegawanyika mara tatu 1..... Mungu baba, aliemtuma yesu 2.... Mungu mwana, yesu mwenyewe 3.... Mungu roho mtakatifu, msaidiz wa yesu.. Mungu ambae alizaa. Zaburi 2:7 , Matendo ya mitume 13:33 , waebrania 1:5 , 5:5 Mungu ambae anafanana na mwanadam hadi sura. Mwanzo 1:26 ...
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni elimu tu ndugu zetu hamna. Malaika hawakosei, wangekuwa wanaasi basi vita mbingun visingeisha. Majin yameumbwa kwa moto, yanakosea pia yanatenda mema (mazur na mabaya, waongo na wakwer) 2 mambo ya nyakat 18:18-21
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 8 ай бұрын
Msiwadanganye watu wa Mungu jamani. Kitu kinaitwa jini sio cha Mungu. Ni wale malaika waliomuasi Mungu pamoja na Lusufer. Tukumbuke Lusufer alikuwa malaika mkuu lakini akamuasi Mungu, akatupwa duniani, akaondoka huko na malaika 1/3 waliomsaidia vita kati yake na Malaika Mikaeli
@MwangiChege-nz3oe
@MwangiChege-nz3oe 10 ай бұрын
Hamna upendo baina ya majini na binadamu kumbuka majini ni malaika waliomhasi mungu na mkuu wao nishetani kazi yao nkudanganya watu iliwaende nao kuzimu eh Yesu tuone huruma sisi waonao
@FatmaSalim-lk2wd
@FatmaSalim-lk2wd 9 ай бұрын
Acha kupotosha watu ww kuna aya inasema ,waman khalaktul jinn wal ins ila liabudun mungu anasem sikiwaumba majini na watu isipokuwa waniabudu. kwahy majini ni viumbe km ww wapo wanao muabudu mungu na sio shetan wakristo pia mnachochea ugomv wakidin nynyi
@johnkwetukia9585
@johnkwetukia9585 10 ай бұрын
Viongozi vipofu huwaongoza vipofu Mungu aliwaumba wapi majini naomba mniambie
@ashaalali1221
@ashaalali1221 10 ай бұрын
Kkkkk weee unafikiri simu yako inacontrolia na bin Adam?
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
6:100 وَجَعَلُوا۟ لِلَّهِ شُرَكَآءَ ٱلْجِنَّ وَخَلَقَهُمْ وَخَرَقُوا۟ لَهُۥ بَنِينَ وَبَنَٰتٍۭ بِغَيْرِ عِلْمٍ سُبْحَٰنَهُۥ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يَصِفُونَ Bado wamemfanyia Mwenyezi Mungu majini kuwa washirika wake, na hali Yeye ndiye aliye waumba. Na wakamzulia, bila ya ujuzi wowote, kuwa ana wana wa kiume na wa kike. Subhanahu, Ametakasika na ametukuka juu ya hayo wanayo mbandikiza nayo!
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
15:27 وَٱلْجَآنَّ خَلَقْنَٰهُ مِن قَبْلُ مِن نَّارِ ٱلسَّمُومِ Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 8 ай бұрын
Mi napenda wale waislam waliokoka ambao hawaamini majini bali Mungu peke yake
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 10 ай бұрын
Waisilamu nyie acheni kuabudu majini na mashetani mtachomwa moto shauri yenu!!!!😢
@emanuelkitiku690
@emanuelkitiku690 10 ай бұрын
Mpokeni yesu
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 2 ай бұрын
hawa wamechanganyikiwa kweli hakuna jini mzuri
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 8 ай бұрын
Kumbe mnajijua majini wameandikiwa adhabu sasa nyinyi uhusiano wenu wao🤔🤣🤣🤣
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 10 ай бұрын
We mpumbavu, Allah atakuhukumu kwa uongo wako. Hakuna mahala popote katika historia Muhammad amewahi kuitwa ahmad. Hakuna hata hadithi iliyopokelewa kuwa Muhammad ndiye ahmad. Na pia hayo majini unayazungumza kwa itikadi ya shirki zenu. Hakuna kiumbe rasmi Chenye muonekano huo unaoutaja. Wala mtume hakuwa na itikadi zenu hizo. Acheni kupotosha watu kwa hadithi za abunuasi. Haya mastori yenu hayajengi uislam yanabomoa dini
@MarthaJoseph-lk5nu
@MarthaJoseph-lk5nu 8 ай бұрын
Baragumu ya Tano kitabu Cha ufunuo, nyota aliyeanguka kutoka mbinguni hadi kuzimu na kupandisha Moshi la kuzimu
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 10 ай бұрын
Nyinyi binadam mtaangamia majini,mapepo na mashetani yote yamelaaniwa na mnaambiwa msiweke ukaribu na majini dah Hakuna majini wazuri na wabaya.Wazuri mwanzo lakini baadae ni chungu
@siti3197
@siti3197 10 ай бұрын
Ukisem majini mwisho watageuka.. N sisi binadamu hmbao twauwana .. Nasi tuseme nn. Hngalia maneno yako❤ jua Kuna viumbe bora kwa Majin watakao kua PEPONI n Kuna waovu. Watajua motoni. Ni kama binadamu tu😊
@siti3197
@siti3197 10 ай бұрын
Ukisem majini mwisho watageuka.. N sisi binadamu hmbao twauwana .. Nasi tuseme nn. Hngalia maneno yako❤ jua Kuna viumbe bora kwa Majin watakao kua PEPONI n Kuna waovu. Watajua motoni. Ni kama binadamu tu😊
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Shida ni elimu. Wakristo wengi hawajui meng sababu hawafundishwi. Majin wapo wazur wanyenyekevu kwa Mungu, na wataingia pepon (Mambo ya nyakat2 18:18-21) , pia wapo wabaya kama tulivyo binadam hata yesu alisema (waefeso 6:12). Soma hiyo halaf uniambie hilo pepo lilikuwa mbingun linamnyenyekea Mungu lilikuwa pepo gan?
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Malaika wangekuwa wanaasi, wanakosea kama binaadam, bas kila siku Vitabu vya Mungu vingekuwa vinabadilika, na vita mbingun visingeisha, maana hata jibril (Gabriel) uzalendo ungemshinda angeasi..😂. Malaika wameumbwa kutii amri ya Mungu sio kukosea
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Bibilia inasema watu weusi, waafrika, wamelaaniwa (mwanzo 9:20-26),. Kumbe hata sisi hatutoingia pepon?. Ukristo Bwana
@justusngonyani165
@justusngonyani165 10 ай бұрын
Majin tenaaah,duuh.
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 10 ай бұрын
Eeeh bwana Yesu Cristo okowa nafsi. Za ndugu zangu wa eslam
@desderiushaule4264
@desderiushaule4264 4 ай бұрын
Huyu sheikh ni mwongo pamoja na Aya zake
@Mpakauseme
@Mpakauseme 10 ай бұрын
Hakuna jini mwema bali ni ubatili tu
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 10 ай бұрын
Kweli kbs
@saidindula1141
@saidindula1141 10 ай бұрын
Majini ni viumbe walioumbwa na mungu wapo wema na wapo waovu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Malaika wangekuwa wanaasi, wanakosea kama binaadam, bas kila siku Vitabu vya Mungu vingekuwa vinabadilika, na vita mbingun visingeisha, maana hata jibril (Gabriel) uzalendo ungemshinda angeasi..😂. Malaika wameumbwa kutii amri ya Mungu sio kukosea
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Shida ni elimu. Wakristo wengi hawajui meng sababu hawafundishwi. Majin wapo wazur wanyenyekevu kwa Mungu, na wataingia pepon (Mambo ya nyakat2 18:18-21) , pia wapo wabaya kama tulivyo binadam hata yesu alisema (waefeso 6:12). Soma hiyo halaf uniambie hilo pepo lilikuwa mbingun linamnyenyekea Mungu lilikuwa pepo gan?
@EsauBakari
@EsauBakari 10 ай бұрын
niuongo mtupu hakuna majini mema ni mabaya
@user-rr6jg6qb1p
@user-rr6jg6qb1p 10 ай бұрын
Muongo uyo shekh, majini ni wale malaika walioasi pamoja na shetan uko mbinguni wakatupwa pamoja na ibilis,.amna majini wazuri huo ni uwongo mkubwa
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ni elimu tu ndugu zetu hamna. Malaika hawakosei, wangekuwa wanaasi basi vita mbingun visingeisha. Majin yameumbwa kwa moto, yanakosea pia yanatenda mema (mazur na mabaya, waongo na wakwer) 2 mambo ya nyakat 18:18-21
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 9 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 39 МЛН
HAJI UPEPO APATWA NA AIBU KUBWA BAADA YA MAJIBU MAZITO YA SHEIKH MUHAMMAD IS-HAQ.
40:13
VIJANA WENGI WAMEKUWA MASHOGA KWA KUTAKA VESPA NYEKUNDU
11:25
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 21 М.