"KISUKUMA IWE LUGHA YA KUFUNDISHIA" - MBUNGE ALIVUNJA MBAVU BUNGE

  Рет қаралды 49,314

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

"KISUKUMA IWE LUGHA YA KUFUNDISHIA" - MBUNGE ALIVUNJA MBAVU BUNGE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 148
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Safi sana mbunge wangu ,hongera pigania unachokiamini ni faifa kwa taifa
@geraldndabila9610
@geraldndabila9610 2 жыл бұрын
Upumbavu
@georgemallya4311
@georgemallya4311 2 жыл бұрын
Aisee kweli Huyu ni mbunge WA wananchi anataka kisukuma like lugha ya taiga. We Mungu tupe nguvu 2025 nikafanye tu jambo langu.mbunge unaongea pumba kweli. Inabidi kuwa mbunge wangeweka kanuni ya usomi.mama samia wabunge WA design hii kwenye chama wanakuangusha kweli.
@chapaboyclassic3907
@chapaboyclassic3907 2 жыл бұрын
Nyambavuuu wew unaturudisha moja
@safarinicas7238
@safarinicas7238 2 жыл бұрын
Hata waganda wanatumia kiganda hata wakolea wanatumia kikolea hata kwakufundisha na biashara
@safarinicas7238
@safarinicas7238 2 жыл бұрын
Ukosawa wanao kucheka hawajui kama waingeleza walikataa kutumia kirumi wakatengeneza ruga yao ya kingeleza
@isakajunior7139
@isakajunior7139 2 жыл бұрын
Kingereza walikitoa kwenye kabila gani na linapatikana sehemu gani? Yaan watu mlioni 50+ uwafundishe lugha ya kabila moja?
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 2 жыл бұрын
Nimpenda Huyu mbunge😂😂🙌🙌🙌
@amiryluzilo4843
@amiryluzilo4843 2 жыл бұрын
Sasa hapo alichoongea Cha maana ni Nini? Sikaongea ujinga tu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 жыл бұрын
Kisukuma hapana aisee matamshi yenyewe hovyo
@kobatvonline
@kobatvonline 2 жыл бұрын
Mi nadhani lugha ya Kiingereza ingekuwa ndo lugha ya kutumika BUNGENI hizi Pumba zisingeongeleka😁😁
@kobatvonline
@kobatvonline 2 жыл бұрын
@Humphrey Msengi unafikiri utani kaka😂😂 hata shule zetu za St Kayumba wakisema "SPEAK ENGLISH"madarasan utulivu unakuwepo. Yan yeye mwenyew anahangaika na Kiswahili 😂😂
@mombasa0076
@mombasa0076 2 жыл бұрын
WABUNGE MSIONGEE PUMBA ..... KISWAHILI NDIO LUGHA YA WATANZANIA.
@malenyadeyamajangitomaleny8701
@malenyadeyamajangitomaleny8701 2 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa mkuu
@meshmeshak1095
@meshmeshak1095 2 жыл бұрын
Huyu hana akili kabisa
@filbetkalembe2806
@filbetkalembe2806 2 жыл бұрын
Hawa ndio wabunge tuliowaoata hivi hawa wapo kwa kujenga nchi au kura posho za wananchi bure tu
@dmox8723
@dmox8723 Жыл бұрын
Ndio maana mwalimu nyerere hakutaka msukuma awe raisi kwakua hawa jamaaa wanaubaguzi sanaaaaaa! Hata tanzania ilipopata uhuru wasukuma walipendekeza kisukuma kiwe rugha ya taifa hapo ndipo nyerere alizidi kukasilika
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Mimi nimesema nyerere alisema wasukuma wanyakyusa wahaya wachaga .nimakabira hatari Sana. Angalia ujinga huo.hamna. kazi mumeishiwa chakuzungumza yeye anadhani magufuri yupo.
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Mimi ni.ccm.lakini napenda vyama vingi kuwapekeyenu mnaleta kichefuchefu.wangekuwepo chadema wangekuchana . Wewe Chunga mifugo
@ahmedhamis
@ahmedhamis 3 ай бұрын
Lugha ya taifa
@safarinicas7238
@safarinicas7238 2 жыл бұрын
Kwasabau uliye leta wazo hiro hauna digri ndiyo maana nikama hauleweki kwao rakini kizuru kinaogewa kusini mwa Africa ipo siku hata kama sileo watakumbushwa
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 2 жыл бұрын
Bila kuwa na mapinduzi ya viwanda itakuwa ngumu. Kunadi lugha yetu nje ya nchi, zaidi zaidi watakuja kujifunza Kwa faida ya bidhaa zao ziweze kuuzika, lkn tukitengeza bidhaa zetu ambazo ni bora zaidi manual zake ziwe Kwa Kiswahili watalazimika kujifunza Kwa nguvu, kama vile Tanzanite tuichakate hapahapa siyo India kuonyesha dunia kwamba ni product ya Tz tunaweza kuinadi lugha yetu kirahisi kuliko sasa.
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 2 жыл бұрын
Da hatariiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaa
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 2 жыл бұрын
Moja wa mbunge alieongea pumba bungeni sijaona mbunge aliesema kiingereza kiwe first priority kuanzia shule ya msingi watoto wafundishwe kiingereza ili tusiwachanganye huku juu jaman dunia shv ni ya kidigitali zaidi hakuna namna ya kusema sisi turudi nyuma kwa kweli kiswahili hakijitoshelezi kwa Mambo mengi ya kisayansi na technologia yanaoendelea!!!!!
@juliasmolellmolell4815
@juliasmolellmolell4815 2 жыл бұрын
Aisee bora akesema kingeresa lakini hiyo ingine noo
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 2 жыл бұрын
Uko sawa kwa lugha nyingine
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 2 жыл бұрын
Wabunge wengine hawana hoja ikifika wakati Taifa iweke kiwango Cha Elimu Cha mtu kugombea ubunge na Udiwani
@francismbena7700
@francismbena7700 2 жыл бұрын
Yani hii mitaara kweli ibadirishwe kwa mfano namba za kirumi zimebaki kwenye matishet na madera au desmali!
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 жыл бұрын
Haposafikisukuma nivyema
@justerissaya9165
@justerissaya9165 2 жыл бұрын
Hv hyu mbunge ni WA wapi anasema eti majengo tumepewa inamaana hajui Kam ni Kodi zetu kwanza tunaibiwa🙈😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-km1dk2xr4v
@user-km1dk2xr4v 10 ай бұрын
ambao hawajatembea hawatamuelewa kamwee
@mabulatv3792
@mabulatv3792 2 жыл бұрын
Kisukumaaaa oyeeeeeee
@arnoldrwekaza2265
@arnoldrwekaza2265 2 жыл бұрын
Hii sheria ya mbunge awe la saba tu, inahitaji kubadirishwa kwa sababu hatuwezi kuwa na watu wenye uwezo mdogo kifikra ndo watunge sheria.🤣just imagine
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Musukuma la saba lakini anachangia sana bungeni kuliko hao wasomi wenye degree zao
@edwardmihale6579
@edwardmihale6579 2 жыл бұрын
Kusoma hakumtoi ujinga mtu wapo wamesoma sana lkn hawajafanya Cha maana tukaiga kwao zaidi ya kutuibia tu tafakari maisha siyo elimu Tena maisha nikupambana hebu angalia mtaani mwenye pesa nyingi niyule wa Drs la Saba au pengine hajasoma kabisa unakuta wasomi WANAENDA kukopa Kwake sema tu Usiasa siasa umetuathiri China lugha mbaya ila wanaitumia nawamefanikiwa sana
@edwardnambo1857
@edwardnambo1857 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni Tajiri mno
@NaturalBidoha
@NaturalBidoha 2 жыл бұрын
Acha buana 👀
@juliasmolellmolell4815
@juliasmolellmolell4815 2 жыл бұрын
Umeeza ukabila hujui kilichoko Uganda wewe hufai kuwa kiongozi hata
@amiryluzilo4843
@amiryluzilo4843 2 жыл бұрын
Jaman nchi imeishiwa pumzi Sasa haya mawozo gani? Yaan mbunge mzima hiyo ndiyo hoja aliyonayo kweli ! Tukiwa na wanbunge Kama Hawa nch haitakua maendeleo kwasababu bungeni hakuna kitu wanafanya ,haya niya kitoto
@joesephmihambo1487
@joesephmihambo1487 2 жыл бұрын
Mbunge umeongea point
@yucuphmsuya1514
@yucuphmsuya1514 2 жыл бұрын
Huna hakili fundisha family yako
@reginaldhhayuma6907
@reginaldhhayuma6907 2 жыл бұрын
Duh. Ama kweli . Hao ndo watu tumewapa nchi watuongozee. For sure we are finished. Mungu atusaidie tu
@meshackmwalongo1753
@meshackmwalongo1753 2 жыл бұрын
Nchi hii watu tunalia nauchumi wengine wanalilia kuongeza luga msitufanye sie wajinga na luga mnayoipinga hapo nikiingereza, akati nyiewabunge hapo watoto wenu wote munawahimiza wajue kiingereza kwani mmetuchukuliaje, taifa lachina mpaka sasa ndio taifa linaloongoza watuwake kujifunza kiingereza jiulize wamejifunza nini hadi waanze kujifunza kwanguvu zote kiingereza.
@moshikilimanjaro5660
@moshikilimanjaro5660 2 жыл бұрын
Baba wa taifa alipigana kuondoa ukabila leo mnataka lugha za kabila moja kuwa lugha ya mawasiliano? Inasikitisha sana , Kishwahili kinatosha. Na wanao sema kusoma historia haisaidii , basi tusipo jua tulipo toka hata tunako enda hatuta fika. Maendeleo ya nchi yanachangiwa na ujumla wa vitu vyote.sio sayansi tu.
@barackhussein312
@barackhussein312 2 жыл бұрын
Obama once sad, " if you want to teach people about development then teach them their history"
@sospetermungai7733
@sospetermungai7733 2 жыл бұрын
Umeongea pumba kabisa
@user-kv7sc4cc7p
@user-kv7sc4cc7p 2 жыл бұрын
Kuna Kaukweli Ndani yake japo tunaona ni pumba
@arnoldrwekaza2265
@arnoldrwekaza2265 2 жыл бұрын
Kiswahili kinatosha tu.
@tinluwna3783
@tinluwna3783 2 жыл бұрын
Kweli jamani
@zakayoeliasi6995
@zakayoeliasi6995 2 жыл бұрын
Wewe watu wengi atujuwi kigerenza tuache.tusomeshe rugha ya kimataifa ukitaka ujue yuriyozariwa mwaka 1986 wengi atukusoma ila memukwa ya yahati benjameni ilituokoa.kidogo tulikua kusoma nakuandika ata wewe yawezakua ilikua umojayao ulisomamemkwa
@zakayoeliasi6995
@zakayoeliasi6995 2 жыл бұрын
Acheni maneno tulidishiani memkwa tuedelee na masomo ivi mnafikili tumeelimika tanzania Bado sana
@andreaotaigo40
@andreaotaigo40 2 жыл бұрын
Mmmh! Sasa huyu nae kweli mmmh! hakika tutaisoma namba mwaka huu!
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 2 жыл бұрын
Lakini kiswahili sindiyo idumishwe sasa,,, maana ndio lugha ya taifa
@nathaliashayo3289
@nathaliashayo3289 2 жыл бұрын
Musikubali kufundiaha kilugha,ni kuleta ukabilaa
@filbetkalembe2806
@filbetkalembe2806 2 жыл бұрын
Hii ni akili upumbavu
@frolianchanga220
@frolianchanga220 2 жыл бұрын
Hivi hilo jimbo kwel hakuna watu had wakampa mtu km huyu mana n hovyo hovyo
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 2 жыл бұрын
Mambo ya ajabu sana.
@mshangaemmanuel8964
@mshangaemmanuel8964 2 жыл бұрын
Daah nmesikitika sana pointless
@ollacamusic
@ollacamusic 2 жыл бұрын
Wasukuma🔥🔥🔥😂😂 wangapi waliskia hii 👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/iZjVfoywa5tkf9U
@safarinicas7238
@safarinicas7238 2 жыл бұрын
Zipo mpaka bibulia ziliandikwa kisukuma Hata wa iziraeli wanatumia ruga yao kiebrania
@jumaamad1519
@jumaamad1519 2 жыл бұрын
Were ll and then Google
@justerissaya9165
@justerissaya9165 2 жыл бұрын
Kwahyo kiswahili ni lugha ya nan
@stevenkataluka1003
@stevenkataluka1003 2 жыл бұрын
elimu sio kutafuta lugha ambayo haitaeleweka kwa watu, hujaeleweka naona ukabila tuu hapo mbn unaturudisha kwenye kutambika kiswahili kipo thabit kabisa.
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 жыл бұрын
Kichaga
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
Hiyo X na y ni istilahi Tu ambayo walikaa watu wakajadili na ikawa NI kanuni na sisi maprofesa wakikaa itapatikana mbadala wake.
