KISUGU AVUJISHA MASHINE 5 ZA SIMBA ZIMEFUNGIWA NDANI|CHAMA SIO PIGO KWETU

  Рет қаралды 29,107

SPORTS MAX

SPORTS MAX

Күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 42
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw 3 ай бұрын
SIMBA nguvu MOJA 💪 Kwa msimu ujao kazi nzuri Sana kwa sajiri zinazoendelea sahiv. MPANZU Lin jaman anatua MSIMBAZI ✍️ Mabetu &Co
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 2 ай бұрын
Kisugu mshambuliaji walimtambulisha hamkitu wameanza kuleta vitu visivyoeleweka, huyo MO sasa hivi tutamng'oa , pia asimtoe mgunda
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 2 ай бұрын
Kazi yao na injinia wao kuhonga wachezaji na kuloga na babu yao ktk bench la ufundi mweusi anavaa kapero wachawi wakubwa washenzi
@JaziaImmanuel
@JaziaImmanuel 3 ай бұрын
Nikwelikisungu,tumefirahiwanasimba
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 2 ай бұрын
Watu yanga inawauma tukiacha kuwasapoti, huyo chama muacheni mnawapa kichwa watu wa yangu acheni maisha yaendelee
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 2 ай бұрын
Hao mambwa wa yanga yanabweka kama vichaa waunaugonjwa
@AmiryHamza-gs8pp
@AmiryHamza-gs8pp 3 ай бұрын
Kweli kaka kisugu unaongea vzr na point simba tunaijenga upya naamini tutakuwa vzr et
@MsafiriBosco-qh4kd
@MsafiriBosco-qh4kd 3 ай бұрын
sawa kaka dua tu
@tosh7671
@tosh7671 3 ай бұрын
MEMKWA
@Mariam-r4y9j
@Mariam-r4y9j 3 ай бұрын
Chama babu aende tu uwa Hawa ngai wakifika utopolo
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 2 ай бұрын
Tena aende mwana kwenda ,,mwache na uto ni timu ya wastaafu,aka msondo Ngoma,, ngoja tarehe8 wamvunje kiuno na vijana jaZz😂😂😂 oooh Simba loveeeeee uuuuu❤❤❤
@drallan6879
@drallan6879 3 ай бұрын
we kisugu Acha kum underate chama;
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 3 ай бұрын
matusi peleka kwenu mwehu mkubwa usikute wew ni shoga
@MicahGhloloj-bs4cy
@MicahGhloloj-bs4cy 3 ай бұрын
Ajatukana mbona amesema kumu underet maana yake Ni kumchukulia poa poa
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 3 ай бұрын
Kwausajili upi mnajifariji tu nyinyi mwakahuu chama pekeake atawafunga tano hatamsajili vip hamtapata tena mchezaji Kama chama Mimi haomnao wasajili sijamuona hatammoja afanane na chama nyinyi mmezowea machawa wa Simba kuwadanganya mashabiki wa Simba waliokuja kwanza mliwasifia hivohivo hakuna Kama chama
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Kisugu uko sahihi kabisa.Tuombe tu tupate usijali mzuri sio tunawasijili wanakuja vizuri toka kwai baada ya muda wachezaji wanakua wa ovyo:wanashuka kiwango chao tunachowasifia. Simba nguvu moya❤❤❤❤🎉🎉🎉
@kassimntara6901
@kassimntara6901 3 ай бұрын
Kwa wachezaji nakupongeza ila kwa viongizi hasa nangungu wako sitajakuunga mkono abadani
@elizajohn8066
@elizajohn8066 3 ай бұрын
Chama ni nani chama alishamaliza Simba nguvu zake yanga anakwenda kupumzika tu anajipya
@michaelkasilabwa3096
@michaelkasilabwa3096 3 ай бұрын
😮said huwezi ukaelewa maana we utopolo
@EliahJilah
@EliahJilah 3 ай бұрын
Ukiona mara nyingi ukiongea unazomewa tambua unaongea uchafu
@jameskessy3067
@jameskessy3067 2 ай бұрын
Hap nikwer
@jameskessy3067
@jameskessy3067 2 ай бұрын
Simb yamoto inakuja
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 3 ай бұрын
Chuma hijo kimewadia simba
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 3 ай бұрын
Jamaa anailazimisha furaha😂😂😂😂
@JalasiIssa
@JalasiIssa 3 ай бұрын
Shida ya huyu mwamba ni mwongo
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 3 ай бұрын
Patachimbika meakani
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 3 ай бұрын
Wewe ni nani? Simba?
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 3 ай бұрын
Safi raha badaye machungu
@CharlesAlly-jp1ms
@CharlesAlly-jp1ms 3 ай бұрын
Makocha wa simba ni wengi ndiyo maana benchika ameshindwa
@MamboMbuli
@MamboMbuli 3 ай бұрын
Wewe nani
@SamilOmary
@SamilOmary 3 ай бұрын
Simba nguvu moja
@JosephTibu
@JosephTibu 3 ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@michaelkasilabwa3096
@michaelkasilabwa3096 3 ай бұрын
🎉ongea baba ongeaaaaaa
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 3 ай бұрын
Acha kumuongelea vibaya Chama mpumbavu ww
@manmanonline6394
@manmanonline6394 3 ай бұрын
Chama kitu gan ww duka tu lile,ana mwanzo tu ila mwisho wake mbaya!....hahahahahaha“aa
@selemanisaid1435
@selemanisaid1435 3 ай бұрын
M o m Joshua mutale. M Omari diakite . O Stephen mukwala from congo M. O . M
@hassanmwinjuma6961
@hassanmwinjuma6961 3 ай бұрын
P
@iddymsagalile5371
@iddymsagalile5371 3 ай бұрын
tusha wazoea wakina bii vijola
@hamidmussa838
@hamidmussa838 3 ай бұрын
Ongea Baba.
@SadikiSaid-cp1pt
@SadikiSaid-cp1pt 3 ай бұрын
uyu nae anachongeaga ata simuwere wagi ana ongea umbavu gani apo sasa
@romanambelle6356
@romanambelle6356 3 ай бұрын
Inategemea ubongo una uwezo gani wa kuelewa saaa huelewi nn au utopolo hamuelewagi
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 3 ай бұрын
toka lini utopolooo mkawa waelewa
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 23 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН