Ni kweli kisugu bora tuhame uwanja yanga co watu wa kushea nao uwanja wachawi xana bora turud zetu azam
@abdallahomaryabdallah9 сағат бұрын
Waambie.ukweli
@imanitasilo520010 сағат бұрын
Hameni uwanja kama kweli mnaweza
@BATULIMUSSA-j6w13 сағат бұрын
Hameni mbona mwachelewa
@BADILIJUSTUS-fs3oo10 сағат бұрын
Wewewewewewe hii ndio mashine ya kuongea kisugu boy utamlithi Ahmed Ally aise uko vizuri hakika hawawezi ata kukuhoji vizuri na anayereta maswali ya kebehi unamnyosha kimaelezo hakika upo vizuri
Ww ulisema ubingwa wa Yanga unatia mashaka jee marefa hapo umewatendea haki
@abdulomari49326 сағат бұрын
Hajawahi kumiliki akili
@josephgalandu1287 сағат бұрын
Hahaaaaaa mahangaiko fc muweme na ubibingwa muuwache 😂😂😂 mtani😅
@bukaone750712 сағат бұрын
Tukio la mkono, na tukio la Kapombe, yote yalikuwa ndani ya eneo la penalt, sasa mdau ulitaka alichague tukio gani? ange chagua tukio lolote lile, inge kuwa tuta tu.