@florensjames3866
@florensjames3866 2 жыл бұрын
Kuna wabuge wanachekesha san
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Magufuli hangover ushunzi mtupu ukabila , yaani eti watu waongee kisukuma na lafudhi hiyo , hivi hili jamaa halijishitukii ni zuzu kutoa mawazo hayo
@simonmartinekombe7031
@simonmartinekombe7031 2 жыл бұрын
Hahaaaa wacha nicheke,, nan utamchenga
@simasima8084
@simasima8084 2 жыл бұрын
Make nicheke kwanza 🤣🤣🤣🤣🤸🤸
@meshmeshak1095
@meshmeshak1095 2 жыл бұрын
Lugha ni English language kisukuma ni ufala fulani na kwanini mbunge aongee mambo yasio faa, Shigongo ni mwelewa Sana nampongeza na waziri amsikilize Sana huyu siyo huyo sukuma guy.
@ChaSam-fr3pg
@ChaSam-fr3pg 2 жыл бұрын
Mnapiga makofi? Duh.
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
Upuuzi
@mshangaemmanuel8964
@mshangaemmanuel8964 2 жыл бұрын
Nyerere aliona mbali kuhusu lugha ww mbunge vp unaongea utopolo gan,mbona enzi za magu mlikuwa hamropokiropok toa point
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 жыл бұрын
WATANZANIA BWANAA,
@shinjemackenzie6256
@shinjemackenzie6256 2 жыл бұрын
Naunga mkono hoja
@yucuphmsuya1514
@yucuphmsuya1514 2 жыл бұрын
Kisukuma chenyew hakijakutoka eti umetembea nchi nying
@dostovan5142
@dostovan5142 2 жыл бұрын
Michango wenu ni hii Kila mwaka
@mtegemeemungusiomwanadamu6618
@mtegemeemungusiomwanadamu6618 2 жыл бұрын
Nani aanze kuzungumza wangaruka
@fathimamct232
@fathimamct232 2 жыл бұрын
Sasa na hicho kiswahili SI ndio lugha ya kwetu??
@martinkisha6307
@martinkisha6307 2 жыл бұрын
Yani mnaleta mzaha ninyi watoto wenu wako urusi eti
@husseinbongo7447
@husseinbongo7447 2 жыл бұрын
Hiyo lugha yako ya Nyika baki nayo wewe mwenyewe. Vip Kama na mnyakyusa atataka nae kinyakyusa kwenye system au kila kabila litake hivyo utakavyo tutafika? Kiswahili kinatosha usiturudishe Nyikani
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Wanajielewa bc ndugu yangu wao wanaangalia hapa sio miaka ijayo vizazi vijavyo wala hawawazi ilo kbs
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 2 жыл бұрын
Ina maana Mw/Nyerere alikosea kwa kutuunganisha watanzania lugha ya kiswahili? Kiswahili hoyeeeeeeeee
@peterkimingo3607
@peterkimingo3607 2 жыл бұрын
Mbunge mpumbavu kuliko wote bungeni,ukabila hautakiwi ni bora aseme tutumie lugha ya Taifa,mbunge mbumbu wewe
@lusomyaonesmo1678
@lusomyaonesmo1678 2 жыл бұрын
Kweli wewe mbunge wa Mbogwe🤣🤣🤣🤣
@josephmchila6467
@josephmchila6467 2 жыл бұрын
Huu ni utani, msukuma
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 2 жыл бұрын
Kama huna cha kuchangia, si ukae tu usubiri posho yako?
@fareskibera4224
@fareskibera4224 2 жыл бұрын
Na kuna watu wanampigia makofi?
@fareskibera4224
@fareskibera4224 2 жыл бұрын
Huyu ni mbunge? Analipwa mshahara?
@amiribakari2528
@amiribakari2528 2 жыл бұрын
Wewe acha mambo yako.je kiswahili sio lugha...?
@saidnangutto2944
@saidnangutto2944 2 жыл бұрын
Ukabila
@patrickmsekwa7773
@patrickmsekwa7773 2 жыл бұрын
Mbona mawazo manyonge sana mbunge!!
@patrickmsekwa7773
@patrickmsekwa7773 2 жыл бұрын
Hebu shaurini vitu vyenye akili jamani. Kiswahili kimewashinda kukitengenezea misamiati sababu ya kutopenda kufanya utafiti.
@majimotomalole1809
@majimotomalole1809 2 жыл бұрын
Acha ukabila.Kwa hiyo umeona kiswahili hakifai msen.....
@abelimtega6223
@abelimtega6223 2 жыл бұрын
Zipo luga zipo zenye busala kuliko kisukuma jamani
@angeldaudi1328
@angeldaudi1328 2 жыл бұрын
Haupishani naye tu
@mudolyomanzil6502
@mudolyomanzil6502 2 жыл бұрын
Kiswahili ni lugha ya nchi IPI kam sio Tz? Nonsense
@majimotomalole1809
@majimotomalole1809 2 жыл бұрын
Maku ww
@Eddyx21
@Eddyx21 Жыл бұрын
Poor point
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 2 жыл бұрын
Hao ndio viongozi tulionao, tuna viongozi wa ovyo kabisa.....
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Nqona mmelewa ubunge sasa yaan kabila liwe ndani ya somo la taifa huo ujinga tu na ubaguzi wa makabila sasa pangeni uko kwenu mjitafute wasukuma wote mfungue shule yenu ya kisukuma uko
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Hicho KINGELEZA ni lugha yenu? Mbona mnasoma?
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Amka kiswahili cha wote makabila yote mkianza kuvutana kila kabila liwe kwenye somo la taifa hapatoshi hapa Wanyakyusa nao watataka Wahaya watataka srikali ijadili rugha yao taratibu mwisho wa siku jana
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
@@kennyrogers4734 si bora tuvutebe tujue luga zetu mbona wazungu wamevuta hadi lazima tuongee lugha yao isiyo tuhusu?
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Sijakuelewa Jeny Yusuph em icheck vzr comment yako alafu ifanyie marekebisho vzr utupie tusome vzr sijui umemaanisha nini mdau
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Kiswahili ndo luga yetu sio kabila flan ndo iwe luga ya nchi iyo mbaya sana inareta msigano mkubwa sana siku za usoni
@mheleladavid2588
@mheleladavid2588 2 жыл бұрын
Huyu fala saana
@nasibupaizon5799
@nasibupaizon5799 2 жыл бұрын
Kwel umezidiwa na ujinga wewe yaani umeacha watoto ubaenda kuongea upumbavu wa namna hyo acha ufala wewe
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
SUKUMA GANG subirini hicho chama chenu cha UMOJA WA WASUKUMA PARTY kiongoze nchi ndio mtafanya kisukuma kiwe lugha ya Taifa.
@happinessclement6066
@happinessclement6066 2 жыл бұрын
Utoa ujinga wako fala ww
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
@@happinessclement6066 Kwani dada na wewe SUKUMA GANG?!!😄
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 жыл бұрын
Punguza uchiz
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
@@kaundasutikaunda7769 Apunguze uchizi huyo mbunge anaetaka kisukuma kiwe lugha ya Taifa😄
@mwana4599
@mwana4599 2 жыл бұрын
Sooon tunakuja tutaondoa ujinga wote na wajinga.
@jellymbogo7246
@jellymbogo7246 2 жыл бұрын
Nyie,hahahahahaha
@mmake30
@mmake30 2 жыл бұрын
kwanini watu hawavuti bangi iliyokomaa, yaani haya makushabu yanawaaribu sana... nyinyi wabunge hebu vuteni bangi zilizo komaa ili akili isiharibike
@howto2654
@howto2654 2 жыл бұрын
Hahhhah aiseee
@olarivolariv1313
@olarivolariv1313 2 жыл бұрын
Mataifa gani yanakuja kujifunza wakati uchumi ni mbovu, ili lugha iwe na nguvu ni lazima uchumi wa nchi husika iwe na nguvu ili wao watuhitaji sisi, sasa iviii sisi ndio tunawaitaji wao,so ni lazima tuu tusome lugha zao, alafu mbona sasa nyie ndio mnawasomesha watoto wenu international school ambazo kiukweli ni English A to Z. Hapa kwakweli sijapata point kabisa.
@paulrobertmapunda5483
@paulrobertmapunda5483 2 жыл бұрын
wewe. acha kabisa Isha za ukabila ukome kabisa Kiswahili ni lugha ya kuuganisha taifa na afrika huyu anatakiwa afuluzwe bugeni na ubunge
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Hili jamaa ni zuzu mkabila
@athumaniikome1637
@athumaniikome1637 2 жыл бұрын
Mungu alijua mpango wa kabila fulani akamuondoa kiongozi mapema ili yasitokee haya
@mwana4599
@mwana4599 2 жыл бұрын
Hopeless wewe huku mnapanda na kufurahia madege yake. Huku mnapita kwenye mabarabara yake aliyojenga for more than 20 years. Wake up. And I tell you leavecalone JPM. ulivyo na elimu ndogo badala ya kuoinga hoja unazozana ba mtu adiyeqeza kukujibu.
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Mjitafute wasukuma uko mfungue shule yenu sio taifa lijifunze kisukuma upumbavu mtupu hii ndio madhara ya bunge la chama kimoja kila mtu anaongea anachojiskia tu
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 2 жыл бұрын
Acha kutukana ww Wasukuma ndio kabila kubwa na lenye watu makini zaidi
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@Kakamkubwa3564 Acha ubaguzi usiwe mawazo mgando ndigu muasisi wetu alishalikataa ilo amelipiga vita ikiingizwa kwenye masomo itareta shoda kunyanyapaana kuwa muelewa ndugu usiweke kabila mbele kbs
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@Kakamkubwa3564 Kama umejisahau kuwa mauwaji ya Rwanda wenyewe kwa wenyewe sababu makabila tu kubaguana Wahutu na Watusi liweke akilini mwako ilo madhara yake yatatokea vizazi vijavyo uko si sasa waza mbali
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 2 жыл бұрын
@@kennyrogers4734 mtazamo WAKO ni sawa ila kweli lugha ndiyo iliyopelekea mauaji ya kibwetele?? Au hujafuatilia vizuri
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 2 жыл бұрын
@@kennyrogers4734 shida watu ni wavivu wa kufikiri hapo hajasema ukabila ameongelea lugha au Mimi sijamwelewa!??
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
Hii ndio shida ya kuwa na wabunge waliopita kwa wizi wa kura, hawana maono kabisa ya kulipeleka mbele taifa letu. Wanakuja na mawazo ya kijinga kabisa ya kulirejesha taifa miaka 50 nyuma. Eti watu "wafundishwe kisukuma". Yaani haijapata kutokea katika historia ya bunge la Tanzania kuwa na wabunge wa hovyo kabisa kama waliomo katika bunge hili. Huu ulikuwa ni mpango wa Magufuli kuwaweka hawa mazezeta bungeni ili apate kufanya atakavyo kwa baraka ya bunge hilo taahira, lakini Mungu si Osumani
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Kwanza wewe Ni mwaarabu umefikaje humu??? Tuache na nchi yetu
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 жыл бұрын
Usisahau kuna MAPhd ya kisukuma mle keamaana hiyo kuna andiklo /chapishorejea kwa watafiti wetu.
@kijanyamoronga3639
@kijanyamoronga3639 2 жыл бұрын
Ppppp0pppp
@user-km1dk2xr4v
@user-km1dk2xr4v 10 ай бұрын
yuko sawa hata kenya nigeria wanapenda sana kutumia kikabila hadi kuna vitabu mashuleni
@davidchambulila6318
@davidchambulila6318 2 жыл бұрын
Ujinga , kiswahili kinatosha
@simongabrielngwelusimongab550
@simongabrielngwelusimongab550 2 жыл бұрын
Mimi naunga mkono kisukuma kufundishwa mashuleni au wangeifanya owe lugha ya biashara
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
Huyo ni shetani mkubwa, tunasanbaza lugha ya kiswahili mpaka ulaya, china, east Africa, umoja wa nchi za kiafrika, sasa huyo anaeleweka?.Nyerere alionya sana juu ya makabila makubwa.Ila hii.ni aibu.
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 2 жыл бұрын
Ww ndio mbunge mjinga Kutoka kwa wasukuma .........kakae kundi moja na Mwigulu nchemba
@edwardmihale6579
@edwardmihale6579 2 жыл бұрын
Hujui unachokisema sema amani yetu Mungu ameilinda sana.ila tungefanya Kirundi Rwanda au Kenya twende kiukabila mbona wasukuma wamezunguka nchi nzima pote wapo ungewatoaje kwanamna yoyote wangeweza lkn Mungu pekee anatawala amani hii tuilinde
@mtabeagusti4553
@mtabeagusti4553 2 жыл бұрын
apo akuna mbunge yan baada ya kuangalia mabadiliko ya mfumuko wa bei unaleta ukabila bungeni yan ni pooor poooor poooor kabiza
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 2 жыл бұрын
Wavivu wa kufikiri
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 21 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Mbunge wa Mbogwe  amwaga  machozi bungeni
11:31
Mwananchi Digital
Рет қаралды 132 М.
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,5 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
0:30
FASH
Рет қаралды 22 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 27 МЛН
😬 Мам Дай Хлеб 🍞 #shorts
0:38
AOneCool
Рет қаралды 2,4 МЛН